Konde Boy Harmonize akwea waya kama komandoo Siku ya Mwananchi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2020
  • TUKIO ZIMA: Tazama jinsi #Harmonize alivyowa-surprise wananchi akishuka #MkapaStadium kikomandoo.
    #AzamSportsHD
    #WikiYaMwananchi #SikuYaMwananchi #WikiendiKubwa #TunaanzaMsimuMpya #TunaJamboLetu #YangaSC #TimuYaWananchi #SikuYaWananchi #AigleNoir #MkapaStadium
    Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 568

  • @venancekavishe9823
    @venancekavishe9823 3 роки тому +20

    Hakuna kama YANGA TANZANIA hii, Wamefunika💛💚

  • @hadsonsangala3083
    @hadsonsangala3083 3 роки тому +23

    Huyi konde walah ni sayari nyingine kabisa👏👏👏

  • @youngleader8656
    @youngleader8656 3 роки тому +17

    Kwa mtu asiye namafunzo ya kijeshi harmonize kajitahidi sana good adea

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 3 роки тому +12

    JESHIIIII🐘🐘🐘🐘🐘🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @mussachristopher6103
    @mussachristopher6103 3 роки тому +12

    Yangaaaaa konde boy jexhiiiii

  • @pauljohn1443
    @pauljohn1443 3 роки тому +13

    Salut kwako konde boy mwenyewe

  • @revocatusadrian5750
    @revocatusadrian5750 3 роки тому +25

    Ukiskia show ya kibabe ndio hiii... Shkamoo jeshiiiiiiiiiiii."#sihami_yanga

  • @daudirajabu6798
    @daudirajabu6798 3 роки тому +29

    Penye ukweli tuseme ukweli tuache ushabiki watanzania ni wamoja ila dogo hamonaize kafunika mbaya nawapenda wote

  • @fadhiliboy1412
    @fadhiliboy1412 3 роки тому +21

    kama hujuti kuwa konde gang mm like hapa tunjuane

  • @rashirdissa5952
    @rashirdissa5952 3 роки тому +14

    Konde Boy oyooooo

  • @marthaharmony5710
    @marthaharmony5710 3 роки тому +16

    Jeshi ni fayaaa!!! Kwa alichokifanya nampongeza sana mi boyfriend wangu hata kupanda tu juu ya stuli anaogopa!! Anakuwa na wenge hatar ndo mana staki anibebe najua atanibwaga tu!!!

  • @ttt-zs8id
    @ttt-zs8id 3 роки тому +30

    Likes zenu kwa kumpongeza Jeshi

  • @juliuskinuthia2240
    @juliuskinuthia2240 3 роки тому +8

    Tanzania mpo mbele sana, Mungu awajali mengi 🙏🙏

  • @mohamedimneka5871
    @mohamedimneka5871 3 роки тому +4

    Konde tz. Hakuna anayekuweza, younger love u so much.

  • @elizerbethmichael9992
    @elizerbethmichael9992 2 роки тому +2

    Leo tena Kilele cha Wiki ya Mwananchi 29.8.2021 ahsante Mungu nimefika salama naiona tena Wananchi tuna jambo le2 💛💚🔥🔥🔥🙏🙏🙏

  • @lochucheddymon4065
    @lochucheddymon4065 3 роки тому +8

    Wapi likes ya Konde boy jeshi

  • @arnoldiba1613
    @arnoldiba1613 3 роки тому +4

    Hey everyone I'm Congolese but I love so much the Tanzanians

  • @jackgodgivenzihindula
    @jackgodgivenzihindula 3 роки тому +24

    Tanzania hakuna korona 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ,no mask, no social distance, no sanitanzer ...
    Gonga like apa.

