KIJANA ANAEFUATA VYEMA NYAYO ZA SHK OTHMAN MAALIM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • #RiyadhTvZnz #Zanzibar #Shk_Othman_Maalim

КОМЕНТАРІ • 462

  • @saulikinahi6703
    @saulikinahi6703 4 роки тому +2

    Mie ni mkristo ila kiukweli hua nina Muelewa na kumpenda Sana SHK Othman Maalimu, Mungu amjelie kheri na umri mrefu 🙏

  • @shariffalwi2256
    @shariffalwi2256 2 роки тому +1

    Mashaalah Mwenyezmngu atupe masheikh Athmani Maalim wengi inshaalah.

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +1

    Mash Allah tabarakallah sheikh othman mdogo Allah akuhifadhi

  • @muniranatai8057
    @muniranatai8057 5 років тому +8

    Mashaaaaaallah..... Sheikh Othman ni kipenzi cha waislam ......huzigusa nafsi za waislam na kukuza Iman zetu....... Huko ndiko nawe unakoelekea ......Allah akujalie In Shaa Allah

  • @saidtwanga5266
    @saidtwanga5266 5 років тому +29

    Huyu kweli ni mlithi wa shakhe Othman Maalim mashaallah

  • @almassoud3109
    @almassoud3109 5 років тому +29

    Mashaalah. Hawa ndio vijana wanye influence. Allah atupe vizazi vyema vyenye khof nae

  • @mody-guyngido2792
    @mody-guyngido2792 5 років тому +26

    MashaAllah Allah Azidi kukufungua kifua chako na Akupe Elimu Zaidi Uwe mfano wakuigwa hata wewe.

  • @bindawood978
    @bindawood978 5 років тому +38

    Maashaallah,tunatakiwa tuige mambo mema,Alhamdulillah kijana anaelekea vizuri Allah azidi kumuelekeza.

    • @riziwanirashidnkumbilwa7622
      @riziwanirashidnkumbilwa7622 5 років тому +1

      Allah Akbar yaa Allah yaa Arahman mjalie Sheik wa Allah na simwingine ila Sheik Othman Maalim kwani yeye ni mfano wa kuigwa na barak na aman ziwe juu yake hapa duniani na kesho Akhera

    • @shailakipingu1112
      @shailakipingu1112 5 років тому +1

      Allahu akbar mwenyenzi mungu aje na mimi a nijarie watoto wema kama mfano wao

  • @allychuotv2520
    @allychuotv2520 5 років тому +9

    Allah Akbar... Allah amuhifadhi Shekh Othamn Maalim na pia amuongeze maalim Swidq

  • @maulidibnjuma9575
    @maulidibnjuma9575 5 років тому +37

    ALLAH Akbar,, yaarabi nakuomba uniongoze ktk njia iliyonyooka wallahi natamani kua kama muswadiq na vijana wngine wny maadili mema ya kiislam 😢 😢

  • @yussufhaji3335
    @yussufhaji3335 5 років тому +10

    Mashaallah nimempenda sana mungu akubariki pia sheikh Othman maalim kwavijana kufuata nyayo zako

  • @Muhindojamaldin-r1r
    @Muhindojamaldin-r1r 26 днів тому

    Maanshallah Allah aqbar subhanallah Allah akwihifazi na atujalie janah yarrabbiy

  • @khadijaali-gm4yw
    @khadijaali-gm4yw 2 місяці тому

    Mashaallah Mashaallah Mashaallah, Allah atupe wepesi nasi katika kutekeleza ya kheri .

  • @mwanasuwes4936
    @mwanasuwes4936 5 років тому +11

    MashaAllah Mwenyezimungu akujaalie kila lenye kher

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 5 років тому +29

    Umekuwa ktk misingi mizuli ya dini, nawapa ongera wazazi, mashallah mashallah,

  • @s.m.jawadida8868
    @s.m.jawadida8868 4 роки тому +1

    Amin Amin Amin Ya Rabal Enlamin

  • @seiflitonela494
    @seiflitonela494 5 років тому +3

    Mashallwah Hongereni sana Riyadh TvZnz kwa kutuhabarisha habari zenye heri.

