Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

AICT Chang’ombe Choir - Saa ya Mwisho (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 бер 2023
  • Shalom Shalom Mpendwa Katika Bwana!
    Imekuwa baraka sana kukuletea wimbo huu wa saa ya mwisho ikiwa kama zawadi yetu ya Pasaka kwako.
    LUKA 23:32-43
    Wimbo huu unaeleza namna gani tunatakiwa kuutumia muda tulionao vizuri, mfano wa wanyang’anyi wawili walipokuwa pamoja na YESU msalabani, mmoja aliamua kuitumia saa yake ya mwisho vizuri, akasema ‘’Ee YESU! unikumbuke wakati utakapoingia katika ufalme wako” ingawa alikuwa mtenda dhambi lakini YESU alimwambia Leo hii utakua pamoja nami peponi.
    Haijalishi umefanya maovu kiasi gani, umepitia magumu mangapi bado nyumbani mwa BWANA una nafasi unachotakiwa ni kutubu, kuacha njia mbaya na kumgeukia BWANA ili ukaurithi ufalme wake wa milele.
    #Saayamwisho #pasaka #choir
    SONG LYRICS;
    Kiitikio : Saa ya mwisho kumbuka inakuja
    Kumbuka..saa ya mwisho karibu inakuja
    Iyo..oooh x2
    Beti 1: Wanyang’anyi wawili msalabani wakiwa naye YESU
    Wanangojea kifo msalabani wakingojea kifo
    Wenye dhambi wawili msalabani wakiwa naye YESU
    Saa yao ya mwisho msalabani wakingojea kifo.
    Wenye dhambi wawili msalabani wakiwa naye YESU
    Saa yao ya mwisho msalabani wakingojea kifo.
    Solo 1 : Iye iye iye iye iye Baba ooh
    : Iye iye iye iye iye ooh
    Wa kwanza alianza kumwambia Bwana YESU
    Kwa kejeli alianza kumwambia Bwana YESU
    Ulijifanya MUNGU..mbona unateseka
    Kama wewe ni MUNGU ebu jiponye sasa
    Ulijifanya MUNGU, mbona unateseka
    Kama wewe ni MUNGU ebu jiponye sasa tuponye na sisi
    Yesu hakujibu
    (Yesu hakujibu) x2
    Kiitikio : Saa ya mwisho kumbuka inakuja
    Kumbuka..saa ya mwisho karibu inakuja
    Iyo..oooh X2
    Solo 2 : Wa pili alianza kumwambia Bwana YESU
    Kwa adabu alianza kumwambia Bwana YESU
    Mimi ni mwenye dhambi
    Naomba msamaha
    Unikumbuke Baba unakokwenda Baba
    Nimetenda maovu naomba msamaha
    Unikumbuke Baba unakokwenda Baba..(Aaaah)
    Unikumbuke Baba unakokwenda Baba..(Aaaah)
    Solo : Yesu alijibu
    Wote: (Yesu alijibu) x2
    Leo hii utakua nami peponi
    Leo hii utakua nami mbinguni
    Leo hii..
    Kiitikio : Saa ya mwisho kumbuka inakuja
    Kumbuka..saa ya mwisho karibu inakuja
    Iyo..oooh x2
    SONG CREDITS TO;
    Song Writer - Papaa Clement Buhembo
    Video Director - Elidadi
    Videographer - Amigo Johnson
    Lights - Sengati
    Audio - CVC Media
    Tufuatilie kupitia
    Instagram / cvcchoirtz_official
    Facebook / cvc-choir
    ©2023 AICT Chang'ombe Choir | All Rights Reserved.Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital

КОМЕНТАРІ • 293

  • @smilemediatz
    @smilemediatz Рік тому +22

    kama umerudi hapa zaid ya mara mia like hapa

  • @onexgozbert2554
    @onexgozbert2554 Рік тому +76

    Kama unarudia rudia kipande cha solo wa pili bahati gonga like twende sawa😁

  • @edwinjohn1852
    @edwinjohn1852 Рік тому +10

    Aiseee sauti ya huyu dada ni kinanda tokea mimi mdogo anagonga key zake zilezile Mungu akubariki sana dada🎉

