MAA SHAA ALLAH!!! HAKIKA INASISIMUA,NI WAGENI WA ALLAH SUBHAANAHU WA TA'ALA.NA SISI TUNAMUOMBA ALLAH ATUJAALIE TUWE NI WENYE KUMUITIKA MWENYEZI MUNGU MTUKUFU.YAA ALLAH! PAMOJA NA MAPUNGUFU TULIYONAYO SISI WAJANWAKO DHAIFU,TUNAKUOMBA KWA HURUMA YAKO UTUWEZESHE NA SISI TUKAHIJI KWENYE NYUMBA YAKO TUKUFU AAMIIN!!!
Thank you for sharing this wonderful information. Greetings to my sister, yeye ni m Tanzania 🇹🇿 . Hajjat Sophia Karokora, and another one Mariat. Greetings from Uganda 🇺🇬.
mwenyezi mungu na Mimi nipe niruzuku ili namimi cku Moja NAMI nifike kwenye miji mitukufu, ya makka kuhiji ,
Ameenallah
Alhadulilh all nijalie namm nfike apo mahal takatfu sllhu akbr
Inshallah siku moja nitakuwa miongoni mwa mahujaji inshallah kwa baraka ya mtume Muhammad S.W.A🙏🙏🤍🤍
Mwenyezi utakapo penda na Mimi nipeleke hija (inshallah)
Daaah nami pia nataman niwe miongon mwa waja wemah na niwe miongon mww hao wanaoenda kuhij makkah biidhinillah
Rah jamànii natamaninamm ningefikaaa
Adi mashozi yamenitokaa jamanii
Allah atufikiashe sote
Ya rabi nakuomba unifikishe na mm makka kwa ajili ya ibada ya hijja
Mashaallah eee Allah tujalie kheri na zizq nasi ambao atujahjji tutekeleze ibada hii
Amiin Amiin yarab tukubalie duaa na utuwezeshe matamanio yetu.
MAA SHAA ALLAH!!! HAKIKA INASISIMUA,NI WAGENI WA ALLAH SUBHAANAHU WA TA'ALA.NA SISI TUNAMUOMBA ALLAH ATUJAALIE TUWE NI WENYE KUMUITIKA MWENYEZI MUNGU MTUKUFU.YAA ALLAH! PAMOJA NA MAPUNGUFU TULIYONAYO SISI WAJANWAKO DHAIFU,TUNAKUOMBA KWA HURUMA YAKO UTUWEZESHE NA SISI TUKAHIJI KWENYE NYUMBA YAKO TUKUFU AAMIIN!!!
Allahuma Amiiin🤲🤲
Thank you for sharing this wonderful information. Greetings to my sister, yeye ni m Tanzania 🇹🇿 . Hajjat Sophia Karokora, and another one Mariat. Greetings from Uganda 🇺🇬.
Manshaallah tabarakallah 🎉🎉
Allah tupe uwezo sisi tufanye ibada ya hija pamoja wazazi wetu na vizazi vyetu Amin
Allahamdullilah sheikh wangu Mungu a milipe mema
Inshaallah Alla atujaalie kuzidi kutenda yaliyo mema
Masha Allah,,, Allahu-akbar
Ma shaa Allah
Mashaallah
مشالله عليكم
Mashaallah shehee
Masha'Allah
MAISHALLAH!!!!
ni biashara au ni ibada
Mashallah ALLAH atupe mwisho mwema na atufahamishe mengi tusiyoyafahamu