MUME WA ISHA MASHAUZI AMFANYIA VURUGU ISHA KWENYE INTERVIEW / NGUMI NUSU ZIPIGWE HADHARANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • MUME WA ISHA MASHAUZI AMFANYIA VURUGU ISHA KWENYE INTERVIEW / NGUMI NUSU ZIPIGWE HADHARANI

КОМЕНТАРІ • 241

  • @khadijayusuph9316
    @khadijayusuph9316 Місяць тому +5

    Yashanikutaga hayo so isha namuelewa vzr sana tu😮

  • @user-ne5cg4vv1h
    @user-ne5cg4vv1h Місяць тому +7

    Naukiwa na mke mmoja au mme mmoja kiukweli unavuta sana hatua

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th Місяць тому +11

    Km umeamini amepata mzungu wa zanzibar kwenye mawio like

  • @samanyaswai
    @samanyaswai Місяць тому +5

    Isha
    Ulikuwa Na Rako Rohoni Ulikuwa Na Sababu Zako So Ndo umeamua Kushikilia Hapo Hapo.

  • @SalmaMasoud-ry4pg
    @SalmaMasoud-ry4pg Місяць тому +6

    🇰🇪Msirudianeeee please We mtu anaomba msamaha kiuwongooo wwachana nae piga kazi Zako Isha Kisha Simama usiku Fanya IBADA WWACHANA NA HIVI VIVIJANAAA VYA KUVILEA ALLAH ATAKUPA MUME MWEEMA

    • @Humanity21216
      @Humanity21216 Місяць тому

      We umejuaje kama kiuongo ila binadamu sisi miyeyusho

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 Місяць тому

      Acha kushadadia ya watu
      Siku wakiridiana utaweka wapi sura yako

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 24 дні тому

      Wee salma kwa hiyo wewe unamshawishi waachane ilibaendelee kuzini

  • @zainabsabas1807
    @zainabsabas1807 Місяць тому +5

    Huyu mwanaume kunakitu anataka sio kwa maneno hayo duu vijana wengi wanataka mwanamke sababu ya kitu sio mapenz na maneno hayo hatakama mie isha sikurudii 😢

  • @FatumaJuma-f6s
    @FatumaJuma-f6s Місяць тому +17

    Yaan mnaboa sana😢kuna watu kibao wa kuwafanyia iyo interview kila siku ni polojo zao tu😮

  • @thamani5842
    @thamani5842 Місяць тому +9

    Huyu kaka anaomba msamaha kwa kutaka kitu, na uyo mama anamtaka lkn anajifanya hamtaki

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de Місяць тому

      Sana bado wanatakana lait wangekuwa hawatakan wangejiepusha na mitandao

  • @HusseinBundara
    @HusseinBundara Місяць тому +1

    Dada isha nakupenda Bure pambana na Hali Yako maísha ni yaleyale TU my sister❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JahnjeanjayNjau
    @JahnjeanjayNjau Місяць тому +8

    Binafsi namuelewa sana Isha,hakuna jambo linalouma kama mwanaume unampenda unamjali halafu ugundue kuwa kuna mwanamke mwenzako mahala,mimi huwa natamani kuliko hivyo bora nikawa bila mwanaume kuliko kumhudumia mwanaume na bado anakudhalilisha kwa mwingine, namuelewa sana Isha

  • @naimachiza3939
    @naimachiza3939 Місяць тому +3

    Saaafi isha...kazaa Ivyoo ivyoooo

  • @zuhuraismael7398
    @zuhuraismael7398 5 днів тому

    Jaribu mzungu Isha mashauzi wao hukuwanga na mapenzi Aina hii yenye unataka

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo Місяць тому +2

    Alafu Isha ana Binti , mkubwa jamani,mbona huyo bwana haoni Hilo,anamtia Isha aibu Kwa Mwanae na anamtia aibu mtoto wa Isha Kwa wasomi wenzie na hata Kwa jami inayomzunguka,mie niliona tangu day one huyo mwanaume ni mitihani, doh,pole sana isha nakuonea huruma hadi naogopa😊