  • @mussaphilemon8612
    @mussaphilemon8612 Рік тому +7

    Mungu awabariki sana watumishi kwa uimbaji wenu, Endeleen hivyo hivyo na Tune ya Kanisa msije mkahama na kufuata tune za Mataifa Mengine. Nawapenda sana.
    @Rebeka Stephano, Mayala Budele + Wapiga tarumbeta wote, Diana, Bahati, Lydia Kashimba, Dickson Seni, Naomi Zebedayo na wengine wote Mungu awabariki sana

  • @MasanjaTVgospel
    @MasanjaTVgospel Рік тому +8

    NAWAKUBALIGIIII MIAKA BUKUUUUUUUU

  • @sinzasoundbandtanzania6200
    @sinzasoundbandtanzania6200 Рік тому +5

    2023 Hatimaye kwaya pendwa mmerudi baada ya kitambo kirefu.

  • @henrybaraka5258
    @henrybaraka5258 Рік тому +7

    Sololist wa kiume Yuko vizuri
    Mbarikiwa CVC

  • @nimrodtitus9950
    @nimrodtitus9950 Рік тому +8

    Lots of love from Kenya ❤ Bahati's voice is Soo young

  • @james008BOND7
    @james008BOND7 Рік тому +9

    Neema iwabebe na ivunje Sheria watumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏🙏 mbingu zitetee huduma yenu🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪 twawapenda sana 🙏

    • @rachelsenni8919
      @rachelsenni8919 Рік тому +2

      Amen

    • @james008BOND7
      @james008BOND7 Рік тому +2

      ​@@rachelsenni8919 nawaombea baraka tele🙏🙏🙏🙏

    • @rachelsenni8919
      @rachelsenni8919 Рік тому +1

      @@james008BOND7 asante sana na Mungu akubariki na kukupa haja ya moyo wako maana kutuombea ni upendo mkubwa sana

    • @james008BOND7
      @james008BOND7 Рік тому +1

      Amen🙏🙏🙏C.V.C mnatutia moyo sana kwa nyimbo zenye maadili🙏

    • @nestoryntogwa805
      @nestoryntogwa805 4 місяці тому

      Amina

  • @jenysullesulle7678
    @jenysullesulle7678 Рік тому +7

    Hahaha huyo voice ya mkaka amazing

  • @jenysullesulle7678
    @jenysullesulle7678 Рік тому +6

    Nawapenda Sana cvc nawaombea mzidi kuinuliwa

  • @estherrnyangasa1389
    @estherrnyangasa1389 Рік тому +7

    Asanteni kwa kubakisha ladha ya kwaya zetu.

  • @ngikangosso9323
    @ngikangosso9323 Рік тому +8

    Wimbo mzuri masolo wote safi, nakupenda sana CVC, hasa hao masolo list akinamama wawili duh! Mmenitoa mbali tangu enzi zile za album ya GUSA bado ningali mtoto duh! mmenilea vyema ndugu zangu. Mungu anaijua thamani yenu, then keep it up.

    • @zakariamsumba-gr8vr
      @zakariamsumba-gr8vr Рік тому

      Yana ata mm nlikuw katoto xana enzi za GUSA 2009's,,,, 👍👍

  • @vedamusa8033
    @vedamusa8033 Рік тому +6

    Hii ndo yenyewe uwiiiii

  • @ynashimba
    @ynashimba Рік тому +6

    You guys are blessed, I see new talents.....CVC❤❤

  • @GodwinNgoye-en2lv
    @GodwinNgoye-en2lv Рік тому +7

    nyimbo zenu nzuri sana wapendwa♡nabarikiwa sana hasa ninapowaona BenjaminMack na bi.Esther Mkandia nawapenda sana

  • @samuellimbu2693
    @samuellimbu2693 Рік тому +8

    blessing one.... Papaa was a great songwriter!! may he R.I.P

  • @fadhiligabriel-jz3xh
    @fadhiligabriel-jz3xh Рік тому +9

    Aic wanajuwa tuwap heshma Yao maan hawjawah kuimba vibay

  • @jacklinemwandoloma285
    @jacklinemwandoloma285 Рік тому +6

    Much love to you CVC ❤️💯 Mungu azidi kuwatunza sanaaa

  • @AlfredSamwel-sz2lb
    @AlfredSamwel-sz2lb Рік тому +6

    Sina swalii kabisa ila nawakubalii sana kijana na bahatii sio wapole pole

  • @gracemhaya3707
    @gracemhaya3707 Рік тому +7

    Powerful Powerful 🥰🥰🥰 Hongereni Sana CVC

  • @raymondzachariah-xr4ys
    @raymondzachariah-xr4ys Рік тому +8

    Salluti nyingi nyingi na misi Sana mwalimu wangu Crement papa Ameacha urithi kwa wengine kwa utunzi mzuri

  • @angelakibwana3965
    @angelakibwana3965 Рік тому +5

    Who is addicted with this beautiful song just like me ....