  • @abdillahialiy9511
    @abdillahialiy9511 3 роки тому +6

    sema jeshi umetisha simba hana ata maajabu nakukubali sana harmonize simba mwenywe akiona lazma agune kwanza

  • @bibomax4273
    @bibomax4273 3 роки тому +6

    the real meaning of creativity🙌🏾

  • @salimali7930
    @salimali7930 3 роки тому +4

    Konde ume maliza mchezo uko akuna anae kuweza kwa sasa...salute Bro respect from +254

  • @siafuvideo2541
    @siafuvideo2541 3 роки тому +4

    Dah..! Uliua sana JESHI it was so amazing

  • @mgeleka2378
    @mgeleka2378 Рік тому +2

    One of the greatest shows....am watching it 2023💚💛

  • @hashkhantantrasiraji118
    @hashkhantantrasiraji118 3 роки тому +6

    Daah hii show haichoshi kuangalia daah 2021 bado nipo naicheki👍

  • @Penda997
    @Penda997 3 місяці тому +2

    You're amazing konde boy❤❤we ni jeshi nimekubali💯

  • @twabapamogospelzambia
    @twabapamogospelzambia 3 роки тому +8

    Harmonize is a good artist, diamond a good entertainer but but alikiba is the best of all time trust me is the only king of bongo flavour.

  • @hassanmussa5828
    @hassanmussa5828 3 роки тому +12

    Alafu kumbe ajadondoka kama ivo mnavoongea....jaman muacheni harmo

  • @jeniphamyale9489
    @jeniphamyale9489 3 роки тому +12

    Nibonge la burudani, tena linakosha roho yaani dah

  • @mohammediswalehe7126
    @mohammediswalehe7126 3 роки тому +6

    Salut kwako kond geng umetisha.

  • @fettyally333
    @fettyally333 3 роки тому +20

    Bwana mm si shabiki,ila uwanja umejaa vibbaya mnooo kuliko Simba jamani tuseme ukweli hapo

  • @harlequinzuller971
    @harlequinzuller971 3 роки тому +4

    Wasafi waonyeshe ubabe wao kama watamfikia kamandah jeshi amkeni akili sio kuimba nyimbo za watoto hazielimishi chochote big up jeshi

  • @jonijostopper8164
    @jonijostopper8164 3 роки тому +14

    Jeshiiiii

  • @rizikifuraha9952
    @rizikifuraha9952 Рік тому +2

    Wow naipenda sana yanga nawatakia mshinde jmn timu yangu msije mkaniangusha jmn yanga damu yangu

  • @gabrielpetermkezessebuliba6721
    @gabrielpetermkezessebuliba6721 3 роки тому +4

    Akika naipenda yanga

  • @fauzhaji7149
    @fauzhaji7149 3 роки тому +6

    President kikwete was a soldier. He knew whats going to happen to harmonize.. its not easy he need military training for that shit ....

  • @kilimileally4866
    @kilimileally4866 3 роки тому +7

    Kusinzia leo nahama timu wasafi rasmi ni konde boy

  • @getrudadavid6500
    @getrudadavid6500 3 роки тому +5

    Umetisha baba

  • @poizon834
    @poizon834 3 роки тому +7

    Waliozingua kulee juu wameiachia kamba bila kipimo
    Ila konde kajitahidi sana hongera
    KondeBoy

  • @ezekieladam7007
    @ezekieladam7007 3 роки тому +6

    Baba ni baba tu simba 4life

  • @anoldimajaliwa805
    @anoldimajaliwa805 3 роки тому +2

    Naipenda yanga pamoja jeshiiii 👏👏

  • @emmanuelmsumba4742
    @emmanuelmsumba4742 3 роки тому +3

    Amin kwamba ww ni jeshi kweli

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 роки тому +3

    Nakumbuk mwak 2007 tulipoanzish umiseta kubaha secondary muhshmiw Jakay alikuw mgen rasm nilipata zawad lkn walimu sio wat wazr

  • @emanuelnyanja7558
    @emanuelnyanja7558 3 роки тому +7

    Hongereni wana jagwani

  • @jacksonluzwiro9374
    @jacksonluzwiro9374 3 роки тому +4

    yanga juu

  • @fortuneboatofficial
    @fortuneboatofficial 3 дні тому

    konde boy I call you you are number one 🎉

  • @oscarmicke9363
    @oscarmicke9363 3 роки тому +3

    Hongel xan yanga

  • @emmydaniel181
    @emmydaniel181 3 роки тому +10

    Yanga hoeeeeeeeeeee

  • @simbaramadhan6607
    @simbaramadhan6607 3 роки тому +7

    Bifu ya nini ahahahahaha mtoto kushindana na baba yake 🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁

