IMANI PETRO KATIKA UBORA WAKE..ALLAH AMRAHAMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 287

  • @veronicatumaini1939
    @veronicatumaini1939 4 роки тому +128

    Nimesilimu kupitia hii mihadhara juu nisikiza kwa umakini nikajua dini ya kweli ni uislam nitakufa nikiwa muislam

    • @alimkali7329
      @alimkali7329 4 роки тому +8

      Allah akulipe tawabu...Akuepushe na adhabu zake...Amin

    • @salehesengiyanka5397
      @salehesengiyanka5397 4 роки тому +3

      Allah akujalie dada, waingize na wengine wafie katika uislamu waache kumuabundu sanamu yesu

    • @saodashaban3449
      @saodashaban3449 4 роки тому +3

      Mashaallah mola azidi kukupa nuru yake

    • @maatumkadhi1760
      @maatumkadhi1760 4 роки тому +3

      Mashallah mashallah Allah akupe nguvu ndg yangu

    • @francinensavyimana5601
      @francinensavyimana5601 4 роки тому +10

      Karibu katika uisilam sisiote apa tumekimbiya uyo moto wa makafiri Allah atuongoze waisilamu tupate popo InshaAllah wallahi ivi mimi ninaceki movie nikimaliza muhazara kumbe izi wakristo zote ninjala tu nanjiya ya kupoteya .yani coroani inazungumuza cocote tunacokiona apa duniyani yarabi tupe mwisho mwema

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 4 роки тому +25

    Maasha Allah, Huyu ustadh alifanya kazi sanaaaaaaaaaa, yaani waliosilimu wakaingia katika dini walifanya kazi kubwa sanaaaaaa ya kuutangaza uislam na kuwaingiza watu katika dini.
    Yaani nyakati hizo, ilikuwa mtu unaona haya kujitangaza kuwa wewe ni Muislam, maana ilikuwa Uislam unashambuliwa kila kona kuwa ni dini ya majini, mashetani, wanywa damu za watu, na waganga wa kishirikina walikuwa wamezagaa kila kona na wote karibia walikuwa waislam.
    Basi hawa vijana, Imani Petro, Mazinge Habib, Yahya, Ngariba, nk walitufanya angalau tukapumua waislam na kujiona kumbe dini yetu ni ya Haki
    Allah amlipe kila la kheri Imani Petro, amfutie adhabu za kaburi, amsamehe dhambi zake, amtazame kwa jicho la huruma, na amuingize katika pepo yake yeye pamoja na sisi waislam wote. Amin

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  4 роки тому

      Hakika..amin

    • @mrsliverpool4235
      @mrsliverpool4235 4 роки тому

      Amina lnshaAllah

    • @hubaamuj5129
      @hubaamuj5129 4 роки тому

      Aaaamin yaa rabby 🕋🙏🕋

    • @jumakoga2179
      @jumakoga2179 4 роки тому

      Allahumma Ami thumma allahumma ami

    • @jumakoga2179
      @jumakoga2179 4 роки тому

      Tatizo hatutaki kusoma, waganga wakatumia fursa kutangaza ushetwaani. wao na sisi tukashabikia hali ya kwamba hatujuwi chochote, tukavunja dini

  • @hassanrangambo8007
    @hassanrangambo8007 4 роки тому +17

    maashaaalla mnyezi mungu amrehemu, miongoni mwa miamba ya miadhara tulio jivunia

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 роки тому +31

    Inna Lillahi WA inna ilayhi raji'un Mola amrahamu amujalye makazi mema ndani ya pepo tul fridaus🤲🙏

  • @jaffarumar5258
    @jaffarumar5258 4 роки тому +37

    Allah amlipe huyu sheikh imani Janat firdaus na waislam wote walio tangulia mbele ya Haki.(masha’Allah alikua Legend)

  • @alilalila5035
    @alilalila5035 4 роки тому +16

    Allah akurehemu akuweke jannatul firdaus

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 4 роки тому +12

    Yaani IMANI petro ninavokupenda ALLAH akurehemu

  • @kazungukakiyo8560
    @kazungukakiyo8560 4 роки тому +6

    Imani Petro kaka yangu tafsri yako swahihu muno.Allah akujaalie Ekhilas; nime kuelewa vizuri saana.

