#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лип 2024
  • Ujumbe: Kujisamehe
    Andiko: Zaburi 103:3
    Pastor: Innocent Mashauri
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

КОМЕНТАРІ • 29

  • @SelinaRaphael-dr5lg
    @SelinaRaphael-dr5lg 2 дні тому +2

    Roho Mtakatifu niongoze ili nijisamehe katika jina la Yesu amen

  • @SYDEYLINET
    @SYDEYLINET День тому

    Hallelujah BABA nisamehe nakataa roho yakujihukumu na lawama kwa watu wengine nifungue eee BABA kimawaza na katika kila hali niwezeshe naachilia yote na wote ambao walinikosea kwa JINA LA YESU KRISTO NAAMINI BWANA UNATENDA AMEN 🙏 barikiwa sana pastor

  • @AgenesteRay
    @AgenesteRay 2 дні тому

    Asante yesu kwakutumiya mutumishi wako azidi kutuonesha mahali tunapo koseya asante sana tunajifunza mengi sana

  • @JosepherHerman
    @JosepherHerman 2 дні тому

    Ninakupenda Yesu wangu mwokoz wa maisha yangu

  • @JosephinaLeonard
    @JosephinaLeonard 2 дні тому

    Mungu ninakili mbele ya madhabahu yako kujisamehe na kukua kiroho kwa nafasi ya upendeleo wa Neema yako kwangu, Nakupenda pia napenda uwepo wako kwangu, Amen❤🙏.

  • @user-ld1uj2gz4z
    @user-ld1uj2gz4z 2 дні тому +1

    Amen amen amen

  • @user-ld1uj2gz4z
    @user-ld1uj2gz4z 2 дні тому +2

    Kweli mtumishi wa Mungu,uniombee niweze kujisamehe mwenyewe

  • @judislwinga7461
    @judislwinga7461 2 дні тому +1

    Amen

  • @NizaLuka-gi8hf
    @NizaLuka-gi8hf 2 дні тому +1

    Ubarikiwe inosent, Mungu nisaidie kujisamehe

  • @margaretmumby2411
    @margaretmumby2411 2 дні тому +1

    Amen 🙏

  • @vikichatila6031
    @vikichatila6031 2 дні тому +2

    Amina nabarikiw san na mistar ya biblia 🙏

  • @Princesscareen
    @Princesscareen 2 дні тому

    Yesu nakushukulu maana mambo nisiyoyajua kwa Sasa unanifungulia napata kujua na kujua kiroho thanks you God

  • @user-zg6ek5kk6z
    @user-zg6ek5kk6z 2 дні тому +1

    Ninakushukuru kwa yote MUNGU wangu ,na ninakuomba unipe nguvu na unihuishe upya ninapoenda kukutana na kikosi BETHREHEMU uniinue niendelee kuliendeleza na kulisimamia NENO lako kwa usahihi.Vikwazo vyote sasa basi.

  • @TITOJOSEPH-pf7cc
    @TITOJOSEPH-pf7cc 2 дні тому

    Naomba roho mtakatifu aniongoze kwa jina la yesu ❤❤

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 2 дні тому +1

    Ukabali yaliyotokea alafu mruhusu Mungu akusaidie

  • @JoyceMlelwa
    @JoyceMlelwa День тому

    Amina

  • @bonifasilubuye4560
    @bonifasilubuye4560 День тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.

  • @MariaKomba-oz1ko
    @MariaKomba-oz1ko 2 дні тому

    Nakuomba Yesu unifundishe kuji samehe

  • @reyswai1622
    @reyswai1622 2 дні тому +1

    🙌🙌🙌🙌🙌

  • @GabinKamwanggabin
    @GabinKamwanggabin День тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 2 дні тому

    Amen 🙏 thank you

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 2 дні тому

    Kabisa kabisa

  • @easterfraha5008
    @easterfraha5008 2 дні тому

    🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 2 дні тому +1

    Ni Mimi huyu yananihusu

  • @user-zg6ek5kk6z
    @user-zg6ek5kk6z 2 дні тому

    Umewaona walionikataa,naomba uniinulie wapya kwa ajili ya kuendelea kuliongoza kundidi BERTHRHEHEMU KWA UFANISI.

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 2 дні тому

    Ni kanisa Gani hili nihamie huko

  • @GabinKamwanggabin
    @GabinKamwanggabin День тому

    Amen

  • @user-ob1he4dg4f
    @user-ob1he4dg4f 2 дні тому

    Amen

  • @user-ob1he4dg4f
    @user-ob1he4dg4f 2 дні тому

    Amen