  • @henrymhande4796
    @henrymhande4796 Рік тому +6

    BAHATI 🔥🔥🙌🙌

  • @davidpeter9589
    @davidpeter9589 Рік тому +6

    This my favourite choir

  • @vedamusa8033
    @vedamusa8033 Рік тому +5

    Hii kwaya wote mnaenda mbinguni sio kwa wimbo huu

  • @janemusyoka6125
    @janemusyoka6125 Рік тому +7

    Have been waiting for this new release 🎉🎉🎉🎉🎉 Mungu awabariki sana kwa huduma mnayofanya kwa njia ya uimbaji🎤🎧

  • @willisaida-fi6kb
    @willisaida-fi6kb Рік тому +3

    Kazi nzuri nabalikiwa sana natamani kila mda nisikilize saa ya mwisho

  • @sebastianmagulu614
    @sebastianmagulu614 Рік тому +3

    🎷🇹🇿🎶🎉 Asanteni ilabado tunasubiria zawadi nyingine wadau. Mungu aibariki huduma yenu Amen 🙏

  • @johnmutinda6220
    @johnmutinda6220 Рік тому +7

    Wimbo mzuri sana...mbarikiwe sana

  • @emmanueldavidondahani2009
    @emmanueldavidondahani2009 Рік тому +4

    My family CVC nawapenda Sana ♥️♥️♥️♥️🎹🎹🎹🎸🎸🎤

  • @christophermusyoki7378
    @christophermusyoki7378 Рік тому +5

    Wow what a nice song...saa ya mwisho msalabani ilikuwa ya maana sana

  • @danielworshiper6002
    @danielworshiper6002 Рік тому +4

    Mungu amefanya kuwa chuo cha uimbaji Tz
    Mungu awabariki sana wapenzi ❤💗❤❤

  • @damsonmsalangi3900
    @damsonmsalangi3900 Рік тому +5

    The real choir ♥️

  • @lucymukhavi1405
    @lucymukhavi1405 Рік тому +7

    Loving this. Napenda nyimbo zenu CVC kwanzia Vunja. God bless you. 🇺🇸🇺🇸

  • @bukombeshy3644
    @bukombeshy3644 Рік тому +7

    Bahati Mungu akubariki sana, unaimba dada tena unaimba kweli, Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu zaidi

  • @dismasalex5064
    @dismasalex5064 Рік тому +5

    Wimbo mzuri sana. Mungu awabariki sana watumishi.

  • @lusekelodaison8159
    @lusekelodaison8159 Рік тому +6

    Kila lililojema liwe juu yenu, m'barikiwe kwa kazi njema ya kumtangaza Kristo

  • @nurumwangoka5924
    @nurumwangoka5924 Рік тому +3

    Aiseeeee YESU Ana watu ❤❤❤❤❤❤❤mnaimba hadi mwili unasisimka

  • @samsonbaptistdrummer607
    @samsonbaptistdrummer607 Рік тому +5

    Mungu ibariki CVC CHOIR AMEN👏

  • @doninciamichael6309
    @doninciamichael6309 Рік тому +4

    Silvester you are gifted! Keep serving our almighty Mungu anaenda kukuinua sana❤

  • @juliusjapheth1657
    @juliusjapheth1657 Рік тому +4

    I wish one day I'll visit AICT chang'ombe..,kwaya imeetulia vizuri.watching from Kenya 🇰🇪

  • @daudnyenye2882
    @daudnyenye2882 Рік тому +4

    Hogeren sana MUNGU aedereee kuwatumia ujembe mzuli sana barikiwa wote

  • @shigomabasi6145
    @shigomabasi6145 Рік тому +5

    Mungu aendeleee kuwatunza mtuhubilie zaid na zaid

  • @davidpeter9589
    @davidpeter9589 Рік тому +5

    Very blessed

  • @LazaroKajole-bt4nm
    @LazaroKajole-bt4nm Рік тому +5

    Best song 🔥🔥🔥

  • @zakariamsumba-gr8vr
    @zakariamsumba-gr8vr Рік тому +4

    Nawapenda sana chang'ombe asee, mbarikiwe sana kwa huduma...

