Naam vijana wanakuja namna hiyo! Wanapita njia zilezile hizo zote ni athari nzuri za Mwalimu wetu swahiba wetu Othmani Maalimu ... Allah atujaalie Mwisho mwema..
Mpe heshima yake kiogozo wetu Mtume wetu S.A.W usilitaje jina tupe sio kiumbe wa kawaida kama mimi na wewe rudia hata mara 1000 najua ni kuhafilika bado mpya ila tunakumbusha ndugu yetu sheikh wetu Allah akuhifadhi kwa kila baya Inshaa Allah
Sham Zone ما شاءالله Mwenyezi Mungu Mkubwa kamjaalia huyu kijana kuweza kuhifadhi Mawaidha ya Sheikh Othaman Maalim pamoja na Sauti. Allah amjaalie fahamu zaidi Aamiyn
Mashallah ,Hakika nimefarijika kuona matunda ya shekhe Othman Maalim. Ama watu wa Kenya walipombeza shekhe Othman nalukimbilia zanzibar. Visiwa vyetu adhimu vimefaidika.na haya ndio matunda yake. Allah ampe umri mrefu kijana huyu na ampe ulinzi. Amiin
ماشا الله عليك يا شيخانا الله يبارك فيك دائما ويجعلنا من الذين يستمعون القول ويتبعون أخسنة اللهم هدنا في صراطك المستقيم اللهم رزقنا رزق حلال طيب مبارك فيه دائما في بلدنا /// اللهم هدي شباب المسلمين// اللهم زدنا علما ورزقنا فهما/ واللهم أنزل علينا بركات في بلدنا
Mashallah usipite bila kusema amiin yaliomo rohoni ni mengi Allah awajalie vijana na sote atuogoze Allah awalipe kheri🙏🙏 naomba Allah anipe mume wa kheri na mwenye maadili ya dini na kumcha Allah subhanallahu wataaala na mtume Muhammad swallahu alaihy wasallam . shukran itikia dua inshallah🙏😁🙋 احبكم جميعا ايها المسلمون
Uthman maalim kwa Taarifa yako nataka nikupe habar leo Tanzania nzima Upo peke YAKO KWA KUWA NA LAFUDH NZUR KTK DAAWA NAOMBA ALLAH SIKU MOJA NIWE KAMA WEW
Naam vijana wanakuja namna hiyo! Wanapita njia zilezile hizo zote ni athari nzuri za Mwalimu wetu swahiba wetu Othmani Maalimu ... Allah atujaalie Mwisho mwema..
Mpe heshima yake kiogozo wetu Mtume wetu S.A.W usilitaje jina tupe sio kiumbe wa kawaida kama mimi na wewe rudia hata mara 1000 najua ni kuhafilika bado mpya ila tunakumbusha ndugu yetu sheikh wetu Allah akuhifadhi kwa kila baya Inshaa Allah
mashaallah hivi ndo inavotkiwa sio kuiga wasanii wnaojchora matatuu, kusuka n kuvaa modo.. M.Mungu akuongze..
Mashallah
Amin
Allah akujaalie umri mrefu wenye kheri na baraka ndani yake na akuruzuku pepo ya fridausa inshaallah
Allah amjazi khery mwalim othman azidi kutuletea mifano mema in shaa Allah
Mungu akupe umri mlefu
Masha Allah masha Allah Allah akurinde ishaa Allah
SUBHANAALLAH yani mpaka unavyotowa mifano kama maalimu uthman mashaallah 👌❤️
Masha Allah kaka angu mungu akuongoze ktk njia ilonyooka nasi tuyafate yale unayo tufunza
Allah bariq sheikh Kijana
Allah azidi kukufungulia ilmu zaidi na zaidi ktk kifua chako
Ma shaallah may Allah reward you with more knowledge which can benefit us
Allah akujalie khyna baraka na uzima ipate elmu zaidi yarab amin
Uendeleee na utufundishe tusiyoyajua
Shekh Othman baraka Allah AMIN
Sham Zone
ما شاءالله
Mwenyezi Mungu Mkubwa kamjaalia huyu kijana kuweza kuhifadhi Mawaidha ya Sheikh Othaman Maalim pamoja na Sauti. Allah amjaalie fahamu zaidi Aamiyn
Mashaallah allah anijaalie na mimi mtoto mwema mwenye kuilingania dini ktk umat huu wa mohamadi hakika nifahar
Sophia Oman Allhuma amin akupe kwa nia yako in sha allah
Hii ni Allah mbn jina lako unaanza na harfu kubwa Allah unamsahau
Amiina yaa rabby.
