GOODBLES LEMA AMPIGIA OLE SABAYA NA KUMTAKA AACHE KUTESA WATU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 551

  • @daudiykiria5487
    @daudiykiria5487 3 роки тому +106

    Wanaozoom hii na leo wameshuhudia yaliyotimia like zangu apooo tuende sawa😃

    • @annamwakibinga527
      @annamwakibinga527 Рік тому

      Acha aone hii dunia siyo yako. Leo anakiona Magufuli kapumzika yeye ananyea ndoo

  • @caindunke8526
    @caindunke8526 2 роки тому +55

    Nimerudi baada ya hukumu ya miaka 30…. Nabii Lema 🙌🏽

    • @sweetbertbumare6118
      @sweetbertbumare6118 2 роки тому +3

      Na mimi ndo kilichonileta

    • @mejalomayani1606
      @mejalomayani1606 2 роки тому +2

      hata mimi

    • @josephtemu2633
      @josephtemu2633 2 роки тому

      Lema zama za propaganda zimeisha watanzania wameelimika wanataka mtu mkweli sio umaarufu ambao hauna maana upinzani tanzania hakuna

    • @gabrielsaelie8091
      @gabrielsaelie8091 2 роки тому

      @@josephtemu2633 Acha umbukeni na utopolo. Mchaga mpumbavu wewe sijawahi ona

    • @josephtemu2633
      @josephtemu2633 2 роки тому

      @@gabrielsaelie8091 sina ulimbukeni fikira zako bado ndogo

  • @wilbertthomas8357
    @wilbertthomas8357 3 роки тому +180

    Waliokuja leo kuludia hii clip tujuane mtt wa mjini leo katumbuliwa!😜😜😜😜😜😜😜😜😜

  • @sylvesterjose3286
    @sylvesterjose3286 3 роки тому +48

    Na nukuu "Magufuli Siyo Mungu.... kuna siku utayajutia, kuna siku you will repay...."! Acha biashara ya kuumiza watu, kutekateka watu... ! Sauti ya Mungu husikika kupitia vinywa vya watu wake! Tutafakari.

    • @victorshirima9629
      @victorshirima9629 3 роки тому

      Kwel dah

    • @salamakhamis8092
      @salamakhamis8092 3 роки тому +1

      Duh! Maneno yako Lema hayakuanguka chini

    • @mankarichard5851
      @mankarichard5851 3 роки тому +1

      Daah Afu akivokua anajibu kwa dharau daaah saiv anajifanya anatia huruma dadeki zake kaaumiza sana watu uyu nyoko

    • @mohammedmhina3973
      @mohammedmhina3973 9 місяців тому

      @@mankarichard5851mpuuz jambaz mmoja kwanz ameshindaje shindaje rufaa sabat n wakunyongwa jambaz

  • @brownenas603
    @brownenas603 3 роки тому +19

    Daaah!!sabaya akilejea hii krip na akaangalia anayoyapitia Leo atamkumbuka sana lema

    • @adamsoud4862
      @adamsoud4862 3 роки тому +1

      Cheo kibaya ukikitumia vibaya kaka

    • @digostjafety6070
      @digostjafety6070 3 роки тому +1

      Lema ni mtabiri mzuri alituambia magufuli atakufa mwaka 2020 ,,,na akafa mwaka unaofuata ,,na alisema mkishatumaliza wapinzani mtaanza kugeukana wenyewe ,,,ninacho shukuru kwa Mungu ni kwamba sie raia tupo salama waache wageukane wanavyoweza 😁😁😁

    • @johnsonkisamba5681
      @johnsonkisamba5681 3 роки тому

      apo akuna mtu yoyote lema mwenyewe limbukeni kwanini kamlekodi Kama sio mamboya kike ayo wote wamekutana utoporo

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 2 роки тому +1

      @@johnsonkisamba5681 hunaakili kwanni vitu siliasi unavifanyia mzaha,mshenzi sana ndomaana mnaua watu!!!!

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 2 роки тому

      @@johnsonkisamba5681hunaakili!!!

