Shida ni sehemu ya maisha ya mwanadamu, Shida zinatukomaza na kwa namna moja zinatufanya tupambane zaidi 🤧 Karibu kutazama Filamu hii ya CHEMICAL x WEMASEPETU. Tafadhali Acha comment yako 🙏
Thanks for your taught's through this lovely, touching and teaching movie. I love the way you always give your advices to people of different parts of the world, I'm really impressed. I love y'all and may God keep blessing you. For teaching this world about this nowadays life. I love y'all once again
Chemical vc es uma das primeiras,na area de trensmissao de boa mensagem..... Nao imagino que havera mais uma outra a fazer boas cenas gostei muito do video,desde 2019 tou activo no seu canall com boas imformacoes Acredito que é essa historia em que amaioria passa a sofrer,,bom trabalho.
Kitu ni kizur sna na pia hii story ni funzo kubwa kwa vijana tunatakiwa tusikate tamaa tuendelee kupambania kile tunacho kiamini maishani🔥🔥 congratulation sana
Nimemaliza kutzana filamu yote. Inatoa elim kubwa sana so nashauri mbali na mziki pia kazi hii endelea kuifanya maana itakukuza Zaid na Zaid kutokana na uandaaji na kuigizwa Kwa filings
Daah ila yote maisha tuu so Kwa kuteseka na kupitia mateso kama hayo,Kwa movie hiii daah sio Siri Yan umenilenga Mimi😩😩😩😥 maisha ninayopitia sometimes INAUMAA inabidi ujikaze tyu😭😭😭😭😭
Shida ni sehemu ya maisha ya mwanadamu, Shida zinatukomaza na kwa namna moja zinatufanya tupambane zaidi 🤧 Karibu kutazama Filamu hii ya CHEMICAL x WEMASEPETU. Tafadhali Acha comment yako 🙏
❤️💯
I appreciate bonge moja LA story
Go on my sister
hii movie nmipend xan 💕
wowo kumbe ulikuja ku edit 6d ago 💕😍😍😍😍😍😍
Hii movie sija-ifaidi kabisa, kuna vipande sauti inakata kabisa kisha inarudi, ila ni kali kinoma🙌🙌🙌💯
Nice movie Mary umenitoa chozi ulipo patwa na matatizo...wema rudisha body yako hii ya zamani pls
Mashaallah Mashaallah wallah move hii ni kali sana nimelia san asee na kufurahi pia keep it going I love u gal 🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡
Round two kuangalia, salute Kwa washiriki wote, imeniliza pale wema anamuita dadake chemical,,,chemical ma favourite, daa wema Nakupenda ulivyo
Hii move sijawai choka kuitazama mliuwa sanaa hongera kwa wote
Dah had nimelia unajua kuigiza chemcal nakupenda Mary 🥰❤️🔥
Hongereni wahusika wote wa hii filamu tamu❤ mumecheza na kuvaa uhusika wenu barabara
Thanks for your taught's through this lovely, touching and teaching movie. I love the way you always give your advices to people of different parts of the world, I'm really impressed. I love y'all and may God keep blessing you. For teaching this world about this nowadays life. I love y'all once again
Move Kari ndo Mana nimeirudia Tena mmeweza hatari 😍😘
Chemical nakubari sana kitu mliigiza elimu tosha sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nice one jipe moyo unaweza mungu Ako nawe
Move kaliii inafundish kuto kata tamaa kwenye maish aijalish unapitia magumu kiasi gan nimeipenda MWANA LUBAVA
Kalekwa jina la bibiangu jamani nimeipenda sana hii move
Mungu atuwezeshe Dunia shida nyingi
wow actually I salute my best actor wema you just that real star@more love from this side
nwakubali wote wahusika nzuri sana hongereni nwapeda sana ktoka kenya
move ni mzuri unatufudisha hongereni Sana
Chemical vc es uma das primeiras,na area de trensmissao de boa mensagem.....
Nao imagino que havera mais uma outra a fazer boas cenas gostei muito do video,desde 2019 tou activo no seu canall com boas imformacoes
Acredito que é essa historia em que amaioria passa a sofrer,,bom trabalho.
