Maashallah! Allah mbariki Mr Rais na MPE umri mrefu, ikiwa miaka mitano ameweza kufanya yote hayo, kwa nini asiendelee Mimi na wewe mpenda maendeleo tuseme Rais Hussein Mwinyi Mitano tenaaaaaaaaaa 5.
Mimi ni Mzanzibari mzaliwa lakini najua sisi hata tutendewe mema basi wapo watakaopenda hatuna tabia ya kukubali kwa sote na ndio mapungufu ya baadhi yetu . Inshallah Mungu tunamshukuru kwa kumpa moyo ya imani raisi wetu nawe raisi tuna mshukuru na Mungu amlipe kwa wema wake..amina🎉🎉🎉🎉🎉
Sie hata tukapewa nini hatutaki na hili limejengwa na chuki iliomo kwenye nafsi zetu huyu bwana anayoyafanya yote haya basi Kuna watu wanopita kuwaambia wananchi kua Hana analofanya Kuna chuki isokiasi mioyoni mwetu mi nlikaa Sudan Leo wote waislam ila wanachinjana ka kuku naamini kwa tabia hizi basi hata ikaja siku tukapewa mamlaka kamili bado haitakua salama kwetu tuspoondoa chuki na kuhusudiana , upendo baina yetu haupo zaidi ya unafiki tu na hili ndo tatizo letu kubwa siasa imekua zaidi ya dini kwetu tuko radhi kuacha dini na kuthamini siasa
Asiyeshukuru kafiri.wallah raisi wetu ni mfano wa kimataifa na wa kuigwa. My almighty ALLAH Grant you jannat fildausi here and hereafter. ❤❤❤❤Alhamdulillah. Amin
Please 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 make sure ours leaders ijengeni hii nchii mpaka vijijini please using our money and differently money will come back yes yes it's Thank you very much ours Youngs leaders
Us us again wananchi wa zanzibar wooote tunasema again and again tunasema bring it on always 🙏 please bring it on allover the zanzibar people's. Tunataka malaika walooondoka waruuuudi ktk hiiii nchi yetuu zanzibar. The Youngs president and also ours Youngs leaders in zanzibar please 🙏 please 🙏 please again bring it on thank you very much all God bless our country zanzibar Ameeen Ameeen yaarab amiin good good good stuff all
Jambo jema napongeza sana Lkn foleni itakayo punguwa ni yahapo hapo kituonit lkn kwenye maeneo mengne yote bado mashaka yapo pale pale Labda ztanuliwe barabara hapo kdogo tutahema
@meekman1805 we mkoma jiheshimu wazanzibari wanajitambua na wanajielewa kuliko wengi dunia hii mliyapanga kusudi Zanzibar ni nchi ya mwanzo kua na taa za barabarani kuliko hata UK na mengine tu mlifanya kusudi huyo n mwizi miradi inakua na tenda but hiyo yote ipo nje ya utaratibu na kifisadi na haina tija Zanzibar haihitajì masoko hayo kw idadi ya watu ilionao zaidi ya kubeba watwana kutoka bara kuwajaza waje wasifie then
@@meekman1805 hongera basi kwa kufurahia dhulma za watu 2020 na jiandae na majibu kwa Mungu maana anaefurahia dhulma nae ni sawa na kushiriki ktk dhulma hizo
Ulishawaijiuliz miak zaid ya 20 au 30 iliyopit hela zilikua zinaenda wap na je tufany nin ili tuwe na muendelezo huu na zaid au tuwe tunasubir utash wa rais tu?
@@iddijumaali7192uko awali hawakufanya haya tukawaponda Hawa wamefanya haya twawasifu hiyo ndio ada hakuna mpumbavu hapo ispokua wee unachoyo na roho mbaya serikali ipi ilompelekea chakula bure mwananchi??? Unaposema njaa Nani kafa kwa njaa zanzibar?
@@jumamohamed3168 bro roho mbaya haijengi ndugu kama huna shukrani daima utakua huna tu. Ingekua hawa watu wa chama chako wamejenga kama ivi ungesma nini?
