Ahsante mpendwa, Je, haya maziwa yanakaa muda gani mpaka kuharibika? Na utunzaji wake upoje? Na je, ninaweza kufanya biashara nikafanya packing? Naomba unielekeze
Ndugu ukijali kila kitu uache kula mtaani upike nyumbani sisi tulikulia vijijini tumekuwa tukinywa maziwa yaliyotoka kukamuliwa hata haya chemshwi ila hatujawahi kuumwa
Ahsante mpendwa,
Je, haya maziwa yanakaa muda gani mpaka kuharibika? Na utunzaji wake upoje?
Na je, ninaweza kufanya biashara nikafanya packing?
Naomba unielekeze
Ina maana hayachemki inavyotakiwa? Maana maziwa yana vijidudu na tunaambiwa tuchemshe na kuchujwa haswaa
Ndugu ukijali kila kitu uache kula mtaani upike nyumbani sisi tulikulia vijijini tumekuwa tukinywa maziwa yaliyotoka kukamuliwa hata haya chemshwi ila hatujawahi kuumwa
Maziwa nimeyapenda ila ugari nikadogo na ingekuwa dona weeee
I lv this❤️
Salam alekum
safi
Asante my love
I love this
Ntoe namba bas
Nakupataje privately
Hello ma dia naomba kujua kama nisipotoa hiyo cream naweza endelea na hatua inayofuata yaani kuchanganya mtindi na cream
Hauwekii. Sugar