ALADINI"Episode No.9 : Sterling Tin White kilangaso

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 586

  • @superquality5541
    @superquality5541 2 роки тому +10

    Daah!! mmetisha wanangu best movie 👏 movie kila inavyoendelea inakuwa tamu. iyoo style ya mayele nimeipenda 🤣🤣🤣

  • @gloryjanson2091
    @gloryjanson2091 2 роки тому +8

    🤣😂🤣😂🤣😂 nmecheka mpaka basi jamni hii series ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌

  • @meshackshark7953
    @meshackshark7953 2 роки тому +1

    Move Hiii Zuli Sana Nawagizaji Wote Mpo Vizuli Sana Kaka Tinh Nafatiaga Sana Move Zako Kaka MUNGU Awape Guvu Tupate Move Zuri Kama Hizi.💪💪💪👂👂👀👀👀👀👏👏👏👏👏

  • @victoriambepera439
    @victoriambepera439 2 роки тому +13

    waamenitoneshaa 🤣🤣🤣🤣🤣 nacheka sana na hii movienimeipenda kupitilizaa

  • @yankelly3006
    @yankelly3006 2 роки тому +9

    White et Mr kilangaso félicitations à vous Mayele atekenya🤣🤣🤣🤣🇧🇮🇹🇿🇬🇦🇺🇬

  • @enjoytv9142
    @enjoytv9142 2 роки тому +9

    Kaka martin napenda sanaaa kazi ako natamani. Canaaa kuwaa kama wew

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 2 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavuuuuu zaaanguuuuu jmn #TinwhitAladin wew kiboko 🙌🙌🙌🙌 na nafikilia ulivyo waza kazi hii jmn hii ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥2022 nibalaaa Mungu aendelee kukuweka kaka ake miee

  • @bonifacegervas7936
    @bonifacegervas7936 2 роки тому +2

    Saf sanaaa... Siwapingi wanangu sanaaaa.. To much love tin

  • @kilagane183
    @kilagane183 2 роки тому +11

    Daah bonge moja la kazi, lazma tuipe tuzo 🤣

  • @phionarehemacharo3353
    @phionarehemacharo3353 2 роки тому +27

    😂😂😂😂 movie tamu Sana yaan huezi jizuia lazma utacheka tu,mmeweza guys watching you from Kenya God bless you

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 2 роки тому +3

    Mmekaza wanaume dah siwawezi paka mmeachwa huru🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤❤❤❤

  • @zainabthomas6960
    @zainabthomas6960 2 роки тому +4

    Dalali kashamchomesha mwenye nyumba sijui kitamkuta nini🤣🤣🤣

  • @fadhilfussi3637
    @fadhilfussi3637 2 роки тому +3

    Ogaaaa
    Mpo vzur Sana big up🙏🙏🙏🙏

  • @rehema9416
    @rehema9416 2 роки тому +2

    nimeipenda aseee dah nacheka sina mbavu🤣🤣🤣🤣🤣

  • @emmanuelngede396
    @emmanuelngede396 2 роки тому +2

    Hakiyamungu hawa jamaa waongo Sanaa mayele style in the Aladdin

  • @carlyboytz
    @carlyboytz 2 роки тому +5

    Mamaeee tin msege sana 🤣🤣🤣
    Baba mwenyenyumba ulishangaa hapigwi makofi🤣🤣🤣

  • @zachariaevod8148
    @zachariaevod8148 2 роки тому +1

    Movie nzuri Sana naomba muwe mntuwekea vipande vinavyofuata mapema tunasubili Sana mjue

  • @doreenbochere9481
    @doreenbochere9481 2 роки тому +1

    😂😂😂 hii movie balaa Tini white much love from Kenya tunakupenda sana

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 роки тому +4

    Kazi imekuwa kali
    Sana maana duh
    Mumetisha sana
    Wazee-MAANA SESSION
    YANGAPI PALE MUKITAKA
    KUZINGUA MAA NISHAONA
    NI YAKUISHA KABISA

