ALADINI"Episode 7 starling:kilangaso Tinwhite

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 362

  • @seiphuwizeee9404
    @seiphuwizeee9404 2 роки тому +38

    Mim leo ndo wakwanza like kumi tuu naombeniiiiiii

  • @chrisjuniorofficial9218
    @chrisjuniorofficial9218 2 роки тому +12

    Hiyo mhogo na chai😁😁😁hakika mnaweza may God bless u my african comedian😁😁😁😀😀

  • @yes_yes1310
    @yes_yes1310 2 роки тому +5

    😢😢😢Leo nimechelewa kuyayuka kabisa nimekuwa Mtu 235 ku comments 😥😥😥 nipeni izo Like 👍 niyayuke 😪

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 2 роки тому +6

    Kilangaso tv pia aitakiwi toa saut.na simu mukipigiwa sijui mtapokeaje au ndo mwendo wa message 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤❤❤❤

    • @yusufyusuph8392
      @yusufyusuph8392 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣ndo maanakee hiyoo

  • @ngoshaog1255
    @ngoshaog1255 2 роки тому +11

    😂😂😂😂😂😂😂Kilangaso we ndo umeleteleza Tin White apigwe maana huelewi kabsa

  • @badimakka0016
    @badimakka0016 2 роки тому +1

    Yaani mm tin white mwanangu mm fan wako wa nguvu.kenyan Mombasa.wallahi ungekua ulaya ungekua bilionea wakutajika.keep up big bro nakuamininia.yani kamanda wangu haubahatishii

  • @fadhilfussi3637
    @fadhilfussi3637 2 роки тому +8

    Bonge la move hili 🔥🔥 nafatilia had mwisho

  • @barakafredy7726
    @barakafredy7726 2 роки тому +3

    mwanangu kilangaso umekuwa mbadi sanaa mwaisa

  • @barakakiula8909
    @barakakiula8909 2 роки тому

    Dagobet ameigiza vzr san hyo lafuv nimeipenda aigize hvyohvyo

  • @omwami9071
    @omwami9071 2 роки тому +3

    Mhogo na chai….😂😂😂😂Noma sana. Kenya twaiga 😍

  • @gracemkemwa8423
    @gracemkemwa8423 2 роки тому +2

    Bro kaikana Nyumba ake bhna😂😂😂😂😂😂😂😂Masihara Nini🙌😂

  • @ruthp8684
    @ruthp8684 2 роки тому +9

    Hapo nicheke kwanza🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwenye mhogo na chai Apo😂😂😂 .Big up Tin na Kilangaso Kazi Nzuri 👏

  • @valentinelutomia7078
    @valentinelutomia7078 2 роки тому +18

    moto hino kama kawa kama dawa.. am a big fan and a follower outer Nairobi Kenya. keep them coming bruh. kudos.

  • @scheillamutoni1558
    @scheillamutoni1558 2 роки тому +6

    Wa kwanza kabisaa😘😘

  • @moniisiyampe5854
    @moniisiyampe5854 2 роки тому +4

    😅😅😅😅 mko sawa watu wangu much love from Kenya 🇰🇪

  • @scheillamutoni1558
    @scheillamutoni1558 2 роки тому +5

    Eti kile ki babu miwani😫😂😂😂😂😂 nani aliwambia mufunge choo Aladin ni Choo😂😂🙆🙆🙆😝😂😂

  • @ignasnamaduvah4681
    @ignasnamaduvah4681 2 роки тому +6

    Tin mbwa ww mim cjalal kila saa nachungulia km imetumwa 😂😂😂😂

  • @FavourTemu-cm6hp
    @FavourTemu-cm6hp Рік тому

    🤣🤣🤣🤣ballaaa hapo kwenye kuongea tin umetisha kazi njema

  • @najmangoni2162
    @najmangoni2162 Рік тому

    Mbavu sina jamani muhogo na chai🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌tin white nipe mbavu zangu

  • @fatumaselemani4319
    @fatumaselemani4319 2 роки тому +1

    oyoooooo Asanteni sana washilika mkovizuli sana mungu awabariki sana kaziyenu

  • @davythesonProducer
    @davythesonProducer 2 роки тому +4

    Muhogo na chai😂😂

  • @aminaahmed6884
    @aminaahmed6884 2 роки тому +1

    Kwanini mama amwambie mtoto wake me sio mkewako wala sio mume wangu kauli za kipumbavu nextime badilisha script movie kali tam nimeipenda .

