VITASA: Twaha Kiduku amchapa Mohamed Sebyala kutoka Uganda |

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Bondia Mtanzania Twaha Kiduku amchapa Mganda, Mohamed Sebyala kwa pointi na kufanikiwa kuutetea mkanda wake wa P.S.T

КОМЕНТАРІ • 207

  • @mkomadena-gl1jx
    @mkomadena-gl1jx 9 місяців тому +4

    bondia bora tanzania ni mwakinyo angekuwa amemaliza huo mchezo kitambo sio hao ambao wanapigana mwili mzima🇰🇪

  • @tumusiimedeus4571
    @tumusiimedeus4571 9 місяців тому +2

    Twaha ni bondia wa daraja la chini sana. Ngumi zake hazivutii hata kidogo. Mganda alishinda sema mcheza kwao hutuzwa. Twaha akifikisha umri wa huyo jamaa atakuwa hawezi kucheza hata kidogo.

  • @andrew0502
    @andrew0502 9 місяців тому +4

    Tunafurahi mtanzania anaposhinda, lkn Twaha jifunze kulenga target na mazoezi ya miguu ongeza. Mwakinyo anakuzidi vingi usiendelee kumlilia

  • @KhamisVanga
    @KhamisVanga 9 місяців тому +1

    Ana ngumi zakizaman Makota kota Ina bidi abadilike sana

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz 9 місяців тому +4

    Mabondia wote hao walevi tuu😂😂😂😂😂

  • @Elizabethlizy-w1v
    @Elizabethlizy-w1v 9 місяців тому +2

    hamna bondia hapo,halafu mnambeza mwakinyo no moja tanzania mwaninyo pigana na mambondio wa nnje tanzania unafiki tu

  • @obviousmphande8621
    @obviousmphande8621 9 місяців тому +1

    Twaha kwakweli, kiwango kimechuka sana kwa namna hii huwezi ku maliza round Tano kwa Mwakinyo.

  • @AthumanDaudi-f4s
    @AthumanDaudi-f4s 6 місяців тому

    Ngumi zakizamani sana twaa kiduku unazngua sana tafta kocha ngumi zako znachosha san

  • @DeusMbalamwezi-h7t
    @DeusMbalamwezi-h7t 9 місяців тому +2

    Twaha hatakiwi kuambari

  • @shafiimmango
    @shafiimmango 6 місяців тому

    Shafii

  • @FadhiliNyakunga-xy6cz
    @FadhiliNyakunga-xy6cz 9 місяців тому +2

    Twaha ameisha siyule tunayemjua bendera chuma mlingoti chuma

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 9 місяців тому +2

    *Eti hana maarifa naalieshinda ninani acheni roho mbaya zenye wivu twaha tuwakilishe vyema Mungu akupe afya t*

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 9 місяців тому +2

    Yani kama ushindi ni wa points Twaha hakutakiwa kushinda hii mechi, katika round 10 nafikiri Twaha angalau round 4 kajitahidi kidogo kucheza ila hizo 6 zote kapigwa.
    Twaha havutii kiuchazaji hana technics wala tactics yeye anacheza tu kwa kukinga na kupiga kwa kutumia nguvu na aina yake ndio hiyo hiyo tu.
    Nikwakua tu huyu mganda hakua na nguvu za kutosha za kumdondosha na umri pia umechangia, lakini kiuchezaji alikua bora sana alikonesha vitu kadhaa vya kiufundi.

