Nakupenda kwa ajili ya Allah... hakika mawaidha yako ni ukumbusho tosha.. ALLAH akufanyie wepesi siku ya kufa kwako na siku ya kukufuliwa kwako na akuingize peponi inshallah
Alhamdhulillah Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA SAALAMU ❤❤❤Allaah asituharamirishie yaa rabb 🤲🏾 Allaah Akupe Umri mrefu wenye Twa'a na Ridhaa yake Yaa rabb 🤲🏾
Màasha Allah..nafaidika sna kwa mawaidha yako..unayatoa kwa upole na unyenyekevu,,Maasha Allah.. Allah akufanyie wepesi kwa mambo yako..ukija Mombasa tutafutane Inshallah
Mwenye channel nakuambia. Allah akupe kheri. Jazaakallhu khairan kutuwekea mawaidha mazuri. Allah akulipe malipo mema. Nakuuliza. Khutba hii ulioweka. Ni khutba aliotoa Sheikh Othman karibuni? MaashaaAllah. Allah amhifadhi.
Jazakallah khayran
Sheikh Othman. Allah akulipe malipo mema dunya na akhira. Umetufundisha maneno mengi mazuri. Jazaakallhu khairan. Allah akuhifadhi.
Mashaallah jazakallahu kheyr
MashaAllah jazakalahu kheri baadal kheri janatil fridaus
Amiin ya Rabb
Nakupenda kwa ajili ya Allah... hakika mawaidha yako ni ukumbusho tosha..
ALLAH akufanyie wepesi siku ya kufa kwako na siku ya kukufuliwa kwako na akuingize peponi inshallah
Alhamdhulillah
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu
ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA SAALAMU ❤❤❤Allaah asituharamirishie yaa rabb 🤲🏾 Allaah Akupe Umri mrefu wenye Twa'a na Ridhaa yake Yaa rabb 🤲🏾
Màasha Allah..nafaidika sna kwa mawaidha yako..unayatoa kwa upole na unyenyekevu,,Maasha Allah.. Allah akufanyie wepesi kwa mambo yako..ukija Mombasa tutafutane Inshallah
Mashallah shekh wangu
❤ jazakum Allah kher wa barakah
Mashaalha mung akupe umri mrefu wenye manufaa
Inshaallah Allah atujalie niwe miongoni mwa watu hao
Ameen 🙏
Subhanahlaah, Allah atuongoze ktk kher 🙏
Shukraan jazakallah kheir sheikh kwa ukumbusho
❤ Alhamdulilah kwa kuwa muislamu
Jazaakumullahi khairan
Maa Shaa Allah. Shkh Othman maalim nilikutumia mesej hukunipa jibu. Allah akuongoze kwenye swiraat mustakiima.
What is this statement?
Allah akupe umri mrefu ili uzidy kutujuza kher
Jazak Allah kheiryan... nakupenda kwa ajil ya Allah....Allah akujaalie umr taweel wenye kheir
Mashaa Allah
Allah akbariki othamn malimu
Shukran kipenzi 🙏🏼
Sheikh shukran
Very true sheikh
جزاك الله خير
Barrik Allahu kheir Shekh Shukran 😍😍😍😍
Masha Allah sheikh up vzr ingaw wap wanao kuon muong dah Allah akuhifadh kwa manen yao machaf wanayosem juu yko
Jazaka allah
Naipata faida ya Dawa zako nikiwa Omani 💪🏼🙏🏼
Jazakallah khayr
Jazaka Allahu kheir
Shukulan sheh
Mwenye channel nakuambia. Allah akupe kheri. Jazaakallhu khairan kutuwekea mawaidha mazuri. Allah akulipe malipo mema.
Nakuuliza. Khutba hii ulioweka. Ni khutba aliotoa Sheikh Othman karibuni?
MaashaaAllah. Allah amhifadhi.
Alla akupe umri mrefu kwenye manufaa zaid
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
Mashallah Allah akufanyie wepes ktk mamb yako
Subuhana llah 😢
mashaAllah
Allah akudumishe sheikh wetu mpendwa maalim Othman ❤❤❤
Allah atusitiri na atupngoze😢
Masha Allah baraka llah
Othman bin maalim 🙏
Hakika shekhe
Jazaqallah rekher
❤❤❤
Asalamu aleykum mtu asiye mwisilamu akifa twaweza kumtlolea dua?
Haifai kumuombea Kafiri akishakufa
Walykumsalam warahmatullah wabarakatuh iyo haiswihi ndugu yangu,
Asalam aleykum shee
Emerson Rue
Ameen 🙏