Aminaaa sana Mungu nakurudishia sifa na utukufu kwani unanijua kuniponya moyo wangu hakika nimejifunza kitu na nimefunguliwa kwa viwangi vywa juu hakika sinta vuka mwaka nikiwabeba watu walio nikwaza moyon mwangu nambeba Yesu aliye nidia pale msalabani akasema yote yamekwisha 😅😅😅😅😅😅 furaha ni dawa ya moyo ulio umizwa

Najiunganisha na ibada hii
Niponywe moyo wangu