ZAI KIJIWE NONGWA: SUZI BALE HAWEZI KUBA NYOTA YANGU| NAPENDA KUPIGANA| GEAH HANITUMII BURE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 чер 2024
  • KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
    0625466848 AU 0753393036
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 24

  • @mymuhnabdallahshaban7763
    @mymuhnabdallahshaban7763 2 місяці тому +21

    Team zai tujuane hpa zai tuko nae tunatamba nae

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 2 місяці тому +4

    Kweli dazai tunakupenda huku oman tunapata kucheka tunajihisi tupo tz❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉 tunakupenda huku mashagala huku oman

  • @LUAY_ENTERTAINMENT
    @LUAY_ENTERTAINMENT 2 місяці тому +5

    NAKUPENDA SANA DADAANGU.... Mimi Hapa Suzi wasitugombanishe watu na Kaka Manager soon Atatukutanisha tufanye Jambo..... Kwanza Manager wangu NI Ndugu yako kabisa MTU WA TANGA

  • @MwanamkuuMumbe
    @MwanamkuuMumbe Місяць тому +1

    Zay unepatikana sasa Kuna Aunty Suzi Bela 😂😂😂😂❤❤❤

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 2 місяці тому +2

    Ehee my bro leo umrnikosha umrudi kwenye kipindi chako hiki ndicho kinakufiti ❤from 🇬🇧

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf Місяць тому

    Nampenda sana kwenye Siri alifunika

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 місяці тому +2

    Mie napenda haya mambo uwiiiii kijiwe nongwa auna BAYA dada zai

  • @hadijajuma3773
    @hadijajuma3773 Місяць тому

    Zai unaweza kuigiza kipenzi.Kichapo ulichompa mke mwenzako na mumeo alipokuja naye ukamtupa huko😅😅😅😅.Nakupenda mwaya

  • @sheruajafari1676
    @sheruajafari1676 2 місяці тому +4

    Uyo ndo zai bana 😂😂😂😂

  • @AshuraChamwana
    @AshuraChamwana 2 місяці тому +2

    Nakukubali zai

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe 2 місяці тому +2

    We zai weeee😅😅😅😂😂😂

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 2 місяці тому +1

    Pia nyingi da Zai 🎉🎉🎉

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 2 місяці тому +2

    Weee Zai unanichekesha hapo kila siku 😂😂😂

  • @user-uh7to2kw2z
    @user-uh7to2kw2z 2 місяці тому +2

    Zai tunakupenda tunakufatilia sana oman❤

  • @lenakassian-pr3dy
    @lenakassian-pr3dy Місяць тому +1

    Zai mmoja tuu Malikia wa uswazi mmoja hao wengine walio toka soba wasubir kwanza😂 we uogopi

  • @user-kq9gc2pv6r
    @user-kq9gc2pv6r Місяць тому +1

    Zai km zai😅😅

  • @user-yv9wi2du3l
    @user-yv9wi2du3l 2 місяці тому +2

    😂😂😂kelele ya zai wake weweeee😂😂😂😂

  • @user-sr2vi5hw6v
    @user-sr2vi5hw6v Місяць тому

    Zai bwana 🙌🙌🙌🙌

  • @StellahLivogah
    @StellahLivogah 2 місяці тому +1

    Msimfananishe zai na vitu vya ajabu🤣🤣asa suzy ndo naniii khaaa

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 11 днів тому

    Mbuli kumlomo zishapitwa na wakati 😂😂😂😂sasa hii ni mkono kwa mkono

  • @prezgal8869
    @prezgal8869 2 місяці тому +1

    Acheni uchonganishi wenyewe hawataki kugombana mnawagombanisha kwanini?

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