I LOVE MY TEACHER | 2 |

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 1,9 тис.

  • @abderochdogostar
    @abderochdogostar 3 місяці тому +115

    clam vevo wewe ni msanii bora sanaaa baba wewe unaweza ongera wewe na wenzako kipara naye noma sanaa .🎉🎉

  • @nickluca1512
    @nickluca1512 3 місяці тому +181

    Huyu bibi yake clam anajua kuvaa uhusika na uhalisia 💯❤

    • @Bahati-wu4bs
      @Bahati-wu4bs 3 місяці тому +8

      Usiombe aigize mchawi,bimwenda kalud nyuma

    • @AishaRashid-z8k
      @AishaRashid-z8k 3 місяці тому +2

      ​@@Bahati-wu4bsto😂😂kabisaaa🙌

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 3 місяці тому +2

      Clam vevo mkali kuliko bongo movie wote

    • @kennyprince4268
      @kennyprince4268 3 місяці тому +2

      @@ChoroTesla apo sasa pia natambua sana Aiseeee..... Yaaani vinoma kupitaaa

    • @MrleyLaiza
      @MrleyLaiza 3 місяці тому +1

      Tena sana

  • @mussajumaa1875
    @mussajumaa1875 3 місяці тому +299

    Tumshukuru mungu kwa uhai na tumche mungu ndugu zangu ktk imani

  • @kennyprince4268
    @kennyprince4268 3 місяці тому +94

    Ipo sawa sana vevo ..... Nakutambua sana Clam.... From Kenya 🇰🇪 🇰🇪 wakenya piteni na like tuh🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂🎉🎉

    • @MohammedMuramba
      @MohammedMuramba 3 місяці тому +1

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tuko pamoja 👊👊

    • @kennyprince4268
      @kennyprince4268 3 місяці тому +1

      @@MohammedMuramba Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @FedisZawadi
      @FedisZawadi 3 місяці тому +1

      Sana vibaya

    • @benreborn
      @benreborn 3 місяці тому +1

      Huyo mwalimu atagongewa dem na mwanafunzi

    • @natandulabarbra7397
      @natandulabarbra7397 2 місяці тому +1

      We are together as kenyans😊 ❤❤😊

  • @user-Zadig
    @user-Zadig 3 місяці тому +229

    Najuwa sisi tumeiona iyi movie kwenye UA-cam, ala wenzangu tulio iona movie mama nema kwenye mabanda ya cinéma ❤ wekeni like apo shini,🎉 DRC lubumbashi

    • @MgetaMgeta-v5n
      @MgetaMgeta-v5n 3 місяці тому +5

      Thanks kwenu DRC sisi ni ndug tunawapenda sana

    • @wamidekoGodfrey
      @wamidekoGodfrey 3 місяці тому +3

      Jmn Kim yuko wap mbon hatumuon

    • @ImaxJr4
      @ImaxJr4 3 місяці тому +4

      Noma sna🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢😂❤

    • @user-Zadig
      @user-Zadig 3 місяці тому +3

      @@ImaxJr4 👌👌

    • @user-Zadig
      @user-Zadig 3 місяці тому +4

      @@MgetaMgeta-v5n merci beaucoup ndugu

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 3 місяці тому +37

    Ila bibi ake clam anajua kuigiza, hongera bibi

  • @usher_bambi94
    @usher_bambi94 3 місяці тому +55

    Mitoto ya sku hizi kupenda walimu wao hata haiogop😂😂😂😂

  • @DannysWambi
    @DannysWambi 3 місяці тому +8

    Safi sana tunakupenda sana sisi watu wa Congo nord kivu Ville de butembo utakuwa naumenisaidiya

  • @AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u
    @AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u 3 місяці тому +294

    Ukiamini vevo teacher atakuwa wake basi gonga like ya clam 🎉🎉🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 3 місяці тому +3

