Siamini Kama Baba Wa Mtoto Wangu Angemfanyia Mtoto Wetu Hivi | Utumbo Wake Ulikua Umetoka Nje
Вставка
- Опубліковано 15 лис 2024
- Hii ni Historia Ya Mama aliemzaa Mtoto utumbo wake Ukiwa Nje
Kumbuka :Asili ya Video Hii Iliundwa Kwa KISWAHILI&KIFARANSA Chini Ya Afrimax Ltd,Ikimaanisha Tunamiliki Haki Yake kwa 100%,Hili Ni Toleo La Kiswahili,
#afrimaxswahili #truly #historiaisiyoyakawaida #trending #tanzania #rwanda
Usisahau Kubonyeza Alama Nyekundu (Subscribe)kisha Alama Ya Kengele ili Uwe Wa Kwanza Kupata Video Zetu AFRIMAX SWAHILI
#afrimaxswahili #truly #historiaisiyoyakawaida #trending #tanzania #rwanda #yangasc #simba #simbasc
#duet #love #tanzania #simbanayanga #paulmakonda #arushatanzania #daressalaam #ngaoyajamii #comedy #diamondplatnumz #jasonderulo #komasava #trendingvideosintanzania #usajilimpyawasimba #usajilimpyawayanga #wananchiday #sikuyawananchi #simbaday
#azamsports #goldenboy #karma #kenya #uganda #ruto #maajabu #greenscreen
Mungu tunaomba uwakumbuke watu wako waliotoa sadaka hii..ooh Mungu Asantee🙏🙏🙏
Ahsante Mungu kwa haya yote kwa huyu mtoto. Ahsante pia kwa Afrimax TV. Kupenda mwenzako ni Kupenda Mungu pia
Jaman Mungu amlinde mama na mtoto huyu na afikie malengo yake, hongereni sana Afrimax
mungu yupo kwa ajiri yetu mama usikate tamaa tafta hiyo chanell ya mtume mwamposa ujiungamanishe kila saa 3 usiku ukiwa na maftà ya kupikia na maji pembeni kwa ajiri ya kuachiliwa maneno ya baraka na utumie kam mtume mwamposa atakavo elezea jamani usipuuzie na ninaamin utajibiwa na utaenda kushuhdia màtendo mema ya mungu au kama huwezi kutafta chanell ulizia habari za mwamposa utazipata watu wengi wanamfahamu au ningejua unatokea wapi ili nikuelekeze namna ya kuzipata habari za madhabahu ya arise and shine. Pole sana
Nakushukuru Mungu baba kwa wema na huruma zako kwa huyu mtoto🙏🙏🙏 Nakuomba Mungu umbariki na umlinde huyu mtoto pamoja na mama yake na watu waliojitolea kumsaidia. Sifa na shukrani ni kwako Mungu wa rehema na neema tele milele na milele🙏🙏Amen. Mungu hamtupi mja wake.
Mungu amsaidie mama na mtoto huyo😢😢😢❤Afrimax asanteni sana
AFRIMAX TUNAWAPENDA😍😍😍😍😍😚😚😚😚😘😘😘😘😘😘😘
Hongereni mnoooo mnoooo kwa waliochangia juu ya guy my MUNGU awabariki sanaaaa
Dada pole sana Mungu akutie nguvu uweze kumhudumia mtoto
Mungu ulikomtoa mtoto uyu ni mbali mlinde afike mbali asome awe na maisha mazuri muepushe na mabaya
Hakika Afromax mnaisaidia Dunia hakika kila kukicha Mungu awabariki sana
Daa,, nmelia kwa machoz baadaye nikatabasm tena,, afrimax Mungu amewaleta kwa kusud lake
Aja mungu awasaitie iyo jamii awajalie afya njema
Asante sana Mungu wewe ushindwi na jambo
MUNGU AWABSRIKI SAAANA WOTE MLIOTOA AWAO GEZEE MARA DUFU ❤ MAMA MTOTO MCHE MUNGU NA MTOTO PIA MFUNDISHE KUMCHA MUNGU BARIKIWA SAANA.
Mungu ni mwema afrimax imeangazia hii story Mungu awalinde🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Pole mama kwa changamoto unazopitia Mungu atafanya njia pasipo njia🙏Mungu awabariki wote mliochangia
Daaah karembo kenyewe mungu amtunze
Asante mungu kwa kujibu mambo ya ndugu zetu wacha mungu aitwe mungu mungu awa bariki
Ndoto ya mtoto huyo ikatimie Kwa uwezo wa alla 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏
Mungu nimwema mbarikiwe wote mlio msaidia
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi afromax Mungu awabariki
Mungu uwajalie kina mama wote usituache ❤❤❤
Mwenyezimungu amsameh baba huy Na awazidishiy watoaj mung ni mkubw
Afrimax nawapenda sna jaman
Jamani kama hujafa hujaumbika baba huyu ni katili sana na mungu ampe pigo huko alike mungu amsaidie mtoto huyu jaman
Mungu akupe maisha marefu mama❤❤❤❤❤❤❤
Mungu awalinde awatunze pia awape afya njema Afrimax🙏🙏
Mungu awabariki sana Afrimax 🙏🙏🙏🙏
Afrimax be blessed much love from Kenya ❤
Sifa na ufukufu tunamludishiya Mungu Muumba wavyote❤
AaaminaYaaarabi 😭😭😭🇹🇿
Mungu agupe maisha malepfu natimize ndoto zako mutoto muzuli inshallah
Nawaombea kwa Mungu wote waliotoa kumsaidia mtoto huyu. Mungu awabariki wote.
