Mtanzania apigwa KO | Mwinyi Mzegela vs Sabari J | Mo Boxing - 30/09/2022

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2022
  • Tazama jinsi Mtanzania Mwinyi Mzegela alivyopigwa KO dhidi ya Sabari J kwenye usiku wa Mo Boxing , Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 97

  • @swalehesaad1143
    @swalehesaad1143 Рік тому +6

    Hiyo nzuri Sana maana hao wangemaliza round hizo ubingwa angepewa mtanzania tu kwa ninavyowajua majaji wetu.

  • @maniboy1109
    @maniboy1109 Рік тому +3

    🇮🇳India power 🔥

  • @Prince-gt1ut
    @Prince-gt1ut Рік тому +3

    🥊தமிழன்🇮🇳💪😎

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Рік тому +2

    ONGELEN MABOSS
    WAKITANZIA KWA KUUJUA
    VZL MCHEZO WA BOXING
    NA KUUPA NGUVU YA KUHUSIMAMIA
    NAJUA APA AJIRA MUMEZIONGEZA
    KWA VIJANA WA KITANZANIA
    asant big boss #AZAM vs boss #MO
    🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💪💪

  • @mckavishe5048
    @mckavishe5048 Рік тому +4

    Mnaongea sana wachambuzi utazan tunaangalia movie za kina achecheeee 🤣

  • @barathbarath2283
    @barathbarath2283 Рік тому +1

    Congratulations macha 🇮🇳🇮🇳🇮🇳🇮🇳SABARI🇮🇳🇮🇳🇮🇳🇮🇳

  • @samwelimadaha767
    @samwelimadaha767 Рік тому +2

    Kwani Upendo Njau jana ulikuja na Upako wa KO tu tena za kukaribia kufa mtuuuu......😄 🤣

  • @mrvideos1365
    @mrvideos1365 9 місяців тому

    Khatarnak counter attack 💥💥💥

  • @khadijajacobo4660
    @khadijajacobo4660 Рік тому +5

    Jamaa yetu kalishwa tambuu dah 😢😢😢

  • @mustafampande173
    @mustafampande173 Рік тому +3

    daah mtaniulia anko wangu jaman 🤣🤣🤣

  • @benjaminmhapu4112
    @benjaminmhapu4112 Рік тому +1

    Bora mandonga mtu kaz tatizo apig kwa targets alafu kuna Point part nying anaziach kulingana na kimo cha mwenzake then ayupo fasta ila yuko vzur kasoro zake ni ndogo

  • @herrybzboytz1365
    @herrybzboytz1365 Рік тому

    Heshima Ya ngumi imerejea Asanten Azamtv

  • @salehemauza9724
    @salehemauza9724 Рік тому +3

    Ipo siku atakufa mtu ndio mtatulia

  • @saimonwantango9569
    @saimonwantango9569 Рік тому +1

    Kuna rafiki yangu alikuwa anapiga ngumu boxing akaandaliwa pambano rafiki yangu akawa anapigwa ngumi za tumbo itabidi adondeke chini game ikaisha baada ya hapo akabanwa haja alijisaidia kila kitu anakwambia alijaza sinki ilikuwa kidgo anye na utumbo kwa hyo ngumi zisikie tu kwa mandonga

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 Рік тому +1

    Wale wale wahindi mnao wadharau kua ni dhaifu ndo wanawapiga hapa hapa kwenu TENA kwa KO MBAYA

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 Рік тому +2

    Sa mwinyi mbona ka Mzee 🤔

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Рік тому +3

    Wabongo maneno mengi huyo muhindi kamzidi sana huyo mwana yani kayakanyaga

  • @suryarock1702
    @suryarock1702 Рік тому

    U inspire. Bro

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 Рік тому +1

    Mbona kama kamng'oa jino moja
    Huyu mdosi anapiga NGUMI mbaya TENA za kushtukiza

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Рік тому +1

    Brigadier Sabari !! Funga Kalomo!!