      Tchr mwnyw kapenda

    • @MustyNgongo
      @MustyNgongo 3 місяці тому +3

      Ammmmh

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 3 місяці тому +3

      𝕀𝕪𝕠 𝕙𝕒𝕚𝕥𝕒𝕜𝕚 𝕥𝕠𝕔𝕙𝕚

    • @DavidNdomba-f1w
      @DavidNdomba-f1w 3 місяці тому +1

      ​@@MustyNgongo🎉🎉🎉🎉🎉p🎉

    • @Amal-iq1wg
      @Amal-iq1wg 3 місяці тому +1

      😂😂😂😂yataka nneti​@@MashaMbwana

  • @JuniorGazakartel
    @JuniorGazakartel 3 місяці тому +8

    Kazi safi Sana clam bado tunawapenda kutoka Kenya endeleni vivyo hivyo❤💫👌⚡💪

  • @Clever_tz
    @Clever_tz 3 місяці тому +35

    Kusema ukwel huyu bi migomba ni hodari sana anajuw kuigiza mno❤❤

  • @LameckWilliam-d5s
    @LameckWilliam-d5s 3 місяці тому +3

    😂😂😂😂 clam analamb lips kam Simba la masimba dangote 🎉🎉🎉

  • @KizitoMbogo-v1o
    @KizitoMbogo-v1o 3 місяці тому +177

    Wanaochek movie hii mungu awafungulie njia zao amen 🙏 ❤

  • @ibrahimkulimuki
    @ibrahimkulimuki 3 місяці тому +21

    Daaah 🎉🎉🎉🎉🎉 nakubali sana Kaka kwani niaba ya wadau WA TM vevo tunaomba usiwe inachelewa KAZI ni shida ❤❤❤❤❤❤❤🎉😂😂😂😂🎉

  • @Miriamsanga-wf9si
    @Miriamsanga-wf9si 3 місяці тому +39

    Kama Leo umeamka salama sema Asante mungu 🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @GrandePiquiGrande
    @GrandePiquiGrande 3 місяці тому +7

    Clam Vevo haaaaaa kazi ya wizi aikupendezi bwana kama unampenda kazi ya wizi kwa clam ebu mwaga makopa❤❤❤🎉🎉

  • @LatifuPlatnumz
    @LatifuPlatnumz 3 місяці тому +41

    Jamaa anajua sana😂😂😂😂

  • @JospinChege-k5t
    @JospinChege-k5t 3 місяці тому +11

    Naku penda sana kazi churi sana Vevo from congo 🇨🇩

  • @AJIBOSS
    @AJIBOSS 3 місяці тому +38

    Uyu jamaa ana kipaji kama vile kanumba kweli yani ana kipaji kweli kweli🎉🎉❤🎉

    • @ArafatAbdallah-f3b
      @ArafatAbdallah-f3b 3 місяці тому

      Atakua zaidi ya kanumba❤

    • @TausRaj
      @TausRaj 3 місяці тому

      Ebu mpeni heshima yake kanumba

    • @GASPERNDUNGURU
      @GASPERNDUNGURU 3 місяці тому +2

      guys guys kanumba atabaki kuwa kanumba aisee! awa jamaa wanachokwama ni kupoteza kwenye game kwa muda mrefu then kurejea tena muda michache awoooo wamesepa...so kanumba ni kanumba tuuu

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 2 місяці тому

      ❤❤❤

  • @MzeeRaca
    @MzeeRaca 3 місяці тому +16

    Kazi kazi na sio kazi maandazi vevo unyama ni mwingi one love vevo 💯💯

  • @villa499
    @villa499 3 місяці тому +20

    Clam utamkosa mwalimu..anakutakia maisha mazuri na ayuko kimapenzi na ww

  • @youngdemombe4981
    @youngdemombe4981 3 місяці тому +4

    Bibi we ni noma kila character inayokuj mbele yako unaua... movie hi unavyofany km hauigiz vile.. dah🙌

  • @finegatwiri2597
    @finegatwiri2597 3 місяці тому +16

    Waaaa movie Atari sana na Dio mwanza yaani tunaenda kuejoy kweli kweli 😊😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @gladysamina
    @gladysamina 3 місяці тому +25

    Ak ninacho kupendea clam huna ubaguzi. Maana ulianza kitambo saana kuigiza na ingekuwa wengine hangependa kuandamana na vijana wa class ya chini ak MUNGU akuzidishie uweze kuinua vijana wenzako. A big love❤❤ FROM 254🇰🇪🇰🇪

