MWANAMKE KUTOKA OMANI ATAPELIWA NA MPENZI WAKE ALIYEKUTANA NAE TIKTOK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • #geahhabibu #geahtv

КОМЕНТАРІ • 751

  • @brendabeatus2193
    @brendabeatus2193 7 місяців тому +25

    Uyu dada hivi ngoja kwanza dada geah unauhakika anaakili timamu uyu mwanamke 😢katudhalilisha sana wanawake wa Tanzania pumbavu😂😂

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 7 місяців тому +15

    Huyu Mama Shida Ilikuwa Ndoa😂😂😂😂Jamani Musishindane Na Muda Wa Mungu Kuwenii Wavumilivu..Ndoa Za Mitandano Ni Utapeli Tu!

    • @didarashid2763
      @didarashid2763 7 місяців тому +1

      Usimcheke uwo ni mtihani wa mwanamke mwenzetu mtihani tu umemkuta

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 7 місяців тому +15

    😢nachukia mwanaume wakuniomba hela namchukia mara moja

    • @AbcD-bn1nz
      @AbcD-bn1nz 7 місяців тому +2

      Yaan ww kama mm na block kabisa

    • @aminaomari-9573
      @aminaomari-9573 7 місяців тому

      😂😂😂mimi pia

    • @aminaomari-9573
      @aminaomari-9573 7 місяців тому +1

      Kazi ngumu hivi huku😢

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 7 місяців тому +1

      yaaan hata mm nikiwa na mwanamke aanze kuomba hela namuacha..Mwanamke wa kumpa hela inabidi awe mkewangu ndo namuhudumia. ila wamtaani hapana wana shida kibao.

    • @farajasaid9209
      @farajasaid9209 6 місяців тому

      Mimi wakwanza, yaani mwanaume akitaka nmchukie aniombe pesa

  • @MadenaIphone
    @MadenaIphone 7 місяців тому +16

    Hana akili huyo mama hata kidogo yaan wewe sio wakupewa pole watu walioko nje wanazulimiwa na ndugu zao tumbo moja wewe ukaenda kumuhudumia bwana kweli dunia imeisha

    • @Aaqwe-yi6qn
      @Aaqwe-yi6qn 7 місяців тому +2

      Mama mzaz anakula pesa na uongo juu sembuse mtu hata mjui si ujinga huo

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 7 місяців тому

      Chili huyo ataakiongea unamuona hayupo sawa

    • @user-df6ui9ro8s
      @user-df6ui9ro8s 7 місяців тому

      Huy kaka nitapel wa mitandaon usikute alikuw anamlog uwez jua huy sio akili zake 😢aiwezekan mihela yot hiy vit vyot ivyo tumpe pole 2 me naumia km mm jaman

  • @user-mx8dr6zt2g
    @user-mx8dr6zt2g 7 місяців тому +11

    Jamani pole sana mama Allah akujalie update mume mwema.Kwa uwezo wa Allah utapata tu Muislam mwenye kujua dini atakuoa tu.

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 7 місяців тому +13

    Pole sana ndugu, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi insha Allah

  • @mariamsaid6334
    @mariamsaid6334 7 місяців тому +5

    Kwanza uyu mama ok Oman alikuwa na kz gan mana sio kwa mimilioni iyooo mbona hii aniingii akilini

    • @wardamohamood
      @wardamohamood 7 місяців тому

      Liongo hili tuna miak minne Oman na atuna pesa km izo😂

    • @zenadaudzena2849
      @zenadaudzena2849 6 місяців тому

      Umeona maana kwa mkataba wa miaka2 haifiki m ishirini 😊

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 4 місяці тому

      Muongo afu mshamba 😢

  • @rosemsafiri7568
    @rosemsafiri7568 7 місяців тому +19

    Uyo kaka mjinga sana hajui kula na kipofu mbwa huyo

  • @kutailass6671
    @kutailass6671 7 місяців тому +10

    Kila anae dhulum kesho akhera anacho chakujibu kwa Allah

  • @FatumaMuya
    @FatumaMuya 7 місяців тому +14

    Mume anatakiwa akuhudumie wewe na sio wewe umuhudumie yeye pole sana dada ivo vitu vyote yeye ndo alitakiwa avinunue na sio wewe😢😢

