#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

КОМЕНТАРІ • 14

  • @lulungensindimahttpcm
    @lulungensindimahttpcm 25 днів тому

    mheshiwa tundu mungu akutangulie katika safari yako ya kupigania nji

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 25 днів тому +5

    Hicho Lissu Anachowaambia Niliwaambia, Chochote Atakachofanay Mbowe Kuna Asilimia 75 Ya Mamoderator Wahuni Washenzi wa Sauti ya Watanzania Wangemtukana Tu. WAO AGENDA YAO UCHWARA WANADHANI WANAWEZA KUMTIKISA MBOWE KUTOKA KWA VISIMU VUAO UCHWARA!

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 25 днів тому +1

    Ndiyomaana nape alilopokawazi kusema ushindi wamaccm tunategemea anayetangaza siyo kura ,mheshimiwa lissu anafafanua vizuri Mimi namwelewa

  • @noekenny3771
    @noekenny3771 25 днів тому +1

    Lissu,
    Jaribu kuwa na akiba ya maneno. Sio lazima kila swali liwe na jibu

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 25 днів тому

      Usirigani ndgyangu shetani usimfanyia Siri utaliwa kwasababu umejifichagizanimwake

  • @user-ms6wc7ug6w
    @user-ms6wc7ug6w 25 днів тому

    Lissu ni darasa sana

  • @HassaniMchachula
    @HassaniMchachula 25 днів тому +1

    Bbc

  • @dillonfoya
    @dillonfoya 25 днів тому

    Sauti ya WaTanzania Naomba kuuliza ni Nani anaratibu ununuzi wa gari la Mh. Lissu litakuwa gari la aina gani na linatarajiwa kugharimu kiasi gani cha fedha na mpaka Leo zimekusanywa kiasi gani.

  • @SimuYangu4713
    @SimuYangu4713 25 днів тому

    Big up mheshimiwa kamanda mkuu lisu kutukomboa wajinga tupo nyuma yenu.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 25 днів тому

    Kwahiyo hamtamshitaki Awadhi?

  • @user-fz9bg1qg9j
    @user-fz9bg1qg9j 25 днів тому

    Ccm lazima muende na wakati. Muda went umekwisha semeni sasa basi. Utawala siyo ajira ya kudumu. Kwa vila vichwa vya viongozi wengi wao wala Rushwa na ndumirakuwili. Ndiyo2. Kill jambo kwa ability ya maslahi ya tu. K5

  • @reginas1832
    @reginas1832 25 днів тому

    UMMA ukiamua hakuna kinachoshindikana

  • @corporatethugsent7380
    @corporatethugsent7380 25 днів тому

    Kweli ni kazi ngumu ajabu kuiondoa chamadola 😣😣😣