  • @sudisaidi9420
    @sudisaidi9420 3 роки тому +3

    Bigup sana kwa Jeshi konde gang

  • @bong2020able
    @bong2020able 3 роки тому +2

    Nzuri ❤️ 💯 One love Africa

  • @sheilahabbas972
    @sheilahabbas972 3 роки тому +4

    Konde boy jeshiiiiiiiiiiii

  • @gorginamakau7089
    @gorginamakau7089 3 роки тому +1

    Jeshiii...from +254....i salute u konde boy ..🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Beatricevalley15
    @Beatricevalley15 3 роки тому +4

    Umetisha jeshiiii

  • @sophiaathumani9939
    @sophiaathumani9939 3 роки тому +2

    Naipenda Sana Yanga

  • @ntalikimkama7317
    @ntalikimkama7317 3 роки тому +5

    Unajua mpaka bax wananichi hatujutii kuwa na TEMBOOO TEMBOOO jeshii

  • @fedrickagustino991
    @fedrickagustino991 3 роки тому +4

    Konde boy nomber one africa na duniani

  • @jamesyusuph1288
    @jamesyusuph1288 3 роки тому +1

    Asante sana kwa matangazo yenu tunawapata vizur sana.

  • @ntalikimkama7317
    @ntalikimkama7317 3 роки тому +4

    Kode boy for life

  • @omarymwande6935
    @omarymwande6935 3 роки тому +3

    Konde boy mjeda wa ukweliiii

  • @abbasmohamed5066
    @abbasmohamed5066 3 роки тому +2

    konde unamkosea heshima baba ako mondi...bt big up bro! unaweza.

  • @annasalum9825
    @annasalum9825 3 роки тому +2

    Safi sana konde umewashangaza wa2 kila mtu alitaka kujua utakyjaje

  • @bullychandy6509
    @bullychandy6509 4 місяці тому +2

    HERE AGAIN 2024

  • @aishakombo2037
    @aishakombo2037 3 роки тому +1

    Hongera sana Rajabu
    Umefanya kitu unique

  • @addelineantony3622
    @addelineantony3622 3 роки тому +5

    Simba achen wivuuuu

  • @siafuvideo2541
    @siafuvideo2541 3 роки тому +1

    Big up sana sana sana Harmonize Umeua broo

  • @sussanreuben8200
    @sussanreuben8200 3 роки тому +8

    safi lkn alihatarisha maisha yake,tushukuru mungu tu haijawa noma

  • @odaxkasita8264
    @odaxkasita8264 3 роки тому +3

    Ile kamba kuna watu wanamshusha sio kwamba anajishusha mwenyewe waliomshusha ndio wamezingua wamemshusha Kwa spidi...

  • @fanakalusinje8827
    @fanakalusinje8827 3 роки тому +2

    konde boy jeshi saluti

  • @hininikigufa9775
    @hininikigufa9775 3 роки тому +1

    Mm nipo Congo nakubal mziki wa konde boy

  • @mcharmo2544
    @mcharmo2544 3 роки тому +2

    Jeshiii!!!!...

  • @issajuma5251
    @issajuma5251 3 роки тому +3

    Pamoja

  • @zamudasaide2647
    @zamudasaide2647 3 роки тому

    Salamu kwa wa Tanzania ,sisi twauona huku Mozambique

  • @aminamayalla1511
    @aminamayalla1511 3 роки тому +3

    Mambo motto, yanga kuwapenda siachiii

  • @chillisauce2769
    @chillisauce2769 3 роки тому +11

    Mi ni simba lakin niliinjoi uwepo wa konde 🎧🗿🗿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎆🎇🎇🎆🎆🎇🎇🎇🎆🎆🎇🎇🎇🎍🎍🎆🎍🎋🎋🎫🎖🏆🎉🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🎖🏆🏆🏆