  • @MohamedNdolo-d2u
    @MohamedNdolo-d2u 9 місяців тому +1

    Twaha kiduku anapenda ngumi. Ajifunze ngumi za waliofanikiwa kama Lenox na aache kujifunika usoni hizo ngumi kizamani zishapitwa nawakati lazima uwe open mpinzani umuone muda wote . Ushauri jiunge kambi za jeshi hapa Dar utajua ngumi nautawabonda sana naupunguze sifa ngumi hujui

  • @MwasiMwita
    @MwasiMwita 9 місяців тому +1

    Twaha yuko vizuri

  • @davidoscooper237
    @davidoscooper237 9 місяців тому +2

    Mwanang twaha Bado anahitaji shule mpaka najiuliza why nimembandika kweny salon yangu

  • @IvoMbele
    @IvoMbele 9 місяців тому +1

    Twaha anatumia nguvu nyingi maarifa kidogo.Mwalimu wake ana kazi ya kufanya.Vinginevyo mwalimu wake apishe wengine hili ni pambano la pili shughuli inayofanyika ulingoni haisisimui.USHINDI UPATIKANE KWA MAPANA siyo kwa mashaka hivi.

  • @DeusGosbert
    @DeusGosbert 9 місяців тому +1

    Uamuzi sijaukubali hata kidogo Kuna upendeleo kiduku,kabebwa Sana

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 9 місяців тому

    Twaha ameshuka kiwango sana, sijui ana tatizo gani, labda umri unamtupa mkono sana.

  • @AminaMsongolo
    @AminaMsongolo 9 місяців тому

    Sipotezi muda wangu tena kuangalia mapambano ya twaha kiduku,Bado sana ajifunze mengi kupitia kwa mdg ake Hassan Mwakinyo

  • @noelypavementblocks6033
    @noelypavementblocks6033 9 місяців тому +1

    mimi ni shabiki wa kiduku, lakini naona kama kiduku ameishiwa maarifa kabisa, nafikiri shida ni kocha, hana maarifa kabisa yakuweza kumbadirisha bondia, maana bondia kila laundi anakuja kwa staili ile ile habadiriki kabisa,

  • @mudizotz6617
    @mudizotz6617 9 місяців тому

    Mm ni mtanzania ila hapa ameshinda jamaa wa uganda twaha ndugu yetu apa umebebwa na usije ukanengeneka ukaingia kwa mwakinyo kitakachotokea is dead ❤tunakupenda tafuta mwalimu

  • @awadhkatuli7977
    @awadhkatuli7977 9 місяців тому

    Kiwango kimeshuka sana, hujabqdirisha mchezo Tangu umeanza,ngumi zote mpinzani anaziona, huna uper cut wala huk, no body punch, no jab, mm shabiki yako sijaridhika kabisa, leo mm nahesabu umepigwa. Umepooza sanaaa.

  • @Julianabashigwa
    @Julianabashigwa 9 місяців тому

    Kiduku yupo vizuri ukimpa nafasi anakulambisha mchanga ila kama ana loose confidence

  • @danielsimon8235
    @danielsimon8235 9 місяців тому +1

    Twaha ongez maarifa kama yakutumia JEBU,SHOULDER STYLE, BORDER PUNCH, HEAD MOVEMENT,FAKE PUNCH na piga mazoezi ya wepes sana

  • @aliymwazoa3051
    @aliymwazoa3051 9 місяців тому

    Nimemuona Twaha kwa mara ya kwanza ana athari za kupoteza lile pambano na msouth amejenga kutojiamini akihisi sisi washabiki wake tumekata tamaa na yeye.Rudisha kujiamini champion ulipo tupo

  • @MedhyGSuleiman
    @MedhyGSuleiman 9 місяців тому

    Daaaaah tz boi umebebwa

  • @anthonychristopher1567
    @anthonychristopher1567 9 місяців тому +1

    Uyoo ndo ana mtaka mwakinyo kwa ngumi izoo yan anatumia nguvu nyingi akil kidogo

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 9 місяців тому +2

    Ivii twaa uyuuu ndio yuree au uyuu ndugu yakee simuerewi ujuee unapigana naa mzee anakusumbua mpaka kwa pwent ataa Mimi uyoo afiki raund 4 nauwaa kabisaa😂😂😂

  • @johnchrisbrown-b5g
    @johnchrisbrown-b5g 9 місяців тому +1

    Twaha amechoka sana , au amekuwa Mzee!