    • @OmanRuwi-ml2pq
      @OmanRuwi-ml2pq 7 місяців тому +2

      Sindomana sikuhizi Wana ume wame jinweteka hawaongi hawaudumii kwasababu yamijimama kama hii isokuwa naakili sasa hapo sikamuowa yeye mwanaume nahiyo kaamshindwa sababu mama nimkubwa mwanaume nirika lamwanae ndomana huyo kijana kamkataa wajinga ndo waliwao

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 7 місяців тому +2

      Mshamba Sana huyu dada jamaniiiiio pole sana

  • @mwajumamwajuma55
    @mwajumamwajuma55 7 місяців тому +10

    Pole sana dada yangu mtihani wallahi 😢 ulikuwa unaniya njema kabisaa ila uyo mkaka Allah atakulipia

  • @user-wk1ix1gm1p
    @user-wk1ix1gm1p 7 місяців тому +33

    Mwanamke mjinga wewe , hata mwanaume hawezi kuhudumia mwanamkekama hivyo , yaan ulikua unaoa , sasa ndo ujipange urudi kwenu

    • @halimahalima1488
      @halimahalima1488 7 місяців тому +2

      Mh mpe pole mwenzagu sio yake ayo😢

    • @mariamdullazy8166
      @mariamdullazy8166 7 місяців тому +4

      😂😂😂 nyege ndo chanzo unazan kama akili yake ya kawaida angekuwa Tz angefanya upuuzi huo

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 7 місяців тому +4

      Kumbe wajinga kama mimi wapo bado Duniani😂

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 7 місяців тому +3

      Uchawi upo ndugu huyu Dada sio akili yake

    • @sikudhanimoshi6967
      @sikudhanimoshi6967 7 місяців тому +1

      Da geha mwambie tu uyo dd arudi tu Oman kama ana nauli nimtumie pesa

  • @OmanBuraimi-wl4tm
    @OmanBuraimi-wl4tm 7 місяців тому +7

    Tulikoo mijii ya watu jaman tuwee makin na wanaume wa mitandaon jaman 😅😅😅 me ctaki kabisaa
    Wanaume nyokkoo akukafany kitega uchumii weee falaa kwel weee hayaa mwenzk anakula laha na huyoo dada akee wee umebak puaa pwii

  • @didarashid2763
    @didarashid2763 7 місяців тому +4

    Midam umefanya kwa nia safi bas Mungu atakulipia kwa nia yako pole sana dada dua ya alie dhulumiwa hairudi

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 7 місяців тому +8

    Hahahah pole yake hivi maisha ya uwarabuni kazi ngumu hivi unampaje mwanaume pesa kirahisi hivyo ??
    Pesa zako ungejiwekea tuu wanaume siku hizi ni mtelezo wanataka kulelewa 😂😂😂
    Wachache ni wenye kujitambua ila wengi wababaifu anakutafta akiwa alone akiwa kwake anafunga Data ,, dada jifunzeni kwa huyo dada maskini pole yake😢😢😢😢

  • @mariambarkat2251
    @mariambarkat2251 7 місяців тому +1

    Mungu atustiri na hii mitihani, ya kutapeliwa, huyu dada anataka riski ya ndoa ndio maana kajitia mzima mzima kumbe kaingia cha kiume. Usijaribu tena kutafuta mume mitandaoni, allah atamleta mwenye mapenzi na wewe ila hapa umeingia shule tayari sasa either upasi au ufeli

  • @maryamudunga1094
    @maryamudunga1094 7 місяців тому +8

    Wasichana wa Oman mmezidi😂😂dubai wezenu dubai hatuna ujinga huo

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 7 місяців тому

      Huyu ni mzaliw wa oman nasiyo mfanya kzi wa oman kam ulivo waza ww mjinga san huyu

    • @maryamudunga1094
      @maryamudunga1094 7 місяців тому

      @@omanoman2044 mjinga niww

  • @halimamunga1681
    @halimamunga1681 7 місяців тому +3

    Haya mambo yanaumiza sana simcheki ujinga huyu Dada nampa Pole na aendelee kuvumilia Allah atampa hitaji la moyo wake naelewa alicho pitia kwasababu najua