  • @fatmajumaa1069
    @fatmajumaa1069 5 років тому +5

    Allah akulinde na maadui akupe umri wa maisha marefu innsha allah

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 5 років тому +22

    Man'sha Allah Mola akudhidishie elmu yenye manfa akupe kifuwa chenye kuhifadhi sana wawe wengi mfano wko wenye Kuiga wenye khayri kama Hao Mwenyezi mungu Ghaz'wajallah akudhidishieni khayri ln shaa Allah 🙏🙏🙏

  • @rashidzahran7820
    @rashidzahran7820 3 роки тому

    Good ustaadh mdogo wangu mungu akuweke na ukuzidishiye elimu

  • @sarahmohamed337
    @sarahmohamed337 5 років тому +6

    Masha Allah Masha Allah Thuma Masha Allah.Allah Akuhifadhi kakangu katika Uislamu🙏🙏🙏

  • @ahmedali0333
    @ahmedali0333 5 років тому +9

    Mashallah jazakaallahu kher daaaah huyu shekhe yaaani ni kama othman maaaalim mashallah tulikuwa tunaomba mutuweeekee mawaidha yake inshallah natumai ujumbe utakuwa umefika inshallah

  • @mayedmohammed5554
    @mayedmohammed5554 4 роки тому

    Manshallah Allah ampe pepo sheikh othman kwa kuwapa wanetu elim ya milele

  • @rizikikhamiss535
    @rizikikhamiss535 5 років тому +3

    Maashallah mungu akuzidishie fahamu na akuepushe na husda za walimwengu

  • @ntakirutimanamaisara4529
    @ntakirutimanamaisara4529 5 років тому +11

    Masha Allah mwezimungu haziwajaala akuzidishe elmu apate kuyifikishia wangine inshaallah

  • @mohamedali4347
    @mohamedali4347 5 років тому +4

    Mashaallah kila mtu anapenda kumuiga shekh othman maalim

  • @cholobolivia1989
    @cholobolivia1989 5 років тому +5

    Mashallah mungu akubariki na akuzidishie elimu amiiin

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 5 років тому +12

    Mashallah jitahidi Sana na kua mkweli Allah atakuzidishia ameen

  • @mwanakombaabbas93
    @mwanakombaabbas93 5 років тому +5

    Ma shaa Allah sauti yake inafanana kweli na sh othman maalim haswa anaposoma qur'an ma shaa Allah Allah azidi kumuongoza na vizazi vyetu in shaa Allah

  • @umaimaalharthy3581
    @umaimaalharthy3581 5 років тому +18

    Salut sana kwa Othman maalim Allah amjalie afya njema na umli mlefu sheikh wetu kipenzi Othman maalim

  • @saidjuma9782
    @saidjuma9782 5 років тому +2

    MASHA ALLAH.... MWENYEZI MUNGU AKUEPUSHE NA HASAD ZA WATU WABAYA... NA SISI WENGINE MUNGU ATUPE TWAUFIQ NA FAMILIA ZENU.... AMIIIN

  • @abdillahbakar9850
    @abdillahbakar9850 5 років тому +12

    Allah amlipe kila LA kher katika kazi yake ya uhadhir

  • @zulfahhussein505
    @zulfahhussein505 5 років тому +4

    MashaAllaah tabarakaAllaah
    Allaah azidi kumuongoza na Neema zake na kuongoza vizazi vingine ....

  • @mudytozy5084
    @mudytozy5084 5 років тому +4

    Mashallh mungu akuzidishie kheriii

  • @sophiakapolo1525
    @sophiakapolo1525 5 років тому +4

    Mashaallah m/mungu akuongoze vyema

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 років тому +2

    MaashAllah Alhamdulilah Allah atuongeze katika njia ilonyoka shukran Sana

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 роки тому

    Mashaallah Allah akuzidishie umri na afya njema uzidi kufata nyendo mzr na kujifananisha na masheikhe wetu Hizi ndio nyendo na sifa na umaarufu na mambo mazuri yenye kuelimisha jamii waislam

  • @aboubakarmansour1189
    @aboubakarmansour1189 5 років тому +1

    Maashaallah Mungu azid kutuongoz vijan ktk uislam, Allah ampe kila la Kheri sheikh Othman Maalim

  • @watchme1558
    @watchme1558 5 років тому +2

    Mashaalah kijan mungu akupe umri mrefu hapa dunia na kesh akher Amiin.

