Mhubiri Juma apandwa na mori katika Da'wah mitaani baada ya kusoma Hosea 9:7😁

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ili uendelee kunufaika.

КОМЕНТАРІ • 159

  • @princedula0017
    @princedula0017 2 роки тому +8

    Sheik Ramadan MashAllah unaenda nao vizuri Allah akupe umri na Afya uzidi kutetea Dini yake.

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 2 роки тому +9

    Masha Allah hii ndio kazi bora ya kutangaza dini ya Allah

  • @shueb123
    @shueb123 2 роки тому +11

    the patience of sheikh ramadhan is on another level

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 2 роки тому +3

    Juma ana chekesha kweli, ubishi tuu iko kazi hapo, maskini, asa yaarab Mwenye Enzi Mungu amu onyeshe njia ya ilio sahihi

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 2 роки тому

      Hivyo ndivyo huwa wanadanganywa Kanisani ili wapotee na huwa wakali kwa Waumini wao wakimuona Muumini anauliza swali/maswali ya kumkwamisha kwa Mchungaji Muumini hajibiwi ipasavyo (hafundishwi ukweli) na atakemewa, ataambiwa anapepo mchafu anaemwongoza kuuliza swali/maswali na anaweza kufukuzwa asishiriki kuabudu tena katika hilo Kanisa.

  • @aishawangui6635
    @aishawangui6635 2 роки тому +4

    Sheikh Ramadhan mashaallah kwa uvumilivu ..kutoa mtu kwa roho mtukutu nikazi ilinichukua 1full year to believe in the real deen alhamdulillah

    • @christinemutua6139
      @christinemutua6139 2 роки тому

      soo deen la kweli ningani

    • @aishawangui6635
      @aishawangui6635 2 роки тому +4

      @@christinemutua6139 deen ya kweli nikumwamini Mungu nimmoja hazai na hazaliwi na kuamini mitume yake yote bila kubagua

  • @husseinmwenja4398
    @husseinmwenja4398 2 роки тому +2

    atiii avaaana mtu mwenye roho anakwepa wapiii .... MASHALLAH USTADH Ujumbe ufike kote kote

  • @somojarso9614
    @somojarso9614 2 роки тому +3

    Kazi mzuri Ust.Ramadhan na wenzako.Juma ajitetea na kusema," inategemea" kubali yaishe

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 2 роки тому +4

    Mashallah sheikh ramadhani kwa kazi mzuri ya kulingania uisilamu, Allah akulinde na kila balaa mwisho wa siku wataelewa tu

  • @babauna3458
    @babauna3458 2 роки тому +1

    Jazzaka Allah ustadh Ramadhani , Wakristo Wameishaa Taratibu, pole pole , Lazma Makanisa Yabadilike yote kuwa miskiti.

  • @MteleShadia-lc6gi
    @MteleShadia-lc6gi Рік тому

    Mashallah mashallah ramadhan bin kaguoo tukoo pmja Sanaa Allah akupe pepoo ilyo juuu zaid

  • @omarratibu9709
    @omarratibu9709 2 роки тому +10

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakatu tuko pamoja Sheikh Ramadhan. Allah atujaalie Swaum zetu ziwe nizenye kuswih na atutakbalie dua zetu in Sha Allah

  • @abdullahiisaackkiriama2505
    @abdullahiisaackkiriama2505 2 роки тому +2

    Allah awalinde masheik wetu mnafanya kazi nzito sana wajazakallahu khair

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 2 роки тому +2

    Huyu kijana ana maneno mengi Allah akulipe kheri shehe wetu na akuzidishie subra maana hii kazi inahitaji subra sanaaa

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 2 роки тому +1

      Shetani/Ibilisi anao Wafuwasi wengi ikiwemo Juma na wa mfano wake Juma.
      Tumwombe Allah atukinge na Shetani na Vitimbi vyake Shetani I'll tupate kuupata mwisho mwema.
      ***Aaamin***

    • @salmanassor8732
      @salmanassor8732 2 роки тому

      Amiin 🤲

  • @alinurharun8468
    @alinurharun8468 Рік тому +1

    May Almighty Allah bless and protect you

  • @kijanahashim1611
    @kijanahashim1611 2 роки тому

    Mashaallah Shekh Ramadhan taratib huna papara na kutoa mafunzo, Naikubali kazi yko muungu akuzidishie nguvu tuko pamoja.

