Wimbo wangu wa majira yote, Mungu akupe neema zaidi Dada yangu . Ni wimbo wa kumsogeza mtu karibu na muumba wake. Nyote mliyo imba na kutoa sauti zenu katika wimbo huu Mungu wa mbingu na nchi awabariki. Nawapenda ninawaombea
May God fight for you,if you believe this song has a touching message,piga like ukipita,mungu akujalie mwisho mwema fenny na asimame nawe in all hard time,from Kamba land
May the Lord God 🙏 stand on yo side.....Avery nice message ,to make anybody who has challenges To be perfect spiritually and believe it or not .....God doesn't ignore such message..........("""through""""experience
l listen to this song l fall in😭😭😭😭😭. I don't know what you are going through but God will never forsake you. Their's nothing else in this world, more than God.
This song strengthens my spirit alot.When they busy arranging for your funeral,you will live to see theirs.Let them live to see your progress in life.Amen
Ee Mungu wangu usinyamaze kimya Bwana, pigana nao wanao pigana nami pekee yangu mimi sitaweza, huu wimbo umenigusa sana hadi nimelia, nimepitia magumu nimengonjeka mguu kupitia mkono wa mwanadamu, Asante sana Dada Fenny kwa wimbo nzuri.
My sister maintain the status quo upward, the Lord who started a good work in you No doubt will accomplish it for His Glory. Am indeed blessed by your songs
Wow congratulations mommy wote waangamia wale wanaotafuta maisha ya wengine may God be with you mamii...dear friends let share and share don't forget to leave a sweet massage down below mbarikiwe wapi likes za mama fenny
Huu wimbo unaubariki moyo wangu sana Mungu wa mbinguni akubariki na kukutetea kinyume na watesi wako. Nimeusikiliza zaidi ya mara 1000 bado ni Baraka kubwa moyoni mwangu.
Amen amen amen PSALM 35:- Psalm 69 Psalm 59 Psalm83. Psalm 91 Psalm 119 Acha Mungu Baba Akupiganie Vita a kuchindiye Dunia y’a Woburn Na Wachawi Poole Sana Mupendwa Shalom
Wooo...am lacking words to say, Mungu atapigana na kutulipia kisasi maana ni chake mwenyewe, Umeimba neno tupu, muachie Mungu tuu atapigana.Umebariki moyo wangu,Fenny,God bless you, may u live to glorify God
Yaani huu wimbo nauimba kila siku hadi niwapo nje ya nyumba yangu na popte pale mitembeapo. Na usiku kabla ya kulala Ni wimbo upo masikioni mwangu. Had nami naufuatilia.kuimba pia na waimbaji wa huu wimbo. Ubatikiwe wewe mtumishi wa Mungu kwa kipaji hiki cha nyimbo zuri. Na karibuni not yimbo zako zote mi sauti za kuvutia na maneno ya wokovu. Asante sana Amina.
Am really encouraged and blessed, am passing through such kind of challenges. I felt like the song was composed for me. May God bless you Servant of God. May the blood of Jesus cover you and your family and the abundance life, wealth and health that comes from the King of Kings, the Almighty God locate you and your family.
Madui ni wengi mungu nikimboe,lakini ni bora kuwa na madui wengi kuliko kuwa na marafiki wengi, kuwa pekee ako ndko mungu atakuinua mbali, pole sana fenny kwa kuimba nyimbo ya machozi BT iko na mesaage nzuri ndani yake
Hii wimbo inanimba nguvu sana wakati niko n strees kila siku nikilala hiyo ndio naweka inimbie hadi nipate usingizi nikiamuka namukayo tene wacha mungu akupe nguvu my dear mum sister nyimbo sako nasipenda sana coz siko n message zuri sana sinakusa kila mutu mali amepitia
Awesome, this lady is a blessing. I listenened to all her songs and indeed she's wonderful. I kept on waiting for more and more songs. Wow, beautiful powerful songs. May God lift her higher and higher.
Huu wimbo my sisy fenny umenikumbsha mengi hadu najikuta nalia😭😭. God can't a shame us to our enemies we shame them in the name of our almighty God. Be blessed sisy FENNY🙏🙏🤲.
