MWIJAKU AMKATAA HARMONIZE MBELE YA ALIKIBA, AMCHANA HAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 82

  • @estherkibajiro3480
    @estherkibajiro3480 6 місяців тому +12

    Tuache ushabiki japo mimi si mpenzi wa bongo forever lakin kiba anaweza muziki na muziki wake ni mtamu sana yaani hauchoshi kusikiliza❤❤

  • @farajaMezza-qn4be
    @farajaMezza-qn4be 6 місяців тому +12

    Ila Mwijaku, Mungu akupe maisha marefu kaka, I love unachofanya

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 6 місяців тому +3

    Aminia king kiba ❤❤❤mwijaku umemaliza 😊🎉🎉🎉

  • @AsumaniMajesty
    @AsumaniMajesty 6 місяців тому +4

    King Kiba 👑👑👑 ajengewe nyumbani kwetu Kigoma itapendeza mfalme wa Tz

  • @adamutilar3147
    @adamutilar3147 6 місяців тому +3

    Atengenezewe diamond

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 6 місяців тому +14

    Sanamu atengenezewe Diamond 👍🇹🇿

    • @shwaibukhatibu2838
      @shwaibukhatibu2838 6 місяців тому +1

      Kwa kipo alichokifanya

    • @thethengomba355
      @thethengomba355 6 місяців тому

      kwa ku promote mziki wa South Africa amapiano na collabo na wa congo🤣😂🤣😂🤣

    • @nestor_nyb
      @nestor_nyb 6 місяців тому

      @@thethengomba355bila diamond tanzania ni zero kimzik mama kubali ninavyosema 😂😂😂

    • @thethengomba355
      @thethengomba355 6 місяців тому

      @@nestor_nyb for singing amapiano and collabo with congolese, LOL

  • @frankchacha7765
    @frankchacha7765 6 місяців тому +1

    Baada ya Diamond ni Konde Boy Jeshi. All the best Yanga day. Salaam kwa Kolos FC Tabu lele

  • @Esquire266
    @Esquire266 6 місяців тому

    Alhaji,Bilionea DC Mwijaku kipenzi cha watanzania🔥🔥

  • @jastinedaudi-qi9vr
    @jastinedaudi-qi9vr 6 місяців тому +1

    Kiba nomaaaaaaq

  • @DanielAyoub-ic7iu
    @DanielAyoub-ic7iu 6 місяців тому +1

    Na angefika Barcelona kama chibu c ungekunya kiwanjani

  • @SAMIRYDEDE
    @SAMIRYDEDE 6 місяців тому +4

    Nikweli🎉

  • @MagomaPato
    @MagomaPato 6 місяців тому

    Mzee Popo Harmonize na Mwijaku walijaribu kuchukua nyota ya Diamond kwa uchawi State house....Laana Tz😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @ivantompoo-p1w
    @ivantompoo-p1w 6 місяців тому +3

    King koba❤😊

  • @nestor_nyb
    @nestor_nyb 6 місяців тому

    Diamond the best🎉🎉🎉

  • @nelykaaya6503
    @nelykaaya6503 6 місяців тому +2

    Kweliiii

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 6 місяців тому

    Perfect

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 6 місяців тому

    Eti mfalme wa muziki😂😂😂😂😂

  • @nasibupascal1889
    @nasibupascal1889 6 місяців тому

    Chuma kinapepea😂😂

  • @kennedymatiko6830
    @kennedymatiko6830 6 місяців тому +4

    #kingkiba

  • @emilegentil9538
    @emilegentil9538 6 місяців тому

    King kiba

  • @jumaibrahim9773
    @jumaibrahim9773 6 місяців тому

    Kosa mali pata akili 😂😂😂

  • @mulhatymustapha
    @mulhatymustapha 6 місяців тому

    Krishna 😂 maski nin au si0 amna n0umah mwanangu😂😅

  • @clementtweve1870
    @clementtweve1870 6 місяців тому

    Kweliii😂

  • @daktar_kapaku_natural529
    @daktar_kapaku_natural529 6 місяців тому

    Mwijaku 😂nihataree

  • @mwalimu888
    @mwalimu888 6 місяців тому

    Hiyo hela aliyopewa mwijaku tu 🤔🤔🤔🤔 14.3 M

  • @ibrahimkhamis9732
    @ibrahimkhamis9732 6 місяців тому

    Hahahhaha Mild Ayo in Air ❤🎉

  • @CandidoCosme-k4r
    @CandidoCosme-k4r 6 місяців тому

    Mwijako ni spana malaya

  • @SelemanIssa-k7c
    @SelemanIssa-k7c 6 місяців тому +2

    Njaa imekujaa Huna mada

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 6 місяців тому +1

    KAIMBA DAKIKA 40 NA SEKUNDE 52.9 😊AU (53 KASORO)

  • @JosephMbunju-y7x
    @JosephMbunju-y7x 3 місяці тому

    Mtanipiga mniuwe matishet ya chifu sivai

  • @MaxwellAlex30
    @MaxwellAlex30 6 місяців тому +1

    Yani isijengwe sanamu ya Diamond yupo huko mataifa mbalimbali kupeperusha bendera ya Tz,lijengwe sanam la alikiba??