@@staanstaan8722 Watu wengine wana Roho mbaya tu. Kwa kweli huyu Rais niwakupongezwa sana, kama ingekuwa si mambo ya katiba basi ningesema anafaa abaki madarakani mpaka mwisho wa Uhaj wake. Mitano tenaa maashsllah
Hayati Magufuli aliasema kabla kua mkichagua mh mwigni basi znz itabadilika kwa bahati mbaa ametangulia mbele za haki alale salama hapo alipo sasa mh mwinyi kazi iendeleee
Sasa basi 80 SI ni daladala za njia tatu.. tujiulule tuna njia ngapi.. mi nadhani Bado kituo Cha daladala hakijawa na uhakika labda kwa Sasa tuanzie tu hapo ila tutafute plan b hongera Dr mwinyi sisemi hivyo kwa usiasa ni maoni yangu tu kwani hata hicho tulikua hatuna
Asante kwa kuendelea kufatilia habari zetu, usisahau kushare kucoment habari zetu na kusubscribe chanal yetu. Kituo kipo kijangwani karibu na eneo la kufurahishia watoto Kariakoo Zanzibar
kwani hapa s palikuwa na kituo jmn. sema nn wazanzibar bado hawajaona ulimwengu ulivyo kama hamna mamlaka hata ya kuomba mkopo njee hmna kitu na haya yanatendeka kwa huruma za huyu maama jmn eleweni!
Wacha asifiwe kuwa na iyo roho tu ya kufanya ivyo kwan kuna stor za marais wangap pesa wanaiba na zingin kupeleka ata nje ya nchi..mf; Nenda kenya hapo huend wangefurah mno
kwaiyo wapemba watoke pemba sku y uchguzi wje wavunje majengo kwalip sikia wapemba hawana tunu ya majengo wmeridhika na walicho nacho hmdullah na ishllah huu ubaguzi utaondoka allah akipenda
Masha Allah doctor mwinyi piga kazi waache wapinzani wapige porojo
Dr Mwinyi is doing what Dr. JPM was doing! Kudos
Maashallah! Allah mbariki Mr Rais na MPE umri mrefu, ikiwa miaka mitano ameweza kufanya yote hayo, kwa nini asiendelee
Mimi na wewe mpenda maendeleo tuseme Rais Hussein Mwinyi Mitano tenaaaaaaaaaa 5.
Safi sana ushauri kwenye Fire hydrant na taa pawekwe nguzo Ili mwenye gari ashindwe kugonga directly
Fantastic DR MWNY
Hongereni sana!!
Hongera dr mwinyi
Takbiir ALLAH AKBAR .ALLAH mtunze na afya thabit mwinyi wetu.❤❤❤❤❤ALHAMDU LILLAH. TABARAKA RAHMAN
Hongera Dr. Mwinyi👏👏👏
Mimi ni Mzanzibari mzaliwa lakini najua sisi hata tutendewe mema basi wapo watakaopenda hatuna tabia ya kukubali kwa sote na ndio mapungufu ya baadhi yetu . Inshallah Mungu tunamshukuru kwa kumpa moyo ya imani raisi wetu nawe raisi tuna mshukuru na Mungu amlipe kwa wema wake..amina🎉🎉🎉🎉🎉
Nole umeongea point na huo ndio ukweli ils ndani ya nyoyo zao wanakubali labda itikadi tofauti kichama
Sie hata tukapewa nini hatutaki na hili limejengwa na chuki iliomo kwenye nafsi zetu huyu bwana anayoyafanya yote haya basi Kuna watu wanopita kuwaambia wananchi kua Hana analofanya Kuna chuki isokiasi mioyoni mwetu mi nlikaa Sudan Leo wote waislam ila wanachinjana ka kuku naamini kwa tabia hizi basi hata ikaja siku tukapewa mamlaka kamili bado haitakua salama kwetu tuspoondoa chuki na kuhusudiana , upendo baina yetu haupo zaidi ya unafiki tu na hili ndo tatizo letu kubwa siasa imekua zaidi ya dini kwetu tuko radhi kuacha dini na kuthamini siasa
🎉🎉😂😂 mashaalla. Mitano Tena Hadi kieleweke. 😂😂
Tunashkuru sana Mh. kwa mambo unayoyafanya kwa Zanzibar. Hebu fanyeni tasmini kwa waliopita na Dr. Mwinyi.
Asieshukuru ni......