  • @MilioneaTv
    @MilioneaTv 2 роки тому +19

    Hahaha leo tayari kimeeleweka anguko moja kubwa Sana from DC to 30 years utumwa. Tujifunze kitu hapa power has an end

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 роки тому +43

    Kimeumanaa wale waliokuja humu baada ya kukamatwa kwa Sabaya like zenu wadau

  • @chaseborgia
    @chaseborgia 2 роки тому +8

    Hatimaye ,Godbless Lema alimwambia Magufuli na alimwambia na Lengai Ole Sabaya yote yamekuja kutimia.Muogope Mungu na teknolojia alisema marehemu Ruge Mutahaba

  • @juliuschuwa8470
    @juliuschuwa8470 2 роки тому +3

    Lema ni nabii wa ukweli na c wa kubuni buni anaongelea maono ya ukwelii big up lema

  • @danstanmgaya1251
    @danstanmgaya1251 3 роки тому +7

    Nadhan Lema uliona mbali sana hakika Mkono wa Bwana ume tenda haki kutokana na matendo yake Answered cries

  • @allymohammed7708
    @allymohammed7708 2 роки тому +29

    Tulio kuja baada ya sabaya kuhukjmiwa miaka 30 tujuane

  • @stambulikahemela6963
    @stambulikahemela6963 2 роки тому +2

    Good bless Lema na nabii Alie tumwa na Mungu kwasababu ukiangalia Mambo ambayo lema amekuwa akiwambia watu kuwa waache si mazuri kwao na wanakuwa wabishi ndo inakuwa kama hivi

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 2 роки тому

      Unakumbuka Kuna clip Lema Alikua kwnye kituo Cha police Akawa Anaojia Anasema Ameoteshwa Na Mungu Kua Magufuli Atakuja Mwaka 2020 Atasema Watu Hawata Amiin kwassbu Tu Yye Ni Mpinza Akasema Kma Maneno haya Atayazungumza Mwamposa Msinge Bisa Mwisho Wa Siku Maneno Yke Yalitimia Au Hayaja Timia Ndio mimi usema Lema kuna kitu Alipewa Cha ziada

  • @shanelrichard832
    @shanelrichard832 3 роки тому +43

    Laiti kama angesikiliza ushauri huu angelikwepa aibu zinazompata

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 роки тому +8

    Mtekaji mkuu taifa, ali tabiriwa na nabii Lema. Sasa yametimia ameshazinguliwa, mpaka aende kwa Godblessjlema1 asamehewe ndio atoboe maisha

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 2 роки тому +2

    Magufuli sio mungu. Is a very perfect statement.

  • @adamsoud4862
    @adamsoud4862 3 роки тому +10

    Lema ulimwambia hakusikia muda wake umemfika sasa alijiona mwerevu mshenzi sasa anaenda jela tu criminal

  • @sultanalnaamani2156
    @sultanalnaamani2156 3 роки тому +6

    Ndg lema hakika ulimuonya kwa nia njema lakini hakukoma aliyekuwa ana mtuma hayupo leo waswahili tunasema (ASIYE SIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU )sasa hayo yamemkuta .

  • @JK-yf6dg
    @JK-yf6dg 4 роки тому +60

    Kamanda Lema bora umemuchana live na uzuri kwenye maxungumzo yote hajakanusha popote kwahiyo niuhakika kabisa anafanya

  • @nastyb7405
    @nastyb7405 3 роки тому +12

    Ahsante Godbless Lema ni vile hakufuata ushauri wako

  • @ibrahimmatola1529
    @ibrahimmatola1529 2 роки тому +7

    Baada ya hukum ya miaka 30 nimekuja kukamilisha unabii wa lema

  • @growrich2332
    @growrich2332 3 роки тому +13

    Lema ur the best bro

  • @johnmakubi190
    @johnmakubi190 3 роки тому +4

    Hiiii lema kweli wewe nabiii,yametimia ya sabaya uliyomtabilia,unamaono

  • @gadielmungure7029
    @gadielmungure7029 2 роки тому

    Lema ni nabii wa Mungu anafikisha ujumbe halisi kwa walengwa kabla ili waache maovu wanapokataa Mungu anatekeleza anachotaka, macho ya bwana yanaona kila mtu. Lema ubarikiwe kwa kipawa ulichopewa