  • @irenekasembe9864
    @irenekasembe9864 Рік тому +4

    My favorite choir I love ❤️ it one and last forever.

  • @Protas_joseph1
    @Protas_joseph1 Рік тому +4

    The reminding about the last hour is very clear, everyone should obey and repent.

  • @gladnessshola2718
    @gladnessshola2718 Рік тому +4

    Waaoooooooooooow tunawapenda wana chang'ombe 🇹🇿

  • @emmanueljohn8970
    @emmanueljohn8970 Рік тому +4

    Amen nimepata Wimbo Wa Maombi

  • @japhetmgema3208
    @japhetmgema3208 Рік тому +4

    Mungu azidi kuwainua CVC... Hii ni Taasisi, damu ya Yesu iwafunike...

  • @happymerry8675
    @happymerry8675 Рік тому +5

    Kazi nzuri, naomba Tu mubaki na identity yenu ya uimbaji Ile Radha yenu isipotee.

  • @nurumwangoka5924
    @nurumwangoka5924 Рік тому +3

    Aiseeee mnaimba mnaimba mnaimba mnaimba tena YESU awatunze🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @Regnard999
    @Regnard999 9 місяців тому +4

    Masolo mmeutendea haki wimbo huu🎉🎉🎉,, solo wa kwanza wa kiume ni sura ngeni kwangu lakini anastahili pongezi nyingi maana yuko vizuri sana kwenye vocal na kuimba kwa hisia!!!❤❤

  • @juliuskioko1839
    @juliuskioko1839 Рік тому +4

    Kali sana..nawapenda kabisa...wimbo wa pasaka ndo huu...

  • @paskalkihombo7158
    @paskalkihombo7158 Рік тому +2

    Kazi nzuri mbarikiwe watumishi kwa huduma nzuri. Mungu awakumbuke

  • @FredSylivester-yu3zt
    @FredSylivester-yu3zt Рік тому +4

    Mbarikiwe sana, Mwenyezi Mungu azidi kuwatia nguvu katika kuitenda kazi yake.

  • @shadrackwilliam8218
    @shadrackwilliam8218 Рік тому +3

    Mungu azidi kuwatumia, kwaajili ya utukufu wake

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 Рік тому +3

    Nawapenda sana watumish wa MUNGU Hamjawai kukosea ety.Hkika MUNGU Nimwema..Aendlee kuwainua kila iitwapo Leo...DADA Bahati hakika MUNGU Ankutmia vyema,,,,kaka nawe umetisha,,

  • @simonmahega3085
    @simonmahega3085 Рік тому +4

    Wa 2190 😊😊😊😊😊

  • @emmanuelkisumo7741
    @emmanuelkisumo7741 Рік тому +3

    Amina Hallelujah
    Mungu awabariki mnoo watumishi ,Kwa wimbo mzuri wa #saa ya mwisho. Hakika saa ya mwisho inakuja , nimebarikiwa.

  • @francesmpangwa8801
    @francesmpangwa8801 Рік тому +4

    Hamjawahi kukosea hata mala Moja
    Jamani sijamwona lidya

    • @nimrodtitus9950
      @nimrodtitus9950 Рік тому

      Lydia nadhani yupo kwenye zawadi ya pili ya sadaka pamoja na Diana

  • @estherdaudi2838
    @estherdaudi2838 Рік тому +2

    Hakika saa ya mwisho inakuja 🙇,,Mungu awabariki kwa kazi nzuri 🔥🔥

  • @neemanyerere817
    @neemanyerere817 Рік тому +3

    Hongereni CVC, Bahati 🙌

  • @dicksonsenni9109
    @dicksonsenni9109 Рік тому +2

    Yesu ni Mwema.Tuzidi kuombeana na kumshukuru Mungu

  • @joshuaenock5431
    @joshuaenock5431 Рік тому +3

    Barikiwa na saa ya mwisho

  • @martinecharles9716
    @martinecharles9716 Рік тому +3

    Dah hyo solo mwananke nawenzake wapo wawili nyimbo zao znanibariki Sana 🤝😊

  • @emmanuelbageni4388
    @emmanuelbageni4388 Рік тому +3

    25/3/2023. God bless all of you. Keep serving God

  • @gracemahushi9654
    @gracemahushi9654 Рік тому +3

    Nawapenda mno wapenzi,,,, Mungu awatie nguvuu

  • @nasseralhabsi4121
    @nasseralhabsi4121 Рік тому +3

    Ameen, mbarikiwe watumishi wa MUNGU 🙏

  • @karistachusi4874
    @karistachusi4874 Рік тому +3

    Mbarikiwe

  • @julietpaul7988
    @julietpaul7988 Рік тому +4

    2 nd soloist is always on top

  • @brightonisaack-iq4up
    @brightonisaack-iq4up Рік тому +2

    Mungu ni mwema tuliingojea kwa hamu sana hii zawadi ya PASAKA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😊

