MKE WA JIRANI PART { 5 }
Вставка
- Опубліковано 30 чер 2024
- #frp #fry #fyp ytviral #1000subscriber #foryourpage #1mviews #snakeboy #bollywood #youtube #amapiano #mkojani #kivyere #clamvevo #bestfriend #bigboss #mzimu #kicheche #kichechecomedy #lambalamba #kpnazebuu #bintinyoka #stevemweusi #mwanafunzi #mchawi #bongomovie #bongotrend #newvideo #bongoseries #newseries2023 #newmovie2023 #newfilm #tanzania #zakichawi #zamajini #zamapenzi #zashule #shortvideo #shortmovies #school #directorgozi #directorgozi #dontatv #dadawakazi #kijanatajiri #penzi #sanura #majini #indianblogger #eastafricasocialtv #shadowtv #doko #mwakatobe #chumvinyingi #babajoan
Sijawai kupewa like ata moja toka niwe nafatiliya hii movie naomba ata like 5 tu ❤
Cukuwa
Kurya boy ndie baba mwenye nyumba nakubali😂😂😂😂😂
Daaaah ama kweli bibi ya mtu sumu watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😂😂😂
Nimechelewa kidogo ila s mbaya dondosh like
Kurya boy nakukubali sana gozi kazi nzur pia
Aweee. Jamaa kafumwa
Mke wa jilani anavisa sana kazi kali familia
Nakubali kaka goz shabiki ako from tabata weka nguvu tunasupport
Huyo baba mwenye nyumba Sasa🤣🤣🤣
Hongera Kwa kazi Nzuri
🎉🎉🎉🎉🎉
Bonge la move ni funzo kwa jamiii
Jamani am from Kenya🇰🇪 Nampenda sana Rahma na hiki Kipindi nimezidi kukipenda ju ya Rahma❤️
Umeuwaaaa kaka big mabwendeee
Director goziiii .....hujawai tuangusha ila, unakawia sanaa aisee..
Kurya umetisha baba 💐💐
Wa kwanza Leo kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Pamoja sana nasubir mwendelezo nkiwa 🇰🇪
Mambwende😂😂😂😂😂😂😂
Mwenye nyumba ndio huyu kazi ipo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wakanza leo like zangu
Wakwanza mimi jamaani naomba likes zangu Burundi mzima
😂😂😂Kazi nzuri comrade
Ila chama
Kazi kazi mjomba 💪🏻👏💪🏻👏
Good sana wanafamilia tunaofatilia Mke wa Jirani naombeni like zenu❤❤❤❤❤❤❤
Baba mwenye nyumba hakutakiwa awe na muonkano wa teja.inaondoa uhalisia
Kwani Teja ananyumba
Wa 3 from 🇰🇪🇰🇪❤❤
Mh jaman wangapi mm je😂😂😂😂😂
Wa kwanza kutoka zanzibibar🇹🇿
kaka unajua sanaaa
Jamani mimi wa 22 jaman❤❤❤❤
😂😂😂nipen like na mie
Yan utamu ndo unakolea picha ndo lishamalizika doooh anyway kaz nzur but dakika 14 n kidgo gozi ep 6 weka mda kama ep 4 much love from 254
Kazi nzuri bro gozi Big up sana
Sagwai man leo unakimbia panga
😂😂😂😂
Wa3leo
Goz kayatimba
Waa kumewaka moto
Kazi nzuri kaka Gozi
Mke wa mtu sumu wewee 😅😅
Jamaa unachelewesha movie sana waisha movie nikali sana
Nimefatira movie zenu lakini Kuni follow wapi acheni rohombaya😊
Kazi nzuri sana gozi ❤
Oya Gozi Msomee Kodi huyo asikukimbize na Mapanga
Si mchezo, hakuna afadhali, kila siku majanga tu😂 kazi nzuri sana kaka, yaani unakata pabaya kweli😊
Rahma ni mzuri sana
Wakwanza leo kutoka kenya
😂😂😂 Ukomee gozii😂😂😂😂
Goooood one from kisii kenya
Jamani mungu anaitwa
Nzuri sana ❤🇹🇿
So manbwende ameamua kusanua dada ili kumhalibia gozi 😂😂😂
Jmn like moja tu 😂😂
😂😂😂mabwende kavulugwa
Baba mwenye nyumba 😂😂😂
Nice one
Sasa Atari hiii
Good job ❤❤❤
Good good 👍🏾
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Unyama san
Mwamba kama mwamba
❤❤❤❤❤
Mke wa mtu sumu ila Gozi kachelewa saana ...
Jamani mbona Rahma ume fifia ivo jamani mpenzi au ulikuwa unalea❤
Mme kaumbuka ety una fumania nje😂😂😂
Huyo mwanamke ndio ibilisi kwanni kamfata fata huyo kaka na yalikua yasha isha nakisha Toka ndani kwake kweli nasisi wanawake tumo haswa
Rahma msichana mfutii aiseei😅
good movie
Mangwende kavaa tight au vp jaman.
Mimi npigiwa simu tunatuma nkua online chpu
Jaman mbona hvyo
Apo umejaribu kujitetea ila ulimkula
Naomba donation ya likes
Mambwende Mambwende
Tuko online vibaya mno tumeisubiri sana ongera
Kesi imeisha
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
❤❤🎉🎉
❤❤❤
❤
Mmmmmmmmmmh
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ila twaomba mutuongezee dakika tafadhali
Kabisa leo wametupunja
@@Mariam-fm8vq umeonae
Fupi
Sana tu
❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤
❤❤❤❤❤