  • @iddyally4439
    @iddyally4439 4 роки тому +9

    Allah amjalie sana huko alipo shekh alitikisa dunia sana huyu sitomsahau alipokuja zanzibar akaweka daawa

  • @عبدالملكالغماوي
    @عبدالملكالغماوي 2 роки тому +5

    ما شاء الله ! غفر الله له وجعل عمله الصالح هذا في ميزان حسناته💗💖

  • @hubaamuj5129
    @hubaamuj5129 4 роки тому +11

    Innallillahi wainnaillahi RAJIUN 💔. Allah amrehemu nawareheme maiti woote in sha Allah! Husnul Khattimah Yaa Rabby 🕋. Allahu Akbar Allah Akram 🕋🙏🕋

    • @hubaamuj5129
      @hubaamuj5129 4 роки тому +1

      Tumsalie Mtume Mohammad"Allahuma Swallehwasalim Alley wabbarrik Allley". ALAHU AKBAR! ALLAHU AKBAR! ALLAHU AKBAR! Shukran jazzakkah Allahu khery; MAA SHA ALLAH 🕋 HUSNUL KHATTIMAH YAA RABBY 🙏 🕋🙏.

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 4 роки тому +5

    Masha Allah tabaraka Rahman Allah amghufurie madhambi yake na yetu na jamii muslimiin wal muslimaat wal mu'uminiin wal mu'uminaat jamian ameen yaarabil Aalamiin

  • @hassanabdalla2741
    @hassanabdalla2741 4 роки тому +4

    Innaa Lillaahi wa Innaa ilaihi rajiun. Mungu akurehemu Sheikh Imani Petro. Hakika tulikupenda ila Allah amekupenda zaidi.

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 роки тому +12

    Kunamuda naliyaga nikiisikiya coroan nakuna aya inaandikwa mutu ati mutu akisilimu ataweza liya kutokananakweli anayoiona Allah akbarr

  • @mwajumamwajuma3756
    @mwajumamwajuma3756 4 роки тому +2

    Mashaallah wisilam 🤝 endeleini kuwafahamisha insha'Allaha mngu atawalipa 🙏

  • @aksamg7962
    @aksamg7962 3 роки тому +1

    Masha Allah mwenye masikio na asikie hilisomo halijawai kutokea 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 роки тому +9

    Mola awadhidishie khayran pia awahifadhi Allah Azza WA jalla awajaliye vitendo maqbul 🙏

  • @suleimanali8317
    @suleimanali8317 4 роки тому +3

    Allah amjalie Imani Petro pepo ya daraja la juu amiin

    • @francinensavyimana5601
      @francinensavyimana5601 4 роки тому

      Yani Allah kamuma kweli afe amevunja uvimbe huyo duuuh iyi mifano ya yesu ukiita vizuri ufafanuzi unaona yesu ni muisilamu mukubwa zaidi yani hatari sana ata mimi iyi niraiifazi nitai screenshort ili niwasomeshe InshaAllah makafiri .

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 4 роки тому +6

    Mwenye Enzi Mungu amrehemu amjaalie katika as'habul yamiin yaarab. Ameen yaarabil Aalamiin

  • @bilalomar1185
    @bilalomar1185 4 роки тому +4

    IMANI PETRO KATIKA UBORA WAKE..ALLAH AMRAHAMU Ameen Ameen .
    Ee Allaah, nitengenezee Dini yangu ambayo ndio asasi ya mambo yangu, na nitengenezee dunia yangu ambayo humo ni maisha yangu, na nitengenezee Aakhirah yangu ambayo humo ni marejeo yangu, na Jaalia uhai wangu uwe wenye ziada ya kila kheri, na Jaalia mauti kwangu yawe ya raha kutokana na kila shari Ameen.

  • @mcsailas8328
    @mcsailas8328 3 роки тому +2

    Iwish ro be a muslim through this video nimejiunga GB4 kisa haya mahubili

  • @aminaamina3972
    @aminaamina3972 4 роки тому +12

    Allah amrehemu

  • @mussafanto7088
    @mussafanto7088 4 роки тому +5

    Allah ampe huruma yake alikua anafundisha vizuri mashaallah.

