Jamani nitapataje audio yake nielekezeni naupenda kweli toka nliuckia kwa mheshimiwa kungamano la mwaka jana twende zetu kwa yesu ❤❤mpk leo natafta audio
Mungu inajulikana pesa tunazo pata in Gulf countries hazisaidi Nina simama kwenye pengo natakangaza kufunguliwa kwa pesa za watoto wako bwana pesa zitakusaidia in Jesus Name,I break every power that speaks evil upon our salary in Jesus Name 🙏
Amen,,, Amen Asante yesu nina imani yakuwa yele unaniazia nimaku kuliko ninayo yathani, pokea sifa baba niwewe katika maisa yangu 😂😂😂 ❤❤❤❤ watosha yesu kwa yote ninayo yaona pokea sifa Amen 🙏
After searching and searching for this song finally it's here with me. God bless you pst Collins for this reviving and heart touching and transforming song.
Ooh hallelujah, kwa kweli bwana unaniwazia mema kwa maishani mwangu yote, nitakupa sifa siku zote, Barikiweni sana pst Collins and all team from moisbridge, nawapenda ❤❤❤I miss you people
Wimbo huu umeponya moyo wangu nilikuwa katika mawazo mengi sikuwa najua nifanye nini katika hali ninayopitia lakini nikiposikiza wimbo huu nikapona na kupata furaha moyoni mwangu.ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU.
The song has good message and it help us how to be strong in this journey of faith❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏,,, barikiweni Sana Wana wa mungu,,, mungu yupo upande wetu siku sote❤❤,,amen
Dear God of heaven and Earth never let me leave this world before I meet pastor collins for mentorship , Lord keep him safe that this soul you created may continue to praise you forever Lord. may the heavens accept your voice mtumishi.
Be blessed Man of God🙏🙏🙏 for the powerful worship. I can't stop crying ooh God stand with me. Let the holy spirit lead my ways. Jesus be my comforter 🙏
Mungu wangu ninajua unaniwazia mema maana hakuna Mungu mwingine kama wewe. Unitangulie Yesu safari ni ndefu ninatamani kufika. God bless you man of God for the powerful worship.
Mungu naomba ukaweze kunifungulia Kazi kupitia Kwa ii worship song, don't let me down Jehovah 😢🙏
Receive Job in Almighty God my sister, as we approach new year let it be the year of blessings from our Father
Amen 🙏 pokea kwa jina la yesu
This is amazing song touching hearts,, kando ya mwanzo wa kila jambo weka Mungu mbele yeye ndiye anakuwazia mema❣️
Tuliokuja kuutafuta bahada ya muheshimiwa chalamila kupost akicheza tujuane kwa like
😂😂😂 mm pia
Asante bwana najua mawazo yako kwangu ni mawazo mema ...Amen🙏
Amen❤❤❤
Nitangulie bwana Kwa kazi zote za mikono yangu....I need u more than ever
Wimbo mtamu sana, ninapouchesa ua unatia moyo sana AMEN. YES naomba unitangulie ndio nifike salama baba❤❤
Jamani nitapataje audio yake nielekezeni naupenda kweli toka nliuckia kwa mheshimiwa kungamano la mwaka jana twende zetu kwa yesu ❤❤mpk leo natafta audio
Mungu inajulikana pesa tunazo pata in Gulf countries hazisaidi Nina simama kwenye pengo natakangaza kufunguliwa kwa pesa za watoto wako bwana pesa zitakusaidia in Jesus Name,I break every power that speaks evil upon our salary in Jesus Name 🙏
Amen,,, Amen Asante yesu nina imani yakuwa yele unaniazia nimaku kuliko ninayo yathani, pokea sifa baba niwewe katika maisa yangu 😂😂😂 ❤❤❤❤ watosha yesu kwa yote ninayo yaona pokea sifa Amen 🙏
Amen mii naona hii dunia nafaaa kmtumkia mungu akiii😢😢😢
Huu wimbo unanitia nguvu sana wakati huu mgumu baada ya niliyemwamini maishani mwangu kunivunja moyo.Huyu Mungu halali.
Pole mungu yupo
After searching and searching for this song finally it's here
with me.
God bless you pst Collins for this reviving and heart touching and transforming song.
