ONA MZEE MBELE YA DKT MWINYI ALIVYO JIRIPUA KWA MANENO MAZITO "PEMBA TUACHE UBINAFASI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 116

  • @kakasosoo5648
    @kakasosoo5648 3 роки тому +15

    Babu asante sana umetimiza wajibu wa fursa uliyoipata nakupenda buree😘

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 3 роки тому +14

    Dah hakika Allah akubariki sana sana sana ujumbe umefika.

  • @aliymuhammed2240
    @aliymuhammed2240 3 роки тому +13

    dahh mashallah uyu mzee mungu amuweke

  • @hassanturky7511
    @hassanturky7511 3 роки тому +10

    Allah awape nguvu watu. Wawe japo kama huyy mzee. Waseme ukweli mbele ya viongozi.

  • @abrahamrashid4282
    @abrahamrashid4282 3 роки тому +11

    mzee Ruksa Allah ampe Maisha marefu yasio na maradhi mzee wetu

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 роки тому +8

    Hongera sana babu kusema ukweli

  • @gavanaimrani6777
    @gavanaimrani6777 3 роки тому +9

    MZEEE NAKUKUBALI 🙋🏼‍♂️💯✌️

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 3 роки тому +1

    Wow mashallah shikamoo babu 👏🏻

  • @khasamkonde
    @khasamkonde 3 роки тому +5

    Allah ambariki mzee wetu huyu namwisho mwema huo ndio ukweli kabisa

    • @salumjuma1962
      @salumjuma1962 3 роки тому

      Huyu mzee kaongea point huajiriwi kama huna mtu

  • @aishaaisharagp9381
    @aishaaisharagp9381 3 роки тому +3

    Asante Baba ukovizuri

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 3 роки тому +2

    Ahsante bb umejitoa

  • @adislahlovo7409
    @adislahlovo7409 3 роки тому

    Mh.mwinyi hongera hii ni step ya kwanza kuskiliza kero zetu na hoteli step ya pili ni vitendo mzee kasema kweli mzee big up 👊👊👊

  • @aishagakurya5364
    @aishagakurya5364 3 роки тому +2

    Mashaallah mzee ameongea maneno mazito,Allah ampe maisha marefu

  • @omarbyz8695
    @omarbyz8695 3 роки тому

    Safi sana mzeee kweli uko vzr

  • @najmamohd4555
    @najmamohd4555 3 роки тому +3

    MZEE AMEJAALIWA NA ALLAH KWA NA AMEPEWA UWEZO WA HALI YA JUU SAFI SANAAA SEMA BABA SEMA

  • @halimamsiu9587
    @halimamsiu9587 2 місяці тому

    Huyu mzee kiboko aakhaa""" ajengewe saanam , Muheshmiwa Mwinyi upooo

  • @mrok284
    @mrok284 3 роки тому +1

    Mungu akubariki shekhe kibendera. Allah akuweka.

  • @asqw6955
    @asqw6955 3 роки тому

    Mzee mungu, akupe, kila, la, kheri, umeongea, maneno, mazito

  • @allyummar9845
    @allyummar9845 3 роки тому +2

    Jamani huyu mzee apewe pongezi yake Asante Sana mzee wangu na Asante Sana d.r mwinyi Nina Imani d.r mwinyi umesikia kilio chetu tunakupend Sana wallah naapa kwa mungu tunakupend Sana Allah akupe umri mrefu wenye kheri na ww amiin I love you so much my d.r president ❤️

  • @omarymussa4786
    @omarymussa4786 3 роки тому

    Huyu mzee namkubali sana nimkumbuka zamani sana alikuja nyumbani kiungoni kipindi hicho toka hajakuwa mzee sana akitoa daawa za mawaidha wallah akiongea unatamani usiondoke ana maneno matamu mno nilipo iyona hii video nimemkumbuka akiamka alfajiri mskitini kunadi swala ya alfajiri mwenyezi mungu ampe shifaa na ampe hifadhi njema na ampe ghusunill ghatma ishaallah 🤲 nampenda sana huyu mzee kisha anafurahi na watu wote ni mzee mcheshi na mzungumzaji wa maneno mazuri

  • @abdulnassir7836
    @abdulnassir7836 3 роки тому +1

    Nice mzee umetoa yamoyoni kwa kueleweka kabisa.