  • @JohnKaseko
    @JohnKaseko 3 місяці тому +86

    Huyuuu jamaa n nomaaa makopa kwake

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 3 місяці тому +4

    Duhhh yaani ktk move nyingi za clam hii ki2 ni nomaaa bg up sana mdau we2

  • @kenethngulo1662
    @kenethngulo1662 3 місяці тому +45

    Safiii sanaa naona ombi langu la dakika limekubaliwa big up sanaa mzee wa kazii

  • @AkiezyTz
    @AkiezyTz 3 місяці тому +5

    hapa mwanafunzi hatuna ila tuna malaya mbunifu😂😂😂😂

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 3 місяці тому +39

    I love my teacher inaanza kua yamoto kweli 🔥🔥🔥 umetisha clam vevo 💪

  • @HazgandiShallif
    @HazgandiShallif 3 місяці тому +3

    Kazi nzuri sana mdogo wangu mungu akujaalie maisha marefu pamoja na nguvu za kuendeleza kaz zak

  • @InnocentTresor
    @InnocentTresor 3 місяці тому +23

    Kazi nzuli vevo ni mwamba❤❤❤🙏 good

  • @RehemaMwakisyala-k9u
    @RehemaMwakisyala-k9u 2 місяці тому +3

    Duu MWenyez MUNGU atusaidie wazazi jamani watt wanatukosesha mbingu

  • @cheframah
    @cheframah 3 місяці тому +66

    Kazi nzuri sana nakuona mbali sana, cha msingi ni kuboresha idea zisichoshe hadhira pindi watakapoitazama, mpe hongra zake director kakosa anajitahidi kupangilia uhalisia wa wahusika na story MBARIKIWE VEVO GANG DONDOSHA LIKES TUONDOKE 🙏❤️❤️❤️

  • @Habibhamashamas
    @Habibhamashamas 3 місяці тому +14

    jaman mm nimewalaik nyote na mm munulike jmn vipen pia clam hongera kwa kazi nzuei

  • @Philipomponda
    @Philipomponda 3 місяці тому +35

    Kazi mzuri vevo toa chuma weka chuma🎉🎉🎉

  • @mohamedsoa1064
    @mohamedsoa1064 2 місяці тому +2

    Unyama sana ila mwalimu abadilishe hizo nywele

  • @Kim3607
    @Kim3607 3 місяці тому +25

    Kaz ni nzuri ilw nashauri kubadilisha sound tracks movie zetu zote zina sound track zinazo fanana

  • @LevyKipkorri
    @LevyKipkorri 3 місяці тому +5

    VEVO kazi nzuri sana una ENDE LEA kuwa onyesha mashabiki Sako uweso wako ulio nayo kwenye kazi Sako ongera sana twakpenda sana

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 3 місяці тому +93

    Clam vevo ndie mwanzilishi wa kuekti uwanafunzi wengne wanafata nyayo tu laiki kwa uyu kijana vevo mtoto mdogo akili kubwa 🌹 🌹 🌹

    • @RazakiYusuph
      @RazakiYusuph 3 місяці тому +6

      Kuna joti ndio alianza kuigiza uanafunzi

    • @moneyfollowme737
      @moneyfollowme737 3 місяці тому

      Hivi mnaijua johari, kanumba hakuacha kitu ndio maana ya great au legend pengo lake ni ngumu kuliziba.

    • @saeedamour5483
      @saeedamour5483 3 місяці тому

      Kweli ushabiki usimfanye ajisahau kuna watu wameanza alafu wamekausha​@@RazakiYusuph

    • @abdul16abeidabdallah
      @abdul16abeidabdallah 3 місяці тому +1

      Joti ndo alianza kuect mwanafunzi

    • @PaulNzagi
      @PaulNzagi 3 місяці тому +2

      Kwahy Mr blue nae n wangapi

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 3 місяці тому +2

    Clam u are talented...A new superstar after kanumba.

  • @BarakaDavid-uq8xc
    @BarakaDavid-uq8xc 3 місяці тому +13

    Team clam na team chado master tujuane 😂❤

  • @SeccielMbrl
    @SeccielMbrl 3 місяці тому +6

    Wakenya mpo wapi jameni..Kujeni tumpe clam makofi ..🎉🎉🎉🎉Kazi safi clam🎉🎉🎉🎉

  • @briterkezybriterkezy6367
    @briterkezybriterkezy6367 3 місяці тому +18

    Wakwaza mimi leo sindio😂😂😂

  • @khido_tz
    @khido_tz 2 місяці тому +2

    Mbona Sengo kafa mapema sana jmn 😢😢😢😂😂😂🎉 kweny hiii movie

    • @jujuswazkid9587
      @jujuswazkid9587 10 днів тому

      😂huyo kafia tu kweny za mwizi hajafk ata kweny arobain

  • @isharajosue8306
    @isharajosue8306 3 місяці тому +31

    Wa kwanza Leo ,Joe Josué 🔥🔥🔥

  • @NasiburamaMikina
    @NasiburamaMikina 3 місяці тому +3

    Tunaomba bas kila siku kipande kimojaa kama itawezekana 🙏🙏🙏 ni nzuriii sanaaaa ase

