VITASA | HARUNA SWANGA VS ASHRAF SULEIMAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Hii ngumi tuiiteje? Bondia Ashraf Suleiman amekula KO kutoka kwa 'mjeda' Haruna Swanga kwenye raundi ya pili ya pambano hilo.
    #MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #MwakinyoVsAllotey #GoldenBoyPromotion #Vitasa #Boxing #MtataMtatuziSeason2

КОМЕНТАРІ • 12

  • @marykirigiti203
    @marykirigiti203 4 місяці тому +1

    💪💪💪💪💪💪

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 4 місяці тому

    Ngumi bila mandonga sio tamu

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 3 місяці тому

    Huyu Ashraf mazoezi hamna aache ngumi sasa

  • @AdamuDamasi-rz1jy
    @AdamuDamasi-rz1jy 4 місяці тому +1

    Nilishasemaga huyu swanga atakuja kuua mtu ulingoni

  • @ManiRashidimgomiMgomi
    @ManiRashidimgomiMgomi 4 місяці тому

    Mnauakika uyuu ni mwanajeshi

  • @RobsonMalisa
    @RobsonMalisa 4 місяці тому

    Sema pendo njau mpuuzi sana huyu refa anapenda sana kuhesqbu haraka harka kumaliza pamban sjui anashida gani

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 4 місяці тому

    Ulevi wa kupenda ugomvi nakupigana unawafanya mabondia wakongwe bado watamani kucheza hata kama mili tayari haina tena uwezo.Ashrafu ni mtu alietoa mchango mkubwa sana katika Boxing ya Tanzania.Haswa upande wa visiwani.

  • @TangaMashewa-qe8kk
    @TangaMashewa-qe8kk 4 місяці тому +1

    kwakweli mwakinyo hafai kabisa kwenye nchi hii maan hapendwi na yeye mwenyewe naamin ndo anayataka mwenyew anajigamba ajue hii nchi ina wenyewe arulie2 aache maneno

    • @HamadNassor-fp6rl
      @HamadNassor-fp6rl 4 місяці тому

      Sasa mwakinyo kosa lake nn Wacha ushoga wewe iyo ni kazi sio vita tuu.fatilia vzr nn kimetokea

    • @mrh2812
      @mrh2812 4 місяці тому

      Mwakinyo Leo hajakosea

    • @JechaMakameIssa-gs2bl
      @JechaMakameIssa-gs2bl 4 місяці тому

      unajua sababu au unalaumu tu kama hujuwi kaa kimyaa kama mm