  • @Delomar3
    @Delomar3 2 роки тому +2

    Muhogo na chai umeupata😂😂😂😂🤣🤣

  • @abrahamngumbao9859
    @abrahamngumbao9859 2 роки тому +5

    🤣🤣🤣🤣🤣umeskia hakuna kuongea

  • @jacobgoodluck7
    @jacobgoodluck7 Рік тому

    Kilangaso umeuwa sana mwanangu nmekubali

  • @kibalatv8250
    @kibalatv8250 2 роки тому +1

    Mwisho nifukuzwe kazi Mana nacheka Kila mda

  • @zenamsumeno7158
    @zenamsumeno7158 2 роки тому +2

    Nakupenda tin white 🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @southpole1378
    @southpole1378 2 роки тому +13

    I always on your UA-cam channel Keep it up

  • @sireid6859
    @sireid6859 2 роки тому +3

    Angekuwa mwanang,ningemgeuza ngazi nimpande 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @maryamlmaryamwanje4334
    @maryamlmaryamwanje4334 2 роки тому

    JAMANI mwanifurahisha MPAKA BASI hila amepungua nagwa na mkojani

  • @alijambia4604
    @alijambia4604 2 роки тому +2

    Eeee watu hiii haina mpizani ukweliii kama unakubar gonga like 😂 awa watu 😂 wanatupa furaha japo hatuna pesa walaaiiiii

  • @hauramusa7061
    @hauramusa7061 2 роки тому

    Na haji anavojuaga kulalamika nampenda bure

  • @salmamohd8202
    @salmamohd8202 2 роки тому +1

    Maake apo kwanza ncheke aty tunakosea kosea sisi baba

  • @matasakaclip7973
    @matasakaclip7973 Рік тому

    Ni nomaaa😂😂😂 tin white duh ni noma baba nkubl kaz 😅😅😅

  • @manvex2214
    @manvex2214 2 роки тому +2

    Muhogo na chai🖐️😁🙆😀😀😂🤣

  • @edithagervas2095
    @edithagervas2095 Рік тому

    Daaah hatary xnah nyie wat big up xnah

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 2 роки тому +2

    Daaah umeniteka na aladini

  • @zainabali870
    @zainabali870 2 роки тому +3

    Next episode please.. ALADINI imetisha Sana.

  • @richadfabian5658
    @richadfabian5658 2 роки тому +2

    Tunao angalia axaiv gong like hapa 😂😂😂

  • @Baadae254
    @Baadae254 Рік тому

    Kazi safi sana.... Keep it up guys

  • @mejahmc9278
    @mejahmc9278 2 роки тому

    Naomba hii filamu iwe ni mwendelezo jmn dah icje ikaisha iwe km icdingo

  • @fatmahamza2268
    @fatmahamza2268 2 роки тому +6

    Laaana summaka wewee🤣🤣🤣🔥🔥🔥

  • @scheillamutoni1558
    @scheillamutoni1558 2 роки тому +10

    Mbona mnaitoa usiku sanaa😭lakini nimeichunga sanaa😂😂love from burundi♥♥♥

    • @ngoshaog1255
      @ngoshaog1255 2 роки тому +1

      We acha2

    • @scheillamutoni1558
      @scheillamutoni1558 2 роки тому +2

      @@ngoshaog1255 nisingelala kabisa😂

    • @ngoshaog1255
      @ngoshaog1255 2 роки тому +1

      @@scheillamutoni1558 Hakika hii movie naipenda sana halafu inafurahisha sana

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому

      @@scheillamutoni1558 ucku ndio raha🤣🤣

    • @rahmamumy9777
      @rahmamumy9777 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣hapo kwa mhogo hapana

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 2 роки тому

    Duh ingawa nipo nyuma, nalambana mpk nije niungane na wenzangu wote. Twende pamoja

  • @purityneema218
    @purityneema218 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣 mwani furahisha kweli yaani movie kali 🔥

  • @abdullqadiradam5581
    @abdullqadiradam5581 2 роки тому +1

    Nakubali sana mzee wa kaz na kundi lako martin white👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @winnieondungaterrylynencoo8617
    @winnieondungaterrylynencoo8617 2 роки тому

    Jini mmeremeto 🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆aladin jamani

  • @barakaelgabriel913
    @barakaelgabriel913 2 роки тому +7

    Muhogo na chai.... waaaap... iihhhhh 😃😃😃😃

  • @accramasuu_tv
    @accramasuu_tv 2 роки тому +3

    Eti hye.....jini mwarabu haki nyi jamaa mwaniuwa na mbavu zangu🤣🤣🤣🤣🤣

  • @beatricesylvester9968
    @beatricesylvester9968 2 роки тому

    Jaman nacheka kwa saut Et laana sumaka mchawi mkubwa wew

  • @hawaomary96
    @hawaomary96 Рік тому

    Jini mmeremeto nimempenda kikweli kweli jaman

  • @issamohamed5299
    @issamohamed5299 2 роки тому

    Kaka tin mnaweza sana nyie ndio wachekeshaj watazania hawa wengine waigizaj

  • @numpefikimwaipopo
    @numpefikimwaipopo 2 роки тому +1

    Loving Tinwhite and Kilangaso😂😀 nyie ni noma

  • @monicafrancis7202
    @monicafrancis7202 2 роки тому

    Mwnye nyumba ukimbieeeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @asmatabdallah1368
    @asmatabdallah1368 2 роки тому

    Hahaha kunya kwenye mifuko duuh hii kubwa kuliko 😂😂😂😂

  • @sadaali2016
    @sadaali2016 2 роки тому +2

    🤣🤣sasa m nangaliy aladin natoa wap uo mud w kujitia mstress tin n noma

  • @lyilyanmussa5433
    @lyilyanmussa5433 2 роки тому

    Ni nani aliye wapa ruhusa y kufunga mlango wa choon ?😂😂😂😂 Choo! Ni like kibabu miwani like 🤣🤣🤣🤣 nimechek mie jamani daaa!

  • @bigbosstuma829
    @bigbosstuma829 2 роки тому +3

    Baba mwenye nyumba aitaki nyumba yake😂😂😂😂😭wallay tin utaniuwa

    • @lyilyanmussa5433
      @lyilyanmussa5433 2 роки тому

      Umesikia tumeambiwa tusiongee! We tatizo kihere here chako 😂😂😂😂😂😂

  • @accramasuu_tv
    @accramasuu_tv 2 роки тому +2

    Inabidi kinya kimya game sasa ndani ya nyumba mana si kwa makofi hayo....

  • @abubakrnassoro7962
    @abubakrnassoro7962 2 роки тому +3

    Congrats man u are good 😘 Acha kitambe hadi mwisho alaf tunasubiri ep 8

  • @lovenesskaaya948
    @lovenesskaaya948 2 роки тому +1

    😂😂😂 stress kwishinei,jamnn pongezi mnoo kwenu mnooo

  • @omaryawadhi912
    @omaryawadhi912 2 роки тому +1

    Bonge moja la movie 😂 big up san wote mlioxhiriki

  • @Baadae254
    @Baadae254 Рік тому

    Aladini, Sakata hiyo Sasa halafu baadae baadae Tufagie... You give me reasons to be on the screen... Kalonje outer Nairobi Kenya locked

  • @wardahafidh832
    @wardahafidh832 2 роки тому +1

    🤣🤣hamna kuongea🤣🤣🤣

  • @joanesrobat3187
    @joanesrobat3187 2 роки тому

    Mwenye nyumba kapanga sio hiyo kubwa hahahahah

  • @jacklinejohn222
    @jacklinejohn222 2 роки тому +2

    😂😂😂😂si muhame tuu jamani

  • @princesssally3276
    @princesssally3276 2 роки тому +4

    🤣🤣nimecheka kichizi
    Toeni kila siku jaman😭

    • @omanphone3455
      @omanphone3455 2 роки тому

      Muhohonachai😃😃😃😃😃😃😃iv mnawezaje kujizuia kucheka yaan nimecheka ad NAONEKANA ka chizi humundani daaaah hili bongelamove

