Aise brother tin mmetisha sana kwa kweli😂😂😂😂, mungu azidi kuwapa uwezo mwingi waku tuletee video kali Kama izi Me ni shabiki yenu mkubwa tu From 🇱🇷🇱🇷🇱🇷
Duuuuh yani sina stress tena ninapo ona movie hii tunazidi kuwaombeya mwenyezi mungu awape maarifa zaidi katika kipaji chenu tunawapenda sana from burundi
Bro Alladin mdogo wako apa nikomedian napenda hi Kazi ya kuigiza ila sijapat mtu wakuniinua kipaji Chang naomb sapoti yako bro Alladin
ua-cam.com/channels/JotadBBCRDaj5MhwtXgktQ.html
Pambana kaka utapata nafac tutakuona mungu akutie nguvu
Yaan mnastaili tunzo ya mwaka jamaniii ...best movie of the year mashaa Allah....hii kiboko kabisa.
Aise brother tin mmetisha sana kwa kweli😂😂😂😂, mungu azidi kuwapa uwezo mwingi waku tuletee video kali Kama izi
Me ni shabiki yenu mkubwa tu From 🇱🇷🇱🇷🇱🇷
Ukuje na tanzanian sas
Duuuuh yani sina stress tena ninapo ona movie hii tunazidi kuwaombeya mwenyezi mungu awape maarifa zaidi katika kipaji chenu tunawapenda sana from burundi
Kubwa kuliko,Aradin tin unaziwezea sanaa aina hizi za movie 🔥🔥🔥🔥
Tena sanaaa
Cyo ARADIN ni ALADIN
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 hamna kwenda choon, hii movie ni kali sana KUBWA KULIKO ikasome dah, hatari na nusu
Kama ii ndiyo You Favorite Movie 🍿 like Ya Tin White Hapa 😀🙏
Napenda movie hizi za kichawi kuliko zile za kula nyama na kutoka madamu mdomoni. Uchafuuuuu.
ua-cam.com/channels/JotadBBCRDaj5MhwtXgktQ.html
🤣🤣🤣🤣🤣🔥❤🇰🇪
Masudy pogea simu kurarareki kachukuwa iyo 🤣🤣🤣 kweli kakupoza nipo zangu omani wapendwa KAZI nzur Sana jama mashaallah sukhrani Sana mubarukiwe Sana🤛🤛🤛🤛
Idea Imerulia sanaa salute Sanaa TeamNzima ❤🇿🇦✅🇹🇿
wa Kwanza toka njombe 😁😁😁😁like zenu jaman😂😂
Kama unaangalia now gonga like gap😁😁
Kilangaso Hilo Kofi mpk mavi yamerudi😂😂😂😂
Muve tam sana hii jamniiiiii
Iyo mikofi siyo ya nchi hii khaa 🤣🤣🤣
Nyie kilangaso kweli anaifaham iyo story anayopewa 🤣🤣🤣🤣🤣 na aladini
😂😂😂nimecheka sana
Nyieee hiii movie alieua nj kilangaso na tin white 😂😂😂😂😂😂
Best move of the year "ALADIN" 🔥🔥
Sorry its movie not move 😘😘
😅😅😅
Aladini you to funny
Wamegoma kuhama nyumba masud n Aladin wamekubali kuwa mabubu😂😂🤣🤣
Aladini mambo🔥🔥🔥unajua kabisa Kama hamna kuongea humundani🤣🤣🤣
Tin home boy.kaz imetulia🤟👏
*KENYA TUKO NDANI* 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera sana kwa kazi nzuri ila mlikua mna noga zaidi mkiwa na mkojani na nagwa
Japo kuwa sijui kishwahil vizuri nipo marekan hiii move Kali Sana
Kaka tunaomba utufahamishe muda sahihi wa kuupload hizi episodes make tunakesha sana kaka tukisubiri .Tuhurumie kesho tunahitajika vibaruani
Hahahahhaha inabidi uangalie siku ya pili
Mwendo wabubu now😜😄👏 ila naikubali sana bro ninzuri sana
Kilangaso uta tuvunja Mbavu kaka 😂😂😂😂😂😂
Watching from Kenya ,this guy's ,is dope manze
Nimecheka adi sauti imekauka 😄😄
Kilangaso umeambiwa hamna kwenda chooni jamni Kaka poren kwa matatizo lakini pia hongeleni kwa kazi zenu nazielewa kiukweli
Aladin baba kazi nzuli Sana
Jamani pongezi kitu kitamu na makofi ya uso🤣🤣🤣🤣
Classic movie tinwhite kilangaso 😀😀😀😀😀hii kali bonge LA movie
Tumejiandaa achia inayofata mb zipo nyingi
Kofi la jini lina sauti kama gari la mashindano 😂😂😂😂😂😂😂
Umeambiwa Usipende choon daaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimecheka had nimezimia nyie...njoon niokoeni 😆🏃
Aladini umempoza mwezio jmn 😂😂😂😂😂😂
Kimeumana kikaumanishwa yn hamu hainiishag kumuangalie uyu senge
Eti kupanda mnaz na mkono mmj ww tin ww kma umeelewa like hapo
Kulaleki kachukua hiyoo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahaha bro tin mnatisha Sanaa nik Makin sana hii moves hongera Sanaa Alladin
Uliambiwa usiende chooni kofiiiiiiiii 😄 🤣 😂 😆 😄
Waaaah kapigwa bamkofiii 😄 🤣 😂 😆
muvi ni nzur sana ila punguzeni sana hili tangazo la Aladini katikakati ya muvi
Kinachonikera ni hio sound track ya "alaadin"...it's scary af
Mmetisha wazee wa kazi
Umemuponza mwenzio kapigwa🤣🤣🤣🤣🤣
Uliambiwa usiende chooni 🤣🤣🤣🤣🙌ila mama mwenye nyumba mbavu jamani eti ntakuitia mwizi 🤣🤣mnaweza sana👏👏😍
hi
Saf Sana brother yaaaan big up kwako
Tobàa yaan nacheka mpaka naumia hasaa hahahhahahahahha wallah vituko .....
