John Kashamba Ft Enock Zungukazunguka ~Umebaki pekeyako.
Вставка
- Опубліковано 29 жов 2022
- wimbo huu ufanyike Baraka kwako na kwa watu wote katika Jina la Yesu aliye hai. @enockjonas @BonyMwaitegeOfficial @cshusho @mch.abiudmisholi @anisetbutati
Toka titok Huu wimbo umekuwa wa Hisia kweli 🔥🔥🔥
Barikiwa sana nisaidie ku share Tafadhar nisaidie NAOMBA
Ni wewe tu yesu sina mwingine 🙏
Ameen Barikiwa sana nisaidie ku share Tafadhar nisaidie NAOMBA
Nice songs actually you touched my hrt...b blssd and prosper to hear....
Thank you very much for your support, please help me to share. God bless you very much
#SHUKRANI
niwashukuru wote mlio jitoa kutazama nyimbo hii niwashukuru watu wote Duniani niwashukuru kipekee watu wa #KENYA mmenionyesha upendo mkubwa mme #share sana link Yangu Mungu awabariki sana pia #Tanzania nyumbani Asante na Nchi zingine siwezi taja zote nikamaliza ninaheshimu sana Msaada wenu naomba msinichoke pia mnishauri mnapo onasiko sawa Asanteni
Mungu azidi kukuinua shemeji
Ameen Shemeji asante sana Barikiwa naomba unisaidie Ku #share
Wimbo huu umenigusa sana umeimbwa juzi niki mzika kijana wangu kwa kweli mungu umebaki peke yako wa kunisaidia
Umeimbwa wapi mtumishi na nani aliuimba
Au ulipigwa kwenye vyombo
Uliwekwa wakati mwili unaingia si ati mtu aliimba
@@tabikanini2920 ahaaa sawa pole sana Dada yangu Mungu akutendee mema
Asante john kasamba
Wimbo umeniguza kutoka TikTok
Barikiwa sana nisaidie ku share Tafadhar nakuomba
Ameeen ameen
Mungu akubariki sana naomba unisaidie Ku #share
its only God who dwells in our lives
Ameen and thank you so much Dear God bless you I need you're support #share this link please
Nice melody
Barikiwa sana nisaidie ku share Tafadhar nisaidie NAOMBA
❤❤❤❤
Barikiwa sana nisaidie ku share Tafadhar nisaidie NAOMBA
Thanks for a good song,hakika amebakiki yeye tu kwangu
Ameen sana
Mungu akubariki Sana
Ameen asante sana
Leo nimekuja kuwashukuru wote mnaojitolea kwa upendo Ku #share link za nyimbo zangu Mimi ni kijana maskini ninae ishi kijijini sana najishugurisha na kilimo sinauwezo wa Ku #shoot video nzuri lakini naona mnavyo nipensa na kunisapoti naomba msinichoke naomba sana pia muendelee kunisaidia Ku #share siku moja nitapata pesa nitawaletea video nzuri na nitahamia Mjini na Mimi Asanteni sana no zangu za whatssap ni #0717946737
Glory be to Almighty God 🙏, surely we have remain with him alone ❤️🙏
Ameen Blessed
Mungu akutanfulie
Ameen Barikiwa sana naomba unisaidie Ku #share
🎉🎉🎉🎉🎉
Edina jemsi
Barikiwa sana
Mwimbo mzuri sana
Barikiwa sana nisaidie ku share Tafadhar nisaidie
Mungu wa mbinguni akuinue utukufu had utukufu
Barikiwa sana sana
NAKOSA MANENO YA KUSEMA KWA #WAKENYA NAMARAFIKI WENGINE JAMANI MMENISTAHILISHA NISIPO SITAHILI NISEME MUNGU AWAKIMBUKE WOTE MNAO #SHARE LINK ZANGU KWA WENGINE SIJAWAHI ONA UPENDO KAMA HUU MTU ANAJITOA KWAJILI YANGU BILA HATA KUMUOMBA YESU AKUTUNZE SANA RAFIKI YANGU AKUPE YOTE UOMBAYO .🙏🙏🙏🙏🙏🥲🥲🥲🥲🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🫵🫵🫵🫵🤝🤝🤝
Hakika Mungu ndio Kila kitu
Barikiwa sana ndugu Yangu kunitia moyo asante sana
Asanteni jamani kwa upendo mnao nionyesha machozi ya furaha yananitoka kila nikitazama watu mnavyo jitoa Ku #share video zangu sina chakuwalipa ila nawaombea Mungu asiwasahau hakika Mungu awakumbuke kuna watu wanapitia nyakati ngumu Mungu awapiganie nawapenda #Tanzania nawapenda wa #KENYA na nchi zingine Mmenipa heshima kubwa nisiyo stahili Asanteni sana 🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️ no zangu za #what's sap 0717946737
Barikiwa saana kazi nzuri
Barikiwa sana ndugu Yangu
Mungu awabariki sana huu wimbo umenifariji sana nilipoukuta tiktok ilibd niutafute❤
MUNGU akubariki sana sana naomba UNISAIDIE KU share Tafadhar nisaidie NAOMBA
@@johnkashamba Amen
Amina saana Barikiwaa sana Kaka
Ameen Asante sana kwa sapoti yako naomba unisaidie pia Ku #share
Barikiww Sana mkuu
Ameen Barikiwa sana Kiongozi
John 0:31
Hit after hit,Kwa hakika ni mungu pekee yke, sikuwa najua ntapona baada ya kupotesa babangu,nyimbo zako sinanipa amani ya moyo ninaposikia,be blessed
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu na Barikiwa sana na sapoti yako naomba pia unisaidie Ku share
Umefanyika Baraka sana kwangu
Yes I will
@@fronicachepkirui1043 Thank you so much my friend God bls you
Wimbo muzuli mungu ayendelee kuwabaliki 🙏🙏 Canada 🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Barikiwa sana Dada Yangu naomba unisaidie Ku #share
Bwana Yesu Asifiwe sana watishi wa Mungu ndugu zangu ma marafiki zangu toka sehemu mbalimbali za ulimwengu ikiwemo hapa nyumbani #Tanzania na marafiki zangu wa #KENYA #USA #DRC N.K kwa sapoti yenu kila wakati ninyi niwatu Muhimu sana kwangu nauona moyo wenu wa upendo kwangu Naomba mnisaidie Ku #share video hii kwa watu mbalimbali na Mungu wa mbingu akubatiki kwa kufanya hivyo kumbuka maoni yako ni Muhimu sana sana kwangu Mungu akubariki sana.
Kazi ni nzuri sana kaka MUNGU AKUBARIKI 🙏🙏
Nyimbo ina ujumbe mzuri unafariji na kutia moyo..
Barikiwa sana kaka
My brothers and sisters, I am thank you so much for you because you made me where I am today, my brothers #Tanzani #Kenya and many other countries, I have seen your love because you are working together for this work and it has going a long. I thank you very much
I need your help please #Share this link to others and my God bless you.
Kazi nzr San ndg yang MUNGU aendelee kukuinua!
Barikiwa sana ndugu Yangu kunitia moyo
Naomba unisaidie Ku share
Hakika
Comment ya prophet sio mchezo Barikiwa sana
God is good ! Mungu aendelee kuwatumia
Ameen Ameen
@@johnkashamba uu7jjñ
Kazi nzuri kk
Barikiwa sana