  • @FahadAli-ig7kp
    @FahadAli-ig7kp Рік тому +2

    Serekali ya Tanzania ijaribu kuwapatia kazi wana nch vyenginevyo tutakuja kupoteza nguvu kazi ya vijana wetu kwasababu watakuja kuuliwa ulingoni kutokana na njaa zao😃😃😃

  • @suryarock1702
    @suryarock1702 Рік тому

    Mass bro 🔥🔥🔥💙

  • @b-creative4662
    @b-creative4662 Рік тому +1

    Yaani hizi pesa nyoko kabisa watu wanalipa kuona mnatoana meno 😂😂😂

  • @everydaymeditation9270
    @everydaymeditation9270 11 місяців тому

    Super bro.

  • @shebbythespyro5393
    @shebbythespyro5393 Рік тому +1

    Mtanzania alikuwa amechoka sanaa lazima alale tu

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 Рік тому

    Camera man upo juuu sana picha zinaonekana ndogo

  • @msanzaemmanuel9528
    @msanzaemmanuel9528 Рік тому +1

    Ibrahim clasic

  • @beatbyrich2891
    @beatbyrich2891 Рік тому

    Uandishi wenu Azam. Andika Mwinyi Bondia kutoka Tanzania. Mpe hadhi ya jina lake kwanza.

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 Рік тому +2

    Huyo amepigwa ngumi mchomoko

  • @rubensad2972
    @rubensad2972 Рік тому

    Pole san

  • @parthivveera7755
    @parthivveera7755 Рік тому +1

    Super sabari bro❤️

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 Рік тому

      Yes really, SABAR anajua..!..his from India where , GUJRAT..?

  • @dalalihakweahakweya6662
    @dalalihakweahakweya6662 Рік тому +1

    Hapo mandonga angekufa mapema sana jama mbaya sana

  • @bushmasta7408
    @bushmasta7408 Рік тому

    Commentators are talking to Much, give we viewers a break please

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Рік тому +2

    Au Mhindi kabebwa..?😜

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Рік тому +1

    Mbongo kqpigika kweli kweli sio poa

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Рік тому +1

    Huyo baniani puru ni hatari sana

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 Рік тому +1

    KATUMWA KUTOKA TANDALE HAYA RUDISHA MAJIBU 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 Рік тому +1

    Wabongo jeuri nyingi

  • @masongreenward9063
    @masongreenward9063 Рік тому

    Boxing nzur , wapambanaji wote wazuri ila wale wamexico wawili mmetupiga , hawana uwezo , hata panching zao ni nyepesi

  • @jerryt698
    @jerryt698 Рік тому

    Huu mchezo watu wanacheza tu lakini ni hatari sana

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 Рік тому

    Nampenda sana pendo ndauka

  • @iddybakar1946
    @iddybakar1946 Рік тому

    aya waaandae sasa maeneo au eneo maalum la.boxing

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 Рік тому +1

    Yaani unapigwa na kuchi kuchi hotahe ??

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Рік тому +1

    Kidevu cha mwinyi ni kigumu

  • @jafarimussa3694
    @jafarimussa3694 Рік тому

    Nikajua meno yameng'olewa, bora mtangazaji ulivyosema

  • @allymnkonje1618
    @allymnkonje1618 Рік тому

    Ibrahim classic

  • @shalifmbalale2906
    @shalifmbalale2906 Рік тому

    Mmmh make apo kwanza nicheke,kidevu cha mzengera kigumu😂😂🐀

  • @AMBINHED
    @AMBINHED Рік тому

    Wabongo kelele nyingi Yaani Kachori bagia na pili pili kaamsha popo 😂😂😂

  • @hamadyhashimu9784
    @hamadyhashimu9784 Рік тому

    tunaelewa kwamba mchezo huu ni mgumu lakn huyu jamaa ni hafai kuwa bondia tena wa kutegemewa na sjui ngumi hiz huwa anafanyia wapi mazoez ngumi haina nguvu bado utulivu hana tu kiujuma ni mmbovu mmbovu wa kutupwa sio wa kubetia hata mia .