Glory to God, 😥😥😥my sister Fenny I can't hold my tears of joy after being in a battle that only God can come and rescue me, thanks for this powerful song am strong and leave that battle to the God, Hakika Mungu ndie mtetesi wa wanyonge in Jesus Name Amen 🙏.
Akh tangu nikujue fenny l like your song na na napenda kusifuatilia sana sijui kuna mwingine ufuatilia nyimbo za fenny na kuzopenda kama mm.yaani mh hata hiyo uliimba ya kizungu eti father fight for mh ndo nimeweka ringtone kwa simu yangu.inshort napenda nyimbo zako mommy,,congrats (NAMES)
What a song??..I have cried since morning fir what am passing through...Bwana mungu teta nao wanao teta nani...Barikiwa sana dadangu Fenny..cry 😢 😭 😿 😢 😭
When l remember what the landlord and the caretaker did to us,l goes back to you tube to fenny ,pigana nao,so encouraging,nothing can stop God's blessing,we've relocated,and our business is going on well,l have seen Gods hand in my life
Mbona sitosheki kusikiza huu wimbo kwani mungu alikupa maono kuhusu maisha yangu nake huu wimbo wote unanihusu hata kutaka kufa kwa ajili ya riziki na neema kutoka kwa mwenyezi mungu. Asante dadangu kwa kuutia moyo wangu nguvu nake mawimbi ni mkali mpaka sometimes nasemaga mungu ameniacha kwa yale ninayoyspitia yote tisa nazidi kukaza mwendo safari ya mbinguni ni ndefu na mabonde. Mie husema mungu anaye sababu kwa nini niyapitiye haya. Umeinua nafsi yangu na kuitoa uoga barikiwa sana dadangu.
Oppose those who oppose me, Lord, and fight those who fight against me, Rescue me from theire attacks, usinyamaze ee Mungu wangu , usikae mbali nami.
Dada fenny nipo Tanzania nakupenda Sana dadaangu nataman kufika ulipo ila nangoja wakat wa Bwana ufike🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu ni mtetezi kwa kila jambo
Mungu akubariki fenny
Mungu ako my dear
Ameeen🙏🙏🙏🙏🙏
Feny Baba Barikiwa ili uendellee kuubiria watu Kupitia nyimbo za MUNGU
Fenny u normally bless me ,,wapi likes za Wakamba
Uuui mungu fanya hima uniokoe
Wimbo wangu wa majira yote, Mungu akupe neema zaidi Dada yangu . Ni wimbo wa kumsogeza mtu karibu na muumba wake. Nyote mliyo imba na kutoa sauti zenu katika wimbo huu Mungu wa mbingu na nchi awabariki. Nawapenda ninawaombea
May God fight for you,if you believe this song has a touching message,piga like ukipita,mungu akujalie mwisho mwema fenny na asimame nawe in all hard time,from Kamba land
May the Lord God 🙏 stand on yo side.....Avery nice message ,to make anybody who has challenges To be perfect spiritually and believe it or not .....God doesn't ignore such message..........("""through""""experience
Whoever who is listening this song now be blessed I feel lifted by this song mnipe hata likes 30 pekee kama unapend a juu wimbo🧘♀️🧘♀️🧘♀️🧘♀️🧘♀️
Amen
😭😭Huu wimbo umenijia wakati sawa. Nimefarijika sana.
Bro Kasolo uvoo
Mungu yeye ndio yote fenny nakupenda sn mdaer
Amen
Amen
Ubarikiwe sana
Nani ame replayed more than two times ngonga like zangu ubalikiwe.
I have played more than 20 times and still playing 🙏
Indeed the song blesses me
Yesu naomba utupiganie maana wanao tuchukia ni wengi kuliko hata wanaotupenda
nimeusikiliza zaidi ya mara 1000 bado nawiwa moyoni mwangu. Mungu akubariki na kukutetea kinyume na watesi wako
Good song mum my God bless you 5like kwa dada yetu
Actually I can't get enough of it Nani ako round two kama mimi tupite n likes
mmi
@@jacklinekirera2980 it's so sweet
Am with you Joy.... Love this message....