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 7 місяців тому +3

    Hiyo yote ni shida ya ndoa Mungu wajalie ndowa wanawake wote wasioolewa mana wanaugua wazimu wa ndoa uku

  • @usher_bambi94
    @usher_bambi94 7 місяців тому +7

    Huyo kijana tunamtaka mashaghalah tumchambe kwann atuingizie mjini madam wetu😂😂😂😂

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 7 місяців тому +6

    Achana na maisha ya mtandaoni akuna mausiano ya mtandaoni kuweni makini

  • @abuibra
    @abuibra 7 місяців тому +7

    Shauri langu wanawake wazee mtafuteni wanaume kidogo lika mkaribiane.

  • @mohamedsalum8933
    @mohamedsalum8933 7 місяців тому +2

    Pole Sana dada In Shaa Allah Mungu atakuzidishia moyo wa huruma na mapenzi. Na hakika umejifunza ktk mtihani huu.

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 7 місяців тому +5

    Jamani tusimlaumu uyu dada lamda karogwa na uyo mwanaumw

  • @Kibaadvocate
    @Kibaadvocate 7 місяців тому +5

    Siwezi siwezi kutoa rial yangu kwa mwanaume labda awe mume wangu wa ndoa naye mume wa ndoa siwezi mpa hela nyingi maana hawaaminiki

  • @user-hg7sf4nn8l
    @user-hg7sf4nn8l 7 місяців тому +3

    Daaa mshikaji kashafungua biashara na kajenga nyumba anastarehe na mwanamke mwengine ila pole Sana dada angu maisha haya mafupi sidhani kama kitu Cha dhulma kitadumu pole Allah atakulipia ila pengine alikuchezea akili huyo mwanaume wako

    • @futurehomevibes2870
      @futurehomevibes2870 7 місяців тому

      Yan tena majumba ya kifahari

    • @user-df6ui9ro8s
      @user-df6ui9ro8s 7 місяців тому

      Saw lakin aitodun dhulma sio mzur vit vya dhulma waga avidum

  • @HabeebaHassan-eq7bg
    @HabeebaHassan-eq7bg 7 місяців тому +6

    Me nahisii alikuloga yani kwa jinsi kazi za oman zinavyoumizaaaaa 😢😢

  • @user-gb3sf9fy2u
    @user-gb3sf9fy2u 7 місяців тому +12

    Ndy Dada Geah wanaume wenye maneno mazur wengi wao matapeli yan wanawake tuwe makin kwel

  • @anjelinakaniki9162
    @anjelinakaniki9162 7 місяців тому +2

    Mungu akufanyie Wapesi dada pole sana mungu atakulipia inshallah 😊

  • @user-vi1uh3ez9q
    @user-vi1uh3ez9q 7 місяців тому +2

    Uyu mama anatia kinyaa hata kumsikiliza sio mzima kabisa jamn

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 7 місяців тому +4

    Yaani hilo kaka litapata laana hapa duniani,litateseka mara milion,atapotexa mpaka st ya mwisho.Atakatika mikono yote.

  • @fasanitztiri5371
    @fasanitztiri5371 7 місяців тому +6

    Acheni masihara heka heka za mwaume unazifanyaje mwanamke???

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 7 місяців тому

      Wajina ndo waliwao, ukijifanya umefumba Macho bs wajanja watakufumbua.

  • @bibibomba9799
    @bibibomba9799 7 місяців тому +3

    Mmmmh shoga una moyo hongera kazi zetu hizi zilivyongumu kweli unapata ujasiri wapi wakumpa mtu pesa uliyekutana naye mtandaoni

  • @didarashid2763
    @didarashid2763 7 місяців тому +2

    Mungu atakufanyia wepesi utaipata haki yako

  • @hawasaid7151
    @hawasaid7151 7 місяців тому +3

    Nimekuonea huruma kwa kupoteza mahela yote hayo, ila ulikuwa unadanganywa kitoto sana duuh huyo mwanaume alijua kukupumbaza😢😢

  • @GraceMadondola
    @GraceMadondola 7 місяців тому +2

    miaka nane na nusu uja shiriki tendo la ndoa du dada ujengewe sanam lako kwahio kuanzia mwka 2014 mpka leo hiii 2024 dada ubarikiwe

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 7 місяців тому +7

    sijui hakili wanaziweka wapi eti nini😅😅😅😅

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 7 місяців тому +1

    Hizo hela ulikuwa unaokota oman au umekaa miaka mingapi omn mpka umepata pesa zote hizo na ukasahau umri unaenda

    • @user-nd8gg4ig7m
      @user-nd8gg4ig7m 7 місяців тому

      Kwanza hixo milioni 20 tu sijui miaka mingapi?