  • @iddihudu9835
    @iddihudu9835 9 місяців тому +21

    Twaha ananguvu lakini Hana maarifa bado ni bondia ambaye hajapata mwalimu sahihi wa ngumu hawa waalimu wanaomfundisha twaha uwezo wao wa kufungisha ngumi ni mdogo Sana hivyo anacheza twaha cku akikutana na mabondia wenye maarifa atapigwa mapema sana

    • @SelemaniZakalia
      @SelemaniZakalia 9 місяців тому

      Umbea ci ukamfundixhe ww unae wez

    • @Mufti-c7t
      @Mufti-c7t 9 місяців тому +5

      Wacha watukane lakini huo ndio ukweli anaamini nguvu zaidi kuliko maarifa ya ngumi

    • @naslimtz1247
      @naslimtz1247 9 місяців тому +2

      Upo sahihi kabisa Bora wewe una jicho la mbali

    • @SamsonyMasumbuko
      @SamsonyMasumbuko 9 місяців тому +2

      Nikweli bro umenena

    • @ramadhanimahiga8389
      @ramadhanimahiga8389 9 місяців тому +2

      Yes upo sahihi ndo maana pambano lililopita kabla ya hili alipigwa kirahisi sana kwa kuwa mpinzani wake alitumia akili mno.

  • @mussahamisi1191
    @mussahamisi1191 9 місяців тому

    Twaha ana pigana kizamani sana sio ki professional ndo maana alipigwa na yule bondia wa South Africa tena kirahis
    Twaha anatakiwa atafutiwe kocha mwingine mwenye uwezo mkubwa

  • @JeremiahMyrosse-qb1yj
    @JeremiahMyrosse-qb1yj 9 місяців тому +2

    Hamna kitu mtu wa Uganda alistahili ushindi sema huku kubebana ndio mkienda njee mnapigwa

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 9 місяців тому +1

    Kama imewezekana kumtangaza Twaha mshindi ktk pambano hili ilishindikana nini kumtangaza Dullah Mbabe mshindi ktk pambano lake dhidi ya Katompa? Kusema ukweli Twaha amepigwa! Clear punch za kutosha zimetua kichwani mwake na mwenyewe alishakata tamaa baada ya game kumalizika. Tukiamua kubeba watu wetu basi tuwabebe wote sio kuchagua.

  • @abcstudiostanzania
    @abcstudiostanzania 9 місяців тому +1

    Uganda Ndio kashida acheni Upendeleo.

  • @bejatsiyosi8608
    @bejatsiyosi8608 9 місяців тому +2

    I am big fan wa twaha lakin kwa ii sijaonaga maajabu yoyote ya twaha kwl uko chini ya kiwango kabisa

  • @shafiimmango
    @shafiimmango 6 місяців тому

    Kiduku

  • @MichaelKapurwa
    @MichaelKapurwa 7 місяців тому

    Mimi hapa namsifu mohammed...twaha anavamia tu

  • @AsherySanga-o8w
    @AsherySanga-o8w 9 місяців тому

    Live kiduku bado😢😢

  • @andrew0502
    @andrew0502 9 місяців тому +2

    Twaha Bado, ukikutana na bondia aliyeshiba km wew ni rahic kupigwa, target huna afu nguvu za miguu pia hamna. Kwa Mwakinyo bado sana hata usijidanganye utapigwa vibaya

    • @sirpaza8513
      @sirpaza8513 9 місяців тому

      Mwakinyo mwenyewe jina tu hamna kitu

    • @rehema5765
      @rehema5765 9 місяців тому

      Nyie nao chezeni na nyinyi

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 9 місяців тому +2

    TWAHA KIDUKU HUY CY MWL BORA KWAKO. JITAHIDI KUTAFUTA MWALIMU SAHIHI KWAKO ILI AKUPE MAARIFA ZAIDI

  • @EXAVERYWAYSTON
    @EXAVERYWAYSTON 9 місяців тому +2

    Mh ongeen tu umeshawah kupanda ata kwa dk 3

  • @shafiimmango
    @shafiimmango 6 місяців тому

    Donlod

  • @SaidiMahimbo-r3c
    @SaidiMahimbo-r3c 9 місяців тому +1

    Pambana kaka Twaha Allah atakujalia huna baya kaka

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 9 місяців тому +2

    Hakuna ngumi hapo

  • @feroozrajab4391
    @feroozrajab4391 9 місяців тому

    Hakuna bondia hapo! Mi naona walevi wawili.Ndio maana Mwakinyo anasema mabondia wa uswahilini,Huwa wanaletewa mabindia walevi.Kiduku hawezi pigana na Mwakinyo ata jiabisha.