Hallelujah glory to God 🙏🙏
Hakika hakuna Mungu mwengine kama Jehovah, inuliwa Baba yetu wa mbinguni
Hatimae nimeupata huu wimbo baada ya Albert Chalamila kupost akiucheza🙏❤️
😁 ndiyo
Tuko wengi ndugu
Me too😅
😊
Tupo wengi hakika ni.mzuri na unabariki
Amen.... Ni kweli hakuna mungu mwingine kama Yesu Kristo. Hii worship imejaa anointing ya Mungu.
Huu ni wimbo ulioimbwa ndani ya Roho....huu wimbo umejaa Yesu
Ameen man of God ninabarikiwa Sana na huduma yako❤❤❤🤝🙏
Indeed a true worship,
Ni God jameni ❤
God your wonderful thank you for wonderful worships indeed am blessed tonight
Huu ni wimbo wangu wa maombi unanibariki sana🙏🙏🙏
Baba Najua ninajua uko naawazo mema juu yangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤..napitia hali ya uchungu na maumivu
Nitaishi kumwabudu Mungu kila siku👏👏👏👏👏 hakuna mungu mwingine aliye kama wewe..mungu ni yeye pekee hii dunia
Great worship experience👏👏👏
This song really blesses my heart, a day cannot end without listening to it.Bwana najua unaniwazia mema mwokozi wangu😢😢😢.Ubarikiwe sana mtumishi 🙏🙏🙏.
I felt strong after listening to this worship.ifelt the presence of God around.glory be to God
Amen am really blessed by this song
Singing this song with understanding and seriousness really opens heaven's for those who mean it
Wimbo huu imeniguza hadi niwazia mengi ambayo nimeyapitia, ubarikiwe mtumishi wa mungu.
Eeh Mungu wangu niongeze nifike kwako daima milele ❤
Amen 🙏 thank you to the Lord,,,kwa kuwa ananiwazia mema mwokozi🙏
Nitangulie eee,,, yesu natamani nifike ng'ambo ile ❤❤❤
Ooh hallelujah, kwa kweli bwana unaniwazia mema kwa maishani mwangu yote, nitakupa sifa siku zote, Barikiweni sana pst Collins and all team from moisbridge, nawapenda ❤❤❤I miss you people
Nitangulie na unipiganie Mwokozi 😭😭😭🙏
Aki mungu akubariki sana mtumishi wa mungu, ok na mimi nabarikiwa nikiwa samburu County maralal🎉🎉🎉🎉🎉
Hii wimbo ni ya baraka sana,barikiwa sana man of God
Wimbo huu umeponya moyo wangu nilikuwa katika mawazo mengi sikuwa najua nifanye nini katika hali ninayopitia lakini nikiposikiza wimbo huu nikapona na kupata furaha moyoni mwangu.ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU.
Jamani baba anasauti ya baraka na inapenya ndani ya mioyo yetu inuliwa baba amina
Glory to God
Nko morning glory,ntangulie Bwana katika hii wiki naomba nikuone wewe Yesu barikiwa sana pastor 🙏🙏
The song has Blessed me sana,
Glory be to God,
Be Blessed Man of God 🙏🙏
Ooooohhh Hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏
Very Powerful Worship Song 😢
Amen
Powerful song it opens the heaven
Great praises🎉🎉🎉🎉 continue with thät ministries
Ndio bwana unaniwazia mema katika maisha yangu🙏🙏🙏 nitashind kwa jina la yesu ❤
Amen🙏🏾🙏🏾🙏🏾 so touching 🙏🏾 blessed
Hakika mungu anatuwazia mema,barikiwa sana mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏
Amen. Mungu ni mwaminifu utukufu umurudie yeye. Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu. More grace🙏🏼
Ubarikiwe sanaa umeinua moyo wangu sanaa ukakaribia mungu God bless you man of God ubarikiwe mala mingi sanaaa
Your blessing to many souls be blessed❤
Glory to God 🙏🙏🙏I listen this worship every morning..I feel God's presence
Amen Amen
Ubarikiwe pr
I have been searching it for long. Be blessed
Amen, Amen Amen,ninasikiza nyimbo zako Kila wakati nikirudia Hadi naona mbingu zikifunguka,barikiwa sana
Hakuna Mungu mwingine aliye kama wewe..Alleluya Alleluya 🙏🙏
I was almost niongee kwa lugha,God bless you Servant of God.