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 7 місяців тому +4

    Mmmh hata kama ni upwiru dada umezidi khaa😂 yaani Oman ufanye Kaz alafu ufuge bwana mmmh pole amekuramba usiamin watu hovyo jaman mie rial TU inaniuma sana😂

    • @saay4273
      @saay4273 7 місяців тому

      Miye nusu riali 😂😂😂😂acha hiyo riali kamili miye nusu inaniuma

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 7 місяців тому

      @@saay4273 hahaha 🤣🤣 yaani sijui wenzetu wanawezaje ,

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 7 місяців тому +2

    Mnakumbuka kilichomkuta Happiness miaka 7 mume wa ndoa ya kikirsto? Bila Mungu hutoboi kuna watu wa karibu wanatuliza sana., Mapezi popote hakuna cha online wala live🤲🙏🏽 Dada naomba unisaidie kusomesha mwanangu una pesa sana pia Oman ulikuwa unalipwa shi ngapi au ndo ulikuwa Canada ❤🥰

    • @Aaqwe-yi6qn
      @Aaqwe-yi6qn 7 місяців тому

      Kila cku watu wanalizwa lakn hawajifunz tu

    • @khadejarajab8007
      @khadejarajab8007 7 місяців тому

      😂😂😂😂nimecheka kama mazuri huyo dada ni nyege gani za kutunza mwanaume usie mjua hata sura😂😂😂😂

    • @Aaqwe-yi6qn
      @Aaqwe-yi6qn 7 місяців тому

      Nyege kujiendekeza tu

  • @umukulthumu1419
    @umukulthumu1419 7 місяців тому +3

    Hela nyingi huyu inawezekana hakuwa shaghala 😂😂mana shaghala hio mihela yote labda hakua na familia inayomtegemea alikua anahudumia mwanaume 😢

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 7 місяців тому +2

    Pole dada wewe ni mtu wa Mungu sana masikini inauma sana

    • @maryamshija566
      @maryamshija566 7 місяців тому

      KAMA MTU WA MUNGU ASINGEFANYA UPUZII HUO YAAN MTU MZIMA KABSA SIO MTOTO

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt 7 місяців тому +2

    Kweli nimeamini mapenzi ni upofu ila dada yangu kama una mganga wako kamroge mimi niko nyuma yako nakusapoti

  • @mamasalhat
    @mamasalhat 7 місяців тому +3

    ujinga huwo sifanyi kwanza sipendi mambo ya kutongozana online wanaume wajanja sana akijua upo nje. Basi anakudangia😂😂😂 mdada katuangusha sana khaaaaaaaaaaa

    • @OmanRuwi-ml2pq
      @OmanRuwi-ml2pq 7 місяців тому

      Yani huyu mama nichizikweli yani

    • @OmanRuwi-ml2pq
      @OmanRuwi-ml2pq 7 місяців тому +1

      Mijana ume sikuhizi ina danga sana

  • @aminamohamed9955
    @aminamohamed9955 7 місяців тому +2

    Mmmm Pole sana dada wanaumewengi ni matapeli sisi wengine pia tumetapeliwa hivo wanasema watatuoa kumbe waongo mola ata mlani huyo kijana

  • @user-jv4rf3ku7y
    @user-jv4rf3ku7y 7 місяців тому +1

    Hongera kwa wema utaenda peponi kwa mahaba hayo kwa kazi za huku zilivyokuwa ngumu halafu unakuwa mjnga kiasi hivyo kwa hayo sikuamini kabisa

