Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu. @StraightPathDawah ni dawah popote wakati wowote.
Wanaopinga yesu si mwana mbona wapo wengi ila ndacha anaweka yake waisraeli hawamkubali kabisa yesu afadhali ya sie waislam tunamuamini ni mtume wa Allah, lakini wapo watu wengine kama mabaniani na atheists pia hawaamini, tatizo la ndacha anaweka maoni yake
Sheikh Ramadhani Kuria
Allah akuhifadhi Mwalimu wetu ..
Hatunufaiki Waislamu pekee, bali na wasiokuwa Waislamu pia WANAJIFUNZA MENGI SANA ❤
Mashaa Allah kwa mafundisho mazuri na Allah atujalie Uislamu na maisha mazuri apa Dunia na kesho siku ya mwisho ❤❤
Alhamdullillah ama Muslim
Alhamdulillah kuwa muislam pia nawaombea wote walio ghafilika wajue mungu ni mmoja tu
Allahu Akbar
Allihamudulilah kwa neema ya wislamu 🤲🤲🤲
Masha Allah kipindi chenye majadiliano mazuri
Alhamdullilah Kwa neema
Allah awaogoze waone haki nakuifuata
Alhamdulillah....la ilaha illa Allah
Mashallah tunajifunza kupitia hii chanel mungu akuongoze
Barakallahu feek Sheikhe Ramadan
Mashallah shekhe Ramadan kuris Allah akujaalie umri mrefu wenye manufaa na akujaalie pepo ya daraja ya juu biizinAllah
❤❤❤❤❤
Maashallah
😂😂😂Ni motoni tu
Ndacha bwana, ati hakuna aliemuona Mungu isipokuwa yesu....swali je yesu sie mtu?? Je yesu ni muongo aliposema mimi mtu 😅😅😅
Wanaopinga yesu si mwana mbona wapo wengi ila ndacha anaweka yake waisraeli hawamkubali kabisa yesu afadhali ya sie waislam tunamuamini ni mtume wa Allah, lakini wapo watu wengine kama mabaniani na atheists pia hawaamini, tatizo la ndacha anaweka maoni yake
Kuweni mnawakutanisha hivohivo kuhusu yesu wataeleweka tu