  • @PrinceAmos-y8t
    @PrinceAmos-y8t 3 місяці тому +19

    Nakubali sana clam vevo😂😊😂😊🎉😊🎉😊😢😊😊😢😢😊😢😊😊😊❤😊😊

  • @OmariJumaaWaziri
    @OmariJumaaWaziri 2 місяці тому +1

    Kaz nzuri clam ❤🎉 maua yako❤👍👍🏻👍🏻

  • @CharlesFrancis-z6n
    @CharlesFrancis-z6n 3 місяці тому +18

    Nimewahii leoo na Mimi naombenii lakin jaman🎉🎉

  • @MeshackmarwaKihengu-in3sn
    @MeshackmarwaKihengu-in3sn 3 місяці тому +3

    Kazi nzuri sana msiiharbu mbeleni sasa kuweni makn

  • @KennedyRajabu
    @KennedyRajabu 3 місяці тому +32

    Am mfom Kenya am namba one 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Mwaluma_254
      @Mwaluma_254 3 місяці тому

      Am no 2

    • @Katuni862
      @Katuni862 3 місяці тому

      Nd kizungu gn hiki😅mbwa nyie

    • @RyanGerald-j2u
      @RyanGerald-j2u 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂​@@Katuni862

    • @AishaRashid-z8k
      @AishaRashid-z8k 3 місяці тому

      ​@@Katuni862kinachekeshaaa in marioo voice😂😂😂😂

  • @BIGTALENTOFFIZI
    @BIGTALENTOFFIZI 2 місяці тому +2

    Kali sana 💥💥💥🇨🇩

  • @emmanuelkapanda3894
    @emmanuelkapanda3894 3 місяці тому +60

    Clam hakika unajua kuigiza brother🎉

  • @Bishydady
    @Bishydady 2 місяці тому +1

    Nakukubali mwanangu unafanya kazi nzuri sana daaah big up sana mzee weka like kama unamkubali clam vevo

  • @FarajaFedrick
    @FarajaFedrick 3 місяці тому +22

    Wanaoamini VEVO na Sophia Kuna expectations weka kopaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @samirmpemba6768
    @samirmpemba6768 3 місяці тому +1

    Kitu sijapenda ni kumuua sengo mapema ivi😅😅😅😅😅

  • @KWIBEAMISIOBAMA-congo
    @KWIBEAMISIOBAMA-congo 3 місяці тому +192

    Jaman mbona Mimi ata liké 5 sija wai kuipata ms'Obama from Congo Kolwezi 🎉🎉

    • @FrancisMkelemi
      @FrancisMkelemi 3 місяці тому +1

      Sawa zangu 19

    • @KWIBEAMISIOBAMA-congo
      @KWIBEAMISIOBAMA-congo 3 місяці тому +1

      @@FrancisMkelemi mrc san ndugu

    • @Romne8
      @Romne8 3 місяці тому +1

      Za kazi gani kwani mbona huwa mnazigombania??

    • @aganzeroger
      @aganzeroger 2 місяці тому

      Kani ite uko kolwezi😂😂

  • @Speedboy-g5w
    @Speedboy-g5w 3 місяці тому +2

    Clam kindly upload all the parts 😊😊your leaving me in suspense, watching from California but a Kenyan

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 3 місяці тому +32

    Wa kwanza jmn nkumbali saaana vevo 😂😂😂😂😂umetisha mwanangu love from 🇰🇪🇸🇦🥰 team kubwa hoyeeeeeeeeee niko riyadh apa😂

  • @anwaralhabsi1424
    @anwaralhabsi1424 3 місяці тому +1

    Clam keep it man, story is amazing kwa kweli unatufurahisha sisi mashabiki wako aiseee, tukipata episode 3 kwa wiki yaani hata hizo mbili mioyo itakuwa safi, sijategemea kama ingetoka baada siku mbili 🔥🔥🔥🔥🔥🔥hongera sanaa team zima