Amina🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mungu amutie nguvu mama
Mungu endelea kutenda miujiza yako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 hakuna kisichowezekana mbele ya Mungu
Mungu atalipa maskin mwanaume anasahau hii ni dunia tu na tutaiacha siku moja.Mungu atazidi kumlinda mtoto nakukupa nguvu mama bora kabisa
Kamekuwa kakubwa MUNGU aendelee kumtetea wote waliotoa wabarikiwe sana
Afrimax Mungu awabariki sana
Wow thank you lord🙏
Hongereni sana Afrimax
Pole sana Dada mwanao mu🙏🙏🙏🙏🙏ngu yupamoja naee
Allah awabark wote mulitoa msaada.
Ukiona mwanaume anatoa machozi bila yakupata kipigo kikali ujue hilo jambo ni la kibinadamu sana. Mungu ambariki huyu mtoto na mama yake na walio jitolea kumsaidia.
Pole dada kwa mtihani Aliokupa mungu
Jamani Mungu yu mwema
Chombo hiki Cha habari Mungu ameruhusu kiwepo kwa makusudi maalum,hakika hakika Mungu atawalipa
Mungu ni mwema insha'Allah akufanyie wepes kwa kila Jambo insha'Allah
Mungu amponye uyo mtoto
Jamani mtoto mzuri mungu ni mwema
Healing be your portion toto in JESUS MIGHTY NAME
Tunakusifiwe mungu🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu abariki afrmax
Mungu.atamjaalia.atapata
Msaada.ishaallah
Jamn Mungu ni mwema
Daaa nimeumia sana
God is Great.
Mungu amlinde mtoto na familia kwaujumla
Dada mungu atakupa mwenza wakukufaa
Asante YESU kumponya mtoto huyu
Daaah mungu ni mwema wanawake tunapitia magumu sana Ila mungu ametenda mungu amsimamie huyu mtoto atimize ndoto zake kiukweli inaumiza sanaa 😢
Ashukuriwe Mungu wa mbinguni🙏🙏
Mungu amponye
Yaani sisi wanaume asilimia 80 tunaloho mbaya sana utamkimbiaje mwenzako kwachangamoto zakiuumbaji kwani kamuumba yeye inaumiza sana wanawake tuwaheshimu sana
Wanaume ni wabaya sana ata uyo asie na changamoto wanamtelekeza
Be blessed dear brother KWA KUONA hilo.
Mungu amewaleta kwa kusudi lake fanyeni msichoke mtalipwa
Mungu ni Mwema
Mungu abariki sana mamy
Mungu awe nawe kila wakati pia amponye mtoto wetu
Jamani mungu akutiee nguvu mama mwenztu
Mungu awazidishie mara dufu waliookoa maisha ya mtoto huyu.
Ashukuriwe mwenyezi mungu 🙏
Mwebale nyoo afrimax, mukama yebasibwe.
Thank you 🙏 Afrimax nabitanze bose 🙏🙏🙏🙏
Hallelujah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏾
WALLAHI NIMEANGALIA INAUMA INAHUZINISHA NA MUNGU AMLINDE MTOTO NA MAMAYE
Allah ulieumba mbingu na ardhi muponye kiumbe chako
GOD is great
Na huku Kenya tukitaka kuchangia twaanzaje juu kwa mzazi yeyote inagusa sana kwakweli
Dah pole mama hakik ulimpambnia san mtoto wako😭😭😭😭😭😭😭😭
God is good all the time
Hatakama baba ya mtoto alimtelekeza mama na mtoto wake, tunajuwa Mungu ndo aliyemleta huyo mtoto hapa duniani ili aishi kama sisi. Mungu yupo teyari kumponya na kumsaidia huyu mtoto maisha yake yote, Mungu hawezikumwacha mtoto wake ateseke chini ya jua. Yule mwanaume alijishumbua kumtenga mtoto na mama yake, kuna siku atahitaji msaada kutoka kwa huyo mtoto. Malipo ni hapahapa duniani.
Ni kawaida ya wanaume kukimbia matatizo
Mungu atamponya amen🙏
Mungu .mkumbuke mama huyu
Afrimax,mungu,awarinde,kwakanzizu❤❤🙏🤲
Mungu ni mwema
Mungu hakupenguvu
Ila mungu mwacheni aitwe mung
Imenifanya nilie stori hii. Kweli Mungu Ametenda kwa this family. Kicheko kimetokea kwao maana awali tumeona vilio
Mungu Asimame nae!🙏
Allah ni muheza wa yote...Allah awajalie wote waliotoa msaada
Alhamdulillah Allah awalipe wote mlio toa sadaka SUBHANALLAH 🙏
Mwenyezi mungu nimkubwa wayote hakuna kinacho mshinda nakingine nikupe hongera kwa uvumilivu mamaa mungu akulinde akupe nguvu na afya njema we pamoja na mtoto wetu na walio okoa maisha yamtoto Pole sanaa
Allah Akbar
Asante Mungu.
😢😢😢😢😢😢mungu tusaidie waja wako
Amen
Mungu awabariki sana
Ashukuruwe Mungu maana 18:39
Mngu mkubwa sana
Mungu awabariki sana jamani
Ndiyo😊
Eeh Mungu sikia kilio cha huyu mamas