Ubarikiwe na mungu mama kerubo
Wow i'm blessed must niokoke❤❤🙏🙏
Can't hold my tears while listening to this song😭😭😭😭😭😭😭😭umekuja at the right time, simama Yesu nipiganie, usiruhusu waseme wameniweza🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭
C arline. Dugs. CÉline jean. Felix. C arline. Edwaarr
Even I don't know ,, what to say 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 my tears
Munge akubariki na akutende mema maishani fenny
😢😢😢😢😢 babaaaaa nipiganie basi🙏🙏🙏🙏🙏
Wooow.. Wimbo WA kupea mtu faraja... Nipewe likes,
Si kawaida ya fenny kuimba wimbo ghafla she is undergoing something may God protect you mummy may he fight for you Amen.
True
l listen to this song l fall in😭😭😭😭😭. I don't know what you are going through but God will never forsake you. Their's nothing else in this world, more than God.
AMEN
True
Amen
Fenny Check The Audio please how many are feeling the same
Nice song barikiwa sana dada
This song strengthens my spirit alot.When they busy arranging for your funeral,you will live to see theirs.Let them live to see your progress in life.Amen
Nice song ❤️❤️❤️❤️🌹 AMEN
Nipate like 50 am fast leo
Powerful song be blessed dear♥️♥️♥️🙏pigana nao Yesu 971 gonga like tukienda mbele. May God fight for you whatever your going through in Jesus name🙏
Usinyamaze kimya bwana , simama unipiganie 😢😭
Ee Mungu wangu usinyamaze kimya Bwana, pigana nao wanao pigana nami pekee yangu mimi sitaweza, huu wimbo umenigusa sana hadi nimelia, nimepitia magumu nimengonjeka mguu kupitia mkono wa mwanadamu, Asante sana Dada Fenny kwa wimbo nzuri.
I know God is super power to my life
❤
Unapiganiwa dadangu acha kupigana vita zi vyako 💪💪💪💕inuka pangiza machozi huzuiliki 🔥🔥🔥
Very touching May God uplift you to great heights beyond your expectations!
My sister maintain the status quo upward, the Lord who started a good work in you No doubt will accomplish it for His Glory. Am indeed blessed by your songs
Team strong 🇸🇦 mko apa in this 2024 Ramadan 🤲Mungu nipiganie ninaosha hamamu nikiskiza wimbo huu🤲🤲🤲
For really Siz kerubo huu wimbo umeuimba wakati siku simefika za mwisho.......Jeremiah 29:11-14 be blessed more❤🙏
Wow congratulations mommy wote waangamia wale wanaotafuta maisha ya wengine may God be with you mamii...dear friends let share and share don't forget to leave a sweet massage down below mbarikiwe wapi likes za mama fenny
Huu wimbo unaubariki moyo wangu sana Mungu wa mbinguni akubariki na kukutetea kinyume na watesi wako. Nimeusikiliza zaidi ya mara 1000 bado ni Baraka kubwa moyoni mwangu.
Amen amen amen PSALM 35:- Psalm 69 Psalm 59 Psalm83. Psalm 91 Psalm 119 Acha Mungu Baba Akupiganie Vita a kuchindiye Dunia y’a Woburn Na Wachawi Poole Sana Mupendwa Shalom
Pigana nao Jehovah.
It's such a nice and encouraging song at this time..
Usikae mbali na mimi Baba simama unipiganie🙏🙏
Since morning upto now still listening hata jirani waneshangaa..Jehovah God fight those who fight against me🙏🙏
Vita si vyetu dada.Our Fighter liveth.feeling lifted.
At least nimetoa stress na huu wimbo wakati mwaarabu ameniboo be blessed sis keep it up watching 4rom saudia
Same point dear
Yeah tuwe kimya mungu kapigane na waotuteza congratulations for the best and wonderful song much❤️❤️❤️
Wooo...am lacking words to say,
Mungu atapigana na kutulipia kisasi maana ni chake mwenyewe,
Umeimba neno tupu, muachie Mungu tuu atapigana.Umebariki moyo wangu,Fenny,God bless you, may u live to glorify God
Ooooh Mungu pigana nao
Wangapi tuko hapa round 12, the song has become my national anthem
Yaani huu wimbo nauimba kila siku hadi niwapo nje ya nyumba yangu na popte pale mitembeapo. Na usiku kabla ya kulala Ni wimbo upo masikioni mwangu. Had nami naufuatilia.kuimba pia na waimbaji wa huu wimbo. Ubatikiwe wewe mtumishi wa Mungu kwa kipaji hiki cha nyimbo zuri. Na karibuni not yimbo zako zote mi sauti za kuvutia na maneno ya wokovu. Asante sana Amina.