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 Місяць тому +7

    Ww huwezi kukaa na mwanamume sababu uliisha zowea kujiongoza mwenyewe hutapata, mwanamume ambaye uta mcontro ww mbabe

    • @chuggaboy9877
      @chuggaboy9877 Місяць тому +1

      Eeeeh mbona karma umekuja na story yako😅😅

    • @rerisamba
      @rerisamba Місяць тому

      Kuna miaka ikifika kama ya Isha unakuaga na kunyenyekea kweli

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 24 дні тому

    Isha Nilikua nafanya kazi na baba yako Dereva BOHARI KUU YA SERIKALI. Alikua mtu safi sana nilikua Bosi wake yaani Mimi TRANSPORTER OFFICER BOHARI. namuombea Kwa Allah ametangulia mbele ya haki Allah amsamehe makosa yake ALLAHU MAGFIRAHUM WARAHMAHUM FIL JANNA.

  • @SadaIbrahimu-s7z
    @SadaIbrahimu-s7z Місяць тому +3

    Mwanamke msimamo❤

  • @user-pw2sw1sk1b
    @user-pw2sw1sk1b Місяць тому +7

    Dada mwanume wa peke yako hakuna 😅omba upate atakae kuheshimu na kukupenda lkn wa peke yako mzar mwenyew😅

  • @miss_megan
    @miss_megan 12 днів тому

    This guy shud work hard and respect himself, sometimes it's not worth it...kama mtu hakutaki hakutaki poor mindset will make one be worthless

  • @Joseph2010201
    @Joseph2010201 14 днів тому

    Msimamo mzuri kwa upande wa Dada, pia Kaka ni uungwana kukiri ulipokosea ila jua kuwa Thamani yako Mwanaume inalindwa na wewe mwenyewe. Kubali yaishe na Uanaume wako ni muhimu kuliko mahusiano.

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 Місяць тому +7

    Ila tz kweli Kuna mambo Sasa Isha ndio wakwanza kuachana kheee mbona upumbavu mwingi

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 Місяць тому +4

    Dawa mnaweka wenyewe halafu mkipendwa drama kibao

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 Місяць тому +4

    Nyie kaz ya Mabango nikukimbiakimbia tu akisikia isha alipo,nenda nyumban kwake au oficn kwake mctuchoshe

  • @AbdulhaamidSoud
    @AbdulhaamidSoud Місяць тому +3

    Kumuona kungwi kagoma kusamehe akilin yangu inanambia Bado nayeye anahitaji kungwi 🎉🎉

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 Місяць тому +1

    Aisha fnya kazi zako..unawatoto.. wanakutegemaaa

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r Місяць тому

    Ww Isha katka level yko,si mtu wakulalamikia mapenzi,hilo jambo la kawaida,eti mume wa pkyko,dunia ipi😂labda sio huku,usimwamni mume kiasi hio na dont love excess,utajiumza buree😅

  • @hemedchuma9-cq4nh
    @hemedchuma9-cq4nh Місяць тому +3

    Kwa kauli hz za uyu jamaa hana mapenz ana htj ela

  • @ConstanciaShangali
    @ConstanciaShangali Місяць тому +2

    Hakufai Huyu mwanaume.. ni Mnafki bora umemgundua mapema

  • @mariakibusi5914
    @mariakibusi5914 Місяць тому +1

    Da Aisha Yani wewe ndio kama Mimi,Mimi kazi yangu kupokonywa waume tu naamua kuwaachia Yani hatuna tofauti

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Місяць тому

      Pole sana,,

    • @mariakibusi5914
      @mariakibusi5914 Місяць тому

      @@jumakapilima7295 ya Dunia kaka angu ndio maana tumeumbwa kusamehe kwasababu malipo ni hapa hapa duniani,Mimi nimepokonywa mume nikiwa na mtoto wa miaka mitatu niliishiwa kunyanyasika nikaamua kuondoka mwenyewe,kuna msemo unasema mwenye nguvu mpishe