  • @user-gj5jp7iu1y
    @user-gj5jp7iu1y 7 місяців тому +2

    Waswahili wanasema kunaakili za kuzaliwa na akili za shule ila wewe nikama zote huna😢mungu akupe nguvu tu hili lipote pole sana maana haya maisha yalivyo mangumu mwanaume anakukula hivi aaah pole sana

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 7 місяців тому +2

    Kazi nilijua mfanyakazi uku ! Kazi uku mgumu jamani ndugu zangu tufanye kwa malengo msikubali Kuwahonga hao viumbe awana shukran

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 7 місяців тому

      Saut ndogo😂😂😂

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 7 місяців тому

      Msaidie kutanganza mwenzio😂😂😂😂

  • @Nanah18
    @Nanah18 7 місяців тому +2

    Yaani watu wanaamini watu waongo wanawapa vitu vingi, wakati kuna watu wana shida ya kweli na kusaidiwa mtihani

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 7 місяців тому +2

    Kumbe kuna watu wanateseka na mapenzi kiasi hiki looohhh 😢😢😢

  • @filimonmpinge6039
    @filimonmpinge6039 7 місяців тому +4

    Huyu mama inatakiwa achapwe viboko kwa sababu ni hajielewi

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 7 місяців тому +5

    Kwanza huyo unae Sema ni ddke ni muonqo c ddke ni mkewe huyo alipata mjinga😂😂😂

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g 7 місяців тому +2

    Uyu ni mzanzibar

  • @allyadam7355
    @allyadam7355 7 місяців тому +1

    subhana llah huyo mwanamk nmemskiliz vizur san na nmemuelew yani daah! baadh yet sis wanaum wajing san ktk hii dunia yani mwanamk Kama uyo yani nilulu mwanang maisha yaliv Kua magum ivi afu mwanamk mpambanaji wallah yani mi ningempend san kutok moyon tena ningempend kwadhati simanishi nahitaj kulelew mim hapan kivyovyot elewa tu yani mnapig kazi mnajeng bonge ya mjengo nausafur wamaan aman furah na upend ndan ya nyumb eeeeeeh Allah nipe nafas moja namim itikia dua yangu namalizia kwa kusem pole san mam mtume anasem dhulma nikiza siku ya qiyama na Allah asema Amekula hasar mwenye kudhulum Allah akupe subra

  • @hadijahassan6467
    @hadijahassan6467 7 місяців тому +3

    TULIOSOMA QUBA TUJUANE 📌📌📌📌📌

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 7 місяців тому +1

    Yaani nisitengeneze maisha ya ngu nimpe mawanaume pesa wapi nimerudi omani niko hoai huipati pesa yangu tumedhilumiwa sana ila kea sasa weeeee

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 7 місяців тому +1

    Pole Sana dada tuwemakini mashagala oman wanaume wengine matapeli

  • @user-go2qe8hx5u
    @user-go2qe8hx5u 7 місяців тому

    Kwanza pole sana Dada yangu Kwa yaliyokukuta.We KWELI una mapenzi ya KWELI.Mimi NI mtu mzima WA makamo NA najielewa vzr NA nna shughuli zangu za kufanya kwahiyo km ukiwa tayari kuwa NA Mume mi niko tuombe Allah atuweke ukiwa tayari nipo.

  • @happynesbaemuhappynes8813
    @happynesbaemuhappynes8813 7 місяців тому +1

    Pole sana Mwanamke mwenzetu Allah atakulipia wewe hukuwa na nia mbaya

  • @rahma6189
    @rahma6189 7 місяців тому +4

    Tabu yote ya Omani unampa mtu hela humjui hakilihuna utopolo huo unaongea pumbavu

    • @afrahoman2844
      @afrahoman2844 7 місяців тому

      Mm nikiongea nitaalibu malizen nyie machawa wangu😂😂😂

  • @hadiadaoman1981
    @hadiadaoman1981 7 місяців тому +2

    Duuh bonge la upumbavu Kwan hawamfatilii gea vipind vyake mpaka wakiwa na majanga haya mambo yanawakuta wengi na tunajifunza ee ela zote hizo jaman na kaz za Oman zilivyo ngumu unatapeliwa na janaume la tiktokkarogwa huyu labda ee pole 😢😢

    • @HappyBeagle-ys1kz
      @HappyBeagle-ys1kz 7 місяців тому

      Yan naliya huku nashangaa jamani mtu unatoka nyumban unamajukumu kibao hio nguvu yakutoa hizo pesa inatoka wapi jaman hata mumewangu naaza kuwaza Kwanza na kunawanangu pia😢

  • @HoneysugarPudding
    @HoneysugarPudding 7 місяців тому +6

    Alirogwa si bure kaaaah!!!!!!!!