  • @AminaRamadhan-j6s
    @AminaRamadhan-j6s Рік тому +1

    Kazi ni ni ngumu. Ramadhan uko sahihi kabisa, Allah atakulipa. Hao akina Juma wajipoteza Kwa ukorofi na hawapendi haki.

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p Рік тому

    Allah akupe afya njema n elimu n hekim n akupe pepo kesho akhera

  • @alinurharun8468
    @alinurharun8468 Рік тому

    Masha Allah great dawaah sheikh

  • @hassanadam3007
    @hassanadam3007 2 роки тому

    Masha Allah shiekh Allah Akulipie inahitaje subura hii kazi

  • @mhandoonthebeats8581
    @mhandoonthebeats8581 Рік тому

    unafel wapi pastor jifunze neno ili ujibu kwa Usahihi sema Amen
    Shalom Mungu Akufunulie roho mtakatifu

  • @DottoKindaile
    @DottoKindaile Рік тому +1

    Allah akulipe mashaallah

  • @fauabuu8609
    @fauabuu8609 Рік тому

    Mungu akuzidishie ramadhn

  • @Sal.0
    @Sal.0 2 роки тому +4

    TabarakhAllah Ustad. MashaAllah you shown so much patience with this Hosea 9:7 possesed juma!
    Huyu Juma ana Roho Mtukutu, tena sana!😆.
    Mbona hawa elevi ya kwamba Biblia ni Vitabu zilizo TUNGWA na Wazungu , hivi juzi tuu!
    Kng James, ambaye alikuwa ni Shoga, ndiye aliye iandika Biblia pamoja na 46 Writers!
    Salim Ndenda alikuwa ana sema kweli, watu wengine ni kama MaNyaani, hawa tambui Uwongo! Wana fuata tuu, kama Ma Kasuku!

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 2 роки тому +1

      Juma anasema "WANAFUWATA VILE WANAFUNZWA" kwamaana wanafuwata tu hata kama wanaongpewa na kufumzwa uwongo na hao Walimu wao huko Kanisani !
      Yaani wanarithi kukariri na kulithishana Uwongo !

    • @Sal.0
      @Sal.0 2 роки тому +1

      @@alhaddajmohammed4768 Si jui hawa wata elewa lini ya kwamba Biblia ime Tungwa tuu, na Wazungu!
      Hii ugonjwa wa ku tetemekia Mzungu uko kila mahali Africa!
      Huwa wana fikiria Wazungu ni kabila ya Mungu wao! Mpaka wame ji bandika ma jina za Kizungu pia, na wana wa ' Copy' Wazungu katika kila khitu!
      Kama kuji paka 'Plaster' na Tissue, wakati wame kwenda haja! Na Wana Wake wao ku tembea Uchi!
      I dont know when they will learn?

    • @josephkitau1076
      @josephkitau1076 Рік тому

      Koran ikaandikwa Na nani we umechamganyikiwa

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 8 місяців тому

    SubhanaAllah.HuuMuswiba

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz Рік тому

    RamadHan Ni mzuri sana yeye sio mkorofi mungu akubariki

  • @fatimaismail2250
    @fatimaismail2250 2 роки тому +3

    masha Allah, jazaaka Allah khairan

  • @ushifenesi4168
    @ushifenesi4168 2 роки тому +2

    Mtu mwenye roho anawazimu😂😂 shukran ustadh wataelewa tu✊

  • @saphinalutaha9077
    @saphinalutaha9077 Рік тому

    ❤❤❤❤❤❤shekhe ramadhan mungu akulpe kher

  • @fridahmulongo2697
    @fridahmulongo2697 2 роки тому +3

    Wallahi Kuna watu wabishi kweli hata baada ya kusoma na kuelewa bado niwabishi ila Allah awaongoze .

