🔴MJUE MARY CHIZI : DADA WA 'NAMBA UNAYOPIGA HAIPATIKANI KWA SASA' ..... OKTOBA 04, 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024
  • Mary Chizi ni mtaalam wa kuingiza sauti mbalimbali za matangazo ambaye ndiye aliyeingza sauti zinazosikika kwenye mitandao tofauti ya simu hapa nchini pale unapopiga na kutompata unayempigia hivyo kujibiwa "namba unayopiga haipatikani kwa sasa tafadhali jaribu tena baadaye"
    Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
    Subscribe to our UA-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
    Facebook : bit.ly/2KeQNl3
    Twitter : bit.ly/2XG7aii
    Instagram : bit.ly/34KItmg

КОМЕНТАРІ • 41