BINTI AJUTIA ALIYOYAFANYA /AJITOKEZA KUWAOMBA RADHI WAZAZI WAKE NA FAMILIA NYINGINE ALIZOWAKOSEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Binti huyu amenitafuta na ili aweze kuzngumza na famila alzowah kuzikosea kipindi yupo mdogo ikwemo familia yake yeye mwenyewe kutokana na matendo yake aliyokuwa akiyafanya,Vilevile ametaka jamii kwwa ujumla iweze kusikiliza hiki kisa chake ili wengine pia waweze kujifunza!
    #geahhabibu #geahtv

КОМЕНТАРІ • 98

  • @rehemarobert516
    @rehemarobert516 5 місяців тому +16

    Una mapepo na roho ya mauti na uharibifu inakutafuta, mpokee Yesu na ujisalimishe kwa Mungu maana hiyo roho bado unayo naninakufuatilia

  • @happynesbaemuhappynes8813
    @happynesbaemuhappynes8813 5 місяців тому +5

    Mwanasaikolojia yuko sahihi. Na Mimi nimeyapitia hayo japo hayajafikia ya Huyo Binti

  • @rahimwaziri6453
    @rahimwaziri6453 5 місяців тому +5

    Kiukweli hiki kipindi cha barehe ni kibaya ni wachache sana wanaovuka bila matukio na km hutakuwa ns watu wakukushauri unaweza ukapotea kabisa😢😢

    • @judithkatabaro3294
      @judithkatabaro3294 5 місяців тому

      Sana sana

    • @Aidhjuma
      @Aidhjuma 5 місяців тому

      Alhamdulillah namshukuru Allah sikuwahi kusumbua kabisa kipindi hicho

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 5 місяців тому +1

    Mladi umejua nini umefanya basi mungu ni wakusamehe kama nawewe ukiomba msamahaa kwa uliowakosea.

  • @lilianhermenegild7175
    @lilianhermenegild7175 5 місяців тому +6

    Huyu binti mtoto wake kashaanza kumfanyia vile alivyokua anawafanyia wazazi wake na watu wengine waliomsaidia. Pole sana mwaya malipo ni hapa hapa duniani jaman. Ni hivi fanya hivi nenda kwenye nyumba zote ambazo ulishawahi kusaidiwa kaombe msamaha wewe mwenyewe hiyo ndio tiba. Na pia ukatoe sadaka kwa yatima dear.

    • @zaimashaaban4538
      @zaimashaaban4538 5 місяців тому

      🎉

    • @happygervas7489
      @happygervas7489 5 місяців тому

      Duh ndomana anatubu

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 5 місяців тому

      Kweli unavyofanya ndo utakavyofanyiwa maana watu wana vinyongo nae bado

    • @user-mi7cd8ch1b
      @user-mi7cd8ch1b 4 місяці тому

      Kabsaa hakaombe msamaha kwa wote ariowakosea

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga 2 місяці тому

      ​@@subrynerysegerow1323sisi waislamu tunasema kamatadini tudani

  • @mwakilamwaki1718
    @mwakilamwaki1718 5 місяців тому +1

    Uyu mama anachoeleza tofauti na Mapito ya Uyu binti

  • @MawaddaKhamis-zh3kc
    @MawaddaKhamis-zh3kc 5 місяців тому +2

    Mbona ana simulia kama story yenyewe ni nzuri wakati ya kuhuzunisha 😢 mmh kweli mtoto asipo kuuwa leba atakuuwa ushamzaa na kumlea 😢

  • @marryngaiza2061
    @marryngaiza2061 5 місяців тому

    Poleni sana wazazi kwa mapto yote, mshukuruni Mwentexi Mungu alikuwa pamoja nanyi

  • @Luckyme-b4i
    @Luckyme-b4i 3 місяці тому

    Huyu binti anabahati sana pia 🤗

  • @user-wl5np6sv3i
    @user-wl5np6sv3i 5 місяців тому

    Gea Habibu huwaganafatilia vipindi vyako hila hichi kimenifundisha jambo nimemtibia mwanangu bila kujua kwa umri uwo wa 12/13 mpaka ndugu zangu wananiambia mtoto ananipelekesha kumbe siyo. Namsikiliza Simdharau baada ya hapo naongea naye kinachowezekana kinafanyika kisichowezekana anaridhika mwanasaikolojia amenifumbua sana pia asante nimeelewa kipindi cha makuzi asante Gea

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 5 місяців тому +3

    Dagea tuhojiee dazai bana tupate tucheke atutowe stress huku omani zawarabu tunampenda dazaiwetu kijiwe nongwa

    • @sadaalsheibani7106
      @sadaalsheibani7106 4 місяці тому

      Kama una stress rudi kwenu Tanzania ukafanye kazi tz hapo ndio utajua

  • @mamasalhat
    @mamasalhat 5 місяців тому +1

    Allah Akbar yarabiiiii mtumeeeeeeee kuzaa huko tunazaa mbaka watoto wa maajabu sasa mbaka unawaza kuwaua wazazi dah