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 2 роки тому

      Juma anakwepakwepa maswali na anajibu kwa kujitetea tu aonekane amejibu Swali/maswali bila kujuwa (anajuwa) ajuwa anajibu Pumba kwa kutetea imaan yake na kutetea maslahi yake ya kidunia !
      Hata Yesu yuko na roho sababu ni binAdam/kiumbe.

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 2 роки тому +2

    İdd Mubarak Ustaz Sheikh

  • @gakweliwarrakah2772
    @gakweliwarrakah2772 Рік тому

    Pastor amewaka moto 🤣🤣🤣 this is the best clip yet

  • @azizalaobaid7520
    @azizalaobaid7520 2 роки тому +4

    Juma ni mpishani kweli kweli , shida yake hapendi kuskiza mafunzo mazuri..lakini tunaelewa hali yao

  • @maymgaya4192
    @maymgaya4192 2 роки тому +1

    Mashallah Akhy Ramadhan,
    Ramadhan Mubarak...
    Allah akulipe.

  • @husnanancyatieno2391
    @husnanancyatieno2391 2 роки тому +1

    Mashallah Tabarakallah

  • @SirMasco
    @SirMasco 2 роки тому

    this is so intresting Hosea 9 saba. Jama huyu anatega mkristo wetu hapa "Huyo nabi nimpumbavu, huyo mtu mwenye roho ana wazimu" lakini hazingati hii "kwasababu ya uovu wake na kwasababu uadui umekuwa mkubwa" kuna maroho tofauti ulivyosema lakini kulingana na hii Neno ni zile roho za uadui na Uovu.

  • @khalifaathuman6875
    @khalifaathuman6875 2 роки тому

    Ahhahu akbar. Ikiwa hali ya wachungaji wa kikristo ni hii,je waumini wao wako katka hali gani? Allah atunusuru inshallah.

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 2 роки тому +1

    MashaAllah

  • @brunomcclain8824
    @brunomcclain8824 2 роки тому

    Hahaha! Nyinyi nyote mko sawa bro

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz Рік тому

    Mwelezee Pole pole

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 роки тому +3

    Yesu mwenyewe anasema yeye ni mwana wa Adamu wapambe wanampinga mpaka Yesu na kumuita mwana wa God msiba huu .

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 2 роки тому +2

      Yesu anayo kazi ya kumjibu Mungu kwa jinsi Wakristo wanavyo mpachika Yesu sifa/wadhifa ambao si wake/hana;
      -anasamehe dhambi na anaokoa/mwokozi nk ya Uzushi mwingi Wakristo wanamtungia/wanamzushia Yesu !
      Yamezuka na yanaendelae kuzuka Makanisa na Madhehebu kedekede na yote hayo Makanisa na Madhehebu hujinasibisha na Yesu (wao ni wafuwasi wa Yesu/wanamfuwata Yesu) !
      Hivi atakaporejea Yesu atashiriki/atashirikiana na Wauini wa Kanisa gani na Madhehebu gani?!
      Maana Makanisa na Madhehebu ni mengi lakini hutofautiana jinsi ya kufanya ibada na siku za ibada hurofautiana !

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 2 роки тому

    ❤❤❤

  • @AliIbrahim-lv5cq
    @AliIbrahim-lv5cq 2 роки тому +1

    Mkaidi sana Juma

  • @marymwanziamary6623
    @marymwanziamary6623 2 роки тому

    Huyo mhubiri ako vizuri sana biblia huwezi kusoma msitari mmoja ukaelewa ni usome ujue maana kabisa

  • @saidlucas1216
    @saidlucas1216 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣 pole sana sheikh watu

  • @mahdiyusuf3431
    @mahdiyusuf3431 2 роки тому +1

    Truth harts

  • @azizalaobaid7520
    @azizalaobaid7520 2 роки тому +3

    Napenda mafunzo za straight path, mafunzo kali kabiza

  • @richardochieng7959
    @richardochieng7959 2 роки тому

    Wakati yesu atarudi enyewe dunia itashangaa

  • @SirMasco
    @SirMasco 2 роки тому

    Nyakati wa pili saba tatu: Hakuna mahali pameandikwa kutofautisha mwanamke na mwanamke. unamchanganya unamsomea kusujudu na tunataka jibu la kutenganisha Male and female. swali lako lina mchanganya. ufunuo kumi na moja moja Hekalu ni jengo la mungu kanisa ni umati wa watu wanao abudu mungu. usipochunga waislamu huruka bibilia hawasomi neno na sababu wanasoma vipande vya neno

  • @eunicenthenya9125
    @eunicenthenya9125 2 роки тому +1

    There is great weaknesses with you,pride that comes before a fall,judging and playing Holy me game.Kila mtu afuate Mungu mwenye ataenda kuishi naye milele.