    • @mariammariam5723
      @mariammariam5723 7 місяців тому

      Inawezekana

    • @rehemafeysali4444
      @rehemafeysali4444 7 місяців тому

      Uchawi upo nyie😅

    • @HoneysugarPudding
      @HoneysugarPudding 7 місяців тому

      @@rehemafeysali4444 kabisa Maana siyo kwa Kaz za Oman ukahonge hela zote hizo kisa Abdallah kichwa wazi

  • @shanishani-qv3bc
    @shanishani-qv3bc 7 місяців тому +3

    Mshenzi sana wedada mbona sie tupo miaka uku izopesa unazosema watuma unafanya kazi gani mana tujuze Oman ipi mnapenda sanakutunga vitu kutuaribia tuacheni bwana sie twapata riziki bwana aache ujinga mtu umjui ata kama wamjua mwanamke unatakiwa kuudumiwa vipi wendio ujifanye mwanaume acha yakukute ila izo pesa watoto hauna wewe jamani mweu wewe😂😂😂

    • @sophiasaid379
      @sophiasaid379 7 місяців тому

      Yani mjinga mpka natamani nimpige makofi

    • @Kibaadvocate
      @Kibaadvocate 7 місяців тому

      Kweli ni uongo ina maana alikuwa anapokea rial 1000

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 7 місяців тому

      Huyu alikuwa analipwa shi ngapi kwa mwezi jmn? Naomba kuliza saiv rial 1 ni shingap kwa Tz

    • @joyce55727
      @joyce55727 7 місяців тому

      ​@@dorcaskidoti249saiz ni elfu 6 na mia 5 ukituma kwa moneygram

    • @joyce55727
      @joyce55727 7 місяців тому

      Ndugu mim namiaka 7 Oman nimeshika milion 30 na kitu pia hua nafanya kaz miaka 2 tu nalud naenda kufanya maendeleo yangu baada ya apo narudi tena kzn kiufup situnziwi furus ata mwarabu nilisha kataa

  • @rachelmuhehe7789
    @rachelmuhehe7789 7 місяців тому +3

    Mungu anipe mume sahihi 🙏

    • @Ali-uh9wb
      @Ali-uh9wb 7 місяців тому

      @rachemuhehe7789mm nipo vp?

  • @ggfffhii4706
    @ggfffhii4706 7 місяців тому +2

    Ni Nyege au kz zilivyo ngumu nachoka mm ndio mana kaka zetu hawafanyi kz kwa sababu ya Watu km nyie mfunge huyu mbwaaa mamaeee

  • @MawaddaKhamis-zh3kc
    @MawaddaKhamis-zh3kc 7 місяців тому +4

    Hili dada km chizi sijui ndo nyege😮

  • @immaculatakadyanji5927
    @immaculatakadyanji5927 7 місяців тому +2

    Mtu humfahamu unamhudumia hivi, kweli una moyo wa huruma.

  • @saidalmandhari6483
    @saidalmandhari6483 7 місяців тому +1

    Sahia njoo Mimi nikuone hapa oman na sitaki kitu chochote kwako

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 7 місяців тому +2

    Huyo atakua anaye mke masikin kachunwa mama wawatu

  • @jennifermmanyema6693
    @jennifermmanyema6693 7 місяців тому +2

    Tusimlaum huyu dada usikute walimroga huyo Jamaa na dada Ake ,, pia gea na timu yako tunaomba mumsimamie huyo dada apate haki yake ya pesa Kwa mwanasheria muhim awe na risit za pesa alizokua anamtumia huyo Kaka hatua za kisheria zihusike huyo Kaka NI tapeli mkimuacha anaendeleaj kutapeli wengine