Mitano tena kwa mwinyi
Asiyeshukuru kafiri.wallah raisi wetu ni mfano wa kimataifa na wa kuigwa. My almighty ALLAH Grant you jannat fildausi here and hereafter. ❤❤❤❤Alhamdulillah. Amin
“Usilolijua ni usiku wa kiza”
Please 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 make sure ours leaders ijengeni hii nchii mpaka vijijini please using our money and differently money will come back yes yes it's Thank you very much ours Youngs leaders
Habari njema
Us us again wananchi wa zanzibar wooote tunasema again and again tunasema bring it on always 🙏 please bring it on allover the zanzibar people's. Tunataka malaika walooondoka waruuuudi ktk hiiii nchi yetuu zanzibar. The Youngs president and also ours Youngs leaders in zanzibar please 🙏 please 🙏 please again bring it on thank you very much all God bless our country zanzibar Ameeen Ameeen yaarab amiin good good good stuff all
Jambo jema napongeza sana
Lkn foleni itakayo punguwa ni yahapo hapo kituonit lkn kwenye maeneo mengne yote bado mashaka yapo pale pale
Labda ztanuliwe barabara hapo kdogo tutahema
Mnaowahoji wote watwana wezenu tu wahoji Wazanzibari mnaiba tu jaama ni jambazi hasa
Ndugu kuwa na shukrani kwa miaka mingi hujawahi kuona maendelea kwa kasi kiasi hiki. Mwinyi Mitano tenaaaaa
@meekman1805 we mkoma jiheshimu wazanzibari wanajitambua na wanajielewa kuliko wengi dunia hii mliyapanga kusudi Zanzibar ni nchi ya mwanzo kua na taa za barabarani kuliko hata UK na mengine tu mlifanya kusudi huyo n mwizi miradi inakua na tenda but hiyo yote ipo nje ya utaratibu na kifisadi na haina tija Zanzibar haihitajì masoko hayo kw idadi ya watu ilionao zaidi ya kubeba watwana kutoka bara kuwajaza waje wasifie then
Huyo Mznz unamjua?
@@meekman1805 hongera basi kwa kufurahia dhulma za watu 2020 na jiandae na majibu kwa Mungu maana anaefurahia dhulma nae ni sawa na kushiriki ktk dhulma hizo
Sayaaajiaaalu llah baada yusri yusra.Alhamdulillah
Naam asieshukuru dogo kubwa hatalishukuru pia
Mashallah mash
Mimi sina haja yakuwa mpinzani mambo niliyokuwa nahitaji huyu Rais anayafanya hongera sana miaka 10 tena
Ulishawaijiuliz miak zaid ya 20 au 30 iliyopit hela zilikua zinaenda wap na je tufany nin ili tuwe na muendelezo huu na zaid au tuwe tunasubir utash wa rais tu?
@@GSaleh-xr3vn Yaliyopita si ndwele sasa kazi inaonekana Maashallah Matano tena.
Mwenye wivu ajinyonge.
Mwambieni huseni asiogope uchaguzi
Alaf walio toa maoni wote ni watanganyika
@@meekman1805 ni kwel ila je ulishawaijiuliz akiondok yey atakaekuj atafany kam au zaid yake yey au tutarud kwa ayo yaliopit si ndwele?
Sio kituo tu bali ni mazingira kwa ujumla yanavutia ikiwa kama sehemu ya mji
Mbona kasema Dt ali😂😂😂
Raisi Hussein Mwingi ni jembe la maendeleo kwa Zanzibari kwa miaka 10
Safi
Sasa hayo mabasi yanaenda mkoa Gani ila wa Pemba wanaangaika duhh
Mshukuruni mungu Hussein hana lolote kama mungu hajataka.
Unaonekana ww una choyo sna tena sna
Utapata Maradhi y moyo bure
Sasa hizi gari ni mpaka za mkoa wa kaskazini unguja zitakua hapa ama vip
ALLAH Kareem
Wazanzibara kazi yao kusifia upumbavu watu wana njaaa
Sasa unataka serekali ikuletee kula ndani
Ni wajibu wa serekali
Mwanamme mzima unalia njaa utaolewa pumbavu we
@@iddijumaali7192uko awali hawakufanya haya tukawaponda Hawa wamefanya haya twawasifu hiyo ndio ada hakuna mpumbavu hapo ispokua wee unachoyo na roho mbaya serikali ipi ilompelekea chakula bure mwananchi??? Unaposema njaa Nani kafa kwa njaa zanzibar?
Rais huyu ni mtendaji na anajitahid kufanya mengi ya maana kuliko midubwasha iliopita
Midubwasha iliyopita lakini mulikuwa munawasifu sana wala hamusemi hawana utendaji ,nyinyi ni watu wa kisifu tu hata palipokuwa hapana utendaji.
@@jumamohamed3168 bro roho mbaya haijengi ndugu kama huna shukrani daima utakua huna tu. Ingekua hawa watu wa chama chako wamejenga kama ivi ungesma nini?
@@jumamohamed3168 si mna wabunge na wawakilishi maeneo yao wamefanya maendeleo gani baadhi ya wakati acha siasa za chuki angalia ya msingi kwanza
Ww umejua kunichekesha midubwasha😂😂😂
@@staanstaan8722 Watu wengine wana Roho mbaya tu. Kwa kweli huyu Rais niwakupongezwa sana, kama ingekuwa si mambo ya katiba basi ningesema anafaa abaki madarakani mpaka mwisho wa Uhaj wake.