    • @monicakimati4619
      @monicakimati4619 Місяць тому

      Pole sana nenda kwenye maombi kikundi Cha karismatiki Katoliki..Yesu Kristo atakufungua

    • @rerisamba
      @rerisamba Місяць тому

      Chezea mizimu na mibabu ya ukoo ikikuamulia huoleki

  • @elizabethcharles6527
    @elizabethcharles6527 Місяць тому +2

    Achana nae uyo Isha akufai anakaaa nawew kwasababu yakitu fulani naww

  • @ياسمينياسمين-غ2ص
    @ياسمينياسمين-غ2ص 25 днів тому

    Wanaume tamaa una mke mzur bado unahaha fanya yako dadangu Allah atakupa mume mwaminifu

  • @AminaAfrica-pr3gi
    @AminaAfrica-pr3gi 27 днів тому

    Unajidagannya aisha mwanamme wa peke hako ayupo na atakuwepo labda umuumbe wew na huna usezo juo hicho ni cheo cha allah pekeyake isijidanganye hatotojea wa pekeyKo upoooo

  • @MamaAisha-w1x
    @MamaAisha-w1x Місяць тому +3

    Wee isha hayo ndo maisha yako mbona wee bwana wako wazaman mliachana kwa sababu amekufumania au umeshajisahaulisha

    • @user-fn2ro5wn8v
      @user-fn2ro5wn8v Місяць тому

      Huyo mshangazi nikama halikua hanatafuta sababu,ha kwende huko, kama hanataka wake wapekeyake hangemuhumba wake

    • @sajdatomar6025
      @sajdatomar6025 Місяць тому

      Mmh mbona h nyingi 😅😅😅😅😅😅 kiswahili kigumu kweli​@@user-fn2ro5wn8v

  • @SaadaSuleyman-f1i
    @SaadaSuleyman-f1i Місяць тому

    Tatizo lake huwa wana tuchukulia wapuuz haswa pale unapompenda mtu nakuwa muwazi kwake wewe mshukuru mungu Da isha

  • @Fofo-z6t
    @Fofo-z6t Місяць тому +1

    Huu ndo msimamo da isha

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 26 днів тому

    Mm nikiolewa hata mke wa pili sawa kikubwa tupendane na mke mwenzangu na Niko teari na Sina wivu juu ya mwanamke mwenzangu ambae tupo kwenye ndoa

  • @AidaRashid-u5l
    @AidaRashid-u5l 22 дні тому +1

    hata utembee masharik na maharib hupati mwanaume wa peke yako msamehe huyo bint ni chizi anatuma picha uchi

  • @IssaManjapa
    @IssaManjapa 23 дні тому

    Watangazaji badilikeni siku moja moja muende mukamuoji hata nashi mc au songa cyo paka mungu awachukue ndiyo muanze kupiga kelele

  • @rehemajuma4915
    @rehemajuma4915 23 дні тому +1

    Eti Mshangaxiii mjini Kuna maneno😂

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo Місяць тому

    Kijana badilisha msimamo huyo bibi hakutaki tafuta binti uoe mungu kakataza zinaa mbaya
    Mungu anakuepusha na jambo
    Kuna shari ingine lkn inakuwa na kheir na ina kuwa kheir lkn ndani yake ipo shari
    Tafuta binti uoe huyo bibi achana naye ataoata mtu mzima mwenzie
    Kashavurugwa humwuwezi achana naye unajidhalilisha bureee

  • @HawaSwabra
    @HawaSwabra Місяць тому +2

    Ajifany kam mtoto mdogo vile ajikuta mzuri kumbe duhu mm pia ninanafuu

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 27 днів тому

    Hapo ndoutaamini mwanamke nikiumbe kizuri lakini mwanamke akichafuka robo Kaa mbali nae kabisa hawafai hata kidogo

