Kumekucha....! NI ZAIDI YA PIGO CHADEMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 29

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 26 днів тому +2

    Ahsante sana mama, wewe ni mwamba Mungu akupe afya njema uwe na maisha marefu uendelee kupambania haki zetu sisi wananchi. Ahsanteni sana akina mama wote chadema, Pipooooooooooz...✌️❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 25 днів тому

    Siyaamini tena maneno ya msingwa kuhusiana na chadema

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 25 днів тому

    Hongera sana

  • @maligiretongora3333
    @maligiretongora3333 27 днів тому +3

    Kitendo Cha kumdhihaki Mbowe Kwa kimvalisha mavazi ya ccm ni udhalilishaji.

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 27 днів тому +3

    Ndugu yangu hao polisi ni wateule wa Rais kuanzi nafasi za ACP, CP huwezi kuwa kwa mfano RPC,RCO, na vitengo vya polisi kitaifa wanatokana na vyeo hivyo hapo juu wakiuka maagizo ya ikulu wataonekana waasi, hivyo na wao wanafanya kama ulivyoona huko Mbeya wanashinikizwa na kiapo na wanajua kuwa siyo sawasawa kutekeleza uonevu kwa wanachi ambao ni baba zao kaka zao mama zao wajomba zao wakwe zao n.k. pamoja na kwamba kuna uchawa

  • @user-mj6oe7ur7t
    @user-mj6oe7ur7t 15 днів тому

    Tunawasubiria ccm kwenye chaguzi zijazo.Tutawagaragaza mpaka.Hofu ya wananchi ni tumeile ile imebadilishwa jina tu.

  • @user-lr6qx9df4z
    @user-lr6qx9df4z 26 днів тому

    Aa Tanzania hakuna siasa kama Kenya Tanzania ni mipasho tu kupashana basi hawa wanasema hivi wale wanasema vile alimradi mkono uende vinywani basi mana wana siasa wa Tanzania wengi ni wapigaji tu sio tawala wala upenzani ni usanii kwenda mbele

  • @ONESMOKAUNDE
    @ONESMOKAUNDE 27 днів тому +1

    Safe sana mama

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 26 днів тому

    Tena nawaomba viongozi wangu wote mshikamane mpendane mvumiliane mbebeane mazaifu sasa hivi wanawavalisha mango yao mtandao I kutulaghai mnahamia ccm namba moja wameanza na tundu lisu na mbowe sisi hstufanganyiki tunaona msimame insta tunaeapenda sana

  • @MwanakomboNassor-bw3by
    @MwanakomboNassor-bw3by 25 днів тому

    Hamuachi mtaisoma number😂😂😂

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 27 днів тому

    Wanahofu na chadema✌️

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 26 днів тому

    Kwa hiyo chura alipigwa teke akaingia bwawani?

  • @JohnManyilizu-rl5bm
    @JohnManyilizu-rl5bm 27 днів тому

    Aaaha

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 27 днів тому

    Niishara ya Ushindi Mwaka huku CCM watalalia Pua

  • @user-mn5yq3xc7j
    @user-mn5yq3xc7j 26 днів тому

    Mbona head line tofauti na yaliyopo

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 26 днів тому

    Ccm wanawaogopa

  • @edwardmassawe5116
    @edwardmassawe5116 27 днів тому +1

    Unamvalishaje mbowe nguo ya ccm umbwa wewe

  • @francismomo7067
    @francismomo7067 27 днів тому

    Kuna akount zingine za UA-cam hazifai kuangalia....Kwan mkisema UKWELI shida n ipi? ...mnataka watu waangalie channel zen semen ukwel

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 27 днів тому

    Hakuna lolote hamuwezi kuishinda CCM .Hakuna kiongozi aliyekamatwa zaidi yakurudishwa kwao .kiburi ndiyo kilicho wapoza kwanza hamkupingwa vizuri .

    • @francismomo7067
      @francismomo7067 27 днів тому

      Cdm haiwez kuishnda ccm ,ila wananchi qakichoka wataikataa wenyeww

    • @MirajiMbolile
      @MirajiMbolile 26 днів тому

      Kila kitu na wakati ipo siku hamtaamini

    • @isayamhumba3352
      @isayamhumba3352 26 днів тому

      CCM hawawezi kushinda, ila walikubali wenyewe kuwa ni wezi wa kura, Nape alisema kweli

    • @HulumaKisakali
      @HulumaKisakali 26 днів тому +1

      Nihalali lakin tumewachoka nyie siwezi nape kasem hakuna uhalali wa ccm maskini tuna kufa nyie matumbo yanajaa saa ya bawana yaja

    • @user-xs2mq2xf6x
      @user-xs2mq2xf6x 25 днів тому

      Wewe chizi kweli kunanani mtu waccm mwenye akili ya kuwa kiongozi Toka kwenu ila tuendako siyo kuzuri ipo siku tutakinusha

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 27 днів тому

    Hiv una mume kweli ww au unadanga tu? Kwa sura hiyo ww mwanamke huna sifa