  • @AliSalimRashid
    @AliSalimRashid 5 місяців тому

    Allah akulinde na Kila baya Imani Petro na akulinde na akuepushe sana na mabaya yote Amin Amin Amin

  • @officialmakajuro3309
    @officialmakajuro3309 4 роки тому +2

    Amin allahuma qfirluhu warhamhu wasqinhu fil-jannat

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 роки тому +1

    Innalilah wainalilah rajiunni Allah akuraham sheikh wetu akujaalie kauli thabiti akuwashie nuru ktk kaburi lako naakujaalie jannah firdaus I Aamiin Nas sote waja wako yaraab utujaalie mwisho mwema Aamiin

  • @jumakoga2179
    @jumakoga2179 4 роки тому +6

    Allah amrehemu ndugu yetu katika imaani imaani petro

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 роки тому +1

    Tulikuelewa sana Sheikh wetu M'mungu akurehemu Insha'Allah

  • @hadijamwanana2471
    @hadijamwanana2471 4 роки тому +3

    Mwenyezi mungu akupe kauli thabit akutoe mchanga wamacho kaburi liwe viwanja vyapeponi umeupambania uwisilam

  • @mufid707
    @mufid707 4 роки тому +4

    Allah Amweke pema pamoja na wema. Peponi. Marehemu alijuwa Haki akaifata Alhamdulillah. Aliuwawa kama Marehemu Wahshi.

  • @ramzanqarim4977
    @ramzanqarim4977 4 роки тому +2

    Inna lillah wa ina ilaihi rajiun...
    Mola amrehem mwalimu imani petro ya rabb.

  • @jayjayler2795
    @jayjayler2795 4 роки тому +3

    ALLAH amueke pema penye wema ndugu yetu imani petrol ina lilahi wainailahi rajiuun (Nairobi Kenya)

  • @abedbin2794
    @abedbin2794 4 роки тому +4

    إنا لله وإنا إليه راجعون
    الله يغرله و يرحمه ويدخله جنة الفردوس

  • @veronicatumaini1939
    @veronicatumaini1939 4 роки тому +4

    Inna lillah wainna ilayhi rajiuun. hata sikujua kua ametangulia mbele za Allah

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 4 роки тому +3

    Allah amrehemu Ameacha mafunzo mazuri nyuma yake. Peponi ikawe makazi yako. Ameen

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 4 роки тому +3

    Daaa ardhi inakula watu Allah atupe mwisho mwema sijasikia kama amefariki ndio naona hapa innaillah wainailah rajoon mungu afanyue wepesi kwenye nyumba yake ya milele

  • @aleyabra8005
    @aleyabra8005 4 роки тому +8

    Naomb ustdh yahya ipost na ile dibet ya bugurun anayo kichambua kitabu ch hstoria y kanisa na injili 4 za agano jpya waloandka s wanafunz w yesu na anatoa mpaka andko la mwana wa mungu lilvyo ingzw ktk biblia

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 роки тому +12

    Innalillahi wainna ilirajiuun

  • @ummysalumu6606
    @ummysalumu6606 4 роки тому +2

    Innalilahi wainnailahi rajiun kwa hakika Allah amlipe kinacho stakhiki na pepo ya firdauth iwe nae pamoja na waislam wote walotangulia mpele za haki ya Allah twakuomba nasi tulie hai uzijaze imani nafsi zetu tuwe wenye hofu yakuacha kutenda yasio kupendeza utuelekeze ktk yalo mema AMEEN YARABY

  • @adamally404
    @adamally404 Рік тому

    Allah akurehemu kakaangu katika uislamu akueke ktk pepo ya Firdauss Aminah

  • @omakywazamani6696
    @omakywazamani6696 4 роки тому +2

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu akuweke peponi

  • @aleyabra8005
    @aleyabra8005 4 роки тому +5

    Namkubal sana alchafua tanznia vsiwan n bara kifo chake n cha utata sana ilikua kama cha wahsh ndundw

  • @edge6016
    @edge6016 4 роки тому +3

    Inalilahi wainaileyhi Rajiu'n Allah amjalie pahali pema peponi

  • @zamdaswaleh5410
    @zamdaswaleh5410 2 роки тому

    Allah amempenda,akamtanguliza kumuepusha na KIZAIZAI CHA HAPA ULIMWENGUNI.
    MASHAALLAH KHEIR

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 4 роки тому +2

    Inna Lillahi wainna ilahi rajiun Allah SWT amueke pahala pema peponi na waislamu wote walio tangulia Amin ya Rabbi ajmain