  • @user-ng5xe7ze3j
    @user-ng5xe7ze3j Місяць тому +1

    Mwisho wa zinaa ni kudhalilika

  • @hasanisalimu5321
    @hasanisalimu5321 Місяць тому +5

    Hiyo kiki haishi toeni hizo nyimbo tupumzike

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 24 дні тому

    We mtangazaji acha kupotosha kama hujui uliza WA KWANZA KUUMBWA NI ADAM SIYO EVA SISI KTK QUR AN NI HAWA SASA WE KUSEMA ATI ALIUMBWA KWANZA EVA KWA MAANA YA HAWA UNAPOTOSHA KITABU GANI UNANUKUU LETE ANDIKO UNAHARIBU WATOTO WASIO JUA

  • @emaanursery6183
    @emaanursery6183 Місяць тому

    Jamani muacheni isha Ana mwili kama kabati . Kwani wewe .unamwili waaje acheni upumbavu hata kama nimimi hakuna mwanaume wawawli wameweza wenzetu waislam ila wengine hatuwezi kabisa kabisa kwahiyo isha uko sawa kabisa

  • @KhalfanSeleman
    @KhalfanSeleman Місяць тому +1

    Wewe unaweza wakwako katengenze waudongo

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry Місяць тому

    Mwanamme wa peke yako ni baba yako mzazi tu. Utahangaika sana sana kumpata. kumpata

  • @MariamWiliam-z8k
    @MariamWiliam-z8k 28 днів тому

    Mnaomtukana isha kumamae zenu kawakosea nini ye kaamua namsimamo wake na pia ndo kajipangia maisha yake htaki mtu mwenye mambo mengi muachen kipuri isha

  • @mustaphasegeja1712
    @mustaphasegeja1712 Місяць тому

    Uje kwangu nikukung'ute we mkulya

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 26 днів тому

    Nyie wandishi wasenge kweri mnawarazimisha wapatane arivyo tongozana mrikuepo mbona mnashindwa kuwaoji watu wenye uwitaji wagonjwa na kero zirizopo tz

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 Місяць тому

    Aisha awakujui vizuri apo ndipo nauona msimamo wa bibietu apo Peps dah aisha kaza

  • @aminajuma1435
    @aminajuma1435 Місяць тому

    Wapumzisheni kidogo jamani ... Muweke akiba yamaswali , maana wakirudiana mtaanzatena upya kuwahoji.

  • @ashaabdallah9672
    @ashaabdallah9672 Місяць тому

    Huwez kupata mwanaume wa peke Yako my sister wapeke yko hapana ni sawa sawa kutafuta sigiria ya mikono mirefu utaitowa wap hakuna icho kitu mume wa peke yko sahau

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 Місяць тому

    Labda umzae mwenyewe.Utaolewa sana .Vinginevyo uache mhusiano.

  • @JahnjeanjayNjau
    @JahnjeanjayNjau Місяць тому

    Huyo Isha naona ana tabia kama mimi naona kinyaa tu kama mmeshakubaliana inabidi mridhiane mbali na hapo usanii haujengi uhusiano wa kimapenzi

  • @ChichiMdem-oh6vi
    @ChichiMdem-oh6vi Місяць тому +1

    Achakuwa kama sigala kali mbele inawaka nyuma inawaka wewe siulisema hakuna unacho misi kwa isha mpumbavu wewe muache anzishe maisha yake eboooooo

  • @MohamedSarahani-gk6jx
    @MohamedSarahani-gk6jx Місяць тому

    Nakumbukaaa ishaaa alikuaa naa jaamaa mmoja anaitwaaa tevez ,tevez alimkeraaa waligombanaa wakavunjiaani viiio vyaa gari zaaoo haikupitaa mudaaa wakaaachanaa semaa aishaaa anaa msimaamooo sanaa