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 3 роки тому +2

    Mzee yupo vizuri

  • @dullahowland9943
    @dullahowland9943 3 роки тому +1

    Mzee umetuwakilisha vyema ila maneno Kuntu kila sekta Mashallah

  • @sadabkari5532
    @sadabkari5532 3 роки тому

    Mashallh mzee wetu maneno kunt

  • @fadhilikawambwa5159
    @fadhilikawambwa5159 3 роки тому

    mzee kaacha usia mzito sana hadi kiama,ALLAH SW mpe mwisho mwema mzee huyu AMIN

  • @sadabkari5532
    @sadabkari5532 3 роки тому

    Uko vizuri sana

  • @sebastianmichael4031
    @sebastianmichael4031 3 роки тому +3

    Kasema ukweli wake babu

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 3 роки тому

    Mashaallah Mashaallah ☝️

  • @sharifamohammed809
    @sharifamohammed809 3 роки тому

    Asante sana unaongeya ukweli mtupu 😭

  • @biubwasalim3460
    @biubwasalim3460 3 роки тому

    Kweli kabisa

  • @yusirhamdan1483
    @yusirhamdan1483 3 роки тому

    Mm binafs naamin baada ya hapa Naamin Dr Mwinyi ataweka mamb saw wallah naamin hilo

  • @mussajuma7460
    @mussajuma7460 3 роки тому

    Huyu mzee amezungumza vizuri

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 3 роки тому +1

    رضي الله عنك ابي الفاضل

  • @aliymaulid8941
    @aliymaulid8941 3 роки тому +11

    sie wapemba mpaka tusemewe huyo sio mpemba lkn anaonesha uzalendo

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 роки тому

    Wewe mzee vip

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 3 роки тому +5

    Dhulma hailetii maendeleo

  • @yussufmohd5281
    @yussufmohd5281 3 роки тому +2

    Semakimeumanaaaa

  • @makamepandu6469
    @makamepandu6469 3 роки тому +2

    Pemba Mungu akutieni nguvu kwa umoja wenu. Rais hongera kwa ziara naamini changamoto hizo zitatatuliwa kwa wakati.

  • @abuubakarjuma3230
    @abuubakarjuma3230 3 роки тому +6

    Asante rais kusikiliza watu wa chini ndio ninavyotaliwa ww ni rais ya wazanzibar wote si wa ccm

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 роки тому +1

      Kweli siyo Rais wa CCM TUUU ni Rais wa wote walomchaguwa na walokuwa hawajamchaguwa kwa wakati huu WANANCHI wote wanamuekeya HISHMA kwa kuwa yeye ni Rais wa ZANZIBAR. MUNGU IBARIKI ZANZIBAR NA WATU WAKE. AMIN

    • @w4058
      @w4058 3 роки тому +1

      Tatizo sio kusema wala kusikiliza tatizo ni kutekeleza

    • @alimakame9215
      @alimakame9215 3 роки тому

      Dar nikweli unatamani umsikietu

  • @theroots2743
    @theroots2743 3 роки тому +1

    Huyu mzee sio kundi la Borafya hamungunyi maneno borafia yeye majungu na kufitinisha na tukipata wazee kama hawa kila kwenye jimbo au kitongoji kwa kweli hatua za maendeleo zitapatikana ishaallah mwenyezi mungu akupe kila lenye kheri na umri wa kuwasemea watu yalio na manufaa hongera mzee

  • @othmanalnabhany3208
    @othmanalnabhany3208 3 роки тому +4

    Maneno kuntu lkn ukitaka ugomvi na uwadui na ccm kuwa mkweli uwone moto

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 3 роки тому +1

    Yupo vizu babu habani maneno wana kuongopa

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 3 роки тому +2

    We unsema dispensary 😳 Jana mchizi wng Mkali Omi kenda spitali ya Chake na kakosa izo Panadol😂 mamae serikali iyi