Nzuri sana asanteni kwa kazi mpo vizuri
Jamani bony 🥰😭🤗be blessed
Wallahi hii story n tam sana yani unaangalia mpaka unackia mwili unasisimka
U really make me remember my back story ak good keep it up 🙏🙏
Katika hii dunia kkuna bindamu wameumbwa na roho mbaya sijapataa kuona 😢
Kitu ni kizur sna na pia hii story ni funzo kubwa kwa vijana tunatakiwa tusikate tamaa tuendelee kupambania kile tunacho kiamini maishani🔥🔥 congratulation sana
Sai wema umekua mu mama sasa still beautiful ❤
Jaman chemical nakukubali Sana Ila hii movie imeniliza
Dozee in the building,Chemical mAh gee🔥🔥🔥🥰
Umetisha sana inaonesha jinc gani umepitia ktk changamoto lkn bado hukat tamaaa
Grace roho chafu Sana I love you Mary good talent
Waooooooooo chemical nimekupenda bonge,la,bonge movier,ww
Jamani wema hpa alikua mama Sasa ndio Kawa msichana
Penda san da wema ❤❤❤🎉🎉
Naipenda sana hii Move yazaman tena
Kumb wema alkuw mzur ivi jmnii duhh😢😢😢😢
I cried 😢 ila the movie is amazing and advisable
Aiseee movie tam sana kaka bonn pongez sana
Wanaume wanahuruma sana tofauti na wanawake Born ameonyesha uwalisia wa wanaume walivyo na huruma
Love from to Mr Joel🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Keep it up am Mohammed from Kenya 🔥🔥🔥🔥
Yaan humu chemical umeua sana 👏
Kazi nzuri sana❤
Dadangu @Chemical* hapa ulipatikana
Mnaweza sana❤❤❤❤🎉
Nzur pia inafundisha
Mungu awabariki kwa kazi nzuri
Mashallah move nzulii san ila inaliza jamani😫😢😢😢😢
Kazi nzuri kbs❤❤
😢 naipend sanaaa 😘😘
Nimemaliza kutzana filamu yote. Inatoa elim kubwa sana so nashauri mbali na mziki pia kazi hii endelea kuifanya maana itakukuza Zaid na Zaid kutokana na uandaaji na kuigizwa Kwa filings
Iko tamu aky but kulia nimelia sana congratulations 👏👏 tz
😍😍wowo
Tunajifunza mengi hapa, Tabia , ukatili', na huduma.
Inatia huruma sana
Chemical ujue nimelia make ayo ndokama maisha napitia😭😭😭😭
have ever come across this movie my situation at the momment itakua sawa
Watching from Nairobi Kenya
Daah ila yote maisha tuu so Kwa kuteseka na kupitia mateso kama hayo,Kwa movie hiii daah sio Siri Yan umenilenga Mimi😩😩😩😥 maisha ninayopitia sometimes INAUMAA inabidi ujikaze tyu😭😭😭😭😭
Nimelia sana jmn chemical umeuwa sana
Aise nimeipenda
heeee!! aya maisha jmn lebeca na bill kumbe wakitambo jmn
Fantastic but so short
Good job keepup mmenifunza kitu
Ni bonge la movie nice chemical na wema
Da hii muvi ime nifanya natokwa na machozi jmni dah😭😭
good movie
Kazi nzuri ❤❤
Haki mumeweza hii imeniliza sana nakunikumbushq niliyo yapitiya,ila kwasasa mambo yakosawa kama kawa.
Noma San 👸👸👏👏👏
Wow amazing 😍
Pore sana
Watching from Gabon
we mrembo www kwakwel unatisha mungu akupe afya njema kupenda unachokifanya😅😅😅😅😅
Back
Only God 🙏🙏🙏 who knows our life
Chucrani sana simulizi nzuri 🔥🔥👈
Nani..? Yupo na hii movie 2023 tujuane 😍😍
I❤ you so much
Good job Sister
Wema kipenzi nakupenda
😭😭😭😭😭😭😭I naniliza kbs
💖
Mashallah thabark Rahman
Bongeeee la movie❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Uko vzur wema
Jaman mmetixha xan mmefanya kaz nzur
Wooo❤❤❤❤❤❤❤
Jaman mmetixha xan mmefanya kaz nzur xan
Dada ake star hahah anatamba tuuu
Wee hii Kali♥️♥️♥️♥️
Dah nimelia sana
Filam zuri kweli 👌
Nabapenda sana
Yani Aya maishaa bila changamotooo utoboiii
Safi sana
Nalia jmn chemical duuuh nkpnd chemical im a tom boy Brilliant005
Kazi nzuri
Mdogo wangu unapania sana 😂
Dah jmn Hadi chozi lanitoka😢
Nice move
😭😭😭😭😭😭 sio kwa kulia uku nilikolia
❤❤❤❤❤
Nzur sana
Kwa dk 10 tu nlizoangalia had sasa. Pongez Kwa waandaaji