  • @wilhelmibaganisa5493
    @wilhelmibaganisa5493 3 роки тому +6

    🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 05 June 2021 sabaya yuko gerezani kisongo arusha

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 роки тому

    Lema wewe unataka watazania wakuamini kuwa sabaya sio mtu mzuri kama wewe UNATABILIA watu na kujitapa iseee mungu sio Athumani bro

  • @rogersiddy
    @rogersiddy Рік тому +1

    Yameshamkuta tyl ameshakumbuka maneno ya LEMA

  • @isayakabigili4131
    @isayakabigili4131 2 роки тому +1

    Mmh dunian tuish kwenye kwel.. hayupo mjanja chini ya jua.. mwamuz w mwisho ni mwenyez Mungu.. haya hapa yametimia.. binadamu tuache kujitapatapa jamaniii

  • @MG-wx8yx
    @MG-wx8yx 2 роки тому +9

    Kiongozi wa serikali anasema kwa kinywa chake kuwa “Mimi ni muhuni”, na bado alibaki madarakani. Dah

    • @qonquererqanquerer1781
      @qonquererqanquerer1781 2 роки тому

      Nna Uhakika magu kama Angalikuapo Madarakani Sabaya Ungekuta Ni Rc saaii.

    • @AhmedAli-gh1lm
      @AhmedAli-gh1lm 2 роки тому

      Alisema vile kwa kujiamini kabisa kwa sababu aliyemteua ndiye aliyekuwa akiongoza hilo genge la wahuni

    • @MG-wx8yx
      @MG-wx8yx 2 роки тому

      @@qonquererqanquerer1781 😅😅😅😅😅

  • @kheryalfred691
    @kheryalfred691 3 роки тому +1

    Hakika Lema uko vzr sana, aisee unaona mbali kweli kweli!! Maana ulioteshwa kifo cha magufuli ikiwa atashindwa kujirekebisha, mwisho wa siku ikawa. Ulimuonya huyo mpuuzi Sabaya naye yamemkuta tayari, duuuuuuh!!! Ndugai naye ajiangalie.

  • @kennedykiwia6576
    @kennedykiwia6576 2 роки тому

    Malipo ni hapa hapa dunia. Asante sn mh. Rema

  • @hannajoseph645
    @hannajoseph645 3 роки тому +1

    Mungu simwana damu na habadiliki sikigeugeu tutende haki dunianimapito Tumtegemee Mungu Amen.

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 3 роки тому +2

    Ila lema hbna anamaono makubwa sana tena anaona mbali sana nmaana hata magufuli alishawahi kumpa onyo najua mtajifanya hamuoni vrip vizur sabaya achinjwe kabisa ametutesa sana pia ameua sana

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 роки тому +1

    Oh kumbe ni kweli alohukumiwa nayo kwa maneno haya ni stahili yamfike mpaka anajiita muhuni duh,🙌

  • @mnasaeules6857
    @mnasaeules6857 2 роки тому +17

    Mi nimekuja baada ya hukum tujuaneeee

  • @michaelnzunda7347
    @michaelnzunda7347 4 роки тому +14

    Da maskin rais anateua wahuni

  • @jumakibari5496
    @jumakibari5496 4 роки тому +27

    Mtoto wa mjini wapi? ulimbukeni unamsumbua, bunduki ndio silaha yake,

  • @chekanaisaac5325
    @chekanaisaac5325 2 роки тому +6

    daaaaa leo nime amin wakubwa wakikuambia bora usikilize

  • @selemanlucas5015
    @selemanlucas5015 4 роки тому +9

    Kitu ambacho umezingua Mh Lema ni kumwambia mtu maskini hana hela mshahara wake mdogo
    Sasa ata wananchi wako walio maskini unawaona hawafai
    Wewe ata kama unahela kuna wengine wanakuona we boya tu... Mwenzako anapower anakaa na wadau ,controller wa wilaya, acheni wawanyoshe mlimdharau sana Mh Kikwete kwenye uongozi wake

  • @janetmichael5611
    @janetmichael5611 3 роки тому +5

    hahahah wachaga walichinja mbuzi na ngombe km wote, dah damu za watu zinauma

  • @beckasalum2620
    @beckasalum2620 2 роки тому

    God bless lema mung akueke leo anayaona 30 jera mung kakubark miono mbele nn kina tokea kauliyo magu syo mungu leo anaikumbuka

