Asnte Mungu wangu kwako hakuna kuchelew wwe uMungu wa kila wakati namini n mm kupitia mahubiri hya umenisikia kilio changu zidi kutenda saw n mapenzi yko O Yesuu🎉😢
Haijalishi Ni miaka miwili iliyopita,mimi MUNGU MUUMBA wa MBINGU na ARDHI ameniona na kunibariki leo,Nimeuona mkono wa MUNGU kana kwamba huduma hii iliwekwa akiba kwa ajili yangu familia ndugu jamaa na marafikl ikiwa Ni pamoja na majirani wanaonizunguka AMEN.
Nikweli ni kwa neema ya mungu mimikuwa hai hadi Leo, nimengi na machafu nilioyafanya .naamini mungu amenisamehe yote ndio mana Niko hai,Asante jehovah nitakuabudu daima, nijaze Roho wako mtakatifu,Amen
thank you pastor mmbaga am enock Kennedy from Kenya Nairobi I really watch your preaching atleast every week. be blessed with your message it really uplifts my faith
Yani Kama mtu alikuwa kupokea Hii siku Aisee umekwisha mengi maana hiyo sehem kweli mungu alikuwako mpaka pastor mwenyewe Unaona alivyojaa roho wa bwana mpaka sauti imebadilika, Aisee napokea haijalishi ya mwaka gani mungu anafanya Kazi bado, utukufu huludi kwa Mungu alie hai hallelujah amen
Yani we pastor cjui at nisemeje ila Mungu akubariki sana maana umenitoa mbali sana, somo la tr 19.1 sitakaa nilisahau maishani mwangu, Mungu akuweke zaidi ili uzidi kutuhudumia
Ninapokuwa najihisi nmeshindwa katika sehem fulan nkisikilza neno la Mungu kutoka kwa pastor mmbaga huwa napata nguvu za kunyanyuka upya na iman inaongezeka, Barkiwa sana mchungaji
PR umenitia moyo sana sana kuna mambo yananitatiza ktk famila yangu, kila mradi unagonga mwamba, ila kwa neno la BWANA ulilosema naanza kuona miujiza yake ikinitembelea. Ila nimetoa machozi sana, nilikuwa nimekata tamaaa, kumbe MUNGU hajaniacha PR zidi kutuombea sana, naomba no. Yako
Pr nabarikiwa sana masomo yako ubarikiwe lkn nna swali moja tuu iv kwann Mungu bible inasema hana upendeleoo lakn alimpendelea rusifa na ndio kiburi cha kujiona yeye n bola kuliko malaika wengine kiburi kikainuka juu yakee j? nikwel Mungu hana upendeleoo
Amina Pr.Mmbaga Mungu apewe sifa, kwakukubariki
Amen soo powerful courageous ND inspiring message God bless you pastor am soo blessed
Asante sana mutumishi wa Mungu nime farijiwa na neno hili na subiri matokeyo Amen👏
This is a sermon of a year and over ago but it has touched me greatly. Be blessed so much pastor.
Mchungaji,wakati umeomba nimejisikia kama nimejibiwa kwa hitaji langu, Mungu akuongezeye kwa kile unacho.dorcas toka Congo,una upako wa Mungu kabisa
Asante Sana kwa mahubiri am blessed 🙏🙏🙏
Mungu anakutumia kwa viwango vya juu sana pastor kutubariki BWANA akutie nguvu uendelee na kazi hii njema amen🙏
Amina Mafundisho matamu,na nmewashukuru kwa kumkumbuka Rais kwa maombi na naamin mungu atatenda barikiwa.
Asnte Mungu wangu kwako hakuna kuchelew wwe uMungu wa kila wakati namini n mm kupitia mahubiri hya umenisikia kilio changu zidi kutenda saw n mapenzi yko O Yesuu🎉😢
Barikiwa sana Pr Mbaga. Neema ya Bwana idumu kuwa pamoja nawe ukidumu kutubariki na zaidi ya hapo Tukutane Mbinguni Bwana arudipo
Mungu atabaki kuwa Mungu azidi kukupa nguvu na uzimaa tele aminaa🙏🙏🙏🙏
Ameen ninabarikiwa kwamafundishu mazul MUNGU akubark mtumish
Haijalishi Ni miaka miwili iliyopita,mimi MUNGU MUUMBA wa MBINGU na ARDHI ameniona na kunibariki leo,Nimeuona mkono wa MUNGU kana kwamba huduma hii iliwekwa akiba kwa ajili yangu familia ndugu jamaa na marafikl ikiwa Ni pamoja na majirani wanaonizunguka AMEN.
