PILIKITIM TIM TIM AFUNGUKA KUZAA MTOTO MZUNGU/ASIMULIA UCHUNGU ALIOKUTANA NAO LEBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лют 2023
  • Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
    PILIKITIM TIM TIM AFUNGUKA KUZAA MTOTO MZUNGU/ASIMULIA UCHUNGU ALIOKUTANA NAO LEBA
    #Bonatv #Exclusive
    #diamondplatinumz #harmonize #nandy #marioo #zuchu #alikiba #rayvanny
    #yangasc #simbasc #ligikuunbc #mayele #alikamwe #ahmedyally #hashimuibwe #wasafitv #live #millardayo #ayotv #entertainment #soundcloud #spotify #podcast #vlog #music #newmusic #1ontrending

КОМЕНТАРІ • 250

  • @evankya1955
    @evankya1955 Рік тому +5

    Usipake mkorogo tena rangi yako nzuri sana

  • @veroniquegershomu9197
    @veroniquegershomu9197 Рік тому +8

    Pili wangu ni mrembo mweee ujajiremba lkn Amaizing 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 Рік тому +9

    Duuuh,umenenepa Pili wangu🥰🥰🥰

  • @ShakilahRajab
    @ShakilahRajab 3 місяці тому +1

    Nakupenda bure dada❤❤

  • @rosemarymunyi5035
    @rosemarymunyi5035 Рік тому +4

    Congratulations 👧

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Рік тому +3

    Daaaaa hiii kweli kitim tim hongera sna pili

  • @lillianbarongo2807
    @lillianbarongo2807 Рік тому +26

    Hiyo ni post- natal depression. Ni ugonjwa mkubwa sana kwa akina mama ila hauwi addressed kabisa
    Pole sana.

  • @lucybatista2631
    @lucybatista2631 Рік тому +2

    I like you so much pili mwaaaa

  • @preciousmremaro
    @preciousmremaro Рік тому +1

    Waooh mchagga mwenza big up San nachekag mno nkiwaona

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 10 місяців тому

    Pili Mashaallah Tabarak Allah. Umependeza sana ila usipende kufunga mkanda tumbo litakuwa kama bigjee ni kufanya mazoezi ya tumbo tu litakuwa vzr

  • @ashampinji1041
    @ashampinji1041 Рік тому +15

    Pepo ya dunia ni mama mashaallah umejua thamni ya mama

  • @anithabahimana-hp8en
    @anithabahimana-hp8en Рік тому

    Honger.sana dada

  • @annatanzania2690
    @annatanzania2690 Рік тому +2

    Pili tulia Bhna umenifanya nicheke Kwa nguvu Et tunatoa taarifa kesho tunaenda sehem flani 🤣🤣🤣🤣🥰🥰💃💃

  • @tricemollel6739
    @tricemollel6739 Рік тому

    Mi nilijua sana my dear🥰

  • @SHOSETemu
    @SHOSETemu 11 місяців тому

    Nakupenda sana karemboo

  • @clarawilliam9959
    @clarawilliam9959 Рік тому +4

    Eti sioni huko chini kweli,vitu vingine siyo vyakuongea hapa 😎

  • @jannethcharles9658
    @jannethcharles9658 Рік тому +12

    Yn kitimtim kimekualibu😂😂 adi kuojiwa unafanya komedi

  • @carenesendi4623
    @carenesendi4623 Рік тому +2

    Pili congratulations welcome to mother hood😂❤️

  • @habibamura5255
    @habibamura5255 Рік тому

    Mashllah pili

  • @hannan2793
    @hannan2793 Рік тому +1

    Hongera dada

  • @VeronicaFrank-lp1uv
    @VeronicaFrank-lp1uv 9 місяців тому

    Pili nakupenda ww❤️🥰

  • @fridakimwanya1158
    @fridakimwanya1158 9 місяців тому

    Hongera sana dear umenichekesha kwa kulia na Nandy hahah jmn nawapenda hongeraaa Mungu amkuze mwanao