Pigana nao wanao pigana nami,nimefarijika sana na huu wimbo,waaaah barikiwa xna mama fenny.
Amen 🙏.wacha maadui zangu wanaponiona waaibike kupita kwa upaka wa huu wimbo!!!!
Imenikujia kwa wakati ufaao 😭😭😭I can't stop listening ooh my dad the battle is not mine fight for me lord💪💪💪thnx sis fenny Keep the 🔥 burning
Our battle is fought by God who is our mighty warrior, I love this song
Ubarikiwe Sana mchumba mungu akubaliki nyimbo hii imenifanya nimemkumbuka Raisi Johni Pombe Magufuli Amina
mmmh❤ alieniumba huyu mungu ana sababu ya kuniumba hivi ooh mungu nitetee kwakila Jambo nifanyalo niondolee aibu jehova😭
Amen🙏🏼🙏🏼Walipanga njama ya kunimaliza lakini baba pigana nao😭😭
Who else can't get enough of this song like me ?
Wimbo huu umeniguza moyo wangu sana,naitaji direction yako Dada,mi ni young gospel artist,kwa UA-cam naitwa Dan Jonathan,.
A very powerful and encouraging song God bless you my sister ❤️❤️❤️.
Kweli nanyamanza mungu abigane naomwenyewe psalms 35 baba nabarikiwa kabisa sister venny vela wa Dennis from saudia hoo baba tenda ni machozi.
It is one of the reviving marvellous song, be blessed immensely.
Am really encouraged and blessed, am passing through such kind of challenges. I felt like the song was composed for me. May God bless you Servant of God. May the blood of Jesus cover you and your family and the abundance life, wealth and health that comes from the King of Kings, the Almighty God locate you and your family.
Machozi yananitoka nikisikiza ujumbe ulio kwa huu wimbo. Barikiwa zaidi F.Kerubo
Fennny akii ,umesema huyu ni mimi tu,barikiwa sana.nihelp ur no,tuimbe na wewe,injili mbele akiii❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Madui ni wengi mungu nikimboe,lakini ni bora kuwa na madui wengi kuliko kuwa na marafiki wengi, kuwa pekee ako ndko mungu atakuinua mbali, pole sana fenny kwa kuimba nyimbo ya machozi BT iko na mesaage nzuri ndani yake
Amen ,good song indeed peke yangu sitaweza .
Hii wimbo inanimba nguvu sana wakati niko n strees kila siku nikilala hiyo ndio naweka inimbie hadi nipate usingizi nikiamuka namukayo tene wacha mungu akupe nguvu my dear mum sister nyimbo sako nasipenda sana coz siko n message zuri sana sinakusa kila mutu mali amepitia
Nani anapenda hii wimbo kama Mimi,weka likes.
Very nice song sister endelea hivo
Powerful touching song indeed 👌.. umeudumia moyo wangu .. more grace and fresh anointing WOG🔥🔥🔥🔥💗
Always with the best content. Keep on delivering. The Gospel should reach everyone.
Amen.
Who is here with me in 2021
Mungu wangu nisaidia baba nimalisha safari tunapigana nayo kaa nami
Nice song I have been looking for this
Ubarikiwa sana wimbo mzuri Amen
Huu wimbo imenitoa machozi 😭😭😭😭😭nimepitia magumu hadi nimejione nimefika mwisho
nimenyamaza kimya pigana na maadui wangu yesu 🙏
Unapiganiwa dadangu acha kupigana vita zi vyako hakuna silaha lililoinuliwa kinyume na Maisha yako litafaulu 💪
@@mc.chebaibaimeruti3283 Amen and Amen sister 🙏
I like your songs nasikia niko karibu na mungu mungu asidi kukupea kibali
Kazi nzuri my sister
Wimbo mtamu wa jumbe ziloshiba mahubiri.Sauti tamu ya njiri..Baraka tele kwangu.