  • @zainabamiri8924
    @zainabamiri8924 5 років тому +7

    Masha'Allah anaongea kiarabu vizuri Sana Kama muarabu vile

  • @swabriali4583
    @swabriali4583 5 років тому +7

    MashaAllah Mola akuhifadhi pamoja na waislamu wote.

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 5 років тому +2

    Hakika mm nampenda sana sheikh Othman Maalim na Allah atuwekee nuru yetu hii aihifadh na mabaya amuondoshee mazito amletee wepes Wa kila jambo.

  • @AliAli-vv7pk
    @AliAli-vv7pk 5 років тому +7

    Mashaa Allah kijana mungu akulinde na husda na vijicho vya watu wabaya.... ((Ameen))

  • @yusufmbaruk6886
    @yusufmbaruk6886 5 років тому +6

    Mashaaaaaaaaaaaaallaaaaa Allah akubaarik akuzidishie zaid nazaidiiiiiiii ahsante sanaaaaaaaaa

  • @mgenijuma4085
    @mgenijuma4085 5 років тому +1

    ma shaa allah. allah tubariki ss pamoja na vizazi vyetu utuongoze kufanya mema in shaa allah

  • @mirajiissa4603
    @mirajiissa4603 5 років тому +2

    Maa shaa Allah, mwenyez mungu akujaalie uzidi elimu zaidi na zaidi , Allah akujaalie afya njema , Allah akujaalie hekma na busara , hakika umejaaliwa .

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 5 років тому +7

    Mashallah mashallah, mwenyezi mungu akuendeleze kakaangu, future sheikh othman 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ashurasaidi3038
    @ashurasaidi3038 5 років тому +6

    Maashaallah ivi ndo adhari nzur zinazotakiwa kuziacha dunian sheikh othuman maalim hongera kwako una da'awa nzur kiasi kwamb adi kuongea anaongea uyu kijan anaongea kam sheikh maalim

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 5 років тому +1

    Maa shaa Allah,sheikh othuman amepata mrithi mzur wa ilim mpk sauti maashaa Allah

  • @jafaribori601
    @jafaribori601 5 років тому

    Alhamdulih, kwakweli nimefurahi sana kwani sikuzote nilipo msikiza Othman maalim nilimuombea duwa aishi muda mrefu na usio na uzee mbaya na aishi daima ndani utaratibu wake huohuo wa Imani na huduma kwa waislam aishi kwawepesi WA rizki na kujitosheleza yeye familia yake pamoja na jamaa zake na mwishowe kama mwenyezi mungu akitaka kumchukuwa basi azidi kumtia kiu na hamasa ya kumpenda,kumtukuza Allah na kuineza elimu alieirith kutoka kwa mitume yetu na kiongozi wetu wa umma wa kislamu nabii wetu Mohamad sws, Onja yangu ya ujinga haitonikatisha tamaa kwakuambiwa ukweli nao ukweli nimsumeno nakila akuelimishae ujuwe nayeyepia alielimiswa kwa nijia tofauti tena wengine hupitia mazito zaidi, hivyo sitosita hasilani nasitojidhulumu nafsi yangu kwakujiekea kusema kuwa WEWE KIJANA NAKUPENDA SANA NA HUYO OTHMANI MAALIM , WALLAH MOLLA NDIE SHAHIDI JUU YA MAHABA YANGU KWENU NAWENGINE WOTE MNAOFANANA KATIKA ELIMU HIYO JQPO MIE SINA NA NIMIONGONI YAWALE WAZEE WALIOUTIA UJANA WAO KWENYE ONJO LA UJINGA NA KUZEEKA NAO; MWENYEZIMUNGU MWINGI WA REHMA ANIWEKE KARIBU NAMI PAMOJA NA WAJA WEMA.