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Рік тому +4

    Nikweli mama aheshimiwa

  • @bahatiponera7165
    @bahatiponera7165 Рік тому +4

    Umenenepa dada

  • @khadijatirionaire2510
    @khadijatirionaire2510 10 місяців тому

    Pili nampendaga sana

  • @rahelihaule
    @rahelihaule 10 місяців тому +1

    Hilo jina la mtoto Sasa 😂😂😂😂😂 mweeeeeeeee

  • @lilianerasto2786
    @lilianerasto2786 Рік тому

    Hongera

  • @suzanlyimo6351
    @suzanlyimo6351 Рік тому +1

    Umenikumbusha mbali sana mi na wifii yangu tulikua tunalia piaa hahahhahaha kwenye mimba yake

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 місяці тому

    Wewe pili wewe atiii sehem fulan nilikuwa sizioni🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤❤❤❤❤❤

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 Рік тому +1

    Pili onger san😘😘👌🇴🇲🇧🇮

  • @salomejohn8565
    @salomejohn8565 Рік тому

    🤣😂😂😂nimechek sanaaa

  • @DM.2200
    @DM.2200 3 місяці тому

    ilo jina dah 😂😂😂

  • @aminatarabana7959
    @aminatarabana7959 Рік тому

    Hhhhhh apobkwajina hhhhhhhhh yani uyo niatari

  • @rosemery3017
    @rosemery3017 10 місяців тому

    Ooooh ulipata depression pole pili wangu❤😘

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 Рік тому

    Jina la mtto mi hoi😃😃

  • @rebeccamzumbwe9613
    @rebeccamzumbwe9613 Рік тому +8

    muheshimu mama ako mbwa ww 😂😂

    • @mwanapili1430
      @mwanapili1430 Рік тому

      Hii ndo comment nilikuwa naitafuta😂😂😂😂😂

  • @banguha
    @banguha Рік тому +6

    Watu wengi wamecomment kwa chuki achen chuki bnafsi jmni

  • @rosefredy5398
    @rosefredy5398 Рік тому

    Atulii hahahh

  • @Queen-by6ei
    @Queen-by6ei Рік тому +3

    12:37
    😂😂

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 Рік тому +5

    We pili muongo mwaka jana tu ulikuwa ato TV ukiwa na mimba

  • @user-uo9bb9ui5q
    @user-uo9bb9ui5q 8 місяців тому

    duuh pili ❤❤❤

  • @neemaduma4126
    @neemaduma4126 Рік тому +1

    Holaaa😀

  • @maramara5621
    @maramara5621 Рік тому +4

    Hongera ila wazimu umekupata ndio maana ya kuzaa. Hongera binti

  • @cecile2773
    @cecile2773 Рік тому +1

    Ila baba mtoto atakuwa mchinki sio kwajina Hilo aisee😂😂😂

  • @azorindege2556
    @azorindege2556 Рік тому +1

    UPSET DOWN pia zipogo ahahahaha

  • @glorychristopher7283
    @glorychristopher7283 Рік тому +1

    Mtoto s wa serikaii jaribu kumfanyia chochote ndo utajua kwamba umezaa au umepewa na hyo serikaii

  • @neemajunior9892
    @neemajunior9892 Рік тому

    nimeinjoy jaman pili anavituko san

  • @aika3024
    @aika3024 Рік тому +3

    Kumbe unabby boy😍

  • @myTanzanianplate
    @myTanzanianplate Рік тому

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009 Рік тому +2

    😂😂😂😂😂naomba vijini wabakw mtu Hadi acheke kiluga

  • @erickmasawe5074
    @erickmasawe5074 Рік тому

    😂😂😂😂jmn piii

  • @annavoga3309
    @annavoga3309 Рік тому

    😂😂😂😂 nlikula dagaaa 😂😂jamani

  • @uwasebetty1998
    @uwasebetty1998 Рік тому +2

    Hayo majina hhhhhhhhhh🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @norahfred6450
    @norahfred6450 Рік тому +2

    Upuuz mtupu..... Huwez kuongea umetulia

  • @user-ln5ov5ys8c
    @user-ln5ov5ys8c 9 місяців тому

    ❤❤❤❤

  • @nonogustave-oq3nq
    @nonogustave-oq3nq Рік тому +1

    Jamani wenye roho mbaya wahache Bana kuwa mama ni raha san

  • @GloriaMassawe-kc3fj
    @GloriaMassawe-kc3fj 11 місяців тому

    Mrudishen dazu

  • @reginamluviji9405
    @reginamluviji9405 Рік тому +1

    Mbon m nimejifungua sijawaza kujiua uwiii naogpa kuf kwanza😅😎

  • @edinaegidius6357
    @edinaegidius6357 10 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂majini yambake😂😂😂😂😂😂