  • @khasamkonde
    @khasamkonde 3 роки тому +1

    Hii sio wapemba wabinasi nitatizo lakuwa wapemba wote wanaonekana hawaipendi CCM ndio tatizo kumbwa hatuajiriwi hili lishakuwa tatizo sungu watu wanasoma kwamikopo lakini anamaliziya kulima pemba inauma sana MH mwinyi aliangalie sana hili ndio kinachofanya kuna unguja na upemba maisha yote

  • @mohamedrajab4187
    @mohamedrajab4187 Рік тому

    Mzee wa tahiyatu huyo

  • @w4058
    @w4058 3 роки тому +2

    Uwozo umesababishwa na wao CCM pia hawatoki

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 роки тому

      Acheni ubinafsi!!

    • @w4058
      @w4058 3 роки тому

      @@jumakapilima5674 Ubinafsi unawakhusu CCM mazimwi hao waloiba viti vyetu vya ubunge huyo babu ndio alivyokusudia maana ajira hazitolewi kama huna kadi ya CCM nyie ndio wabinafsi serikali zote mbili zenu na mnashabikiwa na polisi kuanzia kujiandikisha na mpaka kupiga kura mnapeleka watu kupiga kura mara mbili mbili Kwa kulindwa na polisi tena kutoka huko bara wakivalishwa uniform za vikosi vya smz hahaha Hasbunallah Waniimal Wakiil

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 роки тому

      @@w4058 Mapinduzi,,,,,,,,!!!!

  • @yusirhamdan1483
    @yusirhamdan1483 3 роки тому

    Dr ataweka saw mm naamin

  • @suleimansalim7194
    @suleimansalim7194 3 роки тому +1

    RAISI MWINYI JITAHIDI SANA KWA KWELI

  • @salummzee8908
    @salummzee8908 3 роки тому +2

    ukisema ukweli unakuwa adui watu wanajitolea kwa ajili ya maendeleo basi utachukiwa tuna tumiwa tu halafu unaonekana hufai

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Рік тому

    Mzee wangu mie mtanganyika ila nimependa ulivyomkweli mbele ya rais wako.Naamini rais mwinyi ni msikivu atapokea matatizo yenu na kuyafanyia Kazi. Mungu awe nanyi pamoja na rais wenu ❤❤❤❤

    • @Khamisalih4g
      @Khamisalih4g 6 місяців тому

      Kaka hupaswi kujiita mtanga nyika ww ni mtanzania

  • @mainguburemo6186
    @mainguburemo6186 3 роки тому

    Nimekukubali Mzee hali halisi hiyo

  • @omaraminia1227
    @omaraminia1227 3 роки тому

    Ubinafsi pemba gonga like 👍

  • @yusirhamdan1483
    @yusirhamdan1483 3 роки тому

    Hii wiki haimalizi Dr ataweka mambo saw

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 9 місяців тому

    Na karafuu bei ndogo sana

  • @salehsuleiman8519
    @salehsuleiman8519 3 роки тому +1

    Mzee umeongea ukweli mtupu hakika maisha ya wapemba allah ndio anajua na yeye ndio tegemeo letu.

  • @pauleverest438
    @pauleverest438 3 роки тому +1

    kajilipua nn wakati anaongea ukweli

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 3 роки тому +1

    Hii vidio kwakweli siwezi kuiwacha

  • @قلبسليم-ي1خ
    @قلبسليم-ي1خ 3 роки тому +1

    babu umeongea sana, amesikia huyo

  • @robinhomesuza9263
    @robinhomesuza9263 3 роки тому

    Ukweli autakiwi Babu yangu kwenye hii dunia ya Leo Babu

  • @bakarmakam3105
    @bakarmakam3105 3 роки тому

    Mtego huo

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 роки тому

    SEMA BABUUUUUUU

  • @warijalwabaswar3563
    @warijalwabaswar3563 3 роки тому

    Mzeee umeongea sahihi

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 місяці тому

    Hata hao Act wangeshinda wasingemuajiri kazi CcM hata awe amesoma kiasi gani hiyo ni ngumu ukweli ni huo