  • @elpinnershehele7344
    @elpinnershehele7344 9 місяців тому +1

    Mapambano yote ya tarehe 26/12/23 boxing Tanzania mkenya🇰🇪,mganda na yule m south Africa walishinda lakini majaji wa Tanzania wakawapa ushindi mabondia wa Tanzania Bure kabisa

  • @yousufyousuf5963
    @yousufyousuf5963 9 місяців тому +1

    Twaha nguvu unazo bro lakn tumiya akili ukipata bondia mzur atakulaza huna tekiniki jitahid kutumiya akili kuliko nguvu

  • @JobMulengeki-r5u
    @JobMulengeki-r5u 9 місяців тому +1

    Mganda ameshinda kwa macho yangu nimeona cio Twaha

  • @khamissymtonele6418
    @khamissymtonele6418 9 місяців тому +1

    Hasani mwakinyo atabaki kuw juu tu twaha amna kitu mbundia wa miaka iyo bado anakusumbuwa mpka ukaisabiane nae point kweli

  • @shafiimmango
    @shafiimmango 6 місяців тому +1

    1234

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 9 місяців тому +1

    Twaha ngumi hazijui. Jab ndio kila kitu kwenye kupigana. Yeye anatumia maguvu tu. Corner yake pia hawamshauri

  • @twalibutwaha1632
    @twalibutwaha1632 9 місяців тому +2

    Mshindi kapangwa

  • @ringsnflashestv8067
    @ringsnflashestv8067 9 місяців тому +1

    Azam tv muwe na aibu bas hata kwa captions zenu .kiusahihi mnashusha vipaji na mvuto wa ngumi Tanzania.kwa ngumi gan bas? Msiwabweteshe vijana wetu waone boxing ni upumbavu😢 nmejiskia hata kumchallenge twaha kwa ngumi hzo😂 punguzeni kusifia uongo angalau mueleze ukwel .kwanzia watangazaji wenu mpaka media yenu ni utumbo kwny boxing ingawa ndo mnaibeba tz kwa sector hio

  • @IssackMaingu-ng5lk
    @IssackMaingu-ng5lk 9 місяців тому

    Twaa. Mzito speed yake yakawaida sana

  • @amaninamuombea6689
    @amaninamuombea6689 9 місяців тому

    Sho sho

  • @AbdulnassirYussam
    @AbdulnassirYussam 9 місяців тому +2

    Mcheza kwao utuzwa ndio kitakachotokea

  • @abuuhandhallah7567
    @abuuhandhallah7567 9 місяців тому

    Twaa kiduku ushakwisha umechoka sana

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 9 місяців тому +1

    Mjomba twaha huna mwalimu

  • @JabilHakimu
    @JabilHakimu 9 місяців тому +1

    Box cyo mchezo WA taarabu ulirax box ni kufungua mikono ione Kane mcfanye haruuc au furara

  • @LeonardGeorge-jj4bu
    @LeonardGeorge-jj4bu 9 місяців тому +1

    Hili sio pambano....Twaha kapigwa

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 9 місяців тому +1

    KILA MTU ANA NAMNA YAKE YA MCHEZO, NA MBONA ANASHINDAGA, KAMA KUBORESHA NI SAWA ILA ANAPAMBANA

  • @SelemanAlly-i3u
    @SelemanAlly-i3u 9 місяців тому +1

    hakuna bindia hapo nguvu bila akili bado hujasema twaha

  • @vanbansad
    @vanbansad 9 місяців тому +1

    Asee kwakwel kilichotokea jana n jambo la aibu mnoo. Twaah amebebwa wazi wazi, ata kam n uzalendo kwanza ila sio kwa uzalendo wa hovyo km ule sebyara alistahili kushinda. Ni aibuu kwakwel munatupotezea muda wetu kukesha alafu munafanya mambo meusi meusi