  • @jei_Ibrahim
    @jei_Ibrahim 3 роки тому +2

    Nimejuaa kwanini mazinge anapenda kusema "mumenielewa kumbe aliitoa kwa imani petro bila shaka uyu ndio mazinge ana look apon

  • @sadikfarhan25
    @sadikfarhan25 4 роки тому +2

    allahumma khfirlahu warhamu waskinhu fil jannah

  • @latifamkulazi8378
    @latifamkulazi8378 4 роки тому +6

    Naipendahii nishaiona huwa inanifanya nicheke na kulia. Allah atujaalie tuwemiongoni mwawajawake waliowema in Sha Allah.

  • @mwanakombobakaribakaridz164
    @mwanakombobakaribakaridz164 3 роки тому +1

    MashaAllah Allah amjalie peponi iwe makazi yake

  • @imranmohamed8627
    @imranmohamed8627 4 роки тому +3

    ALLAH ampe pepo Imani petro baada kuona haki hakusita kuifwata.. Hapo kando nawaona kina Shafi, Said Kinyogoli, Yahya na wengineo nikiwaona tu najua hakuna ukristo.

  • @allymohamed6265
    @allymohamed6265 4 роки тому +3

    Allahu ma Aamin ya rabb. Allah amrehem Na ampe kauli thabit huko aliko

  • @abubakarali8167
    @abubakarali8167 4 роки тому +8

    Inna lillahi wainna ileihi ra'jiun allahuma ghfirlahu waarhamhu waaskunhu fil jannah

  • @mrok284
    @mrok284 2 роки тому +1

    Ooo Allah give this man your Paradise.

  • @ridhiwanikibonge793
    @ridhiwanikibonge793 4 роки тому +6

    اللهم اغفرله ورحمه

  • @samxx411
    @samxx411 2 роки тому +1

    Dah!!!! Haya maneno ni mazito sana! Ila imani petro umeenda ila Mungu hajakosea anajuwa anachokifanya

  • @user-pf8yt8mh4r
    @user-pf8yt8mh4r 6 місяців тому

    Alhamdhulillah❤najivunia sana kuzaliwa ktka dini ya haki y Allah

  • @seifjuma4743
    @seifjuma4743 3 роки тому

    Nakupenda san Iman petro we ni zaid ya hawa wa leooo waooo ni kuladiana n kujifaharisha kwa ujinga waooo

    • @mtotompole1040
      @mtotompole1040 Рік тому

      Mapungufu Yao Waachie Kaka Hakuna Mwema Duniani Yachukue MAZURI Yao

  • @hassanalihassan5073
    @hassanalihassan5073 4 роки тому +2

    Allah amlaze mahali pema amin ya rabbil alamin

  • @salehesengiyanka5397
    @salehesengiyanka5397 4 роки тому +3

    Kenya daawa naomba muweke nyingine nyingi za imani petro kama zipo

  • @aishahassan3214
    @aishahassan3214 3 роки тому +2

    Allah amuweke Jannat firdaus ostadh wetu

  • @shikivokochabunu8011
    @shikivokochabunu8011 3 роки тому +1

    Sijui munanielewa Lakini hapo bila shaka tunakuelewa Sheikh Allah akueke pamoja Na mtume peponi

  • @hanifajuma6121
    @hanifajuma6121 2 роки тому +3

    May Allah grant him jahnna tul firdos ameen.

  • @jamilaomariomari8328
    @jamilaomariomari8328 3 роки тому +1

    😭😭😭😭😭😭Allah amrehemu huyu Ustadh.

  • @just_this_way
    @just_this_way 4 роки тому +4

    Aamiiin

  • @rahmatahmed1871
    @rahmatahmed1871 2 роки тому

    Assalam Aleykum warahmatullah wabarakatu....Innalillah wa innah illah rajioun....Allah Akurehemu sheikh Iman petro Akujalie jannah tul fudaus Ala ...na jamiia mouti muslim yarabby