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому

      Hakuna kila mtu afuat mungu ataenda kuishi nae. Afuatwe mungu kimaandiko.kwaajili nyinyi hamufati maandiko

    • @bakari52
      @bakari52 2 роки тому

      Naye ni mmoja tu. Sasa kama Yesu ndo njia alafu njia mnaiacha. Mini naona Wakristo walifunzwa kuruka ruka

    • @bakari52
      @bakari52 2 роки тому +1

      Wanaruka sana maswali. Alafu kumbekeni Ramadhani (mwalimu) hajalazimisha mtu. Amekuja kuelewesha tu

    • @millicentwawira1779
      @millicentwawira1779 2 роки тому +1

      Akuna kila mtu na mungu wake ,mungu ni moja

  • @SalumOthman-z8v
    @SalumOthman-z8v 11 місяців тому

    Juma una wazimu bhanaaa 😅😅😂😂umesoma mandiko mwnyewe 😂😂😂

  • @innocentmundekesye5617
    @innocentmundekesye5617 2 роки тому

    Dahh waislam wanahangaika

  • @nelsonochieng5216
    @nelsonochieng5216 Рік тому

    Wakristu ni watu wa kushangaza sana

  • @prettyaysha7892
    @prettyaysha7892 2 роки тому +1

    Juma kushipa huyu😊

  • @saint.m621
    @saint.m621 2 роки тому

    Pastor amekuwa emotional 😂😂😂😂😂

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому +1

    Juma anawazimu eti hapana na mandiko kasoma mwenyewe 😂

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 роки тому

    Mhubiri mrongo ajitetea na roho😂😂 Hana kitu huyu akadanganye wakristo kanisani

  • @faridahussein8632
    @faridahussein8632 2 роки тому +1

    walaali juma amenitekesha sana 😂😂

  • @chuumubaby7845
    @chuumubaby7845 2 роки тому

    Assalam Aleykum waramathullah wabarakatu nenda nae uyo eti an rooh naatak kukubali an wazimu🇰🇪😂😂😂

  • @amosnshimirimana7883
    @amosnshimirimana7883 2 роки тому

    Wakorinto wa 2 , 6:16 ina eleza kuwa sisi ni hekaru!! ya Mungu

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 2 роки тому

      Hosea 9:7
      Siku za kupatilizwa zimekuja, siku za kulipa zimefika; Israeli atayajua hayo; huyo nabii ni mpumbavu, huyo mtu mwenye roho ana wazimu

    • @millicentwawira1779
      @millicentwawira1779 2 роки тому

      Kuna tafauti kanisa na hekaru vipi nyinyi wakirsto ata bibilia amhijui,.

  • @kawezaseleman5794
    @kawezaseleman5794 2 роки тому

    Kala divai anaiogopa quruan

  • @faridahussein8632
    @faridahussein8632 2 роки тому +1

    juma ajitetea 😂😂😂

  • @Sai.Mo69
    @Sai.Mo69 2 роки тому

    Tokaa PHEPO!
    Huyo Phepo ilim ingia huyu Juma kwa sababu Nguruwe ali kosekana!
    Ai, truely Possessed!
    Acts 19:2, hakuna khitu kama 'Holy Spirit' inside you!
    Ndacha yuko wapi? Akwende zake na huyu Phepo wa Kanisani!
    Ndio Biblia ime tambua vizuri wakati inapo sema Ma Shaitani, Phango zao Zimo KANISANI
    Revealations 2:12-17

  • @SirMasco
    @SirMasco 2 роки тому

    ukisoma Romans 7,14 inachanganya. tuanze juu paulo kwanini akasema ivotusome Warumi 7, 8 Paulo anasema lakini dhambi ilipata nafasi kwa ile amri, ikafanya ndani yangu namana ya kutamani. so ukisoma 14 utaelewa sababu ni ipi, haustali kusoma 14 bila kupitia 8. already sin is in us. na paulo anakiri. kwa maana twajua ya kuwa torati asili yake ni ya rohoni. utapata jibu pale genesis mungu alipo iweka kifo.