  • @user-rb5hs3lq6v
    @user-rb5hs3lq6v 5 місяців тому +1

    Huyu binti ni Jasiri sana asee. Mimi binafsi ni bora nishikiwe bastola kichwani kuliko kuomba msamaha hata kama najua nimekosea kosa dogo tu.Nimejifunza kutoka kwake.Hongera sana binti👏🏾

  • @happygervas7489
    @happygervas7489 5 місяців тому +1

    Umenishinda tabia 🙌

  • @user-hn6dm3ev5p
    @user-hn6dm3ev5p 5 місяців тому +1

    Niwazazi wako kweli au namashaka

  • @jemimabakari
    @jemimabakari 5 місяців тому

    Adolescence yake ilikua mbaya 😢

  • @user-hn6dm3ev5p
    @user-hn6dm3ev5p 5 місяців тому +1

    Aende kuomba msamaha kwani nyumbani kwao sianapajua

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 5 місяців тому +1

    Yani ulitakiwa upelekwe milembe akili haikuwa nzuri kwakweli pole sana

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 5 місяців тому

    Mungu akuhurumie

  • @marryngaiza2061
    @marryngaiza2061 5 місяців тому +1

    Binti umefanya vzr kuomba msamaha. Hakuna malaila duniani wote tu wadhambi

  • @lucyalto7320
    @lucyalto7320 5 місяців тому

    Ahsante aunt sadaka umeelezea vizuri

  • @zakiakondo2849
    @zakiakondo2849 5 місяців тому +1

    Ana mashetani huyu 😢

  • @likimaro6
    @likimaro6 5 місяців тому +1

    Ni suala la afya ya akili hapo, kuna haja ya jamii kuchukulia hili kwa uzito. Jamii ikiwa na mwamko haya matatizo yataanza kushughulikiwa ktk ngazi ya familia na jamii.

  • @YusraMadodo-xq3gw
    @YusraMadodo-xq3gw 5 місяців тому +1

    Mm uwe mtoto wangu nitakuuwa kwa mikono yangu nikishindwa kukuuwa kukuuwa nitakuuwa hata kwa chawi

  • @user-hn6dm3ev5p
    @user-hn6dm3ev5p 5 місяців тому

    Mungu akupiganie uludi km mtoto wakawaida

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 5 місяців тому

    Weee, kumshukuru Mwenyezi Mungu sana😢

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 5 місяців тому

    Mungu anisaidie maana nitauwa yani uchome nyumba moto na hali ngumu hii nitapata wapi pesa ya kujenga kwanni usiondoke mtaani ukaishi huko uharibu vitu nyumban ukijiona umemua hautaki kupangiwa majukumu hama ishi kivyako

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 5 місяців тому +1

    Huyu anatakiwa kurogwa tu yan huyu mnamroga awe zezeta kwisha sio majini wala nini ila ana ushetani wa kuzaliwa nao tpuu mungu ninyime kizazi kama hiki looh ila jela inakuita shogaangu we si umechanganyikiwa

  • @happygervas7489
    @happygervas7489 5 місяців тому +1

    Ila majina ya kina pendo yana nini mbn mtihan

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 5 місяців тому +1

    Nguvu za giza 😳

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 5 місяців тому +3

    huyo babaake akapime DNA na huyu mtoto pengine anatabia za babaake😂

  • @user-xk6ry2uv1g
    @user-xk6ry2uv1g 5 місяців тому +1

    Hii stor ya uongo kabisa kama unaakili timamu kuna maneno ukiyasikiliza kwa makini ni uongo mtupu

  • @marrypius576
    @marrypius576 5 місяців тому

    Umeomba msamaha ila na wewe ubadilike sio unaomba msamaha alaf unaendelea na tabia yako jamn mim ni mkorofi ila sijawaigi mtukana mtu mzima duh namwomba Mungu anisaidie sana

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 5 місяців тому +1

    😢

  • @hamisaally968
    @hamisaally968 5 місяців тому

    Hiyo sautii yake wala haionyeshii kama anajutia aliyoyafanyaa

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 5 місяців тому

    duuuuu, jamani wewe 😭😭😭😭

  • @evalenad6256
    @evalenad6256 5 місяців тому

    Huyu hadithi yake ni kama ya mdogo wangu

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 5 місяців тому

    Malezi pia yanaweza changia,,,,,,samaki mkunje angali mbichi

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 5 місяців тому

    Roho zimemvaa jamani shetani shindwa

  • @marryngaiza2061
    @marryngaiza2061 5 місяців тому

    Mama samehe saba mara sabini

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 5 місяців тому

    We bint nimekunyoshea mikono ingawa na mimi ni mtu wa matukio

  • @evakessy3282
    @evakessy3282 5 місяців тому

    KWANZA HOW COME FAMILY INAMPOKEA DAMU AMBAYO KIUHALISIA SIO YAKWAO?? HII IMEKAAJE KWASABABU HATA SURA JAMANI WALISHINDWA KUITAMBUA KAMA NI MTOTO WAO AU LAAH

  • @namisgiggah1571
    @namisgiggah1571 5 місяців тому +2

    Hiyo ndio shida ya watoto wengi wakike hawaambiliki ata liwe sizu wanajua kununa tu! Mpaka yawakute.