Kwa uwezo na utukufu wake Allah utampata.
Kwa sote Aaamin
Mashallah Sheikh Salim Baaraka LLahu fiyhii
Mashaallah sheikh, Allah akupe wepesi ktk kutuelimisha na akulipe malipo mema
Mashaallah km alivyoitowa she otham maalim mada hii Allah akupe elemu yenye manufaa
Mashaallah
MaashaaAllah Allah akuhifadhi na kila Shari
Maashaa allaah unampatia sheikh wetu allaah akuongoze vyema
Allaaah atupe mwisho mwema ameen in shaa ALLAH
Mashalla mungu akupe umri na afya akuongoze akufanyie wepesi katika daawa ishaallah
Mwenetu nakuona
@@nassrubushoot5750 pia mm nakuona kaka
Mashallah ,Hakika nimefarijika kuona matunda ya shekhe Othman Maalim. Ama watu wa Kenya walipombeza shekhe Othman nalukimbilia zanzibar. Visiwa vyetu adhimu vimefaidika.na haya ndio matunda yake. Allah ampe umri mrefu kijana huyu na ampe ulinzi. Amiin
Hakubezwa watanzania walimuomba na wakapewa kwa heshima na taadwima
Wallah nilitamani siku moja Shekh Othman Maalim awe Shekh mkuu was Tanzania.....Inshaaallah Allah ataleta kher
In shaa Allah
Inshaalah
Inshaa allah
Masha Allah mungu akuweke kaka
Mungu amuongoze katika njia ya kheir zaid yeye wazazi wake na mwalim wake.
Mashaallaah mashaallaah Hakika mawaidha ni chakula cha moyo kw muislam🌙🕌🕋
Sauti tulivu yenye unyenyekevu wala sio ya ukali kweli ni mrithi wa sheikh wetu Uthman maalim..jazaka Allah kheir
Mashaallah hakika dini yetu tunavo vidume vya kuutanganza dini hii Allah atujaalie vizazi vilivo Bora Kama waliopita amiin
Amiin amiin
ameen
Amiin
Ameen
Allah Humma Amin
Mashaa ALLAH. Mola akuhifathi
Maa shaa Allah ama kwa hakika hii ni sauti ya sheikh othman saaafi,
Allah akbar. Mashaallah mungu atujaalie mwisho mwema
Vitu vya kuiga ndio kama hivi,mungu atujalie na atuongoze ktk kufanya ya kheri na kuacha maaswia
Mashaalla nambuoba alla akuhifadh
Mashaalah Mwenyezmngu akuzidishie, Inshaalah.
MashaAllah ako sawa kabisaAllah amzidishiye.Aamiin
Mashaallah Hakika Nimempenda Awe Mume Wangu lkn Nimemzid Umri👌
Mashaallaah mpende sheikh wng kw ajil ya Allah🕋🕌🕌🕋
Umri haujalishi.
Allah atakupa utachomuomba.
Mashaallah Mashaallah aleyk copyright ya sheykh maalim Allah Kareem Allah tena
MashaAllah, jazzakaAllah kheri kwa ukumbusho
Maashaallah
Alhamdulillah ALLAH atujaaliye tusomeshe wanetu wawe wajuwa dini
Dana Dana llll
Mashaallah kijana
Mashallah, Allah akuzidishie ilmu sheikh
Mashallah Allah akuzidishie
YaaRabbi atupe mwisho mwema inshaAllah
Mashallah Shekh Othman kabisa
Dooooh! MashaAllah ni yeye kabisa othman maalim
MaashaAllah tabaarakallah ,jazakallahu khaira
Othman maalim wewe ni kidume allah akulinde na hasadi naakupe kauli thabit siku yako ikifika
Amiin...ila ukiandika jina la Allah anza na herufi kubwa kwa heshima ya jina lake.