    • @chillisauce2769
      @chillisauce2769 3 роки тому

      Thanks

    • @wilsonjoseph841
      @wilsonjoseph841 3 роки тому

      Kuna vijana hatuna kz mzee huyu hata salut nikitua hapo jasho njano litawashuka

  • @MichaelDyanka
    @MichaelDyanka 3 дні тому

    Konde boy apo alitisha sana

  • @siafuvideo2541
    @siafuvideo2541 3 роки тому +3

    Konde Boy Mnyama

  • @mwanzashinyanga8060
    @mwanzashinyanga8060 3 роки тому +24

    tujifunze uzalendo tuache ushabiki wa kiboya mimi ni simba damu ila siwezi kubeza jitihada za za harmonize eti kwa sababu siku ya simba day ali perform diamond nataka niseme ya moyoni kwa alicho kifanya harmonize jana ni bonge moja ya surprise na habari kwamba alidondoka hayo ni maneno ya wakosaji rudia tena kutizama video jamani tusipende kusifia watu wakiwa wamekufa mtu akifanya vizuri mpe pongezi zake na wewe jipange siku nyingine fanya kitu kizuri zaidi yake na ndio maendeleo yenyewe wana simba tuliamini yanga hawatajaza uwanja na wamejaza maana yake walijipanga kujaza na wameweza hongereni mimi ni mpenda maendeleo ya kila anaefanya vizuri

  • @noelkihwelo3649
    @noelkihwelo3649 3 роки тому +4

    watu waongo ety alidondoka wapi mbona sjaona

  • @elinlinus5786
    @elinlinus5786 3 роки тому +1

    kazi nzuri konde boy

  • @ErickSawe-ff3kw
    @ErickSawe-ff3kw 2 місяці тому +1

    Hongeni wananchi

  • @daudirajabu6798
    @daudirajabu6798 3 роки тому +7

    Dogo yuko vizur hongera sana

  • @jayclassic5164
    @jayclassic5164 3 роки тому +3

    This is another level...super talented

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 3 роки тому +2

    #Oyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo #jeeeeeeeshiiii

  • @cleffskinnersouverain8353
    @cleffskinnersouverain8353 3 роки тому +2

    Tout rev Pam avan mwen mouri pou mw rankontre hamonizer ak Diamond tout rev Pam neg sa sevim egzanp mesi anpil pou love nou

  • @jacksonsilvester4518
    @jacksonsilvester4518 2 роки тому +3

    Hiisiku ndo harmo alijipatia wafuasiwengi kwa show yakibabe

  • @petetndenga35
    @petetndenga35 3 роки тому +3

    Atari sana

  • @philimonimaduhu9239
    @philimonimaduhu9239 3 роки тому +2

    Jeshiii

  • @mohamedabdalah9124
    @mohamedabdalah9124 3 роки тому +1

    Nimeipenda sana

  • @jonaswiliamwiliam988
    @jonaswiliamwiliam988 3 роки тому +2

    Jesh

  • @neylathmtendanga5632
    @neylathmtendanga5632 3 роки тому +1

    2021 wananchi 💚💛

  • @annamilio9706
    @annamilio9706 3 роки тому +1

    Hongera umeuwa

  • @kikotijoseph6942
    @kikotijoseph6942 3 роки тому +3

    Watani Kama mnatambika !!!!

  • @happycharles9019
    @happycharles9019 3 роки тому +1

    Umenpa raha sana konde boy

  • @ryankangwana9312
    @ryankangwana9312 3 роки тому

    Hainistui...team konde gang hapa

  • @hayransalum9613
    @hayransalum9613 3 роки тому +2

    Safi

  • @banitomsavari
    @banitomsavari 3 роки тому +6

    Jesshhhhhiiiiiiii🥊🥊

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 3 роки тому +4

    nani amestuka kama camera man anawachukua wadada wenye sura nzuri tu🤗

    • @Cambarada
      @Cambarada 3 роки тому +1

      Hakuna aliyeshtuka😆😆

  • @jamspili9606
    @jamspili9606 3 роки тому +2

    Jeshiiii konde boy jeshiiii tembo ni tembo

  • @daniellazurus4031
    @daniellazurus4031 3 роки тому +4

    Kajitahidii big Konde boy

  • @wasafiofficial5244
    @wasafiofficial5244 3 роки тому +2

    Konde king