  • @balqisabdullah6200
    @balqisabdullah6200 Рік тому +2

    Nimependa jina na mtotoo

  • @fatimaamaderachiderachide9998

    Pili duu

  • @ReilaHisham-my2eu
    @ReilaHisham-my2eu Рік тому

    Mtoto anaum awe kike awe kiume wote wanaumaaa bhna

  • @zainabuyohana3780
    @zainabuyohana3780 Рік тому +5

    Muache aongee chochote jaman kule leba kunamoto jaman said yangu alie ingia leba kule Kuna uchiz wa aina yote

  • @peshypesharl4548
    @peshypesharl4548 Рік тому

    Pili we kichaa

  • @zuhurasaidi9521
    @zuhurasaidi9521 Рік тому +7

    Kuongea yake tu,bado she's going through depression,,,,

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 Рік тому +2

    Sasa unaongea na kucheza hivo huchoki🤣🤣

  • @nanceaidan6622
    @nanceaidan6622 Рік тому

    Mhhhh

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 Рік тому

    Jamaa amwoe jamani

  • @rahmasalim5252
    @rahmasalim5252 Рік тому +2

    Jina sasa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @angelaminde1247
    @angelaminde1247 Рік тому +6

    🤣🤣🤣ila pili Mungu anakuona yaan. Nimechek kama kichaa

  • @sabrinaramadhani332
    @sabrinaramadhani332 Рік тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣 pango la wanyang'anyiii

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 10 місяців тому

      Pili anawatisha waliokuwa bado hawajazaa maana huamini kama utarudi ktk hali ya kawaida

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 Рік тому +3

    Mtafungwa nyie mmetumia picha ya mtoto wa watu 😊

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому

      Ndo vyombo vyetu hakuna lolote wanalofanya lenye weledi, hizi media ni kama tu vijiwe vya wadada tandale

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 Рік тому

      Yani sijui ata imekuaje adi wameweka picha ya uyo mtoto na wakati ahusiki

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky Рік тому +1

    Hayupo okay psychology mmmh hana ndugu wakumwambia atulizane mpka anaongea yasiyohitajika kuongea kwenye interview

  • @ngowibeatrice1701
    @ngowibeatrice1701 Рік тому +2

    Hapo kwa mama nimelia

  • @firdausbakari7341
    @firdausbakari7341 Рік тому +1

    Jamani huyu pili🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti jina la mtoto ni nani

  • @glorychristopher7283
    @glorychristopher7283 Рік тому

    So cute ❤️

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 Рік тому

    Duh! Wewe na Nandy mlipata mimba siku moja?

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 Рік тому

    Duh! Kitimtim kweli kweli, zunde na Masantula wamekuharibu, kumbe mnajichubua eeh?

  • @zuhuraomary-kh8qk
    @zuhuraomary-kh8qk Рік тому +3

    Ila pili jmn huyu dada mungu anakuona wallah 🤣🤣🤣

  • @dottomccraney5485
    @dottomccraney5485 Рік тому

    Dah hii ya kulia imekaaje uongo mwingi hapendiziii sana sisi sote tunawatoto

    • @winnieedson4631
      @winnieedson4631 Рік тому +1

      Pole dada sio kwa makasiriko haya

    • @azizayahyah1597
      @azizayahyah1597 Рік тому

      @@winnieedson4631 waja tuna makasiriko mbona tumepitia iyo situation mie nimepitia miezi mitatu ndio nkaanza kukaa sawa

  • @saurasoso1543
    @saurasoso1543 Рік тому +17

    Hongera sana... Ila uwe na utulivu ukiwa kwenye interview

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 Рік тому +2

      Ushaambiwa kitimutimu
      😂😂😂😂😂😂anatimua

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Рік тому

      Pili kitimtim copyright ya mamaB,sauti yake hana utulivu sura na rangi yake mama B kabisaaa

  • @evalenad6256
    @evalenad6256 Рік тому +6

    NYIE KAMA KAMA MMEMSIKILIZA HUYU DADA VIZUR NI KAMA HAYUPO KWENYE HALI NZURI KIAFYA YAKE YA AKILI NIKAMA KINAMSONGO FULANI ANAPITIA. ANATAKIWA AFANYIWE CHEUP VIZUR NA ATAFUTIWE MWANASIKOLOJIA AONGEE NAYE.