  • @MalaikaBright-rv6yb
    @MalaikaBright-rv6yb Місяць тому

    Dah! Mbona hizi ni aibu ? Kwani hawa watu wana matatizo gani , ni ujana kiki ukosefu wa nidhamu binafsi ama ninini duhh ! Tuwe na hofu ya MUNGU na wanadamu waliotusunguka..sikutegemea kama dada Isha nae ataingia kwenye hizi ishu za kujidhalilisha mitandaoni kisa mapenzi ...dahhhhhh!!!! Aibu hizi

  • @DorisLiwenga
    @DorisLiwenga Місяць тому +1

    Uwo ndio umwanamuke/wanawake kuweni msimamo kama Isha

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga9489 Місяць тому

    Hivi baadhi ya watu wanajua maana ya neno MUME/MKE😂😂 hizi caption.

  • @dorislema2465
    @dorislema2465 Місяць тому +1

    Wew ndohuna iyo adabu unaetembea na mtoto wa 2000

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 Місяць тому +1

    Huyo mwaname bwege tuuu mashangingii waliojaa kibao mjini unang'ang'ania mwanamke asie kutaka

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 Місяць тому

    MADAM ISHA ANATAKA KUOLEWA NA SULUM KIKEKE 😂MUANDISHA USIKIHI KAMA UNATUKANWA??????😂😂😂

  • @user-og4wh1xr2c
    @user-og4wh1xr2c 25 днів тому

    Aisha mrembo sana

  • @Bless-sk8uv
    @Bless-sk8uv Місяць тому

    Utasubiri sana huyo mwanaume wa pekee eti😅😅 alafu huyo lijimama najiuliza vijana wenzangu unalala nae vipi? 😢mtu kaa libuyu

  • @AlexSamweli-jj9tt
    @AlexSamweli-jj9tt 26 днів тому

    Dada aisha hapo nisurasurambiiiiiiiii mama🤣🤣

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 Місяць тому

    😳🤔huyu kaka mshenzi kumbe😮
    Eti huyu nyota yangu

  • @wahidabakar
    @wahidabakar 19 днів тому

    aisha msamehe mwenzio

  • @hawamohamed2059
    @hawamohamed2059 Місяць тому

    Isha chunga ukizidii kumkataa mabango atampata mrithii 😅😅😅

  • @MedyyyAbdallah
    @MedyyyAbdallah 25 днів тому

    Yaani amekosa mbinu mmbadalah huyo anarudi mwenyewe ushauri aende handeni ize

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 Місяць тому

    Wanawake km hawa huwezi kuwa-control ...
    Lkn pia kuna mwanaume mwenye mwanamke 1 wapo

  • @HawaSwabra
    @HawaSwabra Місяць тому +1

    Eti hamkosei mtu anajikuta kakamilika hovyo

  • @PascoMlinga
    @PascoMlinga Місяць тому

    Acha ushamba pambana na maisha Yako

  • @paschalsenole4167
    @paschalsenole4167 Місяць тому +1

    Kiukweli mm shabiki wa Isha lkn Kwa hili 😂😂😂

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 Місяць тому

    Wapo bwana wa pekee yake safi una msimamo mzr

  • @KituRu
    @KituRu Місяць тому

    Isha yupo sahihi

  • @GraceMalley-ly2xn
    @GraceMalley-ly2xn Місяць тому

    Utampata mwingine atakosa Tena mwisho utaitwa nani wew usie jua kusamehe ndugu Yangu jua amekosa na msamehe maisha yaendelee ila kaeni muongee Kuwa akirudia Tena Hata Sisi tutakuwa mashahid wako

  • @user-dn1wd9ru3r
    @user-dn1wd9ru3r Місяць тому

    Angekua hana hela angerizika tu..tatizo kamzidi kipato huyo mshkaji ndo maanaa😂

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Місяць тому +1

    Fukuza dada asikupotezeyi mda 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Susan-f4j
    @Susan-f4j Місяць тому