  • @deomajuva2432
    @deomajuva2432 Рік тому +3

    Iko sawa sana Mungu awabariki lakn mbona sijamuona Mombeki hapo kwenye kusolo anaweza sana yule mtumishi 🎉🎉

  • @joellumala3206
    @joellumala3206 Рік тому +2

    We thank God for this song., #Saayamwisho

  • @marrynaftali7969
    @marrynaftali7969 Рік тому +2

    Kwakweli wimbo mzuri mno,Kaka umeimba vizuri sanaaaa,dada bahati umeimba kwa utulivu mpaka Raha mbarikiweee

  • @ellymichael672
    @ellymichael672 Рік тому +3

    CVC mnajua sana abarikiwe zaidi mtungaji Wa huu wimbo

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial Рік тому +3

    Unikumbuke baba alipo YESU 🙌😢🙏👏

  • @deboraphales5108
    @deboraphales5108 Рік тому +2

    Jamani wadogo zangu Silvester na kamoga Mungu azidi kuwainua

  • @isayankindwa4480
    @isayankindwa4480 Рік тому +3

    Mungu awabariki sana kazi yenu ni njema sana

  • @joshuajustustz
    @joshuajustustz Рік тому +3

    Mungu ni mwema. Hakika saa ya mwisho yaja. Hongereni Kwa kazi nzuri CVC❤❤❤

  • @thomasnjebele6522
    @thomasnjebele6522 Рік тому +3

    Hakika mnazidi kuifanya kazi kubwa kulitangaza neno la Mungu kupitia uimbaji. Ahsanteni sana CVC kwa wimbo mzuri🙏

  • @dicksonsenni9109
    @dicksonsenni9109 7 місяців тому +3

    Ukitoka saa ya mwisho unaingia ELOHIM Asante Yesu

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen5833 Рік тому +3

    Mbarikiwee sanaaa CVC

  • @boazkitela6960
    @boazkitela6960 Рік тому +2

    Mungu awazidishie baraka nyingi

  • @linamassawe
    @linamassawe Рік тому +3

    Nawapenda mno. Barikiweni watumishi.

  • @JeffMbugua-je1oh
    @JeffMbugua-je1oh Рік тому +3

    Mie ni mwana AIC bibirioni nawapenda Sana❤❤❤❤

  • @victorlespicus6884
    @victorlespicus6884 Рік тому +3

    hii ni Choir❤

  • @jeremiah2763
    @jeremiah2763 Рік тому +2

    nzuri sana barikiweni wapendwa

  • @jamesnyamwaya1841
    @jamesnyamwaya1841 Рік тому +2

    Mbarikiwe zaidi wanakwaya wetu

  • @CellinaJacob-jp1fc
    @CellinaJacob-jp1fc Рік тому +2

    Mungu awabariki ndugu zangu

  • @josephmkina
    @josephmkina Рік тому +2

    Steve, sikuoni!! Mmeimba vzr. Hongereni. CVC.

  • @ShaquenwerNaseba-ch2tq
    @ShaquenwerNaseba-ch2tq Рік тому +3

    Mungu awabariki sana .

  • @HellenKambarage-rn9pw
    @HellenKambarage-rn9pw Рік тому +3

    Nawapenda mnooo,Mungu awatunze

  • @yohanadaniel7030
    @yohanadaniel7030 Рік тому +2

    Kazi nzuri sana !! Mungu awabariki sana

  • @maicokezl924
    @maicokezl924 Рік тому +3

    Good job

  • @florencemakaranga4787
    @florencemakaranga4787 Рік тому +2

    💥🔥 after long waiting. Zawadi ya Pasaka

  • @joycechaz2840
    @joycechaz2840 Рік тому +3

    My favourite choir😍 love u guys

  • @tumainistafnet9040
    @tumainistafnet9040 Рік тому +2

    MBARIKIWE WATUMWA WA YEHOVA 🙏