  • @kingsdaughter2040
    @kingsdaughter2040 2 роки тому

    John:5.43
    I have come in my Father's name, and you do not accept me; but if someone else comes in his own name, you will accept him.

  • @nasseralhabsi1483
    @nasseralhabsi1483 2 роки тому

    Huyu Juma ni mbishi sana. Lakini akielewa, atajirudi tu.

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 роки тому +2

    Huyu yuajifanya mjuaji ili hali hana lolote.

  • @muranisalim3572
    @muranisalim3572 2 роки тому

    Juma ameniuwa Sana 😳

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 роки тому

    Mwnzo amesema huelewi kiwa huna roho mara huelewi kiwa hukuanzia juu.tushike wapi.

  • @richardochieng7959
    @richardochieng7959 2 роки тому

    They have eyes but they don't see,they even have ears but they can't hear.these people troubled Jesus during his time

  • @bakari52
    @bakari52 2 роки тому +1

    Hapa huyu jamaa hana kitu anaruka ruka tu

  • @eunicenthenya9125
    @eunicenthenya9125 2 роки тому

    No one is holy.

  • @SSs-fn4hs
    @SSs-fn4hs 2 роки тому

    Huyu ni mlevi

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 роки тому

    Sheikh umemkamata pazuri pasta...!...ndio kawaida Yao hao, ukimkamata vizuri wanajificha kwenye roho, hahahaaa Hawa jamaa ni wajanja sana..!....na ndio wanapowaibia waumini...!

  • @shafially879
    @shafially879 2 роки тому +1

    wanakisoma kitabu hicho lakini hawakijui!!

  • @zenaal-baalawy1953
    @zenaal-baalawy1953 Рік тому

    😂

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 2 роки тому +1

    Wanashindwa na majibu alafu wajitia kutofahamu

  • @nathankibirumuriuki5938
    @nathankibirumuriuki5938 2 роки тому

    Bona wakati munaeda kutafuta wafuasi mnatumia bibilià bonà usitumie Quran

  • @sheena8868
    @sheena8868 Рік тому

    Hizi Ndichu zimekuja siku hizi hawataki kusikia ukweli,wanasoma pale Bible will favour them,Pastor (BWAKIN😂😂😂