  • @athumanimohamedi9921
    @athumanimohamedi9921 9 місяців тому +1

    twaha akili ya ngumi hana kabisa abadilishe kocha ukitaka kumuona twaha mzuri apigane na dula mbabe

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 9 місяців тому

    Twaha kiduku a k a Mr point

  • @SilasMollel-mp9ib
    @SilasMollel-mp9ib 9 місяців тому

    Sijajua katika kuamua matokeo watu wanaangaliaga kitu gani,,sana. Twaha niliyekuwa naona MCHEZO wake siku za nyuma..simuoni tena,,naumona twaha mzito mwenye mbinu za kawaida sana,watu wanataka ngumi so maneno,,namuona mpinzani aliyekuja na MCHEZO mzuri ila mpinzani wake kamtoa mchezoni,,this is not fear...ningeambiwa niamue..ningempa mpinzani

    • @alexmaingi5857
      @alexmaingi5857 9 місяців тому

      Ukweli brother am a Kenyan but hii wizi Wa boxing Sio poa

  • @mhamasishaji
    @mhamasishaji 9 місяців тому

    Twaha nakukubali ila kwa pambano hili umeniangusha

  • @MjukuuWasemsei
    @MjukuuWasemsei 9 місяців тому +1

    Twaha point chukua nyumbn tuu , pumzi inakata mapem sana

  • @WilsonFesto
    @WilsonFesto 9 місяців тому

    Twaha nguvu nyingi malifa kiduchu

  • @Msomali-o7f
    @Msomali-o7f 9 місяців тому

    Twaha mutaendelea kubebwa mpaka lini munaharibu mchezo ndio mukawa hanutoki njee ya tz hii gemu Twaha umepingwa haya umishinda kivipi

  • @DavidMbilinyi-tn3jm
    @DavidMbilinyi-tn3jm 9 місяців тому

    Twaha kashimda tu vizuri jamaa ni mgimu tu angeanguka

  • @BarakaDm-m1y
    @BarakaDm-m1y 9 місяців тому +1

    Bondia ambae Hana maarfa kabisa aan Yuko kaa kuku

  • @AbdallahSharifu-p7x
    @AbdallahSharifu-p7x 9 місяців тому +1

    Kiduku vurugu tupu, hajaonyeaha maajabu yoyote, ajipange upya

  • @AbdulMayosa-xj1wg
    @AbdulMayosa-xj1wg 9 місяців тому

    Show show

  • @SelemaniAlly-eg6ir
    @SelemaniAlly-eg6ir 9 місяців тому +2

    Kiduku tafuta mwalimu huyo mwalimu anakujaza kifua tu mbinu hakuna levo ya mwalimu na wewe haiendani amekutowa mbali sawa ulipofikia akuache usonge mbele

    • @2FlevaJin
      @2FlevaJin 9 місяців тому

      Shida ya twaha anaendekeza ushikaji na udugu kwenye kazi

  • @twintangastone9489
    @twintangastone9489 9 місяців тому +1

    Ila uyu twaha inamsaidia nguvu hana maharifa ht the way anatupa ngumi zake inathibitik iloo

