SSB FAHARI YETU BAKHRESA GROUP EPISODE 04
Вставка
- Опубліковано 12 вер 2024
- Episode 4: Fahari Yetu - Ni kipindi maalumu kinachoangazia mambo mengi kuhusu kampuni za Bakhresa Group ndani na nje ya nchi.
Usikose kutazama #FahariYetu ndani ya #UTV chaneli namba 108 kwenye kisimbuzi cha #AzamTV #BakhresaGroup
Asante kwa kutazama video hii. SUBSCRIBE katika channel ili usipitwe na mazuri mengi yanayofuata 🔥👍
This is very impressive...Mazingira ya kiwanda ni masafi sana...
Asante sana Bakhresa Inspired goverment ichukue hizo changamoto🛣📴
Well
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ Maua yenu kutoka Kigali Rwanda 🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Kwa kweli kitu cha kushangaza na hii sio Tanzania tu nazungumzia kwa nchi zote za Africa. Nnchi za afrika Zina kheri nyingi lakini unashangaza kuwa zinasubiri ngano kutoka okrania ambayo nnchi Ina vita vikubwa na rusia. Kwa nini nchi za afrika hazipandi ngano wenyewe??!!