  • @hamadihamadiali2033
    @hamadihamadiali2033 3 роки тому

    Mh. Rais leo wiki ya pili bububu kijichi mashine ya Maji imeharibika wananchi wanapata tabu

  • @وردهالحارثي-ز5ه
    @وردهالحارثي-ز5ه 3 роки тому

    Uhakika unayosema baba

  • @salehsuleiman8519
    @salehsuleiman8519 3 роки тому

    Jambo linalokosesha maendeleo zanziba ni dhulma za viongozi wetu dhulma haidumu wala haina manufaa

  • @jumavuai5567
    @jumavuai5567 3 роки тому

    NI UWOZOOO ZANZIBAR BADO SANA KIJINCHI KIDOGO TU LAKIN BADO SANA HONGERA MZEE MZALENDO MUNGU AKULINDE UKISEMA UKWEL UTAAMBIWA JASUSI

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 3 роки тому +1

    Ukwel huwa mvhungu

  • @osmanha6915
    @osmanha6915 3 роки тому +1

    Mnachukuwa wanyamwezi mnawapanga ndio ionekane mpemba kasema

    • @maryamaliy8509
      @maryamaliy8509 3 роки тому +1

      nyie hasa wabaguz duh

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 роки тому

      Ubinafsi huo!

    • @jumamakame417
      @jumamakame417 3 роки тому

      Kwani mnyamwezi sio mtu,acheni kijifanya watukufu

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 роки тому

      @@jumamakame417 "akramakum indallah atqaakum"

    • @rastafare878
      @rastafare878 3 роки тому

      Staghfiru Kwa Mungu , hebu shukuru huyu Mzee kutetea Na katoa kero Kwa wahusika ,Na hizo kero zinawahusu wote hapo wenyeji Na hao wageni

  • @reformerthrone972
    @reformerthrone972 3 роки тому +1

    Maneno ya mzee ni matamu kabisa

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 Рік тому

    Pemba imetupwa tokea enzi na sasa imezidi kwa chuki za kisiasa

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 3 роки тому

    Mbona kama joti

  • @abuu-bakarshaaban6246
    @abuu-bakarshaaban6246 3 роки тому

    Hakuna viongozi bhana afrika wote ni wale wale wanaangalia matumbo yao tu haiwezi badilika pemba wala unguja km viongozi wakiwa weusi

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 роки тому

    Yule mtoto wa Sheikh Bachu anayasikia haya? Namna alivyo wasifu kina Hussein Mwinyi na mama Tozo sasa kuna ukweli wowote kuwa ni waadilifu.

    • @maryamaliy8509
      @maryamaliy8509 3 роки тому

      kwanza kukaa hapo na kuwaskiliza tu ni uadilifu

  • @zanzibarroyalchannel8699
    @zanzibarroyalchannel8699 3 роки тому

    Mzee umeongea

  • @noffelsalim3268
    @noffelsalim3268 3 роки тому

    Hhhhhh

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 роки тому +2

    HANA MPYA HUYO MWINYI SIO MUISLAMU JINA NA UMBILE NAFSI NA IMANI HANA.

    • @iddijumangakonda4207
      @iddijumangakonda4207 3 роки тому

      Allah Ni mjuzi

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 роки тому +1

      Ujinga huo!

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 роки тому

      Hatuwezi kumhukumu mtu Mungu ndie anojuwa ya nje na ya ndani.

    • @jumamakame417
      @jumamakame417 3 роки тому

      Hii dini sio yababa yako jmuingize unae mtaka wewe na umtoe unae mtaka wewe,ukiambiwa uthibitishe kisheria uliyo yaandika hautaweza kuwa makini na mihemko

    • @jumamakame417
      @jumamakame417 3 роки тому

      @@jumakapilima5674 tena wahali ya juuu

  • @khalidfadhil9488
    @khalidfadhil9488 3 роки тому

    Kwann anapewa mnyamwezi aongee