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 Рік тому +1

    Safi

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 Рік тому

    Ila mbongoo kapigwa na kucikuchi hotaeeee

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 Рік тому +1

    Kwahiyo mo kaamia kwenye ngumi

  • @shijamakoye6013
    @shijamakoye6013 Рік тому

    Haya mautopolo mengine muwe mnayapeleka huko yanatuaibisha tu pumbavu haya

  • @silasmichael602
    @silasmichael602 Рік тому +1

    kuelezea ngumi

  • @lildrick9361
    @lildrick9361 Рік тому +1

    Mmmh

  • @duryshabani5102
    @duryshabani5102 Рік тому +1

    Ngumi kaziii nyieee mkitakakujua kama ngumi nikaziiiii muuuulizeni mandongaaaa

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 Рік тому

    Kapigwa mtu Kama ngoma

  • @maulidimtande9122
    @maulidimtande9122 Рік тому

    Huyu Sabar aje apigane na mandonga

  • @clementiddi5708
    @clementiddi5708 Рік тому +2

    Nyie watangazaji vipi? Mnamtetea mbongo bure tu.

  • @hamishatibu699
    @hamishatibu699 Рік тому

    MO ameleta mabondia Azam shiw zenu mnaleta utopolo,hii ndio Ngumi tunazozitaka sio kina mandonga

    • @beatbyrich2891
      @beatbyrich2891 Рік тому

      Mbona hana Broadcasting yake huyo MO. Acheni kuleta maneno we unaona hapo kuna ushirikiano wa biashara kuna mo na azam tv. Acheni porojo

    • @hamishatibu699
      @hamishatibu699 Рік тому

      @@beatbyrich2891 Azam anafanya biashala yake ya kuonesha live,lakini hausiki kuleta MABONDIA Azam akiwa na mapambani yake mabondia wake kinamandonga hawana akili ata ya mchezo wenyewe.

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 Рік тому

      Chuki zitakuuuwa

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 Рік тому

      Panda WW upambane

  • @sanjaysan0708
    @sanjaysan0708 Рік тому

    Vera level sabari😍😍

  • @paschalpeter4540
    @paschalpeter4540 Рік тому

    Mandonga wa pili

  • @kulatendaudi7671
    @kulatendaudi7671 Рік тому

    Analeta ngumi zamtaani huku

  • @simoninzowah7817
    @simoninzowah7817 Рік тому

    ...wamemzabaaa...

  • @bupetusajigwe2463
    @bupetusajigwe2463 Рік тому

    TWAAKIDUKU

  • @saidlucas1216
    @saidlucas1216 Рік тому

    🤣🤣🤣

  • @jitubovu681
    @jitubovu681 Рік тому +1

    Hl😅😅😅😅😅

  • @hancysadaty4799
    @hancysadaty4799 Рік тому +1

    Ngumi daahh huu mchezo

    • @yussufpazzi6715
      @yussufpazzi6715 Рік тому

      Mwinye mzengele kawa kiande kiasi ichi

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 Рік тому

      @@yussufpazzi6715 ...yaani ni KACHAKAA vibaya sana..!

    • @bashirijuma1081
      @bashirijuma1081 Рік тому

      Watnzania ifke mahla tbdlke xo kpgwa kzmbe agstno wa dodom

  • @saimonwantango9569
    @saimonwantango9569 Рік тому

    Mtanzania wetu sijui kala kiepe ndo kaingia ulingoni mbona ngumi haina kishindo, kama anagusa gusa tu

    • @almuhtaramzamil
      @almuhtaramzamil Рік тому

      Unasema ile ngumi haina kishindo?ahahaha ile straight counter punch imenasa kwenye kidevu asilimia zote!

    • @saimonwantango9569
      @saimonwantango9569 Рік тому

      @@almuhtaramzamil kachoka choka sana wengine cjui wazamini wamemlixha white soup ndo maana anaogelea nilijifunza ngumi kwa matumla keko mwezi mmoja ila xtopigana hivyo

  • @rubensad2972
    @rubensad2972 Рік тому

    Pole san