WAZIRI MKUU ATINGA KARIAKOO, ATOA MAAGIZO MAZITO "MIILI ILIYOPO CHINI ITOLEWE"

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 59

  • @juanfranc3805
    @juanfranc3805 21 хвилина тому +1

    Shukrani Sana kwa kazi ya uokoaji pamoja na yote angalau kuna watakaopona maana hili limekuwa tukio baya sana. Mungu awanusuru kwa kweli.

  • @MawazoWilliam-g9l
    @MawazoWilliam-g9l 3 години тому +4

    Natokea mkoa wa songwe niawatakie wote mulio patwa na matatizo,mungu awasimamie yote ni mipango yake mungu,poleni sana.

  • @arally23
    @arally23 17 хвилин тому +1

    Allah awafanyie wepesi wote watoke salama Inshaa Allah 🤲

  • @musaambonisye6046
    @musaambonisye6046 3 години тому +9

    Daaaa hivi kumbe speech inakuwa sawa ktk sehem ya uokozi badala ya kuendelea kuokoa😢😢😢😢

  • @danneismail5442
    @danneismail5442 Годину тому +3

    Poleni sana kutoka Kenya 😢# Mungu waasaidie wa Tanzania 🤲

  • @herbertbavuma7228
    @herbertbavuma7228 2 години тому +3

    Eee Mungu wasaidie watanzania wenzetu wote watoke salama kwa kudra zako Amina.

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 2 години тому +2

    Watu waokolewe jaman hotuba ni baadae.Asante kwa kufka kwako wazir mkuu

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 4 години тому +19

    Watu hukaa hata siku tatu hai, Sasa mkiita miili Ina Mana wamekufa wote, Watu watolewe bana!! Mnawahisha vifo vya wat Kwanini

    • @SalmaHamisi-x3h
      @SalmaHamisi-x3h 4 години тому +2

      Shida sio kukaa siku tatu shida pumzi

  • @magrethmkemwa9287
    @magrethmkemwa9287 3 години тому +2

    Tumamwamini Mungu,na viongozi wetu Mahili,,Watanzania tutulie tusilaumiane, ndugu zetu watoke salama

  • @annastaziakimaro3042
    @annastaziakimaro3042 4 години тому +12

    Kuna watu wapo chini jamani wanasema wanasikia sauti zao, MUNGU awasaidie watoke salama

  • @tiffanymo9453
    @tiffanymo9453 4 години тому +5

    God please keep protecting the ones down there🙏🙏🙏

  • @farajagasper151
    @farajagasper151 3 години тому +6

    Ee Mungu baba waokoe watoto wako😢😢😢😢

  • @am2323Diaspora
    @am2323Diaspora 2 години тому

    Poleni sana. It’s HINGSIGHTS lakini itasaidia. Hapo kuna biashara fulani ndio zinatakiwa ziwepo. Hayo mambo ya HARWDWARE hapo si pahala pake. Ikiwa jiji linakua au linapanuka. Jengeni shopping centres around Dar es Salaam city. Majengo hayo hayahimili mizigo yote hiyo. Multistory buildings hazifai kwa hardware business.

  • @amandatumaini1433
    @amandatumaini1433 3 години тому +2

    Poleni sana ndg zetu dah

  • @edithanchimbi2754
    @edithanchimbi2754 2 години тому

    Poleni Sana Mungu atafanya njia pasipo na njia

  • @HyrathHyrath
    @HyrathHyrath 3 години тому

    Yaani Mungu awafanyie wepesi ndugu zetu wasihubiri jaman waokoeni binaadam jamn

  • @ZuhuraMichael
    @ZuhuraMichael 3 години тому +1

    Mungu wasaidiye nduguzetu watokesalam 🙏

  • @PAULLUCASDAVID
    @PAULLUCASDAVID 2 години тому

    Natoa pole kwa maafa yaliyotokea kaliakoo , mungu awape wepes wakupona haraka majeruhi, polen wana Dar na watanzania kwa ujumla.

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 3 години тому +1

    Kumbe hio nchi ya Tizz nimnoma sana wana talk talk sana viongoz hawana njia na vifaa vya kuokoa hata vikisi vyake nimnoma kumbe

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 4 години тому +3

    Safi mkuu ukipata taarifa unakimbia mwenyewe. Sema mainjinia wetu wakaguliwe

  • @am2323Diaspora
    @am2323Diaspora 2 години тому

    Kila kitu KARIAKOO. Jengeni shopping centres sehemu nyengine watu watakuja tu. Business hizo huwa chini ground floors. Tauteni viwanja mukenge shopping centres sio kila kitu Kariakoo.

  • @AishaNgoyi-vi2ku
    @AishaNgoyi-vi2ku 3 години тому +1

    Eee mungu wasaidie ndugu zetu wapone🙏

  • @eidallyeidally5093
    @eidallyeidally5093 3 години тому +1

    mpk sasahiv hakuna aliejiuzulu kwa uzembe huu .ndio maana kim wakorea kaamuru watumish wanyongwe kwasabb yakushindwa kusaidia raia kutokana n mafuriko vipi ingekua nikama huu uzembe walive unaotokea mara kwamara kwenye majengo kariakooo

  • @Halima-m2i1v
    @Halima-m2i1v 2 години тому

    Daa inauma san polen nijikuta niliya mwenyewe

  • @jokhamohammed976
    @jokhamohammed976 3 години тому +2

    M/mungu awasimamie mtoke salama

  • @sarastephano3409
    @sarastephano3409 3 години тому +1

    wapumbavu kweli watu wanateseka tangu saa moja asubuhi wanaomba msaada serilkali inasuasua tangu asubuhi watu mpaka wanakufa daah😢