  • @alyaqdhan5206
    @alyaqdhan5206 2 роки тому

    ua-cam.com/video/3Qar3aoilfI/v-deo.html. Hawawezi kupunguza kasi ya Islam, Mecca hiyo, na sheikh anasoma aya za Quruani zinazo husika na Watu wa Kitabu ambazo ni hizi:- إِنَّ أَوَّلَ بَيْتٍ وُضِعَ لِلنَّاسِ لَلَّذِي بِبَكَّةَ مُبَارَكًا وَهُدًى لِلْعَالَمِينَ
    Hakika Nyumba ya kwanza walio wekewa watu kwa ibada ni ile iliyoko Bakka, iliyo barikiwa na yenye uwongofu kwa walimwengu wote.
    (Quran 3 : 96)
    فِيهِ آيَاتٌ بَيِّنَاتٌ مَقَامُ إِبْرَاهِيمَ ۖ وَمَنْ دَخَلَهُ كَانَ آمِنًا ۗ وَلِلَّهِ عَلَى النَّاسِ حِجُّ الْبَيْتِ مَنِ اسْتَطَاعَ إِلَيْهِ سَبِيلًا ۚ وَمَنْ كَفَرَ فَإِنَّ اللَّهَ غَنِيٌّ عَنِ الْعَالَمِينَ
    Ndani yake zipo Ishara zilizo wazi - masimamio ya Ibrahim, na mwenye kuingia humo anakuwa katika amani. Na kwa ajili ya Mwenyezi Mungu imewajibikia watu wahiji kwenye Nyumba hiyo, kwa yule awezae njia ya kwendea. Na atakaye kanusha basi Mwenyezi Mungu si mhitaji kwa walimwengu.
    (Quran 3 : 97)
    قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لِمَ تَكْفُرُونَ بِآيَاتِ اللَّهِ وَاللَّهُ شَهِيدٌ عَلَىٰ مَا تَعْمَلُونَ
    Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Kwa nini mnakanusha ishara za Mwenyezi Mungu, na ilhali kuwa Mwenyezi Mungu ni Shahidi kwa yote mnayo yatenda?
    (Quran 3 : 98)
    قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لِمَ تَصُدُّونَ عَنْ سَبِيلِ اللَّهِ مَنْ آمَنَ تَبْغُونَهَا عِوَجًا وَأَنْتُمْ شُهَدَاءُ ۗ وَمَا اللَّهُ بِغَافِلٍ عَمَّا تَعْمَلُونَ
    Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Kwa nini mnamzuilia aliye amini Njia ya Mwenyezi Mungu mkiitafutia kosa, na hali nyinyi mnashuhudia? Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na mnayo yatenda.
    (Quran 3 : 99)
    يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنْ تُطِيعُوا فَرِيقًا مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ يَرُدُّوكُمْ بَعْدَ إِيمَانِكُمْ كَافِرِينَ
    Enyi mlio amini! Mkiwat'ii baadhi ya walio pewa Kitabu watakurudisheni kuwa makafiri baada ya Imani yenu.
    (Quran 3 : 100)
    وَكَيْفَ تَكْفُرُونَ وَأَنْتُمْ تُتْلَىٰ عَلَيْكُمْ آيَاتُ اللَّهِ وَفِيكُمْ رَسُولُهُ ۗ وَمَنْ يَعْتَصِمْ بِاللَّهِ فَقَدْ هُدِيَ إِلَىٰ صِرَاطٍ مُسْتَقِيمٍ
    Na vipi mkufuru hali nyinyi mnasomewa Aya za Mwenyezi Mungu na Mtume yuko kati yenu? Na mwenye kushikamana na Mwenyezi Mungu basi huyo ameongozwa kwenye Njia Iliyo Nyooka.
    (Quran 3 : 101)

  • @passlinemedia6657
    @passlinemedia6657 2 роки тому

    Kuria ni kama anahoji mtoto mdogo na kejeli mingi anampeleka vile anataka laki sio vile ilivyo

  • @faridahussein8632
    @faridahussein8632 2 роки тому

    juma aruka kama yuko kanisani😂😂

  • @youngchinga5665
    @youngchinga5665 2 роки тому

    Huyo juma ijielew hatak kuelewa

  • @SalimHumud
    @SalimHumud 8 місяців тому

    Huyo nihao waliopigwa muhuri

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 роки тому

    🤣🤣

  • @kondesaidi5728
    @kondesaidi5728 2 роки тому +1

    Kuria usitafute maneno ya kupiga mtu, tafuta Ile ya kufundisha😆

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому

    Duu anamaneno huyo pasitar mapepe hatulii anaona Yuko kanisani

  • @fatmabhai2812
    @fatmabhai2812 2 роки тому

    Hawa jamaa wakricto ni wabishi kweli kweli. Duh 🙄!

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wakristo wapelekwa km upepo maneno mengi bila ushahid. Kweli ukrsto biashara

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 2 роки тому

      Ukristo ni Wapagani/Makafiri wa Antokia.
      Matendo ya Mitume 11: 25....

    • @janaleokesho8374
      @janaleokesho8374 2 роки тому

      @@alhaddajmohammed4768 Utakoma kuita wakristo makafiri.wako na dini na wanamjua mungu.kama uislamu mnafunzwa hivyo basi jiwekee moyoni mwako.Hizi ni dharau na kujiona first class kwa mungu

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 роки тому

    Bwana Juma atatarika kama Nyoka alie mwagiwa petrol ⛽ 😁😁

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 2 роки тому +1

      Wapo wengi wa mfano wake Juma kwa kutetea Ugali wao na kupenda raha za Dunia na kuiwacha Akhera !