  • @babitojnr4886
    @babitojnr4886 2 роки тому +5

    😅🤣🤣😂hapo kwa sirudi tena nimejipata nacheka bila kutoa sauti😁

  • @KhadijaKhadija-ee5kr
    @KhadijaKhadija-ee5kr 2 роки тому +4

    Mbona kutoneshwa mshono tenaaa🤣🤣🤣🤣Allah awalinde

  • @ahmadkorongo6263
    @ahmadkorongo6263 2 роки тому +5

    🤣🤣🤣🤣 jini anapiga kimayele noma Sana🤣🤣🤣

  • @danielmwaguta1951
    @danielmwaguta1951 2 роки тому +2

    Walai tinny na kilangaso mmewezaa napenda Sanaa kazi zenuu

  • @saidathman7091
    @saidathman7091 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣Daaaaah Yani naitwa mwendazimu kwa kucheka peke yangu

  • @Shariff143
    @Shariff143 2 роки тому +9

    Brother always am 😂😂🥰 Thanks Guys Keep Good Job,🇧🇭🇧🇭🇰🇪

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 2 роки тому

    Movie hiko sawa nakukubali tinwhite na kilangaso watu wachezea makofi kweli 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @loicekarima1662
    @loicekarima1662 2 роки тому +2

    Ahahahahahaha unampiga baba mwenye nyumba....mob love kwenu guyz

  • @phionarehemacharo3353
    @phionarehemacharo3353 2 роки тому +4

    Episode 10 pls nahamu na kuumia mbavu zanguuu😂😂😂😂😂😂

  • @patrickvove
    @patrickvove 2 роки тому +9

    Mwenye nyumba kashuudia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🔥🔥🔥🔥 please let this episode keep going we love you TiWhite ❤️❤️

  • @felixochiengomondi6189
    @felixochiengomondi6189 2 роки тому

    Hahahaha 😂😆 jini kapiga mpaka za mayele wa Simba videbe hahahaha 🤣😂 hii kali sana . Mwenye nyumba kala za mayele.

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 роки тому +8

    Jamaa wapewa ruhusa yakuongea wameanza uchokozzi😅😅😅🤣🤣

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 2 роки тому +2

    Oyaàaaaa...nimekuja...but nimechelewa kidogo...🌹

  • @boythenuru4125
    @boythenuru4125 2 роки тому +1

    endeleeni kuachilia mawe wazee mi nawafutilia mpaka mwisho, sema nn mmetisha wazeee kubwa kuliko haioni ndani, mpe hongera yake hajih adam katisha nimependa ,sana na simso mkinga ananifuraisha ongea yake ya kitanga nae katisha aisee

  • @maimaally9796
    @maimaally9796 2 роки тому +2

    Dume la pwani 🤣🤣😂kashamchomesha baba mwenye nyumba🤣🤣tunao angalia mda huu tujuane😂

    • @rojeliusidaudi2804
      @rojeliusidaudi2804 2 роки тому

      Jaman moove lakn mbona sjaona epsod ya 10 yan muenderezo make inaishia 9 nikitafuta muenderezo sion jaman

    • @maimaally9796
      @maimaally9796 2 роки тому

      @@rojeliusidaudi2804 usiku angalia

  • @omarimnkologwe4824
    @omarimnkologwe4824 2 роки тому

    Jmn tuachen utan move tamuuu kinyamaaaa kwakooo story wrtter Kaz unaiweza Jah wabless but move tamuuu kinoma nomaaaaaaahhhhhhhh kwakoooo kwakoooo kirangasooo p1 na tiny

  • @meshackshark7953
    @meshackshark7953 2 роки тому

    Kwer Uvumivu Hupata Vingi Duuh Hongereni Sana Kwa Uvumirivu Mriyonyesha Sasa Hivi Mpo Huru Kuongea.