    • @user-df6ui9ro8s
      @user-df6ui9ro8s 7 місяців тому

      Kabisa me naumia jaman daaah huy kak ni tapel wa mitandao usikut ndo kaz yak na kamlog huy😢

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 7 місяців тому +1

    Yani mimi sahi nipo hapa Saudi nipate mjinga anidanganye we vile ninayo choka na warabu na baridi sahi mimi kwanza nikipona namba ngeni hublock sahiyohiyo😂😂😂

  • @evalenad6256
    @evalenad6256 7 місяців тому +1

    Hiyo nilaana kwa upande wote mwanaume unapomfanyia mwanamke hivyo napia hata haifai mwanamke kunfanyia hivyo ni laana inatembea na nyayo zako.

  • @user-hg7sf4nn8l
    @user-hg7sf4nn8l 7 місяців тому +1

    Pole Sasa dada angu Allah amekujulisha mapema huyo ni mwanaume wa namna gani

  • @FelistersMejumaa-fp6cc
    @FelistersMejumaa-fp6cc 7 місяців тому +1

    Pole sana mamangu ila ndio umepata funzo hivo siku nyengine utakua mwalimu kwa wenzio sasa so sad indeed 😢😢

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 7 місяців тому +2

    Dada wafanya kz gani oman mbona una mijihela hivyo ? Mpemba kimemramba😁😁😁😁

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 7 місяців тому

      Jiongeze 😂😂😂😂 hapo

    • @user-fy9pw2zr8l
      @user-fy9pw2zr8l 7 місяців тому

      ameyatimba😅😅😅

    • @husnathabiti4114
      @husnathabiti4114 7 місяців тому

      Anakosha hammam😂😂😂

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 7 місяців тому

      @@user-fy9pw2zr8l 😆😆tena kayatimba haswaaa

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 7 місяців тому

      @@husnathabiti4114 hapana jaman mbona cc hatuna? 😥😥

  • @aminamareta9297
    @aminamareta9297 7 місяців тому +3

    Dada gea wapo wengi sana usipokuwa makini unaria

  • @chimamilion
    @chimamilion 7 місяців тому +1

    Pole sana jmn wanawake tuliopo omani baaz yetu tunatamani sana ndoa lkn we mama jmn ndo mmbo yote hayo ujue mwanaume akikutaka na anaekupend awez kuanz napesa awez kukuomb pesa awez kukuomb video call ukiwa uchi yn uyo gem linaanz nitapeli roh pole sana

  • @felistajilala3630
    @felistajilala3630 7 місяців тому

    Mm kiukwel mme wangu sijui nitakutana nae wp ila jibu hatokula hata mia yngu nikiwa kama mwanamke hata kama ninahela kumzidi yy ni never kula pesa yangu mtaendelea kitapeliwa kila siku yani ww dada nimjiga kwelkwel

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b 5 місяців тому

    Si hangemuowa tu wasilam ndoa nne mwisho angeowa uyo anaempenda na uyo mma ila uchawi upo jmn unatoa pesa kama mweu chochote unacho ambiwa haupingi wala msimtukane uyu mama yan arikuwa anarosito ya ndoa ndio shida hii ndoa za mitandaon

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 7 місяців тому +1

    Mm hata nguvu ya kuongea nisingekuwa nayo wallah babangu na mamangu walinambia mwanangu amini rohoyo

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 7 місяців тому

    Kwani wenzetu hizi pesa mnaziokota au ndio kwa shuruba hizi mimi ndiyo nimtumie mwanaume pesa. Hiyo hapana kwa kweli hata mume wangu situmi pesa asubiri nirudi tutafanya mipango tukiwa pamoja

  • @salhaak.amgeni8908
    @salhaak.amgeni8908 7 місяців тому

    Da gea kwa kwa nn hataki kumtaja jina au kumsema tuu mn mtu maarufu km huyo bora mumuweke wazi ili wengine wapate funzo sababu upuuzi huo kila siku watu watakua wanapigwa sababu wanafichwa ila da salma umenikera mtaje tu km ni kawina tukamwagie povu sie tuna hadira na hiyo pesa pesa mm nilikua naituma hapa mm nikikuambia nipe hutaki kumbe unaigonga kwa huyo kawina aisee ila cawina mungu anakuona