Mitano tenaa maashsllah
ALLAH AKBAR
😮😮😮
Inaitwa ttcl na sio ttcelo
Hayati Magufuli aliasema kabla kua mkichagua mh mwigni basi znz itabadilika kwa bahati mbaa ametangulia mbele za haki alale salama hapo alipo sasa mh mwinyi kazi iendeleee
miji ipangwe sasa...sio wananchi wanajengajenga tuu vichochoro
Kipo zanzibar sehem gn
Kijangwani ,uwanja wa komba wapya
Wanaohojiwa wote wakwao muheshimiwa
Kipo wapi iko
Hapo abiria watakuwa hawana pa kukaa sababu wauza bidhaa ndio watakaa hapo abiria watasimama
Kipo maeneo gani?
Unaupiga mwingi raisi mwiny
Kituo gn kipo wp ? Kinaanza lini rasmi
Tusubiri uchaguzi mtasema
Sasa basi 80 SI ni daladala za njia tatu.. tujiulule tuna njia ngapi.. mi nadhani Bado kituo Cha daladala hakijawa na uhakika labda kwa Sasa tuanzie tu hapo ila tutafute plan b hongera Dr mwinyi sisemi hivyo kwa usiasa ni maoni yangu tu kwani hata hicho tulikua hatuna
Mani yako mazuri
Hiyo siyo parking ni kupakia na kuondoka gari 80 kituo kubwa sana😅
Wazanzibara hao
Kwaio wasimsifie rais
Kaa chonjo
Huyo ndo mzanbarii toba
🇹🇿🇹🇿💕
Kipo wap
Asante kwa kuendelea kufatilia habari zetu, usisahau kushare kucoment habari zetu na kusubscribe chanal yetu. Kituo kipo kijangwani karibu na eneo la kufurahishia watoto Kariakoo Zanzibar
kwani hapa s palikuwa na kituo jmn. sema nn wazanzibar bado hawajaona ulimwengu ulivyo kama hamna mamlaka hata ya kuomba mkopo njee hmna kitu na haya yanatendeka kwa huruma za huyu maama jmn eleweni!
Hivi zanzibar kuna Mabasi jamani
Mabasi yapo since ww haujazaliwa
Kwahiyo daladala zote zitaingia humooi
Hii stend uko wap?
Kijangwani posta palipokua zamani panamabasi ya Leyland Kama sijakosea
Kwan Kituo Cha daradara ndio kinapunguza ajari..?
MWANDISHI Zanzibar sijawaikuona Mabadi😳🤔
Kaa pembeni kuandika hujui
@mohamedisimai we Ng'ombe kweli
@goromamussatvonline we mkundu wake huyo ngombe
Wa bara mkiitwa Watanganyika mnahamaki na kuhisi mnabaguliwa , mbona Wazanzibari kule bara mnawaita WAPEMBA na hawahamaki wala kuhisi wanabaguliwa?😅
Pemba sio nchi kwanza sisi wapemba tunajua ni kabila kama wachaga nk
Kazi ya Serikalo ni nini? Wacheni upuuzi kusifia sifia watu Wanaplipwa ili wafanye kazi zao.
Wacha asifiwe kuwa na iyo roho tu ya kufanya ivyo kwan kuna stor za marais wangap pesa wanaiba na zingin kupeleka ata nje ya nchi..mf; Nenda kenya hapo huend wangefurah mno
Hahahahahah mlipo msifu Seifu eti kabur Lake Lina harufu kumbe ni miti maliona raha fanya tukio tukusifu wewe😅😅😅😅
Ajira je?
Na je likitokea kuwaka moto maji ya kuzimia yapo?
Ajira lala ukiamka zitakuja
Sasa kituo icho si gari za kiembe samaki tu kishajaa si kwambii za bububu na apo hazijaja za fuoni
Ilo eneo ni la kupitia tu sio kukaa muda mrefu mkuu
Siku za kampeni wapemba watavunja vyote hivyo mana choyo h
wacha maneno ya kibaguzi
kwaiyo wapemba watoke pemba sku y uchguzi wje wavunje majengo kwalip sikia wapemba hawana tunu ya majengo wmeridhika na walicho nacho hmdullah na ishllah huu ubaguzi utaondoka allah akipenda
Wapemba niwenzetu Sisi waunguja ola wabara kimbelembele tu
Acheni maneno hayo yakibaguzi mzanzibar ni nani na mpemba ni nani watu wengi tumezaliwa baba mzanzibar mama mpemba acha hayo maneno
Mmmh