  • @aniseththomson1717
    @aniseththomson1717 2 роки тому +4

    Tin kweli mungu aederee kuwatia nguv

  • @jumamnambangule1957
    @jumamnambangule1957 2 роки тому +4

    Dah majin ya bong yanapg vichw kam mayele😂😂,ama kwel bong bahat mbay

  • @ayshamadege7981
    @ayshamadege7981 2 роки тому +3

    Kichupa umeyakanyaga leo 🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥👏

  • @amriiddy1972
    @amriiddy1972 2 роки тому +3

    Jini anapiga Mayele style 😁😁😁😁😁 nice job

  • @annasisangu9808
    @annasisangu9808 2 роки тому +3

    Hadi jini anapiga style ya mayele😁😁😁

  • @MayasaOmary-v7z
    @MayasaOmary-v7z Рік тому

    Nmempend mayele kitambi mpk htr ❤❤❤😆😆😆😆

  • @emmanuelmlyuka5321
    @emmanuelmlyuka5321 2 роки тому +2

    Jamani mnatuvunja mbavu wazeeee😂😂😂😂

  • @isodonaman254
    @isodonaman254 2 роки тому +2

    Sirudi tenaaa😂😂😂😂Oe tin nakubali baba😂😂😂uko vizuri kudadadeki

  • @saidimusa9660
    @saidimusa9660 2 роки тому +2

    😂😂😂 dume la pwan Alarm sik 😂😂 umemponza baba mwenye nyumba wooiii

  • @abdullqadiradam5581
    @abdullqadiradam5581 2 роки тому +13

    👏🏻👏🏻👏🏻
    God bless for making good ideas good series full funy comedy i like bro
    Keep going to bring good product👏🏻👏🏻🤗
    #white film

  • @roi2554
    @roi2554 2 роки тому +4

    13:56
    Jini kibonge anapiga za mayele papa huu papa huu🤣🤣🤣🤣

  • @patrickvove
    @patrickvove 2 роки тому +8

    “Eti vijana wanarohombaya 🤣🤣🤣🤣
    Nimetoleshwamushono 🔥🔥😆😆

  • @saidiasdd5043
    @saidiasdd5043 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣 jamani baba mwenye nyumba ninimbayatena webaki uwapatie masharti wapangaji wako aloweeee 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kichuna-og5542
    @kichuna-og5542 2 роки тому

    Yani mm uku hoi jmn mbavu sio zangu tin ongera unajua kutolea stress 👏👏👏👏

  • @sireid6859
    @sireid6859 2 роки тому +2

    Mpemba amekuja pia hajakiongea chenye ameleta amechezea mibao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mohammedkhamis1010
    @mohammedkhamis1010 2 роки тому

    Wamentonesha mshonooooo....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wallah mbavu zinaniuma

  • @prriya507
    @prriya507 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣Daah Hii move Kali Lazima TU Uchekee😆😆😆😆😆💯🔥🔥🔥

  • @perisbeib2126
    @perisbeib2126 2 роки тому +2

    😂😂😂😂😂😂Mnajuwa kunifurahisha kwa kweli nimecheka mpk boss wangu akaniuliza nacheka nn maana huku gulf sio rahisi kumpata msichana wa kazi akicheka

    • @sulleysabri9126
      @sulleysabri9126 2 роки тому

      Duuh imamaana mnanyimwa hata uhuru wa kucheka mamii

    • @perisbeib2126
      @perisbeib2126 2 роки тому

      @@sulleysabri9126 hatunyimwi ila hatutaki kuwaonyesha meno watatufanya wajinga

  • @queenduncan6295
    @queenduncan6295 2 роки тому +1

    So so so hatariiiii Jamniii, Nafurahi tu Mimi.