Hili movie kali sanaaa 😂😂😂😂😂
Cheza ngoma ya mwanao kilangaso🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii episode umenikamata nimemsahau mkojan sabab ya hii move hatr Saaaaaaaan
Jaman mutuwekee lingo jaman
Aladin on fire
oyooooooo 💃 💃 💃 💃 💃 👌
Yaani unacheka mpaka mbavu zinaniuma🤣🤣🤣
We kilangaso nimekukubali unaweza
Hahaha hahaha hahaha😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani Asante sana💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜
❤️❤️❤️❤️❤️❤️🌹
😂😂😂😂😂team's #TinwhitAladin like zenu jmn maana huku mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
ua-cam.com/channels/JotadBBCRDaj5MhwtXgktQ.html
Naomba hii movie isiishe iwe kama isidingo
Dah nakuja mdogo mdogo mpk tuwe sambamba etiiiiiiii
Aki nimeipenda xn kwa kweli😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Mnachekesha sana good job I like it😅😅
Nyumba km hii nilisha wai kukaa wapangaj wanamiak saba ndani mwenye nyumba atumjuwi kapigwa kipapai kimoja tu
Tine mimi ni shabiki yako mpaka Sasa nimekaa Macho nasubiria Aladin basi plz mkiwa mnaposti try kupost double clips
Double za nn wakt hiyo Iko katika ratiba ya Siku 3 Kwa wiki
@@athumanimtajih nashindwa amba n shabiki wake😂😂😂
Aladin unaniponzaaa 😅😅😅
Paaaaaa😁
My best movie😍
Move ya viwango san 😂😂fulu mibaoo yani mbona hakuna muendelezo wa nmba tisa
Vraiment félicitations à vous
ua-cam.com/channels/JotadBBCRDaj5MhwtXgktQ.html
Jaman mbna mm kwangu siion sehem ya 9 na 8 zipo majina. Tu hazi chezi
Leo na Mimi ngoj nikoment daaaaaah 😂😂😂
Nafurah sana nikiwa congo
Mzee kichupa 🤣🤣🤣 haishii hapa naona umechanganyikiwa
Hulali unaachia series xaa 9 thin white noum xn
🤣🤣🤣🤣🤣 kilangaso sikwa viboko ivyo 🤣🤣🤣 movie nzuri sana
Hahahaha please please call me 😀😀😀😀😀😀 hatari sasa kaka martin nakukubari
Kaka nakukubali sana sana wewe ndo msanii wangu tz aisee♥️🥰
Martin Yuko vizuri tangu awali
Kwa kiwango kimekuwa sana hafu kazi yake inaualisia ndani yake
aladin nibonge la move asee
Hii movie kaka mnatueka Sana kitambo itoke Episode ingine utamu unakua unayayukaaa Bwageni Episodes hata ni mbili kwa Mpigo mnatueka sana
Simu ya Masudi inavyoita tu Mm nimedondosha kicheko Kama Fala 😂
😂😂 kilangaso mbishii usiende chooni wewe bize unavizia mlango wa choo
Best creativity 🔥🔥🔥🔥
Leteni hyo ya 9 🔥🔥
Nazkubali sana movie za huyu jamaa
Vraiment vous êtes très intéressant depui🇨🇩🇨🇩 Bunia/ ITURI.
ua-cam.com/channels/JotadBBCRDaj5MhwtXgktQ.html
Hukoseag baba napenda San move zako zote ziko good 👍👍👍👍 wow
Oi baba nimeiwahi leo m ndo wakwanza
Ila kilangaso ndo anakula makofi mengi mweeee
Nyumba kweli nzuri lakini Kuna raha gani kuishi Kwa wasiwasi? Hata hivyo mnachukua maziwezi ya kuwa majasiri. Hongereni
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daaaah mbona nahisi kam mbavu zangu zinatoka joman
TN unazingua usitoe vitu nusunusu toakitu kizima unatoa vitu vizuri unatoa nusunusu ukitoa vitu vibaya una achia nzima maanaake nini! Achia ngoma nzima niseme kweli kitu kimetoka sasa ukitoa nusunusu aifai au aujiamini mkali wangu kazi zako bado ni nzuriiii sana ila achia mzigo mzima unao eliweka mojakwamoja bado tupo pa1
Nacheka mwenyewe hapa jmn.😆🙌
Wadau mko vxr amlalagi kitu kimeachiwa alfajiri viewer na coment kibao tu
Kazi nzuri begp sana
Iko vzr mr tn
Uliambiwa usiende chooni 😆😆😆😆🤣🤣kofi
hapa kwenye kuongea kutumia ishara mngeweka subtitles za kiswahili ingenoga sana
Kabla jua halijaenda kwa mama yake 😜😜😜😜🇹🇿🇹🇿🇹🇿
nakubar sana hii kaz
Jmn ALIDIN mpk nimpokonye pili mume hapa 😂😂😂😂😂
Nimecheka sana nyie jamaa
Mnakomaa tu paka mnaongea kwaishala ss wala amjali😂😂😂😂😂
😄😄😄😄😄kibubu bubu make hapo kwanza ncheke