Sisi wana Makuburi wa kitengo cha Kenya tunashukuru mungu kwa kuwa mnamshukuru na kuliinua jina la Mungu kupitia nyimbo na Tunawapa heko kubwa muendelee kutuwakilisha popote duniani tutaeaombea na kuwapa support kwa njia zote. Hongera waimbaji wenzang. Salamu za mtoto pianist Vincent wa jimbo kuu la Mombasa
Mie hapa nawapa hongera sana maana havhokangi kumsifu Mungu...jubilei njema kwenu ...umoja wenu naupenda sana...Mungu aendelee kuwazidishia na kuwaunganisha nyote na pia awalinde...kongole
Sisi wana Makuburi wa kitengo cha Kenya tunashukuru mungu kwa kuwa mnamshukuru na kuliinua jina la Mungu kupitia nyimbo na Tunawapa heko kubwa muendelee kutuwakilisha popote duniani tutaeaombea na kuwapa support kwa njia zote. Hongera waimbaji wenzang. Salamu za mtoto pianist Vincent wa jimbo kuu la Mombasa
Hakuna sehemu nyingine ila nimakuburi pekee Mungu awabariki sana.
Hongeren sana Umoja wa kwaya Makuburi. Hongera Sana Mpiga kinanda. Hongera Sana Mtunzi wa wimbo. Na Hongeren waimbaji woooote wa Parokia ya Makuburi.
Kazi safy kweli wana makuburi 👏👏, here in Kenya we already miss you 🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿,mtuombee uchaguzi bado siku kumi na mbili
Mukasa Benard our catholic legend tangu utotoni nyimbo zako bana wee!from kenya🇰🇪 much love❤❤❤❤❤
Kazi tamanika maze....Mziki Ulio na Mahadhi Safi sana .....Huku Kenya twawapenda sana ❤️❤️❤️💞
Heko kwake Mwalimu Mukasa Kwa kazi Safi ya utunzi na Mungu amzidishie maarifa ya ubunifu wa utunzi,nanyi Kwa kujitolea kudhihirisha ukuu wa Mungu
Mie hapa nawapa hongera sana maana havhokangi kumsifu Mungu...jubilei njema kwenu ...umoja wenu naupenda sana...Mungu aendelee kuwazidishia na kuwaunganisha nyote na pia awalinde...kongole
Kazi kuntu zaidi... kazi safi imekubalika na muendelee na moyo uwo huo... hapa kwetu Nairobi Kenya tunakupendeni sana
Ukuaji wangu wa kiroho uliazia makuburi nikiwa mdogo Sunday school hakika miaka 25 ya parokia ya makuburi Mungu ni mwema kila wakati
Hongereni kwa jubilee ya parokia na kwaya ya makuburi kwa ujuma hongereni sana MUNGU awainue ktk kiwango cha juu zaidiii barikiwenii
Congratulations guys much love from Kenya 🇰🇪welcome again we miss you 😘
Hongereni sana wana Makuburi kwa wimbo mzuri na kwa Jubilei. Atukuzwe Mungu daima
Hakika ni jubilei Makuburi. Hongereni sana wanakwaya. Na Mpiga kinanda kiujumla hakika nyimbo tamu sana
Aamazing🥰😋🔥🔥🔥
mtunzi wa izi nyimbo is on another level st .kizito is great
Wapi likes za makuburi na mpiga kinanda mpya
Nami kupitia Makuburi nitamuimbia sana Mungu wangu siku zijazo
Benerd Mukasa hongera kwa kazi yako nzuuri. Mwenyezi Mungu akubari saaana. Aminah. 🙏🙏🙏
Hongereni Sana k a wimbo huu mzuri jamani, sauti tamu
Hongeren sana wana makuburi "Bwana azid kuwainua na kuwalinda daima"
Hongera ayoubu muyonga kw kukipig kinanda vizuri
Wako hapa tena,mwapendwa sana #254.
You never let us down a such beautiful voice 🥰🥰 congratulations for jubilee
Hongern can Mungu awabalik
Wimbo mzuri,Mungu awabariki sana
Hongereni sana Makuburi kwa kazi Nzuri🌟🔥
Safi sana 🔥 🔥
Nyimbo zenu nzuri sana na zabariki pakubwa 🙏
Hongera na Kongoreni
Wooooow! Kazi nzuri hii na ngoma safi kupita kiasi. Hongera sana wanakizito.
Wilson kutoka kenya pia nawOmba mje tena humu tulifurahia.
Aaaa jamani mungu azidi kuwabariki tu nimekubali
Tazama ilivyo vema na kupendeza!!!
Nzuriii
Hongereni kazi nzuri na Mungu awabariki,tunawapenda.
kazi ya kupendeza
Mukasa will remain to be the GOAT..Hongereni kwa jubilee
Asanten kwa wimb mzur mbarikiwe sana
Hongera sana wanachoir wa Makuburi, nawatakia mema kwa miaka ya jubilee kwenyu
Safi sana WanaMakuburi woote kwa kazi nzury mnooo
Safi sana mungu awabariki
Pongezi. Nice music.
Hongera KMK Makuburi. HAPPY 25!
Mko vizuri
Sweet voices nawapenda tu
New born Divine studio doing great work all choir at all
Upendo mwingi kutoka kenya 🇰🇪
Congratulations guys for good Songs UKWAKATA Parokia ya Makuburi Dar es Salaam Keep it up
Ukwaata poakia smaamel kompe up
Hongereni sana
Beautiful song❤️❤️❤️❤️ congrats May God's blessings be upon you all
Am devoted to my church catholic good work makuburi keep it up am impressed by your songs you make me glow and grow each and every day ..be blessed
Wimbo mtamu kweli,ongeera.
wow....I'm proud of you pipo.....nawapenda bure....Mungu awabariki beyond measure.
Hongera 👏👏👏👏👏
Hongeren sana kwa kazi nzury 🔥🔥🔥
From Kenya... my all time choir. Mungu hawabariki...
From Nairobi Kenya..hongera
Safi sana
Congratulations guys
Glory be to God 🙏🙏🙏 Makuburi 🔥🔥🔥
Congratulations parokia ya makuburi.wimbo
Wimbo tami sana❤❤❤
Hongera makuburi
Hongereni makuburi
Wimbo uko vizuri...
Kumekucha Kazi nzury sanaaa 🔥🔥🔥🔥
Apewe sifa Mungu
am always eager to hear from KMK just a little rendition of your level of art occasionally
Hongera
Kazi nzuri.
Nice song and voice
Parkola good. Ya makuburi
Yeah
hongereni sana
Nice one 👏👏👏🔥🔥🔥🔥
Keep it up guys. You're the best 💞
Beautiful music .. and congratulations Parokia ya Makuburi! Baraka tele❤️❤️❤️
Makuburi muguu awabariki sana
Kwaya zenu Raha sana
🔥🔥🔥
Wow...lovely and nicely composed.
you never dissapoint
Good song translate
Gifted singers
Congratulations KMK Makuburi. Bwana mkubwa B. Mukasa never disappoints. When is the official celebration we come over?
Great voices
Nice 👍
Safii
Good music
🔥👏👏
👏👏👏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰🥰
💯💯💯💯💯
❤❤❤
Heko
😘
😂
🔥🔥🔥