    • @safiaimran6455
      @safiaimran6455 Рік тому

      Hapana ndivyo alivyo pili siku zote

    • @Mina.15
      @Mina.15 11 місяців тому

      😂😂😂 she is okay

    • @user-ky3sj8bo5q
      @user-ky3sj8bo5q 10 місяців тому

      Ndo uwandike kwa heruf kubwa😅😅

  • @naomiswai5524
    @naomiswai5524 Рік тому +1

    😂😂😂😂pili

  • @khayratmhina3735
    @khayratmhina3735 Рік тому

    Kamcharuko hako

  • @edithrwechungura2768
    @edithrwechungura2768 Рік тому +1

    Si wote wanavimba pua

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 10 місяців тому +1

    Mmhhh yaani sijui kitu ambacho sio cha serikali labda roho yako maana madaktari watakufuata hadi watoe na cheti cha kifo ,Mungu tu ndo yuko juu ya serikali

    • @marykweka8220
      @marykweka8220 4 місяці тому

      Hata roho Yako ni ya detikali😂 that's why ukitaka kujua wakikustukia unadhtakiwa

  • @abiasifredrickdima3255
    @abiasifredrickdima3255 Рік тому +18

    Wanaojua maana ya Skwati tujuane Kwa kuiandika kiingereza pia ruka Kwa imoji 🤣🤣🤣🤣

  • @user-vb4fe2ei2i
    @user-vb4fe2ei2i Рік тому

    Kumbe ulikuwa wajichubua?hongr umepndez mwy

  • @erickmasawe5074
    @erickmasawe5074 Рік тому

    😂🤣🤣🤣utatuuwa ongea yko 2 an c poa

  • @rizoibrahimovich605
    @rizoibrahimovich605 Рік тому +2

    Pili kitimtim haha et niliacha kujichubua hahaha nlipokuwa mjamzito haha

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 Рік тому +1

    Mmhh au ukute alipata na kichaa Cha mimba jamani mbona hana utulivu kabisa ?!

  • @zakhiagabriel2632
    @zakhiagabriel2632 Рік тому +1

    Akiwa tumboni ni wako akishakuja duniani ni wa serikali,

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 Рік тому +2

    Mhm izo nywele kweli hyu kitimtim.sjawahi kuona mchezo wao ni mzuri et?nitzame?

  • @rosekimath2614
    @rosekimath2614 Рік тому +1

    😏😏😏😏

  • @jasminshemsanga8727
    @jasminshemsanga8727 Рік тому

    🤣🤣🤣

  • @keyla3641
    @keyla3641 Рік тому +2

    Kumbe unaweza kuambukizana mimba

  • @faridamakasi2613
    @faridamakasi2613 Рік тому +2

    Apo kwenye mtt 😂😂😂😂😂😂

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 Рік тому +1

    iiii ooo aaaa
    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @peninachikoti2078
    @peninachikoti2078 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @happylynguya3464
    @happylynguya3464 Рік тому +36

    Kumbe hujui kama mtoto ni wa serikali! Jaribu kumfanyia kitu kibaya ndo utajua hujui, haijalishi ulimbeba tumboni miezi 12.

    • @zuenajohn8325
      @zuenajohn8325 Рік тому +6

      Hakuna mimba ya miezi 12

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 Рік тому

      @@zuenajohn8325 tembea uyaone Dunia Ina mengi ww

    • @najmamgallah8154
      @najmamgallah8154 Рік тому +1

      @@zuenajohn8325 mmmh hujui tuu n hayajajukuta Kuna sk n hy miez 12 itapiita tuu, mm wa kwnz nimezaa n miez 11 n wiki 3 kilo 6, wapili n miez 11 n kilo 5 n nusu, wa 3, n miez 10, kwhy mwombe mwenyez mungu yasikukute

    • @Just_Iman1657
      @Just_Iman1657 Рік тому

      @@zuenajohn8325 ipo hyo mdogo wang aluzaliwa miez 12 kasoro cku 7 na oparesheni juu kuteseka kote huko ndugu omba yackukute unachika had kuchoka tena

    • @Just_Iman1657
      @Just_Iman1657 Рік тому

      @@najmamgallah8154 kabsa aombe sana🙌🏼