Mungu akikupa kilema hukupa na mwendo wake,wabarikiwe wote waliojitoa kwa hali na mali kumsaidia mama Christian,nasi binadamu ukiona mwenzio ana changamoto yeyote ttuache kumsema badala yake tumpe moyo, tumsaidie na kumfariji
Wacha niwaambie ndungu zangu mungu yuko na anaona kila mtu na kila kitu...usipitie mambo magumu ukasema mungu haoni.. mungu anaona kila maali na mda wako ukifika wakubarikiwa utabarikiwa tu
Kumbe Kwa kila jaribu Kuna mlango wa kutokea..ooh haleluya Mungu ni Mkuu..tusikate tamaa Mungu anaekupa jaribu anajua wapi atakapoileta Faraja yakoo🙏🙏
Asante Mungu 🙏asanteni wote mliguswa kusaidia familia hii Mungu awabariki sana ❤🎉
Ii ndio uitwa Mungu akupi kilema aka kukosesha mwendo Mungu mbele sikuzote Amen 🙏
jina tu la mtoto ni muujiza tosha..asante MUNGU kwa kuruhusu hili😘😘😘😘😘😘😘😘
alafu mzuri wa sura maskini yeye na mwanae sura zao nzuri😚😚😚😚😚😚
Ninge muacha hawe urukucheza na wengine kazi ya MUNGU Haina makosa much love from kenya❤
Mungu ni mwema na ni mwaminifu na ni mwenye wingi wa huruma ashukuriwe Mungu wa Baba Yetu Yesu Kristo
Mungu atukuzwe kila wakati hakuna siku 🙏🙏 mungu atamwaja mchwa wake wakati unaenda kufa moyo ndiyo wakati mungu anakujibu majibu yako
Greetings full of love from Tanzania❤
Subhanallah
GoD bless
Mungu ni Mwema
Mungu ni mwema
Mungu akikupa kilema hukupa na mwendo wake,wabarikiwe wote waliojitoa kwa hali na mali kumsaidia mama Christian,nasi binadamu ukiona mwenzio ana changamoto yeyote ttuache kumsema badala yake tumpe moyo, tumsaidie na kumfariji
Wacha niwaambie ndungu zangu mungu yuko na anaona kila mtu na kila kitu...usipitie mambo magumu ukasema mungu haoni.. mungu anaona kila maali na mda wako ukifika wakubarikiwa utabarikiwa tu
Hakika
MUNGU SIO OSUMANI KABALIKIWA NA KUBADILI MAISHA YAO AMEEN AMEEN 🙏 ❤️
Mungu ni mwema jameni
GOD IS GOOD ALL THE TIME ❤❤❤🎉🎉🎉
Naomba namba yenu afrimax Swahili MUNGU akubariki sana Kwa KAZI njema mnayoifanya
Nimelia machozi mengi Sana nikamtukuza MUNGU jinsi asivyoshindwa na kitu chochote.nikaamini kuwa nami iko siku MUNGU atanitokea tu. Nisikate tamaa
Mungu awabariki sana
Mungu wa wanyonge ana ishi
Muachen mungu aitwe mungu
Mungu atapaki kuwa mungu
Mungu yu mwema
God is God
Mimi ningemuacha atoke nje
Mbona amupngei video imeganda tu
Akipata,Bajaji,itawasaidia kiuchumi,huyu mtoto anaweza kuendesha bajaj ikwa sababu mikonoyake haina shida
Mungu mkubwa
Mungu ni mwema