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 5 місяців тому +1

      Sadakta ndugu yangu tunayo majumbani mimi wangu ananipita hata kunisalimia hanisalimii

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya 5 місяців тому

      ​@@FatimaAli-of4gh.mpige huyo Kabla hajakuzoea kwa sababu hana adabu na ukimuacha atakufanyia visa hadi utajuta.

    • @EK-kp2np
      @EK-kp2np 5 місяців тому

      @@FatumaMuyaHapana, unajua haww watoto wana akili timamu, kama mshauri alivyosema, watoto wengine wanapitia mambo mbalimbali ya kunyanyasika ambayo wazazi hawajui au hawako upande wao, mfano, kama mjomba anamtongoza na huyo mjomba yuko karibu sana na mama, si rahisi kuaminiwa na mama kama atamsemea mjomba, atakachoambiwa ni kuwa ana fikira potofu zinazomfanya amfikirie mjomva wake vibaya, watoto wengi wa kike wanaambiwa wajeuri au wana mihemko ila wazazi hawatafuti chanzo cha tatizo, fimbo hazisaidii, wazazi tuwe karibu na watoto ili waweze kutueleza shida zao za kimakuzi

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 5 місяців тому

      @@FatumaMuya
      Alishahama kwangu katafuta kwake tunakutana mitaani tu

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya 5 місяців тому

      @@FatimaAli-of4gh Hata usijali huyo atakuja kukutafuta yeye mwenyewe na kukuomba msamaha ni swala la muda tu

  • @familylove5417
    @familylove5417 5 місяців тому

    Hujaombwa mzimuni lakini 😂😂😂😂😂

  • @MawaddaKhamis-zh3kc
    @MawaddaKhamis-zh3kc 5 місяців тому

    Eeee makubwa haya ukistajabu ya firauni unatayaona ya huyu kitoto cha farao😮

  • @user-hn6dm3ev5p
    @user-hn6dm3ev5p 5 місяців тому

    Haya milioni moja laki nane ulizifanyia nini

  • @user-in2bz2db5e
    @user-in2bz2db5e 5 місяців тому

    Balehe gn kutaka kuwauwa wtt

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b 4 місяці тому

    Watu wa iv wapo wengi me ninadda yangu anamtukana mma na kumpga hana hata adabu kabsaa

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 5 місяців тому

    Yaan huyu angekua mkamwanangu ningemvunja huyu

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 5 місяців тому

    Huenda kuna mtu alimuwekea mapepo au huyo babaake akapime nae DNA huenda si babaake

  • @LenaMwangamilo
    @LenaMwangamilo 5 місяців тому

    Mtoto wa anko

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 5 місяців тому

    Weee ulikua kiboko🙌wengine tumelelewa Kama wanyama na dungu but wewe ulibarikwa na wazazi ukuona dhamani yao,sikurahumu ujana unamambo mengi

  • @fatimaharoun-np8uv
    @fatimaharoun-np8uv 5 місяців тому

    Nna mdogo wadogo zang wa2 akili zao km za huyu wanamtolea mama maneno 😢mpk nimeamua kuondoka kuja oman niwapishe mana hawakui ata uwafanye nn

    • @user-zw6xv1vt1p
      @user-zw6xv1vt1p 5 місяців тому

      Daah inauma sana haya mambo yasikii tuu kwawatu naumiza sana mtoto umemzaa akuzalau

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 5 місяців тому

    🙆🙆🙆🙆😭😭😭

  • @evalenad6256
    @evalenad6256 5 місяців тому +2

    Alitupiwa majini huyu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 5 місяців тому

      😂😂😂😂

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn 5 місяців тому

      Jini maimuna lilimvaa 😂😂😂

  • @fatmabukuku5384
    @fatmabukuku5384 5 місяців тому

    Kabisa aunt sadaka upo sahihi kabisa

  • @user-zw6xv1vt1p
    @user-zw6xv1vt1p 5 місяців тому

    Hana mapepo wala nini niroho mbaya yamtoto mm binti yangu nikiwa mbali nilimtumia pesa yakujengea kaila kauza cement nimerudi nikamfukuza now anamtoto anahangaika anataka kurudi nawazia vituko matukio aliyo nifanyie sijui km kajirekebisha nawaza😢

  • @NajmaramadhaniAlly-is6mf
    @NajmaramadhaniAlly-is6mf 5 місяців тому

    nilikuwa na matukio lakin sijafika hata robo yako pole

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 5 місяців тому

    huyu dada ana tabia kama za dada mmoja..sema yeue anazeeka na hizo tabia..hawez ishi na mtu mpk leo..hata wanaye anagombana naye

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 5 місяців тому

    wewe dah ulikuwa shetani hee au zaidi ya shetani

  • @devotalaiton5888
    @devotalaiton5888 5 місяців тому

    Huyu mbona kama ni mimi JMN 😂

  • @balendemundeba7346
    @balendemundeba7346 5 місяців тому

    Mungu wangu .mungu akusamehe.