TAJIRI WA DARASA LA SABA MWANZA/ ANAMILIKI ZAIDI YA MALORI 100: Episode 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 14

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo Рік тому +1

    Siku moja namim ntakua nimeajiri watu wasio pungua laki moja

  • @maigajohn5828
    @maigajohn5828 Рік тому

    Elimu na biashara ni vitu viwili tofauti kbisa

  • @jonasmasunga2200
    @jonasmasunga2200 4 роки тому +1

    Boss uko sawa ikiwa umeweza kuajili mia na kitu ata mia nane inawezekana Mungu akupe wepesi insha allah

  • @Jimmyqbic
    @Jimmyqbic 4 роки тому +2

    Nice motivation 🙏💯💯

  • @alphaleahibrahim8904
    @alphaleahibrahim8904 4 роки тому

    Namkubali mzew

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 Рік тому +1

    Waandushi hawajui chochote kuhusu uandishi hawajui kuuliza maswali kusomi, Jina, mke, watoto, elimu, ametokea na kuzaliwa wapi

  • @elishasolomon9742
    @elishasolomon9742 3 роки тому

    Ndy mzee

  • @SAIDIMUKSIN-iy2op
    @SAIDIMUKSIN-iy2op Рік тому

    Iyo inafahamika matajiri wengi Tanzania hii niwatu wenye elimu ya kawaida kama anavyojieleza uyo ndugu,nan mwwnye elimu ya juu akauza miwa karanga na vitu vingine vidogo vidogo

  • @jeremiahgabriel9782
    @jeremiahgabriel9782 4 роки тому

    Blessed indeed 🙏🏻🙏🏻🙏🏿

  • @salumujaibu8697
    @salumujaibu8697 Рік тому

    Texas zipo mpaka songea zina beba makaa ya mawe

  • @samirymwita7162
    @samirymwita7162 Рік тому

    Natamani cn kufanya kazi kwenye kampuni ya Texas

  • @jacksonandrewsalawi5988
    @jacksonandrewsalawi5988 Рік тому +1

    Darasa la Saba la zamani ni Kama form four ya sasa

  • @azizawadh5973
    @azizawadh5973 4 роки тому

    Mh!