I'll never get tired of listening to this song. NEVER Kudos to the lead singer.. Perfect 🥰 video in terms of graphics and sound.. Hizo uniforms pia ziko shwari kabisa.. Truly, a masterpiece Love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amina , mimi Msabato ila uimbaji wa namna hii nauelewa na unanibariki zaidi. Unaimarisha sana moyo wangu kuliko zile za bests na steps zinazofurahisha zaidi mwili Endeleeni hivohivo, na Mu gu wa Mbi gu i awabariki mpaka mshangae 🤝🙏🏿🇹🇿
ZABURI 149:3-4 "Israeli na washangilie katika Muumba wao, watu wa Sayuni na wafurahi katika Mfalme wao. Na walisifu jina lake kwa kucheza na wampigie muziki kwa matari na kinubi
Nimepata wimbo wa kutembea nao kwa wiki nzima... nabarikiwa nanyi katika jina la Yesu...
I'll never get tired of listening to this song.
NEVER
Kudos to the lead singer..
Perfect 🥰 video in terms of graphics and sound..
Hizo uniforms pia ziko shwari kabisa..
Truly, a masterpiece
Love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen
Wonderful song to play, a time like this....
Amina , mimi Msabato ila uimbaji wa namna hii nauelewa na unanibariki zaidi.
Unaimarisha sana moyo wangu kuliko zile za bests na steps zinazofurahisha zaidi mwili
Endeleeni hivohivo, na Mu gu wa Mbi gu i awabariki mpaka mshangae 🤝🙏🏿🇹🇿
ameeni🙏
Napenda mnavyo imba jamni , Mungu azidi kuwainua
Aminaaa! Ubarikiwe sana!
mko vema xn mbarikiwe
Ameniii nabarikiwa na nyimbo zenu sanaa kkkt kanisa langu
Tanzania tuna Mungu
Amina!Mbarikiwe sana waimbaji wote!!
KWA KWELI MNAIMBA POWA SANA MUNGU AWABARIKI KILA MMOJA KWA HUDUMA HII
Mumgu awabariki sana uimbaji wenu ni mwema sana
Mko post mungu awabariki ktk huduma hii!
Nabarikiwa nawimbo sana mungu awabariki
Nice choir..I like the way they sing..am blessed
Huku ni kuimba na kujiwachilia. Thumbs up
Hakika Yesu ni mwema..hongereni kwa huduma hii
ameni
Keko nawapa hongera sana
Really exciting
Mnanibariki sanaaaaa
Nyimbo nzuri sana
Barikiwa mno
Najivunia kanisa langu la kkkt
Kwa kweli KKKT IKO JUU SANAA.
Inua bendera ya ushindi...Mbarikiwe vijana wa KEKO!!
jaman keko kkkt honger xaaaaaaaaaaaaam
Benitho Mdzovela Ameen!
hii nyimbo siichoki
Well done Keko KKKT !!!
Mpaka raha..👏👏👏
Luk at wat keny is doin at 2:31-36 😂😂😂😂😂😂😂😂😂.. hongera sn keko
Well done dears. Noreen i see you😘be blessed
God bless you guys 🙏🙏🙏
ZABURI 149:3-4 "Israeli na washangilie katika Muumba wao,
watu wa Sayuni na wafurahi katika Mfalme wao.
Na walisifu jina lake kwa kucheza
na wampigie muziki kwa matari na kinubi
Wapi Caren na Lydia Mwaipyana!?
♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Anastazia mic you
Congratulations God bless keko
Rusheni video ya jina lake yesu na wimbo wa siogopi
Tayari tumeziweka
Mbona unaimba kama Waadventista Wasabato
Hahaaa ni kufanana tu! Kikubwa jina la Bwana linahubiriwa!
@@elct-kekolutheranyouthchoi9828 amina but mnaimba vizuri
@@sivanalila8347 Aminaaa! Tunamrudishia Mungu sifa na utukufu.
Mwalimu wenu nani jaman??
Ni huyo anaye solo huo wimbo
Nabarikiwa sana nahuu wimbo
Waooh
Shalom mungu awainue viwango kwaviwang mnanibarik sana mnakanyaga kuta za wapendwa wetu Wazaman nyimbo zoo zinamafua mbarikiwe
Mwalm mmari
Amen