    Somo please nupe nafasi

  • @mwalagomwanaisha
    @mwalagomwanaisha Місяць тому

    Hakuna mwanaume aliekosa matamanio husijidanganye

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 Місяць тому

    Bibi anajiona mzuri wakati hana tofauti na kabati la nguo

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 Місяць тому +2

    Msamehe ukhuty aysha, binadamu tunamadhaifu tumeumbiwa kukoseya amekoseya anakiri makosa, tunakoseya nakumrejeya allah na anatusamekh how wewe usitowe msamaha?.....nk

  • @MariyamSimba-ub7lz
    @MariyamSimba-ub7lz Місяць тому

    Unajua mwazoni Nilikuwa sijakusoma ila Aisha Simama na msimamo Huo huo Dada akwende tyuuu😂😂

  • @NiceWatson-y7e
    @NiceWatson-y7e Місяць тому

    hapahapa bongo wapo wanaume wanapo wanao jiheshim na kuwa na mwanamke mmja tatiO wabongo tunakarir maisha

  • @EsperanceMuzaneza
    @EsperanceMuzaneza Місяць тому +1

    Uyu dada naye anariiiiiinga sana anapendwa lakini yeye aoni

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo Місяць тому

    Isha wewe mtu mzima
    Hebu kuwa msamehemi mtu wa kusamehe umekuwa msusuavu wee mbona unamkosea mengi alitekuumba unataraji msamaha lkn wewe kumsamehe binaadamu mwenzio mgumu mtu mzima hovyoo
    Kijana umeshajizaliliza kwa huko isha lkn anajishetua wanawake wako wengi tena wazuri kushinda hata huyo bibi tafuta bi ti uoe achana nahuyo shangingi

  • @mustaphasegeja1712
    @mustaphasegeja1712 Місяць тому

    Isha unajishaua Sana sikuizi

  • @Hanifa4-d4q
    @Hanifa4-d4q Місяць тому +1

    Kaka anatafuta umalufu kwanguvu😂😂😂😂

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 25 днів тому

    Ndo mkome kufuga vibenteni

  • @latifamuhunzi4061
    @latifamuhunzi4061 Місяць тому

    Huyo kaka inaonekana mshamba wa media,mpenzi wako utatafua suluhisho kwenye media?hovyooo

  • @NewNew-ep5dq
    @NewNew-ep5dq 28 днів тому

    Wakwako utampat wapi

  • @MedyyyAbdallah
    @MedyyyAbdallah 25 днів тому

    Kiburi iyo sheria ya dini wake wanne chapekeyako hamna huyo ni binadamu sio malaika hata yeye anakosea aache kiburi sifa mbaya mimi naona kama mara ya kwanza amsamehe hii ni fedheha

  • @mrfashion1687
    @mrfashion1687 Місяць тому

    "Mwenyezi mungu alimuumba EVA akamuumba na ADAMU"😮😮😮😮😮

    • @augustinofifi
      @augustinofifi Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @maimunaathumani9121
    @maimunaathumani9121 Місяць тому

    Yupo kimaslahi uyo da aisha achana nae

  • @robertadolf562
    @robertadolf562 Місяць тому

    Jishangaz nalo lina nata. hii bongo kituko

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 Місяць тому +1

    Huyu kijana anataka pesa

  • @MariamWiliam-z8k
    @MariamWiliam-z8k 28 днів тому

    Et isha anaumbo kama kabat mamaako au dada zako wana maumbo gn achen unafiki na usenge . Muachen isha alowaumba nyie ndo kamuumba yeye

  • @DaudLucas-qj3mp
    @DaudLucas-qj3mp Місяць тому

    Yani vyombo vya habari kunavitu vingi vyamsingi kulisaidia taifa kusonga mbele mmekalia kuhoji mambo ya kihuni na wahuni

  • @mustaphasegeja1712
    @mustaphasegeja1712 Місяць тому

    Ila Isha sikuizy anafanya Kama comedy ukimsikiliza anachekesha