  • @KristonsiaSNkya
    @KristonsiaSNkya 2 роки тому +10

    Nani kairudia tena kama mm ??☹️☹️☹️

    • @exaverymakoye6026
      @exaverymakoye6026 2 роки тому

      Nipo

    • @salimusalim3610
      @salimusalim3610 2 роки тому

      Minanimeangalia picha yake akiwa DC na saivi akiwa mahakamani kweli ukitaka kukonda kopa benk alafu usilipe uone msongo wa mawazo utakapo unyonya mwili

  • @thomasmario950
    @thomasmario950 3 роки тому +3

    Da lema mungu akubariki sana wewe

  • @mirajamir1267
    @mirajamir1267 2 роки тому +4

    Nimeingia huku baada ya hukumu

  • @nicolausnicolaus734
    @nicolausnicolaus734 4 роки тому +6

    lema simama imara nawabunge waupizani wengine walisha olewa kama huyooo

  • @salvationsalvatory9097
    @salvationsalvatory9097 4 роки тому +5

    Kumbe li Lema linavutaga bangiii! Nilidhania ni mru kumbe ni huniziiiiii!

  • @hasinathasan4057
    @hasinathasan4057 3 роки тому +4

    Lema lema lema nimekutaja mara tatu maneno yako yanatakiwa viongozi wetu wa inch wawe wana kaa chini na kuyatafakhuri kwauzito wa hali ya juu sana.

  • @kassimukipingu5343
    @kassimukipingu5343 3 роки тому +19

    Lema leo yametimia bro njooni tujenge nchi

  • @qonquererqanquerer1781
    @qonquererqanquerer1781 2 роки тому +1

    Mh Lema Ana Unabii Unaotimia Kwa Haraka Sana

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 Рік тому

    Lema maneno yako ya unabii sabaya anatakiwa kufungwa na akishindwa kufungwa auwawe kwa mawe amina

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 4 роки тому +8

    LEMA SIASA MNAZOFANYA KWA SASA ZINAZIDI KUTUPOTEZA WSHABIKI WENU

  • @davidlucas5445
    @davidlucas5445 4 роки тому +5

    Lema wewe ndiyounamambo.ya kishamba mbona umwachi mwenzako aongee, au kwasababu unamwonea sabaya wivu, huna lolote ulitufanyia jiji letu la arusha.

  • @charlesmurimi592
    @charlesmurimi592 4 роки тому +41

    Big up Mr Lema, poor police like Sabaya.

    • @rehemadani3600
      @rehemadani3600 4 роки тому +2

      Yan mimi namkubali sana lema,tundu lisu,mbowe sugu mnyika mdee heche

    • @kundaellyimo7523
      @kundaellyimo7523 4 роки тому

      Fucking u + lema and your family

    • @muttajeni4155
      @muttajeni4155 2 роки тому

      @@kundaellyimo7523 umefikiri kabla ujaandika na kupost??

  • @giftmusa6543
    @giftmusa6543 4 роки тому +4

    Kwa utafiti wangu sabaya DC BORA KWA SASA KWA TANZANIA

    • @alphamunicy9650
      @alphamunicy9650 4 роки тому

      Type huo utafiti wako ulioufanya maana haukawii kuwa na utafiti hewa tuambie nasi tuelewe na kisha tuuchuje

    • @giftmusa6543
      @giftmusa6543 4 роки тому +1

      @@alphamunicy9650 labda ww nambie nani bora,kijana mdogo Kama huyo mpeni moyo na kumshaur kwa hekima anajitaida Sanaa na hasa ukizingatia sehem alipo ni kwa kiongoz wa kambi rasmi ya upinzani

    • @dolumwamuyenu2245
      @dolumwamuyenu2245 4 роки тому

      Huyo DC mleteni mbeya tunduma tumgonge shaba huku tunazo za kutosha. Lema ni kamanda namuelewa ila wasenge wasiomjua wanashabikia usenge tu

    • @mathiasmollel9663
      @mathiasmollel9663 4 роки тому +1

      Safi

  • @Captain-nj1mq
    @Captain-nj1mq 2 роки тому +1

    sabaya aongezwe miaka 50 ili akae jela miaka 100 na kila cku apigwe bakola30

  • @jailaniramadhan617
    @jailaniramadhan617 2 роки тому +1

    Anakula vizuri Sasa hivi kisongo gerezan

  • @alfredsangura6080
    @alfredsangura6080 3 роки тому +4

    Sabaya you pay it today ,kama hujafa hujaumbika cheo dhamana.

