NGUVU YA KUINUKA TENA || PASTOR GEORGE MUKABWA || 17/01/2024
Вставка
- Опубліковано 16 січ 2024
- PASTOR GEORGE MUKABWA - SENIOR PASTOR - JESUS RESTORATION CENTER (JRC), MWANZA, TANZANIA.
Unaweza Tuma Sadaka yako kwenda ;
- M-Pesa Lipa Namba : 5252176
- MPESA number +255 753 333 008 (Jina : George Stephen Mukabwa)
- KCB Bank Acc : 3300692938 (Jina : JESUS RESTORATION CENTER) - Фільми й анімація
Pastor mm.napenda sana.kukufatilia na pia nayaelewa sana masomobyako wew u mwlim mzuri sna unatufndisha vzuri tunaoelewa tunaelewa na wasioelewa pia wanapata elim ya Kristo YESU kadri ROHO WA BWANA anavyowajalia
Hakika
Amen, Amen sijutii kukupata mtandaoni naona ushindi mbele yangu🙏
Mungu akulinde pasta wewe acha tu unanisaidia sana aise mwache mungu ajivunie juu.yako amen
Ameni amen 🙏 mtumishi umekua mwalimu mzuri kwangu na Mungu anakutumia vyema Mungu akutunze na kukuongezea viwango zaidi vya roho mtakatifu 🎉
Groly to God,Haleluya ubarikiwe mtumishi wa Mungu,ujumbe mzuri mno binafsi nimeponywa,Neno la Mungu limetimiza mapenzi yake kwangu.
Mtu wa Mungu namshukuru sana Mungu kwa ajili yako.
Nimejifunza mambo mengi sana kwako.
Pastor wacha mungu wetu warehema akuinue katika jina la yesu
Big amen 🙏🏿🙏🏿
Nabarikiwa sana na mafundisho yako pastor Mungu akutunze
Amen 🙏 mtumishi barikiwa sana yaani mafundisho yako yaani bariki sana
Nashukuru pastor umenigusa roho kabisa nitaomba kuanzia leo mungu anilejesehe biashara yangu na naomba pia uniombee
Mungu akupe maisha marefu
God bless you man of
God
Pasteur Mungu akubariki sana
Asante kwa mafundisho Yako pastor Niko Kenya imeniinua sana
From Saudi Arabia ,barkiwa mtumishi wa mungu
Amina Pastor kwakweli unanipa kumjua Mungu.
Be blessed pasta,hapa da huduma hii ipo maeneo yapi❤
Asante yesu, nainuka tena barikiwa sana pastor
God blesse you pastor
MUNGU akubariki Sana mtumish wa Mungu hakika nimebarikiwa, Maombi yangu Mungu aendelee kukutunza
Amen nimebarikwa Baba Asante 🙏🙏
Nafuatilia sana mafundisho, nina amani sana maisha yamebadilika hadi mume wangu kaacha pombe
Nakupenda sana pastor George umenifanya niwe na amani moyoni mwangu nilitawaliwa na roho nyingi mpaka nikakosa cha kufanya lkn baada ya kukupata wewe nimejawa na aman sana moyoni
Amen mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏
Be blessed pastor Ameeeeeeen 🙏 🙌
Amen Amen Amen tumebarikiwa
Asante mtumishi wa Mungu wewe ni wa Thamani Sana Mungu akutunze
Asante kwa Neno la Mungu lisiloghoshiwa
Mungu azidi kukupa kibari zaidi
Amen Amen mwaka wa Baraka
Asante Pastor George Kwa somo la Leo la Nguvu ya Kuinuka Tena!!!!
Hakika ninebarikiwa
Be blessed pastor amen
Mungu wa mbinguni na azidi kukuinua na ukazidi ktk kuujenga ufalme wa mbinguni kwa mamlaka ya jina la Yesu. Binafsi nabarikiwa na namtukuza Mungu kwa ajili yako mchungaji
Amen Amen Amen 🙏
Amen Amen
Thank you Jesus for your Finished work at Calvary we are healed.
Amina baba naendelea kubalikiwa sana.
Nabarikiwa sana namafundisho yako pastor nafunguliwa mengi sana mpaka nimekuwa muimbaji wanyimbo zainjili umenifundisha kutulia ktk uwepo waMungu nakusikia kile Mungu anataka barikiwa sana
wewe nimutumishi mwelevu mungu Acha ajivunie mwako tuombee nasi tumujuwe zaidi
Pastor barikiwa sana, na karibu dodima
Nabarikiwa sana pastor
Amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen baba unatufungua vizibo vya ufahamu wa rohoni Yani unafunfusha Kwa kulifunua kuliwwka wazi yaani hutuachii maswali,Yani ninavyokuelewa inanifanya nijitambue
Amen Mungu anakutuma kwe tu
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.umeniinua katika mzigo mzito
Pastor mungu aendelee kukulinda
Amen 🙏 ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwa mafundisho 🙏🙏
Amen,asante kwa mafundisho mazuri,na muongozo mzuri wa maombi,ubarikiwe sana.
Asante MUNGU kwa mafundisho haya kwa kweli nimepata mafunzo
Najiunganisha na haya madhabahu
Wew ni mtumish mwenye nguvu asante kwa mafundish mazur mnoo
Asante Mch nimepokea ufunguo wa mwanzo mpya
Ameen I raise up again pastor be bleesed
Mungu akubariki Kwa mafundisho mazuri sana.Amina
Amen pastor be blessed
Ameen
❤❤
Amen napokea kunyanyuka tena
Amen
Amen 🙏🙌 be blessed
Nainuka tena Bwana Yesu
PASTOR TUNAKUOMBA UFUNGUE BRANCH DAR UWE UNAKUJA. WATU WENGI HUKU DAR TUNAKUHITAJI. TUMEKOSA ULAJI WA NENO LA MUNGU LENYE NGUVU KAMA HILO. NJOO MTUMISHI.
👏👏👏👏 hallelujah Amen
Balikiwa
Ameeen
Kila,kinachonihusu kitainuka tena
Kanisa liko wapi tafadhali naomba nielekezwe
Huduma hii inapatikana wapi huku daresalam
Mlituahidi kwamba tutapata vitabu
Kitabu ninapataje?? Nipo dar es salaam
Nashukuru kwa mafuzo mazuri mtumishi wamungu, hakika nimebarikiwa, nawafatilia nikiwa Kenya.
Asante yesu, nainuka tena barikiwa sana pastor
Ameen
Huduma hii inapatikana wapi huku daresalam