What a great song, great ideas love you fenny ❣️
Awesome, this lady is a blessing. I listenened to all her songs and indeed she's wonderful. I kept on waiting for more and more songs. Wow, beautiful powerful songs. May God lift her higher and higher.
fenny napenda hii wimbo sana, infact the msg iko very strong ,keep up dada .
May God gives you strength and courage my dear pastor
🙏😭Aspritul song,, fight with them ooh God, my enemies are around with me,,,, 🙏🙏🙏🙏🙏
Vita si vyetu Ni vya Mungu hallelujah
Amen sister, 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 keep it up burning mum
What a song .Mungu wangu teta nao kwa niaba yangu.
Nimebarikiwa na huu wimbo 🙏🙏
Amen Mungu wangu usikae mbali nami
wow very good wimbo mzuli sana
Huu wimbo my sisy fenny umenikumbsha mengi hadu najikuta nalia😭😭. God can't a shame us to our enemies we shame them in the name of our almighty God. Be blessed sisy FENNY🙏🙏🤲.
Fight For those who fight against me, O lord, rescue Me from there attack O lord
Glory to God, 😥😥😥my sister Fenny I can't hold my tears of joy after being in a battle that only God can come and rescue me, thanks for this powerful song am strong and leave that battle to the God, Hakika Mungu ndie mtetesi wa wanyonge in Jesus Name Amen 🙏.
God is fighting for your battles fight your battles through your knees 💥💥
MY GOD BLESS YOU AMEN AMEN
Akh tangu nikujue fenny l like your song na na napenda kusifuatilia sana sijui kuna mwingine ufuatilia nyimbo za fenny na kuzopenda kama mm.yaani mh hata hiyo uliimba ya kizungu eti father fight for mh ndo nimeweka ringtone kwa simu yangu.inshort napenda nyimbo zako mommy,,congrats (NAMES)
Amen amen peke yangu sitaweza, nipiganie bwana
Very powerful and encouraging song may God bless you and uplift you to higher levels you songs are a blessing to me
Watching From Papua New Guinea 🇵🇬
Fenny uko sawa ,nikama umeniona,nimepigwa fita bila sababu ohh god 🙏🙏🙏🙏👍👍👍
Ooooh my God😭😭😭😭😭am feeling like.... Fenny Kerubo ❤️❤️❤️ pokea much love from Lizylizy 🙏songa mbele kama injili my role model musician artist❤️
Nice song mum imekuja wakati ambao unafaa
What a song??..I have cried since morning fir what am passing through...Bwana mungu teta nao wanao teta nani...Barikiwa sana dadangu Fenny..cry 😢 😭 😿 😢 😭
Oh Lord usiniaje nipiganie Gd song siz fenny
This song is in another level..God bless you!
Nice song sisyy be blessed
When l remember what the landlord and the caretaker did to us,l goes back to you tube to fenny ,pigana nao,so encouraging,nothing can stop God's blessing,we've relocated,and our business is going on well,l have seen Gods hand in my life
My lovely friend powerful powerful ❤️🔥❤️ message
Simama nami unipigana nami nimenyamasa pigana nayo mungu 👏👏🤲🤲🙏
Simama nami unipiganie nami
Mbona sitosheki kusikiza huu wimbo kwani mungu alikupa maono kuhusu maisha yangu nake huu wimbo wote unanihusu hata kutaka kufa kwa ajili ya riziki na neema kutoka kwa mwenyezi mungu. Asante dadangu kwa kuutia moyo wangu nguvu nake mawimbi ni mkali mpaka sometimes nasemaga mungu ameniacha kwa yale ninayoyspitia yote tisa nazidi kukaza mwendo safari ya mbinguni ni ndefu na mabonde. Mie husema mungu anaye sababu kwa nini niyapitiye haya. Umeinua nafsi yangu na kuitoa uoga barikiwa sana dadangu.
I'm feeling blessed by this song,mama fenny kerubo my God blessed all your song