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 4 роки тому +25

    Mh. Lema Mchana huyo, boya, Hajitambui, kisa Analindwa na Polisi

    • @teddykanondo5753
      @teddykanondo5753 4 роки тому

      Sabaya mwisho wako unakuja. Tutakuua mchana kweupe maana unapenda wanawake. Tutakutega tu.

  • @jamilamwarabu3890
    @jamilamwarabu3890 2 роки тому +1

    Mpuuz huyo anadharau sana akafie hukoo jela

  • @happymbise246
    @happymbise246 3 роки тому +2

    Ukipanda mchicha uvuna mchicha autavuna bangi Leo uko kisongo sabaya bay jambazi sugu wewe muhuni mkubwa ukome nailo genge lako

  • @abelbufumbe790
    @abelbufumbe790 2 роки тому +1

    Bora ugefuata ushauri ona sasa umechezea miaka 30

  • @raynittu4599
    @raynittu4599 2 роки тому +1

    Sasa imebaki ningelijua, ningefuata ushauri wa Lema.kwishaaaaaaaà.Aibu tupu

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 роки тому +5

    Subhannahllah amakweli, malipo nihapa duniani akhera hesabu

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 роки тому +1

    Yametimia......

  • @neematesha5679
    @neematesha5679 2 роки тому +1

    Nabiii wa Nchi alisema na yametokeaa haya sasa

  • @saidmungulu7053
    @saidmungulu7053 3 роки тому +4

    Brother Lema ww ni wamaono MUNGU AKUSIMAMIE KILA HATUA YAKO KAKA...👏👍

  • @josephsighis8185
    @josephsighis8185 3 роки тому +1

    Hakika lema no nabii

  • @cantatanzania6702
    @cantatanzania6702 3 роки тому +3

    Baada ya mwaka mmoja kupita, karma is here 😂

  • @noahlarapho3411
    @noahlarapho3411 2 роки тому

    Mmh kuna maneno mazito hapa mungu utuzaidie

  • @thobiasgervasius4931
    @thobiasgervasius4931 2 роки тому +1

    Na kweli muda ni mwalimu mzuri Sana

  • @dennisollomy3443
    @dennisollomy3443 4 роки тому +2

    DC mshamba huyu af hajui dunia mapito mbinguni hakuna cheo chake

  • @peter_paulofficialy
    @peter_paulofficialy 3 роки тому +1

    #Sabaya nakuambia ww cyo mmasai, nakuambia hatuna watu kama nyie kwenye koo zetu, #Lema hakika hakuna machozi ya mwenye haki ambayo haitalipwa......italipwa na umeona mwenyewe, CHADEMA nawapenda sana, mnaiishi katiba na maneno ya baba yetu wa Taifa

    • @abasminga528
      @abasminga528 2 роки тому

      LEMA NI LIMJUA TANGU MDA AKIWA BUNGENI ANAMTAJA MUNGU HUYU NI BONGE LA NABII

  • @gracegabriel881
    @gracegabriel881 2 роки тому

    Anaye kata kwaupanga nayeye hufa kwaupanga namwenye kiburi mungu humshusha mungu amehukumu kwa haki

  • @benakonaay1522
    @benakonaay1522 3 роки тому +1

    Yamemfika shigon mungu sio binadam atakula jeuri yake

  • @christengeneza7975
    @christengeneza7975 2 роки тому

    Duh kweli malipo ni duniani , lema alijitoa muhanga kumueleza mkuu wa wiaya ukweli

  • @husseinnkami7360
    @husseinnkami7360 4 роки тому +5

    Nahuo ndio upumbavu wa upinzan wanatanguliza ukabila kikabila chenyewe kipo kwenye hakawezi kuwapeleka madalakan hii inchi kubwa sn yapo makabila makubwa sn.kwanza wasukuma ote piga kelelele