  • @sharifakikaula7957
    @sharifakikaula7957 2 роки тому +1

    Mweupe.. Embu nikuulize iyo sura yako hapo unalia unacheka😁😁😁😁

  • @menderous
    @menderous 2 роки тому +5

    Soo funny 🤣 😄 am waiting next episode 🤔

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 2 роки тому +1

    Hakiamungu nimecheka 😂😂😂😂😂😂😂dagobert na haji mlivyokimbia😂😂😂😂😂ile zahma😂😂😂😂😂

  • @Dinar958
    @Dinar958 2 роки тому +3

    Muhogo na chai🤣🤣🤣😋

  • @feisalmasoud7984
    @feisalmasoud7984 2 роки тому

    Sana picha zako from kisauni Mombasa wakali wote wanaku salute

  • @Maryam-kl6gj
    @Maryam-kl6gj 2 роки тому

    Hahaha😂jaman himove nifullu vichekesho

  • @avthiuspauline7507
    @avthiuspauline7507 2 роки тому

    Nakukubali mr white

  • @fatumahamadi3073
    @fatumahamadi3073 2 роки тому +1

    😂😂😂😂Hii mwisho jaman mbavu zangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @yohanapetro4937
    @yohanapetro4937 2 роки тому +8

    Aladini 👍👍👍👍👍👍👍

  • @donaldvanjoseph8153
    @donaldvanjoseph8153 2 роки тому

    Haki nmecheka kwa sauti mpka nyumba mzima wameamka wakizani mi nalia🤣🤣🤣🤣 et mhongo na chai

  • @milajishaban2606
    @milajishaban2606 2 роки тому +1

    Oya toa fasta Aladdin nikali sana tini unatisha kaka

  • @aminahassan3681
    @aminahassan3681 2 роки тому +4

    Muogo na chai😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @dullymsomaly3782
    @dullymsomaly3782 2 роки тому +1

    mmenifanya nicoment uku naangalia mlivo mabubu wapuuz nyie hahhahahahaa...mnaupiga mwing atar hahaha big up hahhaa

  • @stellasilayo1448
    @stellasilayo1448 2 роки тому

    Mhogo na chaiiii nacho kibao nacho

  • @mohammedkhamis1010
    @mohammedkhamis1010 2 роки тому +3

    Addicted to aladin..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zuriathabdallah9492
    @zuriathabdallah9492 2 роки тому

    Hahahhaahaa nimeanza kucheka kabla sijaangalia had mwisho😂😂😂😂

  • @atanaskipangula9763
    @atanaskipangula9763 2 роки тому

    Wataniuwa mbavu zangu kenge hawa, TIN BG UP tunajivunia uko poa

  • @aduiwaarsenalfans7301
    @aduiwaarsenalfans7301 2 роки тому +3

    🔥🔥🔥🔥nakubal... keep good work

  • @kellymornie5230
    @kellymornie5230 2 роки тому +2

    Make kwanza nchekee 🤣🤣🤣

  • @innogmsuya_minister4953
    @innogmsuya_minister4953 2 роки тому +1

    Pakeni matembele wakija hawawaoni mtaishi kwa Raha Sana

    • @lyilyanmussa5433
      @lyilyanmussa5433 2 роки тому

      We. Naon una mtafuta jini mmeremeto mie sipo😃😃😃😃

  • @numpefikimwaipopo
    @numpefikimwaipopo 2 роки тому

    No kwenda maliwato. Sasa ole wenu mle mihogo na chai

  • @aliabdallah8908
    @aliabdallah8908 2 роки тому

    Dah mbavu zang mm jmni

  • @benethemanuel9277
    @benethemanuel9277 2 роки тому

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁asanteni sana wakuu

  • @sadatisabihi3818
    @sadatisabihi3818 2 роки тому +3

    Ostadh n haji Adam ahahahha

  • @coolboe7911
    @coolboe7911 2 роки тому +12

    Alladin is always best

  • @furahaleonard5052
    @furahaleonard5052 2 роки тому

    Is amazing film.hawa jamaa ni hatari Sana wananivunja mbavu sana

  • @hadiaomar7432
    @hadiaomar7432 2 роки тому

    Hhhhh nmeipenda hiii😂😂😂😂

  • @rehemajuma5982
    @rehemajuma5982 2 роки тому

    Mi mnanivunja mbavu zangu jmn khaaa

  • @chimusic3069
    @chimusic3069 2 роки тому +1

    Aaaaaah kudadeq mbavu zangu😂😂😂😂😂🤓🤓🤓🤓😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @silyvanusgenegwa2036
    @silyvanusgenegwa2036 2 роки тому +1

    Nakubal saaaana tin😂😂😂😂😂

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 2 роки тому

    Tinwhite good job kazi nzuri.

  • @abelfrancis8437
    @abelfrancis8437 2 роки тому +4

    Tine🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @matholeomar4416
    @matholeomar4416 2 роки тому

    Eeeeh mbona kali yaan n 🔥🔥🔥🔥🔥 iendelee hio please..