  • @abrahamseth2014
    @abrahamseth2014 2 роки тому +2

    😂😂😂😂 irudiwe style ya Mayele sikuwepo irudiwe jini hatari😂😂😂😂

  • @iddathuman3878
    @iddathuman3878 2 роки тому

    Jaman tang nianze kuchek hii movie mbavu znauma yaan mmetsha sana nakukubal tin

  • @wiseboyclassic3648
    @wiseboyclassic3648 2 роки тому

    Hii Ni kaliiiiiiiiiiiiiii kuliko Alo big up san wakubwa 😁😁😁😁😁

  • @faizahyasin4499
    @faizahyasin4499 2 роки тому +2

    Jini ana style ya mayelee🤣🤣🤣

  • @FavourTemu-cm6hp
    @FavourTemu-cm6hp Рік тому

    🤣🤣🤣hatari sana huyu mwenye pigo za mayelee anaitwa jini nani,

  • @amanisilayo7448
    @amanisilayo7448 2 роки тому

    Uwiiiiiiiiii nko naumw lkn nmechk mpk nliaa😂😂😂😂 mpk style za mayele

  • @donaldvanjoseph8153
    @donaldvanjoseph8153 2 роки тому

    Hahahhha🤣🤣🤣🤣🙌 mwenye nyumba na vitisho

  • @mtallitv9995
    @mtallitv9995 2 роки тому

    😄😄🤣🤣🤣 jamaa ana roho mbaya anataka mwenzie naye akachezee mikofiii

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 2 роки тому

    Mecheka sana jamaa alivyopigwa et, lalen chini paaaaaaaa fimbo

  • @adamusalimu8829
    @adamusalimu8829 2 роки тому +2

    Iiii Kali wame mtonesha mshono😂😂😂😂

  • @rashdaiddy4048
    @rashdaiddy4048 2 роки тому

    😂😂😂😂😂😂 cheko ndio lisilo pungua nikiangalia hii movi mmetisha

  • @saudahshabany1300
    @saudahshabany1300 2 роки тому +11

    😂😂😂😂😂🙌🏼😂 shikamooo aladini

  • @chancemebaby5180
    @chancemebaby5180 2 роки тому

    Wallah nimecheka mimi leo mpaka watu wananishangaa

  • @shemsaharuna5382
    @shemsaharuna5382 2 роки тому

    Baba Mwenye Nyumba Kapigwa Zaki Mayele🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kambikashama4619
    @kambikashama4619 2 роки тому +2

    😂😂😂😂🙌🙌🙌 Jini Anapiga Kama Mayeleee

  • @MaryChaula-l2f
    @MaryChaula-l2f Рік тому

    Hahaha hahaha jmn bongo Kuna jini mayele 😂😂

  • @bukuruasina427
    @bukuruasina427 2 роки тому

    😂😂😂🤣🤣Yan Kama huchek kwahii mov bas kapime hospital 🤣🤣🤣stress za warab ap zot za potea🤣🤣🤣

  • @amenaamena5453
    @amenaamena5453 2 роки тому

    Jmn mm hii move mwisho nimechk mpk naumw mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣

  • @mwinyihamis2499
    @mwinyihamis2499 2 роки тому

    Yan mmefanya niwe happy mudawote mmetisha kinoma

  • @neemakazungu8653
    @neemakazungu8653 2 роки тому

    Movie imetita yani hapa n kucheka tu mwanzo mwisho nimependa

  • @japhethelijah4252
    @japhethelijah4252 2 роки тому

    MAYELE style
    Aseeeeeeee tini unajua sio pouwa

  • @mariamsalum1351
    @mariamsalum1351 2 роки тому

    Daaaah aladini inaniumiza mbavu sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ayshamadege7981
    @ayshamadege7981 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣muhogo so funny wallah 🙌

  • @listergeorge2685
    @listergeorge2685 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣..Daaah kibonge mayele ana tetema!!.🤣🤣🤣🤣

  • @jacksonjacko2775
    @jacksonjacko2775 2 роки тому

    😅😅😅😅😅😅😅 siludi tena baba mwenye nyumba atariiiiiiiii mayeleeeeeeeeee😂😂😂😂😂 kweli leo nimecheka usicheleweshe sana kipande cha 10 tucheke jaman mayeleeeee😂😂😂😂😂😂