  • @maryammadafa9962
    @maryammadafa9962 5 років тому +2

    Mashaalah nimempenda Sana natamani mtoto wangu awe Kama true ishaalah

  • @habibahmatano1815
    @habibahmatano1815 5 років тому +4

    Ma sha Allah mungu akuzidishie

  • @ramadhanmakame1691
    @ramadhanmakame1691 4 роки тому

    Mashaallah amjaalie kher sheikh Othman maalim

  • @khadijamambi2402
    @khadijamambi2402 5 років тому +1

    Mashaallah Allah akuzidishie ktk elim yk

  • @khamisjuma9050
    @khamisjuma9050 3 роки тому

    Mashaa Allah kweli kampatia mungu amzidishie

  • @sallyzreshiz20
    @sallyzreshiz20 5 років тому +4

    mashaAllah mashaAllah mashaAllah baraka Allahu fik ya Akhuyi Hapo kwa Qiraa Ipo sawa Kabisa Tabaraka Ar Rahman

    • @saidhoki6502
      @saidhoki6502 5 років тому

      Ahmdulillah ndugu nimependa kuaiga watuwema nimependa nami naiga mungu ainyanyue darjayako f dunia all akhera Allah human amin

  • @alibakar3976
    @alibakar3976 5 років тому +3

    Masha Allah mungu ambark kwa Rhma xake

  • @azamansur7086
    @azamansur7086 5 років тому +7

    Mashaa Allah YAA RAB tujaalie nasi kizazi kilicho chema yailahi

  • @TheBlkk100mk
    @TheBlkk100mk 3 роки тому

    Mashalllah yupo vizuri. Na si yeye tu, hata wewe unaye muhoji upo vizuri.
    Muna nafasi ya kuwa wazuri zaidi ya hapo na mimi nawaombea muzidi kuwa wazuri.

  • @foodcook3626
    @foodcook3626 Рік тому

    Mashaallah tabarakallah kheri kwa binti utakayemuoa na kheri kwa atakayekuoza ila nakuombea kwa Allah aiweke nafsi yako mbali na matamanivo na shaitwani rajimu na aimarishe jina lako ki matendo in'shaallahu ta'ala natamani kupeana mkono na wewe live siku ya kiama baada yakuingia jana pamoja na huyo mpashaji habari karimu ambaye Allah amemfanya kisababu cha kukufahamu kimukhutasari allahumma amiina

  • @asiasalimkapalato7463
    @asiasalimkapalato7463 5 років тому +4

    Mashhaalah kweli ume muhusudu Othman maalim

  • @zulfajuma9897
    @zulfajuma9897 5 років тому +2

    Mashaallah mashaallah, jazakha llahu khery

  • @fama0043
    @fama0043 4 роки тому

    MashaAllah Tabarakallah Allah ihfadhak . Allah amjaze kheri ustadh wake MashaAllah hakuwa na khiyana ya kumkuza kijana huyu jazakallahu kheir ya ustadh

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 6 місяців тому

    Mashaallah Allah akuepushe na Mahasadi wa Kibinaadam na Majini.Allah akupe umri mrefu

  • @muhsinabdullah7113
    @muhsinabdullah7113 5 років тому +3

    Mashallah jazakallah kheir

  • @jasminali5921
    @jasminali5921 4 роки тому

    Mashaa Allah tabarakallah Allah akijaalia afya njema

  • @buluush9741
    @buluush9741 5 років тому

    MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH JAZAAAKALLAHUL KHAYRA

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 5 років тому +2

    MASHALLAH Allah anijalie mume kama huyu

  • @nailahabibu8892
    @nailahabibu8892 4 роки тому

    Maaa shaa Allah Allah Akupe afya na umri mref hakika ww ni mfan wa kuigwa

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 5 років тому +2

    Maa shaaa Allah umejitahidi Allah akujalie elimu zaidi. Amini

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 5 років тому +8

    Man'sha Allah man'sha Allahu jazak'um llah khayri👍 💞

  • @lutfiyajuma2192
    @lutfiyajuma2192 4 роки тому

    Bismilllah mashallah shekh muswaddiq mungu aniongoeze ktk njia iliyoonyooka anijaaliwe niwe na hof ya mungu na kumcha allah

  • @daudipaulomatanga6479
    @daudipaulomatanga6479 5 років тому +4

    mashaallah nakuombea kwa allah akuzidishie elim

  • @nadhrajumamassoudmassoud8692
    @nadhrajumamassoudmassoud8692 5 років тому +6

    Muswadkq hongera sana Allah akuzidixhie

  • @khamisijuma4842
    @khamisijuma4842 5 років тому +2

    Mashaallah Allah ambariki na mola atufungulie milango ya elimu atulide na hasadi

  • @NanaHsn525
    @NanaHsn525 Рік тому

    Allah ajaalie vijana wengi waige shekh Othman yarab

  • @abdulramadhan981
    @abdulramadhan981 5 років тому +2

    ماشالله جزكالله خير أختى

  • @hkk2450
    @hkk2450 4 роки тому +1

    Mashallah

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 4 роки тому

    Mashallah.musadik.mungu.akuzidishe.