Amiin
Allah Humma Amin
ماشا الله عليك يا شيخانا الله يبارك فيك دائما ويجعلنا من الذين يستمعون القول ويتبعون أخسنة
اللهم هدنا في صراطك المستقيم
اللهم رزقنا رزق حلال طيب مبارك فيه دائما في بلدنا /// اللهم هدي شباب المسلمين// اللهم زدنا علما ورزقنا فهما/ واللهم أنزل علينا بركات في بلدنا
Ameen thuma Ameen ya akhui Muhammad
اللهم امين
Ammin
Mashaallah mung akupe maisha marefu yenye heri na ww
Mashallah usipite bila kusema amiin yaliomo rohoni ni mengi Allah awajalie vijana na sote atuogoze Allah awalipe kheri🙏🙏 naomba Allah anipe mume wa kheri na mwenye maadili ya dini na kumcha Allah subhanallahu wataaala na mtume Muhammad swallahu alaihy wasallam . shukran itikia dua inshallah🙏😁🙋 احبكم جميعا ايها المسلمون
Ameen!! 😊
Maashaallah hii ni Kazi nzuri
Mashaallah Allah awazidishie kila LA kheri
Mashaaaallah nikama sheh otham
Ma shaa Allah mungu akubariki mdogo wangu
Ma Sha Allah
Asante sana sheikh, Allah akuzidishie
MAA SHAA ALLAH TABARAKALLAH.
Mashaallah ya sheikh Allah akujalie umri wenye afya njema Allah akuzidishie ilimu tuzidi kunufaika kwa ilimu yako
Aamiin
@@ukhtyzainab7254 Tumma amin
Aaaaamin Yaaa Rabbi
@@salimally8496 Allahumma amin mashaallah tumecomment mwazo mwisho
Aaamin
hayyak Allah yaa akhy al Kareem....shukraan jazeellah
Allah atuongoze kwenye njia ilionyooka tuwe waja wema inshallah
mashaallah
Mashaallah yani copy ya maalimu wetu Allah akuhifathi kijana
Mashallah saut ya shekher othman mung kampa zawad
Mashaallah shekh Allah akuzidishie
MaashaAllah. Allahu Akbar 😭
Allah huakbar Allah bless us
Masha Allah Mungu akuzidishie
Mashallah allah akuhifadhi akhy
Mashaallah mashaallah jazaka llah lkher
Sauti ya Sheikh Osmaani Maalimu
Maashallah
Mashaa Allah...
Allah akudumishe.
Mashaallah ya akhiy Allah akuzidishie Elmu tena na tena,aamin inshaallah
Mashaah barakallah fyka yahi muslim allah yarhamka fyduniya waly ahirwa
Salallahu alaihi wasalam 💙💛💚
maa shaa Allah 🎉🎉
MashaAllah hiyo ndio mifano ya kuiga vijana wenzangu..
Mashaallah.. Allah akuongoze... Amiin
Uthman maalim kwa Taarifa yako nataka nikupe habar leo Tanzania nzima Upo peke YAKO KWA KUWA NA LAFUDH NZUR KTK DAAWA NAOMBA ALLAH SIKU MOJA NIWE KAMA WEW
MASHALLAH
mashaallah brohh nice 100%
ما شاء الله..........
mashaallah jaazakallah khery yaa akhiy
Mashaa llah
Mashaallah kijana
Maashaallah
Mashaa Allah
MashaAllah Tabarakah
Sh salim Aly mashaallah
Mashaa Allah mashaa Allah 🙊🙊
Mashallah. Tabarakallah.
Mashallah allah akuzidishie kheir hapa dunian na kesho akheraa
Mashaallah ustadh salum
Natizama kipindi hichi kizuri nikiwa Nchini Qatar MashaAllah muzidi kukiongoza vzur nasi tupate ukumbusho...
masha Allah,tabarak Allah ndio naskiza saa hii from muaithar-QR too Allah amzidishie
😭
@@hadijakhamis2950 Masha ALLAh Insha ALLAH
ALLAHUMMA AAAMIN @Hafidh
@@hadijakhamis2950 mashaallaah kher
Mashallah natamani vijana wengi waige mfano huu
Hongere Riyadh tv kwa CHANNAL yako mashaallah nawapongeza sana Allah awazidishieni kheri
💪🤓hapa bado maswali na majibu
Masha ALLAH
@@zayyatiyussuf9566 Insha ALLAH
@@RiyadhTvOnlineZnz kher in shaa Allah kamalipo swali leo nijuze nisilale🙄
@@zayyatiyussuf9566 Insha ALLAH
MashaAllah kama othman maalim kuzungumza lakin kama yusuf abdi Munshed pia daai
Alhamdulillaaah...
Da ni bahati iliyoje , Allah akupe umri mrefu
Mashalah a
Allah anijalie mtt mwema
Mashallah,Mungu atupe mwisho mwemaa
Mashaallah
Othman Jnr ama? Masha Allah
MashllAh ❤😊🎉
Riyadh tv tutembeleni na cc tupo vizuri
Mashallah mungu ampe kila LA kheri
Maashallah