Siku ya Kimataifa ya michezo ya kwanza kuadhimishwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 чер 2024
  • Wakati dunia inaadhimisha kwa mara ya kwanza siku ya kimataifa iliyotengwa kwa ajili ya kucheza, Nchini Rwanda mradi wa 'Tujifunze kupitia michezo' unatajwa kusaidia watoto kutoka shule za chekechea zaidi ya 700 nchini humo kumaliza shule wakiwa na uwezo mzuri na kuanza shule ya msingi kwa mafanikio
    Elimu yote hutolewa kwa kucheza kama njia ya kipekee ya kuandaa mwili na ubongo wa mtoto katika ujuzi tofauti.
    #bbcswahili #rwanda #sikuyakucheza
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

КОМЕНТАРІ •