Asante sana Mungu akuzidishiye nguvu mtumishi wa Mungu
Amen
Hakika tunabarikiwa
Mungu akuinue zaid kwajil ya utukuf wa jina lake
Nikweli ni kwa neema ya mungu mimikuwa hai hadi Leo, nimengi na machafu nilioyafanya .naamini mungu amenisamehe yote ndio mana Niko hai,Asante jehovah nitakuabudu daima, nijaze Roho wako mtakatifu,Amen
Amina sana Mungu akuinuwe zaidi🙏🙏🙏
What a powerful message 👏
😢😢😭😭 najiona mdhambi sana eeeeh Mungu nisaidie
thank you pastor mmbaga am enock Kennedy from Kenya Nairobi I really watch your preaching atleast every week. be blessed with your message it really uplifts my faith
Blessings to you
NAAMINI NIMEPONA
Amina Mungu anisaidie kuishi maisha ya Toba ya kweli Daima.Mch.David Mmbaga Mungu akuongezee Nguvu%.
Bwana Mungu Awabariki zaidi na zaidi katika Huduma Aliyokukabidhi, japo nipo Bujumbura ipo siku katika imani tutaonana ana kwa ana.
Aminaa barikiw pr Mungu akutie nguvu
.. Nimeinuliwa na maubiri haya, mungu akubariki mchungaji
Asante Yesu maana yote yanatoka kwako
Kiukweli nimebadilika moyo ila matendo bado niombee postar kweli naitaji kubatizwa
Yes
Amina mtumishi wa Mungu barikiwa Sana
Ubarikiwe sana, na mwenyezi Mungu azidi kuabariki kwa kazi.
Unavyompenda Paulo ndivyo nimpendavyo zaidi, hata niliamini hakuna anayenizidi kumpenda. Barikiwa sana mchungaji.
Kwakweli nimebarikiwa vyakutosha nahii huduma Mungu akupiganie muchungaji amen.
Amen amen amen naamin nitasimama
Yani Kama mtu alikuwa kupokea Hii siku Aisee umekwisha mengi maana hiyo sehem kweli mungu alikuwako mpaka pastor mwenyewe Unaona alivyojaa roho wa bwana mpaka sauti imebadilika, Aisee napokea haijalishi ya mwaka gani mungu anafanya Kazi bado, utukufu huludi kwa Mungu alie hai hallelujah amen
Pastor you have been blessing to me
Amen I have been blessed Soo much
Yani we pastor cjui at nisemeje ila Mungu akubariki sana maana umenitoa mbali sana, somo la tr 19.1 sitakaa nilisahau maishani mwangu, Mungu akuweke zaidi ili uzidi kutuhudumia
Shimwe Kagwiza Amen
Shimwe Kagwiza zamina
Pr Mungu akupe maisha marefu yenye kubariki watu.
Hallelujah Amen 🙏 🎉🎉🎉🎉
Amen barkiwa sn
Mchungaji unanibariki Bwana akulinde mendelee kutuponya kwa neno
Nakushuku mungu kunifundisha masomo haya ombi langu kuu fungua akili zangu kiloho na kimwili nikafulahi pamoja na watakatifu
Mchungaji barikiwa sana mahubiri yako huwa yananisongesa karibu na Mungu.
Yesu azidi kuku wezesha mutumishi wa Mungu kazi unayo yifanya ina tupa tumaini na nguvu.
AMINA mchungaji 🙏😎.
Barikiwa sn mtumishi kwa neno ziri.
Amina napokea katika Jina la YESU
Amina.Nabarikiwa sana.