  • @Rachideaquiloalique
    @Rachideaquiloalique 2 години тому

    Mungu awasamehe wote waliopitia hali hii nchini Tanzania

  • @MirajiMahamudu
    @MirajiMahamudu 3 години тому

    Jwt walipokuja kulikuwa na amani pia tuliwapigia makofi kwa furaha,,,ila polisi walishazichapa kavu kavu na raia coz mtu anapiga simu njoo utoe nondo nitoke lkn wao wanazuia,,alipigwa bao moja kulalek sikumwona tena

  • @IrineJohn-e2v
    @IrineJohn-e2v 3 години тому +1

    Mungu tusame siwanao mana kila itwapo leo masi yamekuwa mengi apa duniani na sisi binadamu wewe nywewe kupendana imekuwa shida changamoto leo ihi awa walo pata ajali wanaitwa maremu tungelitambua ilo tunge pendana sana tusingekuwa na roho za kwani

  • @Revocatuseliud
    @Revocatuseliud 2 години тому

    Wa kigoma kasulu makere mwenyezi MUNGU akawe mfariji katika familia za ndugu waliopoteza ndugu zao😱😱😭

  • @leonardjohnson2058
    @leonardjohnson2058 5 хвилин тому

    Speech kwenye uokoaji jamani

  • @asmahtamla4749
    @asmahtamla4749 2 години тому

    SERIKALI IKAGUE UZITO WA MIZIGO NA UIMARA WA JENGO
    KM MABUS YANAVYO PITA MIZANI NA KUTHIBITIWA YAKIWA NA UZITO MKUBWA TOFAUTI NA GARI ILI KUZUIA AJALI NA UHARIBIFU WA BARABARA.

  • @MinakiPazi
    @MinakiPazi 2 години тому

    .kheri.mina.llah.washari.mina.llah

  • @monicamtui2922
    @monicamtui2922 3 години тому

    Ee Mungu waokoe watoto wako waliopatwa na ajali hii.

  • @NeemaShirima-y9f
    @NeemaShirima-y9f 3 години тому

    Mungu awasaidie wapate hewa huko chini😭😭

  • @SesaJumau
    @SesaJumau 3 години тому

    Pole haisaidii okoweni watu

  • @MiyoySilanga
    @MiyoySilanga 3 години тому

    pole wanakariakoo poleni watanzania

  • @NgunoSangano-w9s
    @NgunoSangano-w9s Годину тому

    Polen sana

  • @SylviaMoses-c4r
    @SylviaMoses-c4r 3 години тому

    Poleni sana

  • @adolphmshiu7410
    @adolphmshiu7410 2 години тому

    Hao maskari ni vyema wasisimame tu

  • @ThimosPeter-ym6ct
    @ThimosPeter-ym6ct 4 години тому +2

    Uongozi wetu uko vzr

  • @ElizabethResto-b5g
    @ElizabethResto-b5g 4 години тому

    Mungu awasaidie jamaniii pole

  • @MagamboMajaba
    @MagamboMajaba 3 години тому

    Poleni jamsn duu😢😢😢

  • @BoraHamisi-zl6xy
    @BoraHamisi-zl6xy 4 години тому +1

    Subhana laaaa

  • @HassanNdauka-x1z
    @HassanNdauka-x1z 4 години тому +7

    Sasa wafanye kazi gani kuokoa au kukusikiliza ww? Mm naona mambo ayo yangekuja baada ya khari kutulia, kuja kwako kwa Leo ulitakiwa na ww uwe kwenye pilika za uokoaji, tu

    • @josephjohn2114
      @josephjohn2114 4 години тому

      Shangaa na wewe.. upuuzi huu utauona afrika tu. Watu wanataka kuona umekuja na vifaa zaidi sio blaa blaa😢😢

  • @Officalmweuclasic17
    @Officalmweuclasic17 3 години тому

    mungu awasaidie wagonjwa wapone waliokufa mungu azilaze roho zao mahal pema peponi amiin😪😪😪😪

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 3 години тому

      SbhanaAllah Lahaula walakuwata ilabillah laadhim lnnalilah Aaaminaa yaarabi😭😭😭

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 3 години тому

    Vitendea kazi vya kutosha tunavyo? Mungu tusaidie natuepushe na majanga haya.

  • @ISAKI-c2x
    @ISAKI-c2x 3 години тому

    Isak mketo

  • @SamwelChimile
    @SamwelChimile 3 години тому +1

    Baba wetu muumba mbingu na nchi waokoe wana wako

  • @IssaIssa-h1d
    @IssaIssa-h1d 4 години тому +1

    Miiili ama watu inamana wamekufa wote

  • @ramadhanimbwana1763
    @ramadhanimbwana1763 4 години тому +1

    😢😢daaaaa

  • @beyondmediatz1607
    @beyondmediatz1607 3 години тому

    Mambo ya ujenzi wa bei chee haya huzuni tupu

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 4 години тому

    Biashara kabula ya kuokoa watu kwanza??

  • @scoutpwanimchangani6711
    @scoutpwanimchangani6711 4 години тому

    Matamshi tu.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Годину тому

    MKAPA ALİTOA TREN
    MAGUF ALİTOA KİVUKO MV BUKOBA
    MAMA SASA ANATOA KAFARA YA GOROFA