  • @SurprisedCricket-gh4hj
    @SurprisedCricket-gh4hj 6 місяців тому

    Kiba nae msanii km si upumbavu 😂

  • @nasibupascal1889
    @nasibupascal1889 6 місяців тому

    😂😂😂😂

  • @OmmyGumbjr
    @OmmyGumbjr 6 місяців тому

    Wajiuliz ukiw ndan au utok njee jarib kufikiria ten ww unae xem ximba wanaichukia yang

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 6 місяців тому +1

    Simba inamashabiki

  • @sumakitengo1356
    @sumakitengo1356 6 місяців тому

    Sa clouds walifeli Wap kumpoteza uyu kiumbe ili jamaa ni chizi mahoka

  • @erickmuli1030
    @erickmuli1030 6 місяців тому

    Yani hawa wote wanatapa tapa ni waganga njaa! Mondi kawakwepa

  • @EvalistoMsovela
    @EvalistoMsovela 6 місяців тому

    Mwijaku shoga

  • @Green_v4w
    @Green_v4w 6 місяців тому

    ameona komasava remix iko na views 6.1M kweli😂😂

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 6 місяців тому +11

    Konde ngang atukutaki mkundu we

  • @Dyllan-q8t
    @Dyllan-q8t 6 місяців тому +1

    Toka uko,si mmekutana watu wasimba apo wote mnashangilia tu hana lolote

  • @EmmanuelKalist-o8b
    @EmmanuelKalist-o8b 6 місяців тому

    Msicho kijua kuhusu alikiba ni yanga

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 6 місяців тому

    Machawa bwana pesa upewe wewe watu wote wamhes himu aliy Kiba hovy ooooo

  • @ImamHassan-v1z
    @ImamHassan-v1z 6 місяців тому

    Uyu mwijaku kuma uyu ni muongo

  • @MaglethJoseph
    @MaglethJoseph 6 місяців тому

    Uwo ulizi umekosa kazi selekalini

  • @josephmsafiri6476
    @josephmsafiri6476 6 місяців тому +5

    😂😂😂😂😂😂

  • @orym4447
    @orym4447 6 місяців тому +1

    Is Alikiba an artist from Diamond Platinum Country?

  • @Chabay-h3d
    @Chabay-h3d 6 місяців тому

    Mshamba ww na uyo kiba

  • @hirizonetz9558
    @hirizonetz9558 6 місяців тому +13

    Huwa najiuliz sana kwann mashabiki wa Simba wanaichukia yanga chuki ya wazi na wakati yanga wao wanachukulia Simba ni kama mshindani wake kwenye football ko hawana chuki za husda ni zile za kimpira tu ila Simba wanaichukia chuki ya vita hii imekaaje au anaefanikiwa ndo hupata maadui wengi ama Simba hawataki yanga aendelee? Ila wanashindwa jinsi ya kumshusha tu

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n 6 місяців тому +5

      Kwenda weeee Kaz kuandika walaka wa mtume pailo tu kujua uhakika na unachoongelea hahahha

    • @Yuleyule-u6c
      @Yuleyule-u6c 6 місяців тому +2

      Ww ndo mwenye hiyo chuki ndo maana unasema hivyo mbona wenyewe wasiseme ujui Mpira FUTA huo waraka. Simba no 1 Soon Africa.

    • @Mo-Melody
      @Mo-Melody 6 місяців тому +3

      Acha Ushamba wewe hakuna mtu mwenye chuki kwenye mpira mpira nikiburudisho Wala siyo vinginevyo akili Yako ni vinyo😂😂 elewa kwanza maana ya watani Ili uweze kuja kukoment utumbo wako😅😅

    • @OliviaKabuzi
      @OliviaKabuzi 6 місяців тому

      Walaka wa mtume paulo😮😮😢😅😅😅😅😂😂😂😂😂​@@LindaMbilinyi-n3n

    • @LwipaNicholaus-n8e
      @LwipaNicholaus-n8e 6 місяців тому

      Nae huyu supu. Tuu chiki anayo yeye,

  • @motionrecapstz
    @motionrecapstz 6 місяців тому

    Kijana mdogo ANAMTAKA mama MTU MZIMA UPWIRU unamsumbua 👇
    ua-cam.com/video/3lV02vqrSrE/v-deo.html