Barikiwa mtumishi wa MUNGU wimbo ni mzuri sana unabariki na hakika uwepo.wa MUNGU upo.kwa kuisikiliza barikiwa sana ❤
Amina
Be blessed man of God
Bwana naijua mawazo unayoniwazia ni mema,pastor nyimbo zako zabariki sana may the lord bless you and your team🙏🙏
Glory to God
Nimebarikiwa mtumishi wa Mungu, wacha Mungu akuinue Saidi.
Amen amen 🙌🏼🙌🏼 Sifa Na utukufu Kwa Mungu aishiye milele. Hakika Mungu Ni mkuu 🙏🏼🙏🏼
A gooood worship song.Congratulations
Oooh my God what a whorship.❤❤
Sure hakuna Mungu kama yeye,na hatawai kuwa,Amen
Asante mungu kwaniongoza pamoja na familia yangu pamoja na rafiki yangu❤ 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hakika mungu anatuwaxia mema kila wakati❤❤❤❤❤ ameen
Amen
Amen hakika mungu natamani kufika.waja mungu hawainue kwa viwango vingine🙏🙏🙏🙏
Ameeen 🥰🥰🥰kumbe bado kuna wenye bado wanatukuza Yesu kwa kweli si yoyoyo mbarikiwa sana
Akika mungu ni mwaminifu🎉 ananiwazia mema amen
Oh this is the best place to be.l like gospel songs and l am blessed🙏🙏🙏
Amina mtumishi wa mungu nimebarikiwa sana kwa nyimbo zako nimeipata baada ya kuona kwa mh chalamila akicheza 🎉🎉🎉 nimebarikiwa sana
Glory
Napenda hizi nyimbo,,sauti ya malaika na beat za mbinguni, God bless you for this composition.
The song has good message and it help us how to be strong in this journey of faith❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏,,, barikiweni Sana Wana wa mungu,,, mungu yupo upande wetu siku sote❤❤,,amen
Nitangilie bwana❤
😂😂😂😂niombeeeni Sana Mimi 😭😭😭😭 nilimpoteza my mum and I fill soo bad😂😭
Ooh hallelujah utukufu Kwa Bwana wetu Yesu hakika hakuna mungu mwingine kama wewe nimejikuta nimepiga magoti mwenyewe be blessed 🙏🙏
Dear God of heaven and Earth never let me leave this world before I meet pastor collins for mentorship , Lord keep him safe that this soul you created may continue to praise you forever Lord. may the heavens accept your voice mtumishi.
Be blessed Man of God🙏🙏🙏 for the powerful worship. I can't stop crying ooh God stand with me. Let the holy spirit lead my ways. Jesus be my comforter 🙏
My Heart is healed 🤲🏾🙌
Be blessed man of God
Ameeeee,najua.mipago ya mungu kwangu ni mema
Hallelujah more grace mtumishi Bwana naijua mawazo unayoniwazia ni ya mema❤
Barikiwa sana mtumishi,...nyimbo zako zinanibariki Kila mara...naomba mungu akanitangulie kwa Kila jambo ....
Powerful worship may God bless you 🙏
What a wonderful God in deed
Oooh thanks for the blessings,this will be my morning devotion song
The song carries the presence of God 🙏🙏🙏
Wow so nice song much love ❤❤❤
Ooh my God I feel so blessed. Barikiwa mtumishi wa Mungu
am really blessed..Dear Lord remember me😭😭😭
Really touching be blessed pastor
Am blessed. This is powerful 💪. More grace of God upon your life in Jesus name
Amen Amen
I just love and feel the song in heart
Wow! Barikiwa sana. Asante kwa kunisaidia kufika 100k subs. Amen
God is always good... Anatuwazia mema🙏🙏
Mungu wangu ninajua unaniwazia mema maana hakuna Mungu mwingine kama wewe. Unitangulie Yesu safari ni ndefu ninatamani kufika. God bless you man of God for the powerful worship.
I am so blessed. Blessings to you and your Ministry
Powerful worship
Natamani siku moja kushirikiya na ww katika uimbaji barikiwa sana mtu
Akika mtumishi ubarikiwe nimeskia kwa gari nikienda kazi hadi nikaulizia dereva akaniambia nimepata ubarikiwe sana
Alleluhya I am blessed 🙌 😇 🙏
God bless you mtumishi❤
Cograts pastor nahisi uepo ninaposikiliza huu wimbo
Man of God you have blessed my life with hte nice worship. May the almighty God uplift you higher.