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 9 місяців тому +1

    Ingia wew ulingoni uone kama utatumia izo akili , mamaeeee 😂

    • @hugongokoko7946
      @hugongokoko7946 9 місяців тому

      Kumbe naww utopolo tu

    • @dullayomwinyi3359
      @dullayomwinyi3359 9 місяців тому

      Unaambiwa kweli usione ngumi ni rahis kama unavomkojolea mwanamke jombi

  • @BarakaDm-m1y
    @BarakaDm-m1y 9 місяців тому +1

    Tafut kazi ya kufanya twaha una nguvu kachome mkaa

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 9 місяців тому

    Kuna namna Twaha anahitaji ama kupata mwalimu mwingine au yeye kuongeza mazoezi

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 9 місяців тому +1

    Kiduku si bondia anarusha ngumi tu hapangili

  • @agustinofhoty5985
    @agustinofhoty5985 9 місяців тому +1

    Kiduku fanya mazoezi ya kua mwepesi mkino haitoki kwa mchezo unaocheza huta fika mbali mdogowangu

  • @SamiryMzaruba
    @SamiryMzaruba 9 місяців тому +1

    ni bondiya mzuri ila usitumie stail 1 uwe unabadisha.stail

  • @saidimafu9524
    @saidimafu9524 9 місяців тому +1

    duuuh kiduku akuna kitu

  • @FarajiKhamiss
    @FarajiKhamiss 9 місяців тому +1

    Hii ni droo ya live kabisa

  • @kessyrojas9549
    @kessyrojas9549 9 місяців тому +2

    Piga huyo Dereva wa malori😮😮😮😮

  • @RajabMaulid-f4t
    @RajabMaulid-f4t 9 місяців тому

    Acha ukuda we team mwakinyo

  • @sadunabdallah7303
    @sadunabdallah7303 9 місяців тому +1

    Kiufupi atafte kazi nyengine uyo twaa ajui kupigana nothing kabisa ana ki2

  • @AnnaMligo-f5j
    @AnnaMligo-f5j 9 місяців тому

    Tanzania tuandae vijana wapya Hawa wamechoka na mwakinyo Kawa mbabaishaji....tuandae wapiganaji wanao chipukia .

  • @SamiryMzaruba
    @SamiryMzaruba 9 місяців тому +1

    Uwe una mdanganya mpizani ili.askusome wapi una piga

  • @EvaKalaita
    @EvaKalaita 9 місяців тому

    Watanzani hatufanyi haki kabisa

  • @salimhassan3369
    @salimhassan3369 9 місяців тому

    Bora niletewe bondia tupigane family ipate ugali maragwe😂😅

  • @NasibuAlban
    @NasibuAlban 9 місяців тому +1

    Siku nimeona ngumi za kifala ni jana twaha kabebwa

  • @karimuKarimshabani
    @karimuKarimshabani 9 місяців тому +1

    Weweurikua unatakaje mbakamtu afe

  • @Msomali-o7f
    @Msomali-o7f 9 місяців тому

    Twaha huyo jamaa sio mzuri kiivoo lkn ukipata mtu mzuri anakuumiza unafosi kwenda unatanguliza kichwa twaha jitahidi

  • @dullayomwinyi3359
    @dullayomwinyi3359 9 місяців тому

    Acheni unafiki twaha kamtwanga huyu jamaa vizuri mpeni Maua yake

  • @RevoxMchina
    @RevoxMchina 9 місяців тому +1

    Ndy ngumi unapiga Ila tumia akili nyingi ukiwa ulingoni bro

  • @nasrasalumu7005
    @nasrasalumu7005 9 місяців тому +1

    Watanzania watu wa ajabu leo tunamuona twaha hana kitu bondia mwakinyo tuu ila huyo mwakinyo akipanda ulingoni kiatu kinabana huyo mwakinyo hana lolote mm bola uniambie bondia kidunda nitakuelewa na sio mwakinyo

    • @kalingakalinga8926
      @kalingakalinga8926 9 місяців тому

      Real
      Mwakinyo anafaa kuwa chawa
      Na sio bondia wa kuwakilisha Taifa

  • @moviekaa
    @moviekaa 9 місяців тому

    Kapigana na babu yake afu ushindi wenyewe hadi uutafute kwa tochi 😂😂😂...

  • @maulidipazi6770
    @maulidipazi6770 9 місяців тому

    Twaha anapiga nyuma ya kichwa