  • @mcjogopah8513
    @mcjogopah8513 3 роки тому

    Saboya Ungemuelewa na kumsikiliza Mh Lema Leo usinge vuruga cv yako

  • @thieryniyonkuru1067
    @thieryniyonkuru1067 4 роки тому +4

    Ila amewaburuza tuuuuuu😁😁😁😁
    Mpaka mnampigia simu hapo gia imeingia sawasawa😜

  • @solomonmgaya8190
    @solomonmgaya8190 3 роки тому +2

    Itoshe kusema Lema ni nabii

  • @raynittu4599
    @raynittu4599 2 роки тому +1

    Ha,ha,haaaaaa!!!Muhuni wa mjini.Mama hataki wahuni bhana.

  • @joaneskailembo4485
    @joaneskailembo4485 4 роки тому +6

    Nimeipenda saana hii

  • @isaacsengunda3099
    @isaacsengunda3099 4 роки тому +2

    Kweli Sabaya amejigeuza mungu wa hai hapo anaumiza sana waty

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 4 роки тому +5

    Lema ukipiga simu usirecord we ongea sie hatutaki sifa .

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 Рік тому

    Kweli lema ni mtabiri wa hali ya juu#sasa yametimia

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 2 роки тому

    Nabii lema...
    Alitabiri kifo cha rais ....kikatokea
    Alitabiri sabaya atalipa...kweli analipa sasa
    We lema ni nabii ni vile hukubaiki tu kwenu

  • @sundayharris8549
    @sundayharris8549 4 роки тому +6

    Sasa mh Lema siumsikilize mbona ni one sided..

  • @charlespiusmulimi4988
    @charlespiusmulimi4988 3 роки тому +2

    Kweli MUNGU kafekelea mbali mwendazake na pia sabaya hoi.Time will tell

  • @thomasmario950
    @thomasmario950 3 роки тому +7

    Mh lema mungu akubariki sana

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 3 роки тому +2

    Kumbe Nabii Lema alimuonya ?

  • @ramadhanimahongole8764
    @ramadhanimahongole8764 4 роки тому +4

    Huyo mkuu wa wilaya ni mshamba tena ni limbukeni sana yeye kila siku kupambana na upinzani tu Hana Kazi nyingine.rema mchane Huyo. mwambie aache ulimbukeni usio kuwa na maana.

    • @onestimassawe1327
      @onestimassawe1327 4 роки тому

      Katika watu siwapendi kwenye Hii listi ya viongozi ni huyu DC ana masifa sana. Makufuli mtoe huyu mt Raisi wangu anachafua uongozi kabisa.

  • @amedeusmodestikimey9888
    @amedeusmodestikimey9888 4 роки тому +3

    LEMA unajiamini Hadi rahaaaaaaa

  • @ramadhanihassani5250
    @ramadhanihassani5250 3 роки тому +1

    Duuu kaka lema ww noma yako wapi sasa

  • @Binkhator
    @Binkhator 2 роки тому +2

    You will pay... Sabaya ikiiskia hi kwa sasa.... Daaah... Uongozi, fedha na dunia kwa jumla is nothing...

  • @ombenishirima6444
    @ombenishirima6444 3 роки тому +1

    Na Leo hii analipa ,,aliumiza watu wengi sana

  • @saadallah6287
    @saadallah6287 4 роки тому +30

    Du kiongozi anakubali yeye ni muhuni kwa hiyo anaongoza wahuni?

  • @mshindimshindi9120
    @mshindimshindi9120 3 роки тому +2

    Yametimia ya Magufuli Na Sasa Sabaya

  • @remenmasawe9538
    @remenmasawe9538 4 роки тому +1

    Asante Kamanda Lema

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 3 роки тому +3

    Dah!! Sabaya yamemkuta!!!

  • @johnsonkweka1851
    @johnsonkweka1851 2 роки тому +1

    Kamanda lema anaonaga mbal

  • @mudymaghisa9554
    @mudymaghisa9554 3 роки тому +1

    Chadema moja ccm mia,baba naenda kusoma sheria

  • @MokamiWaryoba
    @MokamiWaryoba 2 роки тому

    Hii Mungu wa isaka na yakobo