Natural talent, hapa hakuna mafundo kabisa. Ukweli usemwa kabisa 👏👏👏❤️😍🙌
Aisee hapa ndio huwa naamin huyu jamaa ni mwamba, yaan anacho kiimba live nisawa sawa na nyimbo ilio kamilika, King km King
Aise jamaa anasauti nzuri karibu kwenye ufalme wa Mungu kwa ajili ya kumtukuza Mungu kwa njia ya gospel
Ukweli goma la utu linanikosha Sana hongera king kiba mung akutangulie Sana Kwa kazi zako nzuri
King kiba nakupenda Sanaaaaa unajua balaaa. Na nimesoma comments hunaga comment mbaya jamani 🙌🙌🙌 ni nadra kukosa wanaokuchukia ila we umetisha
Huyu msenge anaimba daah 🙌🏽🙌🏽
Huyu jamaa anajua kumamaae khaaaaa hii ndio nembo ya Tanzania 🇹🇿
Ali kiba is always on his own level... King🤴
Nakubal sana wendowangu King 🤴kiba
Uko vizuri kiba twawatakia ndoa njema yenye kheir na baraka💕💕💕🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sauti aichuji iko good sana 🥰🤩
saut ndio ipo saaaaaaaaaafi yan salutee
King unajua unajua afu unajua tena 💃💃💃💃
Nampenda kiba mimi nibasituuu kabisa
Dah? Nature voice man.congraturate king
Kumamamake🤣🤣🤣🤣🤣 Ili jamaa limenyooosha salute to u King
Daaah king ni king 2 natamani niwe ata msanii wake
King kama king we love u forever!!!.Na utabaki kuwa king no one like u
Wallah kiba www ni King niko oman nainjoy voice
Kiba mziki anaujua and I do love him
Alikiba nakukubali aslimia mia 💪💪💪
Yani unaimba wewe lkn nais Raha Mimi sauti nzuriiii Yani dah...king🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sina Shaka na kipaji chako nakupenda Sana king kiba
Wow very naturally Ali Kiba nice voice
I also feel the vibe for Alikiba
😘😘😘😘 kiba myaka miya wekiboko
Mwamba fundi sana we mtu fundi sana kibaaa Yee baba
Kiba unajua unajua unajua tenaaa mungu akuweke utupe vituu vizuriii🔥❤
Loveeeee u king kibaaaa 😍😍😘
The best bongo artist ktka tz, so much from kenya
Mungu akupe afya njema umri mrefu na akujaalie furaha hapa duniani na kesho akhera amin mm ndugu yako nasser ally niko shinyanga hii rasmi kwa Ali kiba
Yaani Allykiba ni mstarabu sana siwaona wala awashobokei hao mabinti
Alikiba forever 😍🤩🤩🤩🤩
King 🤴 👑 ni mmoja tu,
King forever
I Love u kiba
Mwenye muziki wake King Kiba
Maashaallah uyo mkaka nampenda adi bass
Utabaki juu daima,,napenda mziki wako sanaaaa,,natamani kama Tanzania nzima ubaki ukiimba wewe tu.mziki mzuri,ujumbe mzuri pia video nzuri.
Ila kiba anajua jamani tuondoe uteam.
Respect kwel unasauti nzur bila machine we ndo number one
Atabaki kuwa king tu....sauti safi sana hamna mkwaruzo wala nn
yaan mpk nmepiga kelele alovyoanA tu m nmpenda kiba jmn🤣🤣😍
One love Ali....Barikiwa zaidi ututulize na nyimbo nzuri
Kweli king in king tu
The only king
King haitaji nguv ya chawa kizur chajiuza
Woooow nakupenda bure Ali
King kiba kila siku nakuangalia upo tofaut na wale majamaa tatuu huna macheni shingon,mikononi wala maurembo yeyote huna unavaa vizur nguo za kawaid tu huna nkupend sana.
@@abdulaabdula2631 hata saa hap nimeangalia hana angekuwa kina wale mbk choon eti anaingia na nazo vidole vyot machuma shingo lot macha mwili mzima umechorwa matatuu mbk kelo sas meno mbk yanabadilishwa ukiangalia wanajiita majina y kidini mala salamu zao wanajifny salama alekhum, sas kama mond siku hiz anavaa mbk msalaba ila watu ndo wanaona pes anazo kumbe upuuz tu.
@@padorsmart6249 ndio nguo zak tu hana anaingiz pes kimy kimy nmpnd san mung amweke milele
Music is all about melody and natural voice
Hiii ndio maana halisi ya KING
Daaah ,,kiba anaimba aseee
Mpiga piano maandazi Kabisa, alitaka kuharibu mririko wa melody ya wimbo.
Ali king kiba a tua voz nem precisa ser masterizado és natural meu grande brother big up Sana miaka mingi ushy king wangu ili tupate mziki mzury I'm boy from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 258
The love i have for this man🥰🥰🥰ouh my God!!! What a darlin hunn🔥🔥🔥❤️
Alikiba anajiheshimu sana
Since I was a kid u av been always my no 1,I cherish u kiba
Rkelly wa east africal king kiba
Ukitaka kumjua king mpe mic bhana hakuangushi siku zote
Jamaa anajuwa imba huyu kabisa
Nakupenda Tu ❤️❤️
Salute sana Alchama napenda io effort
Sema huyu jamaa anaimba sana mzee
Once a king always a king,,,!@king kiba band man kiba
King Kiba nakukubali.
I'm from Kenya and you are my best black artists from Tanzania. I love the song utu. Wewe noma sana dear. I'm also an Artist a rapper and a singer too please can we a collaboration of one song.
Always king is KING
Respect the king 👌😊😊✊
Only one king 👑 🔥 😍
the king himself
King kiba wow
Hakika namkubali sana ali kiba
Mbn mnafanana sana mashaallah
Dah natural talent
Tuendelee kujifukiza,UFALME UTABAKI KUWA KWAKO SIKU ZOTE 👑
I Love Ali Kiba
King kiba yaaaa napenda sana nyimbo zako zote,Matola mozambique cabo delgado nangade sede fronteira.
From kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Oyaa m n team mond ila kiba daaaah kipaji Cha kweli hiki aseee.. nimemvulia kofiaaa mamaaeeee... lijamaa Lina sauti aseee duuuu
King❤️❤️❤️
nakbaliiii san king kibaaaa
Jamaa hanaga majivuno yupo tofauti sana
Dah Yan ww king kiba 💖💓💓💓♥️♥️💓💓be blessed
KING OF
Jamani Ally anajua sana huyu Jamaa hakuna wakufananae bongo hii kabisa
Imeshereheshwa mizigo
Only one king
Only King
Japokuwa niko upande ule mwingine lakini siwezi kuacha kusikiliza nyimbo nzuri, your the Real king
Jamaaa anajua sauti hatareee Mashaa Allah
🤣🤣🤣🤣
Kabisa kipenz tupo wengiii😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo ndo maana ya kupenda music na si mtu