Mwenyezi Mungu akubariki umenibariki sana mchungaji hakika nimekutana na yesy
Pasta mbaga huwa ananibariki Sana,Mungu azidi kukutunza
Mchungaji nikirudi tz lazima nitakutafuta barikiwa sana na akupe nguvu
Fatoma Eid Amen
Amen
Mch umekua faraja yangu unanipa moyo ktk magumu ninayo yapitia
ubarikiwe HILI SOMO LINGALI LIKO HAI HATA SASA
hakika ndani ya Yesu pako raha yaajabu Mchungaji Mungu akupe maisha marefu
Ni kwa neema tu2
Amen 🙏🙏
Sifa na utukufu vimrudie MUNGU MUUMBA wa mbingu na nchi kwani anakutumia kutufikishia ujumbe wake,ubarikiwe Sana pr
Amina mtumishi
Na Mungu akupe nguvu zaidi
Nimebarikiwa sana sana Mungu akylinde
Barkiwe sana Mchungaji
Amins
ahsante mjoli
Amina
Amina pastor
Somo hili limegusa moyowangu na limenipatia uponyaji.
👏👏
Mchungaji nina mdogo wangu anaumwa na kiarusi mguu na mkono umepooza anaitwa Monika nahitaji maombi yako
Mbaga natamani nikuone mbinguni umenibariki Sana nimeptia mengi
Amen ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
Mungu awe nawe daims, akuepshe na vishawishi vya dunia hii, udumu katika kumtumikia yeye tu.
Pastor usiogope kukemea sheria kandamizi na viongozi wanafiki wakilitaja bure jina LA Mungu Kwakuwa watukamahao wamelaaniwa vikali na Yesu.
Amen!
Mungu ndie mukuu
Sifa Na utukufu ni wa bwana.sauti iki chini
MUNGU akubariki mchungaji
Ninapokuwa najihisi nmeshindwa katika sehem fulan nkisikilza neno la Mungu kutoka kwa pastor mmbaga huwa napata nguvu za kunyanyuka upya na iman inaongezeka, Barkiwa sana mchungaji
Baba mchungaji mahubili yako hayajawahi kuniacha hivi HIV
Yesu akutunze baba
NIKIKUKATAA KUWA RAFIKI YANGU NI KWAMBA WEWE SI MBAYA ISIPOKUWA HATUPELEKANI
hakika BWANA anatenda, ✋✋✋
Unaongea na bin Adam mchungaji.
Mungu ni mwema
Asante PR umenitia moyo sana, kuna mambo yananichanganya ila nimeskiliza ujumbe huu nimpatatumaini lingine
Mungu akulinde na akuongezeye hekima na ujasiri.
God is love 💖💖💖
amen mtumish
Aminaa,tupone soote kwa jina la yesu
PR umenitia moyo sana sana kuna mambo yananitatiza ktk famila yangu, kila mradi unagonga mwamba, ila kwa neno la BWANA ulilosema naanza kuona miujiza yake ikinitembelea. Ila nimetoa machozi sana, nilikuwa nimekata tamaaa, kumbe MUNGU hajaniacha PR zidi kutuombea sana, naomba no. Yako
Neema Daud Amen
PR mbaga hakuna mahubiri niliyowahi kumlilia MUNGU kama Leo, amekutuma kuganga moyo wangu ulioyo na vidonda& maumivu makali
Balikiwa na bwana pt,
Pr nabarikiwa sana masomo yako ubarikiwe lkn nna swali moja tuu iv kwann Mungu bible inasema hana upendeleoo lakn alimpendelea rusifa na ndio kiburi cha kujiona yeye n bola kuliko malaika wengine kiburi kikainuka juu yakee j? nikwel Mungu hana upendeleoo
naomba mtu yeyote aliye na mawasiliano yoyote na pastor Mbaga naombeni jamani
MUNGU akubaliki mtumxh dah mchungaji nabalikiwaga sanaaa
jaman m2 wa Mungu siku hizi hatukusikii lakin uko vizuri endelea kum2Kia Mungu
Amen ubarikiwe sana Pr Mungu anaendelea kukutumia
Let God be praise , this teaching is like firefly in our hearts
Kweli mchungaji ni kwaneema tu
0768745942 nitafute pastor sina number yako ninashida sana Mtumishi
AMINA mchungaji 🙏😎.
Amen
Amina
Amen
Amen
Amina
Amina
Amina