  • @ibrahimibra7486
    @ibrahimibra7486 7 місяців тому

    Pole sana dadangu maana huyo kijana ni mjinga sana. Usjali dada allah atakulipia Pole utapata wa kwako tena wa maana

  • @hassan4k7
    @hassan4k7 6 місяців тому

    Daah pole sana dada ,Allah akufanyie wepesi upate mume mwema

  • @mwajumashabani4352
    @mwajumashabani4352 7 місяців тому +1

    Yaan hata awe mziri kiaina gan kwenye hela samahan mda wa kupumzika hakuna umetutia aibu wanawak

  • @user-mx8dr6zt2g
    @user-mx8dr6zt2g 7 місяців тому +2

    Pole sana utapata mume mwema mama.

  • @aishasuleiman6320
    @aishasuleiman6320 7 місяців тому

    Pole sana dada kwakweli kakubia vitu lakini hakukupata kukuchezea mwili wako hapo umemshinda kwa hilo na vitu vyako ukipata sawa ikiwa hukupata uko salama mwili wako na roho yako pia.

  • @RehemanassoromsigwaMsigwa
    @RehemanassoromsigwaMsigwa 7 місяців тому +1

    Dada nikweli umetapeliwa hivi hata kujiongeza jamani 😢😢😢

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 7 місяців тому

      Hamna usiombe yakukute yasikie kwajirani tu!

  • @user-uh7to2kw2z
    @user-uh7to2kw2z 7 місяців тому

    Kila sk vinaongelewa vp hivyo hivyo hamsikii wacha viwarambe mnjifanya fundi mapenzi .ndo ukome hata pole sikupi

  • @tiffaommy846
    @tiffaommy846 7 місяців тому +2

    Huyu dada alikuwa anafanya kazi gani mbona pesa nyingi sana

  • @shamilakalinga437
    @shamilakalinga437 7 місяців тому +3

    Sasa anataka😂serikal imsaidie nini

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 7 місяців тому +1

    Duuuh hiyo ndio bongo dar es salam bhuan😂😂😂 mama wa watu kapenda bila kumjua mtu

  • @mariamjoseph8900
    @mariamjoseph8900 7 місяців тому +1

    Wish u the best dear.

  • @JulianaJackson-lz6vq
    @JulianaJackson-lz6vq 7 місяців тому

    Pole Jaman.Usiamin mtu kirahisi.Matapeli ni Wengi Jaman.Hela zote hizo ungefanya biashara ingekua kubwa.Ebu wanaume Acheni dhurma

  • @sas7728
    @sas7728 7 місяців тому +1

    Pole sana mama mungu atawajalia unakata haki yako

  • @Atb300
    @Atb300 Місяць тому

    Uyu alikua anakupanga bimdashi😂pole kukutolea barua haikua na sbb kumuamini mm hat mtu anitolee mahari cmpi hata mia😂😂😂😂tatizo lenu mnapenda kuolewa cjui nan anawapa ujinga huu

  • @cautharrudolf2257
    @cautharrudolf2257 7 місяців тому +1

    Pole Sana Dada tuweni makin jamn daah

  • @saidahamid1178
    @saidahamid1178 7 місяців тому +1

    Maskin bibi wa watu upwiru umempoza 😢

  • @prettynayally2177
    @prettynayally2177 7 місяців тому +3

    😂😂😂😂kwahiy huyu dada akili zake aliweka wapi😂😂😂

    • @user-ix5kj6nx3u
      @user-ix5kj6nx3u 7 місяців тому +2

      Kwenyematakoyake😂😂😂😂😂

    • @sweetie6934
      @sweetie6934 7 місяців тому

      Chupini mwake

    • @joyce55727
      @joyce55727 7 місяців тому

      Mejinun 😁😁 huyo

  • @Tiffahs_boutique
    @Tiffahs_boutique 7 місяців тому +1

    Hv hamna wazazi wenye maisha magumu muwatumie hela😅 mwanamke unahudumia vp mwanaume kwa mfano daaah🙆🏼‍♀️ mimi achana na kodi situmi hata bando kwa mwanaume🤣