  • @mutaladjasmini4815
    @mutaladjasmini4815 5 років тому +8

    Masha Allah kheri kaka yangu

    • @mohammedhassanabdulkhadir6283
      @mohammedhassanabdulkhadir6283 4 роки тому

      Masha Allah hiyi ndio mfano mzuri inshallah mungu atujaaliye tuige mfano Kama huu inshallah.keeep going mungu Yuko nawewe inshallah

  • @masodkhamis8808
    @masodkhamis8808 5 років тому +2

    Maashaallah Allah akupe wepesi ktk kutafuta ilmu zaidi...ila usimkate jina sheikh ukamwita Othman..muite kwa heshma...

  • @wlkmwlkm8486
    @wlkmwlkm8486 5 років тому +2

    MashaAllah,hao ndio Watoto wakujivunia sio mtoto alelewa na taraabu na wasanii. Allah akulipe kila la kher kijina na akuepushe na hasadi

  • @sadanahimana7193
    @sadanahimana7193 4 роки тому

    ALLAH AKUPE UMRI MREFU NA Allah atuongozee vizazi vyetu viwe kama hao

  • @abdanshakuranrajab9718
    @abdanshakuranrajab9718 5 років тому +2

    ما شاء الله.
    بارك الله فيك يا شيخ صادق.
    أسأل الله أن يوفق مما تحب و ترضا .
    كل سنة و انت طيب.

  • @hafswahussein6584
    @hafswahussein6584 2 роки тому +1

    MashaAllah 😘😙💞💞👌👍

  • @tumasuwed7081
    @tumasuwed7081 4 роки тому

    Mashaallah Allah azidi kumuongoza kwenye kheri Allah awaongoze nasie watoto wetu kwenye njia ya kheri kama hii

  • @abeidhamisi5096
    @abeidhamisi5096 5 років тому +2

    Mashaa Allah, baraka llah fihi

  • @salummussa8673
    @salummussa8673 5 років тому +3

    Allah akuzidishie ishaallah

  • @umaimaalharthy3581
    @umaimaalharthy3581 5 років тому +2

    Masha Allah Allah akuzidishie

  • @khadijaalghaithy2485
    @khadijaalghaithy2485 5 років тому +1

    MashaAllah, Tabaraka Rahman👍👍👍

  • @omariomari7450
    @omariomari7450 5 років тому +2

    ماشاءالله 🌷

  • @mahmoodmohammedmasoud5942
    @mahmoodmohammedmasoud5942 5 років тому +6

    Masha Allah Mungu amhifadhi

  • @asnatyahya3979
    @asnatyahya3979 5 років тому +2

    Maa shaa Allah barakaallah

  • @brownjumbe9
    @brownjumbe9 5 років тому +2

    Maashaallah maabrooq

  • @smaihsmaih2815
    @smaihsmaih2815 5 років тому +1

    mashaa ALLAH ALLAH akubariki akupe ikhlas n thibat.uso wako una nour

  • @anafisuleimani7083
    @anafisuleimani7083 5 років тому +1

    Masha allah

  • @abdelatiffaqqy2437
    @abdelatiffaqqy2437 4 роки тому +1

    We are so proud to be with u big up broo forever

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 4 роки тому

    MashaAllah mungu akuongoze kwa kil jamb in shaa Allah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Allah akutilie wepes

  • @stonetown578
    @stonetown578 5 років тому +3

    MashaAllah TabarakaAllah Allah akuzidishie ilmu na awaongoze na watoto wa kiislamu wote

  • @salumkhamis7818
    @salumkhamis7818 5 років тому +2

    Duh ebwanae MASHAALLAH zawadi hizi ALLAH anatuletea

    • @harounali1626
      @harounali1626 5 років тому +1

      Siku nyingine tanguliza Mashaallaah na jitahid hiyo Duh ipotee katika ulimi wako.
      Biidhnikallah hilo lina wezekana.