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 2 роки тому

      @@alhaddajmohammed4768 mtihani

  • @kingsdaughter2040
    @kingsdaughter2040 2 роки тому

    Before Abraham Jesus was David called Jesus my lord

  • @samxx411
    @samxx411 2 роки тому +1

    Kwani mungu aliposema 'amemtoa mwanae wa pekee' kwani ilisemwa ni yesu? Mungu mwanae wa pekee ni ephraim kutokana na biblia

    • @aiahadoha4550
      @aiahadoha4550 2 роки тому

      Pole kwa kua hujui usemacho

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 2 роки тому

      @@aiahadoha4550 Awe pole na msiba mkubwa kwa asotaka kuujuwa na kuufuwata ukweli na haki.

    • @aiahadoha4550
      @aiahadoha4550 2 роки тому

      @@alhaddajmohammed4768 ukweli wenu ni huo wa kukaa na majini na kuabudu miungu tena ni vizuri umetanguliza pole kwamaana pole yko ni msiba tosha kwa kutokuelewa na kufahamu ukweli

    • @aiahadoha4550
      @aiahadoha4550 2 роки тому

      @@alhaddajmohammed4768 na Wala sio wote mtakaowapigia faliqk kwa hicho kitabu chenu Cha uongo

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 Рік тому

      ​@@aiahadoha4550ndo elim yako ilipo ishia😂😂😂

  • @hannanomar1218
    @hannanomar1218 Рік тому

    Why they're scaring to read their own Bible?

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 роки тому

    Mchunganji gani huyu mrongo hujitetea na roho . Hizo roho zenu muteenda nazo motoni

  • @kingsdaughter2040
    @kingsdaughter2040 2 роки тому +1

    Swali yangu mbona utumie bibilia and you say it's corrupt dies it mean your contradicting yourself

    • @shabanawino9426
      @shabanawino9426 2 роки тому

      Lazima mfunzwe biblia kwanza kwa sababu mwasomewa huwasomi wenyewe!

    • @kingsdaughter2040
      @kingsdaughter2040 2 роки тому

      @@shabanawino9426 kwanini utufunze najisomea mwenyewe

  • @joshuawhite2474
    @joshuawhite2474 2 роки тому +1

    👏👏👏👏👏👏👏 congratulations pastor . The Bible says a canal man will never understand the things of the spirit. So ATA umuhubirie morning to evening hata elewa NENO

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 2 роки тому

      Huyyo roho mnayemsema Labda roho wa shetani anawaongoza kubadili maandiko.

    • @shabanawino9426
      @shabanawino9426 2 роки тому +1

      What are those things of the spirit?😅😅😅

    • @shabbymakapaneshabby5000
      @shabbymakapaneshabby5000 2 роки тому +2

      😂😂😂 SINDANO imeingia jiyooo Yamotoooo 😂😂😂HOSEA 9 : 7 Siku za Kupatilizwa Zimekuja na Siku za Kulipa Zimefika IZISRAELI Atayajuwa Hayo HUpo Nnabii Ni MPUMBAVU Na Huyo MTU Mwenye Roho ANAWAZIMU, 😂😂😂😂😂😂

    • @shueb123
      @shueb123 2 роки тому

      what is this holy spirit thing that only you guys can understand,,,what is the rocket science about it? you deny straight forward things and then u hide behind holy spirit,,,,

    • @shabbymakapaneshabby5000
      @shabbymakapaneshabby5000 2 роки тому

      😂😂😂

  • @shafially879
    @shafially879 2 роки тому

    Anamanisha yeye mchafu, Quran haiguswi ila kwa waliotakaswa

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 2 роки тому

    Waliosujudu waliona moto nyinyi mnaosujudu mnakuwa mmeona nini?

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 2 роки тому

    Yani huyu hafati bibilia anajitungia vyake tu

  • @omarmwajao222
    @omarmwajao222 2 роки тому

    Kama mungu anahabudiwa kokote basi kusingetengezwa kanisa na mskiti??? Akili zake bure kabisaa

  • @baiku_audios
    @baiku_audios 2 роки тому

    You are drawing the word out of context to suit what you are saying.