  • @zackmen-ol3yj
    @zackmen-ol3yj 3 місяці тому +57

    Clam naimba ustucheleshie kiukweli tunaboweka from Mozambique

  • @abdulmutwi
    @abdulmutwi 3 місяці тому +1

    Accepted your movie very good CLAM VEVO that crumb we like the movie 💯 🎉🎉I Love MY TEACHER Where the good character on the movie for today continue like that creme👍👍🤲🤣 viva we need the second episode we always support you Kenyans 🇰🇪🎉🎉

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 3 місяці тому +30

    ❤utakayesoma hii comment mungu akupe kidhizik ya halali akulinde na magonjwa ameeenn❤🖐🖐🖐🖐🖐🖐

  • @MichaelWaswa-n4m
    @MichaelWaswa-n4m 3 місяці тому +3

    Kali🎉🎉🎉🎉

  • @wachimbajiwavisimatz
    @wachimbajiwavisimatz 3 місяці тому +17

    Sisi ndio wachimba visima bora Tz nzima

  • @MalingaMaboko
    @MalingaMaboko 3 місяці тому +5

    Mwanafunzi wakweli nakukubali clam vevo

  • @MgetaMgeta-v5n
    @MgetaMgeta-v5n 3 місяці тому +12

    Safii saana tuliisubir kwa hamu sana🎉🎉🎉🎉

  • @GUMBOGAN
    @GUMBOGAN 3 місяці тому +3

    Nastoria yko inafanana n yngu mm nishaluzi😂😂😂

  • @Mumfortune
    @Mumfortune 3 місяці тому +11

    Clam VEVO ❤❤❤❤🎉🎉🎉ameanza kuchukua nafasi ya marehemu Stephen Charles Kanumba🎉🎉🎉😊😊😊

    • @KumbukaShinje
      @KumbukaShinje 2 місяці тому

      Jaman ww dada du? Atakama niushabiki bax si ivi Sasa king wa bongo movi kanumba ankar jj umeanza kumuwianisha na vevo kweli

  • @AntoKiri-n4v
    @AntoKiri-n4v 3 місяці тому +8

    Naipenda sana Clam Vivo

  • @DeboraLufingo
    @DeboraLufingo 3 місяці тому +13

    Clam jamoon kaz nzuri ila ongeza dakika😊😊

  • @RizikiDjuma-j4c
    @RizikiDjuma-j4c 3 місяці тому +1

    Vevo noma kweli 😂
    Wa Congo tuko wengi tunakupenda❤

  • @Misiontown
    @Misiontown 3 місяці тому +43

    Ike zangu apa wanangu wa vevoo🎉😂😊❤

  • @EphraimTuyisenge-le8gm
    @EphraimTuyisenge-le8gm 2 місяці тому +1

    Nimekua na ku miss sana vevo

  • @FatmakhamisHamad-pj6bm
    @FatmakhamisHamad-pj6bm 3 місяці тому +56

    Nimekua wa kwnz leo

  • @GraceMadondola
    @GraceMadondola 3 місяці тому

    Ila mfaya kumbe ni mzuri hivi mpka nineanza kumtamani😂😂 alaaa pepo shindwa kwajinna la yesu😊

  • @jeniphajulius3490
    @jeniphajulius3490 3 місяці тому +14

    Sauti ni tatizo clam ongeza sauti kidogo movie nzuri sana hi

  • @josephmlazier1391
    @josephmlazier1391 3 місяці тому

    Bibi wake CLAM anajua sanaaa kutengeneza hoja bila kumhuzi mhusika yaani apa kwa kusema najua wewe sio mwizi ila hayo makundi ndiyo apana. nimemuelewa kabisa

  • @josephatjaphet7230
    @josephatjaphet7230 3 місяці тому +23

    Mjukuu wangu

  • @mashoranusura8995
    @mashoranusura8995 3 місяці тому +2

    Hii ngoma itakuwa moja ya tambala lako bora sana🙏

  • @Vladmir9112
    @Vladmir9112 3 місяці тому +30

    Wa kwanja ku toka congo

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 3 місяці тому +1

      Cyo kwanja n kwaza😂

    • @NYAMBISHANI
      @NYAMBISHANI 3 місяці тому

      😂akun namba ya ivo

    • @SheilaOmar2007
      @SheilaOmar2007 3 місяці тому

      @@samwelimoshi5614 weee umeacha nikacheka wa
      Kwanja
      Wapinji 😂😂😂😂😂

    • @marycosmas4043
      @marycosmas4043 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂😂

  • @daggykabe2457
    @daggykabe2457 3 місяці тому +6

    Wa elfu moja kukomenti basi nami

  • @Back-sanSaimonifather
    @Back-sanSaimonifather 3 місяці тому +6

    Iyi ngoma nikali sana lkn iko makawiya kutoka Sana mijiyaidi sana mukuwe natowa kwaaraka sana ju iyi muvi nikali clam noma kweli Back-san from drc congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩✍️✍️🌍

  • @sostheneirakoze3809
    @sostheneirakoze3809 3 місяці тому

    hongera sana vevo na kundi lako napenda jinsi mnavo igiza ningetamani niwe mmoja wenu❤❤

  • @agripamwakapala
    @agripamwakapala 3 місяці тому +34

    Sengo kafa mapema😢😢😢😢

  • @MansleeShedafa-n9f
    @MansleeShedafa-n9f 3 місяці тому +4

    Duuuh I wish one day kaka tutafanyakazi pamoja natamani sana kua kama ww nakukubali sana vevo og jo

  • @LilOmmyCrazyOfficial
    @LilOmmyCrazyOfficial 3 місяці тому +289

    WANAO KUBALI KUWA HII TAMTHILIA YA
    [I LOVE MY TEACHER] 🎉
    KUWA NI KALI HEBU TUJUANE HAPA ?😂😂

  • @DafrozaJulius
    @DafrozaJulius 2 місяці тому

    Imetishia Vevo nakubali sana Mungu akuepushe maisha mazuri by mkemia Aden. Ngara

  • @SuperKevoo-f1f
    @SuperKevoo-f1f 3 місяці тому +19

    Noma sana

  • @KidoaSammy
    @KidoaSammy 3 місяці тому +1

    Clam.kubabako kwa mjengo wa teacher 😂😂😂😂😂😂

  • @GrevineOchieng-qd5iq
    @GrevineOchieng-qd5iq 3 місяці тому +6

    Wow kazi safi sana ❤

  • @MwaishambaKipanga
    @MwaishambaKipanga 3 місяці тому

    ii kali clam nzuri sana shikamoi mpnz hakuna mkate mgumu mbele ya chai

  • @Dejjohnte_realkenya..KaRware
    @Dejjohnte_realkenya..KaRware 3 місяці тому +28

    wakwanza jamani leo kutoka kenya..nipeni likes

  • @WazoMtalo
    @WazoMtalo 3 місяці тому

    Vevo nouma sana😂😂😂😂mi kaniacha pindi alipokua mwizi akikuanglia tuu! Tayariiiiiii kaiba cjui Anafanyeje fanyeje😂😂😂😂😂

  • @SummaiyyahSaalim
    @SummaiyyahSaalim 3 місяці тому +6

    Makeup artist tujuane tuweke sawa finishing ya shavu moja la madam sofia😂 linang'ara sana

  • @Raymondnoely
    @Raymondnoely 3 місяці тому +1

    Nakubali mwanangu vevo wew na director kakoso ni watu na nusu

  • @ZaituniRajab-n2x
    @ZaituniRajab-n2x 3 місяці тому +7

    ❤❤❤Jmn acheni choyooo naomben like zenu maan hiii movie kali kishenzi piga kelele we wee weweeeeeeeeeeeh❤❤ unyama ni mwngi sana🎉🎉🎉🎉

  • @mahmoudiddris7945
    @mahmoudiddris7945 3 місяці тому

    CLAM CLAM CLAM....nmekuita mara tatu,,,,unajua sana kaza buti endelea kutoa kazi nzuri mzee..utatoboa parefu kijana🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @BrotherAmbu-pf3vi
    @BrotherAmbu-pf3vi 3 місяці тому +16

    Wa kwanza Leo🙏🙏🙏

  • @justinkitenge-gq9hk
    @justinkitenge-gq9hk 3 місяці тому +2

    Hapo kwaku lamba ulimi sijue mdomo 😂😂😂 CLAM kautaka .