  • @abdirashidkusow9141
    @abdirashidkusow9141 3 роки тому +3

    May Allah grant him Janatul Firdowz inshaAllah

  • @veronicatumaini1939
    @veronicatumaini1939 4 роки тому +6

    Baki tu kuenda madrassa nijifunze kusoma Quran

  • @salimmkwama1342
    @salimmkwama1342 4 роки тому +3

    اللهم غفرله ورحمه واسكنه في الجنة

  • @jei_Ibrahim
    @jei_Ibrahim 3 роки тому +1

    Imagine uyu jamaa ana fundisha Imani ya uisilamu kutumia bibilia

  • @rehemakatunda6852
    @rehemakatunda6852 3 роки тому

    Allah akupe shifaa njema sheikh Amani petro

  • @guyogalora2736
    @guyogalora2736 8 місяців тому

    Allah subhanahu wata'ala grant him high jannatul firdous

  • @YussufSaid-ok4pu
    @YussufSaid-ok4pu Рік тому +1

    اللهم غفرله ورحمه

  • @abuhajaranwar558
    @abuhajaranwar558 4 роки тому +6

    moLa amrahamu

  • @masharubundevu3765
    @masharubundevu3765 4 роки тому +2

    M/Munguakupe kauli thabiti akusamehe makosa yako kwa kuwa si mkamilifu, ila nilichofutahi kwamba umefia kwenye Dini ya haki

  • @ashajuma8686
    @ashajuma8686 4 роки тому +3

    Allah amrehemu na waislam wote kwa jumla..

  • @TabuOdhiamboOmiya
    @TabuOdhiamboOmiya 7 місяців тому

    Allah amrehemu sheikh wetu

  • @asmaasmi9019
    @asmaasmi9019 4 роки тому +3

    Inalillahi wainaillahi rajiuon

  • @zamdaswaleh5410
    @zamdaswaleh5410 2 роки тому +1

    Jamaa ALIKUA MUELEWA VIZURI NA NDIO MAANA AKABAINI HAKI.
    TAKBIR

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 4 роки тому +1

    INA Lilah waina ilaihi rajiun mwenzangu amlaze pema peponi inshallah

  • @abdulzackawami7780
    @abdulzackawami7780 4 роки тому +3

    Innah lillah wainnah rillah rajuunah 😭🙏

  • @bogoakassim8714
    @bogoakassim8714 3 роки тому +1

    Mungu Akurehemu Ameen

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 4 роки тому +1

    Allahumma Amin ya Rabb

  • @salimmohammed8617
    @salimmohammed8617 2 роки тому

    Allah tujalie tufe ktk uislam

  • @aksamg7962
    @aksamg7962 3 роки тому +2

    Mkiristo akiendelea kua mkiristo huyo nikiburi chake tu

  • @lwankobiyundi5300
    @lwankobiyundi5300 3 роки тому +1

    Alla akurehem

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 4 роки тому +3

    Allah amrehemu. Ameen!

  • @omaribakari-9217
    @omaribakari-9217 Рік тому +1

    Mashaallaa

  • @katejr8651
    @katejr8651 4 роки тому +2

    Wewe ni ngano ya ukweli nenda kwa amani

  • @yakubuhussein4856
    @yakubuhussein4856 4 роки тому +6

    Allah awalipe janatul fildaus

  • @SalmaMohd-u7l
    @SalmaMohd-u7l 7 місяців тому

    Mashallwa kizuri hakidumu

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 4 роки тому +1

    Ya Allah jannat firdaus iwe makazi sheikh huyo yaa Rabby

  • @omarabeid1363
    @omarabeid1363 4 роки тому +2

    Inna lilahi waina ilehi rajiun Allah amrehemu Ameen

  • @faharuhassan
    @faharuhassan Рік тому

    Hakika ya allah akujalie katika kuitangaza dini ya allah

  • @sogoyikissoyi8400
    @sogoyikissoyi8400 3 роки тому

    Hakika kila anenaye mema Mungu atamlipa,Mungu akupe kauli thabiti Imani Petro

  • @mohamedibrahim7732
    @mohamedibrahim7732 2 роки тому

    sheikh imani petro rahimahullah

  • @kassimchitseko9247
    @kassimchitseko9247 4 роки тому +3

    Amiin amiin

  • @shumalproduction536
    @shumalproduction536 4 роки тому +2

    M.a sh yahya

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 4 роки тому +1

    Rahimahu Allahu

  • @bimkubwaali1605
    @bimkubwaali1605 4 роки тому +1

    Allah ghfirlahu warhamhu

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 4 роки тому +1

    Allah amlaze mahali pema peponi 🤲