  • @happinessmwalongo6429
    @happinessmwalongo6429 2 роки тому +4

    Good job tin I love you🥰🥰🥰

  • @alexkitalulah5062
    @alexkitalulah5062 2 роки тому

    Kwenye shida mm sio mwenye nyumba lakn kukiwa na Raha mm ndo mwenye nyumba

  • @fatimafaida7083
    @fatimafaida7083 2 роки тому

    Hui move mwaka huu tuipe tuzo au mnaoje wajeda

  • @babujrashid7147
    @babujrashid7147 2 роки тому

    Hahahaah tini mbabaaaa nakukubali sana sijawai kukisa kazizako hata1 hii ep9 nimecheka Sana

  • @mahirzeny2688
    @mahirzeny2688 2 роки тому

    Birooo hiii Kali mumeuwa mpka mayle ndan

  • @harunaramadhani7764
    @harunaramadhani7764 2 роки тому

    Hii eps dume la pwan kaua ,,wamenigalagaza ,,wamentonesha mshono ,,wamenitoneshaaaaah 😂🙌

  • @rizikladyherson8451
    @rizikladyherson8451 2 роки тому +3

    Wamenigalagaza 🤣😂😂🤣🤣🤣

  • @davidjohn4356
    @davidjohn4356 2 роки тому

    Mwenye nyumba Leo kakipata cha Moto🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hamzanandule7923
    @hamzanandule7923 2 роки тому +2

    Hii movie ina mayele ndani yake😂😂😂 creativity ✌️✌️👏👏

  • @mariamphd1657
    @mariamphd1657 2 роки тому

    Yaani nacheka kama mtoto Naomba iwe isidingo hii isiishe kabisaaa

  • @anjelmoses624
    @anjelmoses624 2 роки тому

    Nzuri sanaaa inalushwa lini na lini

  • @giu8284
    @giu8284 Рік тому

    😂😂😂😂aki noma sana mbavu sana wallah

  • @rashidnassoro4019
    @rashidnassoro4019 2 роки тому +1

    Mwend w kelel tu 😂😂😂 fulu kujiachia au xyoo ila ningetak nifaham hii ndy final au kunamuendelez wa nmba 10

    • @zidnasuedy7326
      @zidnasuedy7326 2 роки тому

      Bujui kusoma kwan si wameandika INAENDELEA

    • @rashidnassoro4019
      @rashidnassoro4019 2 роки тому

      @@zidnasuedy7326 😂😂 xawa me xijui kuxom ila wew hujui kuandika

  • @تةامممن
    @تةامممن 2 роки тому

    Miwaniiiiii sasa ikaliiiiiii 😀😀😀😂😂😂😂🤣😂😂🤣🤣🤣😂🤣🤣😂🤣🤣🤣😂🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣🤣😂🤣😂🤣🤣🤣😂🤣😂😆😆😆😆😆😆😆😆😆😁😄😃

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 2 роки тому

    Baba mwenye nyumba kachezea kichapo haswaa🤣🤣🤣

  • @yusrashabani2983
    @yusrashabani2983 2 роки тому

    😂😂😂😂😂😂kaliakoo apo mwishoni nimecheka ka chizi 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tinabapemacho8650
    @tinabapemacho8650 2 роки тому

    Hahise nyinyi kiboko kampiga Baba mwenye nyumba ki mayele tuna wafatilia uku unganda🇺🇬

  • @alhmdulilah1187
    @alhmdulilah1187 2 роки тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka Kwa nguvu

  • @mtallitv9995
    @mtallitv9995 2 роки тому

    yani uhuru kidog tu tayari fujo wabong bwana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ngoja waje tena mule mibaziii

  • @anaelmiraji
    @anaelmiraji Рік тому

    Mwendo wa vimemo tyuu😂😂😂😂😂😂😂😂