Mungu akubariki sana mchungaji wangu hakika vijana wa Africa tunaweza kufanya mambo makubwa kwa ajili ya ufalme wa MUNGU,,,huyo ndugu yetu mpe hongera sanaa MUNGU ambariki zaidi na zaidi
❤mchangaji mmbaga kwa masomo yako ya afya na pamoja na wasabato kwa nguvu mnayo toa kwetu dini nyingine tofauti na wangine tuko nyuma Sana huyu jamaa atakuwa anapiga hela kwa ubunifu.
Jaman mchungaji jaman inamaana huwaambii watu kuhusu civil war?????inayoelekea kutokea hv karibun jaman kutokana na uchaguz unaofanyika kesho jaman????yan unazdiwa na kina obama wametoa predictive programming movie ya live the world behind????jaman kuna sunday law mapema inakuja jaman yan badala ya kuwaambia watu watoke mijini mnawaahubilia tu kufanya biashara??? WEF wanatabiri civil war ili dunia iingie kwenye New world order! Jaman jaman health reform huwaambii jaman unawaamasisha watu wale tu samaki jaman????jaman changamkeni hizi kauli za kina Ganun diop za vatican 2 ya 1965 waromani Catholics wamechange kwa hiyo tu watu msiogope jaman mtakutwa kama jerusalimu ilivyoangamizwa, daniel na ufunuo neno la bwana liko wazi,
@@lovenesshadracklove4350 mshukuru Mungu dada maana wewe umefunuliwa kweli, hawa watu wanaandika andika tu comment lakini hawaelewi kama kuna matengenezo ya afya wala hawajui kama kuna Sunday law inatangazwa hivi karibuni. Hongera sana
@MatubaSon jaman sijui sababu watanzania hawajui kiingereza kufatilia ata Dunia inaongea Nini jaman,CBDC, pesa ya papa Sasa tunaagizwa kurudisha pesa kuanzia tarehe06/1/2025had6/4/2025 msabato wewe ambae unawaona watu wa ujumbe wamalaika watatu kama wamekurupuka au wamewahi jaman jiulize hii jamii namba hutauza Wala kununua Wala ata kupanda mwendo kasi Wala kutibiwa jaman hii kauli SI ni ufunuo13:15-17? Lakin watu hawaoni kabisa tunakoelekea wanaamin wachungaji waliokwisha acha kweli,na vile hawasomi vitabu vya unabii wanaona nikawaida TU hakuna kuamasishana kutoka mijin Sasa wanaujumbe wakuubili yesu, Sasa yesu wabila ufunuo na Daniel niyesu Gani huyo jaman???mwezi jana GAnun diop kasema wazwaz Kenya yeye hatahubiri ujumbe wamaika wa 3 ufunuo 14:6-12,Tena kasema wazwaz roman Catholic wamebaridika hakuna mateso yajayo,kifupi hakuna upapa utakaokuja kumtesa msabato Bado watu wanampigia makofi na Arusha wakamkaribisha na zawadi wakampa,yaan wachungaji wengi ni mapadri katka sura za mapasta, jaman tusome biblia zetu muda umeisha sana sana,
Kweli kqbisa mchungaji namshukuru mungu namimi nina duka la vyakula vyakiafrica Namimi namiliki duka ya chakula chakiafrica hapohapo rock island illinois (moline)
Hilo si somo kwa haiba yako mch Mbaga. Unajisahau sana, nakushauri uachane ma mitandao badala yake omba michango kwa washiriki kwenye mitaaa yao ili ukahubili injili watu wamjue Yesu. Iga akina mch. Mika na Tuvako
Alafu kabla hujamkosoa mtu fikiria ulichokifanya ww kwanza kugusa maisha ya watu wengine... Kwa nn ww hujawa kama hao wachungaji.... shetan anaekutumia ashindwe kwa jina la yesu
Ulitakaje ? Jihukumu mwenyewe kwanza kama MUNGU ALIFANYAKAZ SIKU 6 UNATAKA ASIHUBIR KUFANYA KAZI KWA WAKRISTO WAVIVU WANAOKAA BILA KUFANYA KAZI NA KUISHIA VIJIWENI,KUSENGENYA NA KUPONDA KILA KITU KAMA WEWE PASI NA WAO KUWA NA CHOCHOTE???JIONGEZE
Yani we mbaga hiyo ndo imekuwa kazi yako, umesahau kuhubiri ujumbe wa malaika watatu watu watoke jumapili waje jumamosi na waachane na fundisho la utatu mtakatifu
Soma Bibilia ikusaidie kuelewa roho ya unabii,yesu hakuwa mjinga aliposaidia wanafunza wake kushika samaki na hata kulisha watu elfu tano na Zaidi samaki
Mchungaji wetu mbaga umetisha kwakweli unaelewesha vizur munoo
Nimependa sana hili MUNGU awabariki ...
Mungu akutunze akubariki akulinde kwa jina la Yesu amen
Mtumishi ❤sana somo hili. Uzidi kutuombea pia.
Mungu akubariki sana mchungaji wangu hakika vijana wa Africa tunaweza kufanya mambo makubwa kwa ajili ya ufalme wa MUNGU,,,huyo ndugu yetu mpe hongera sanaa MUNGU ambariki zaidi na zaidi
Amen🙏.
Nimefurahishwa sana na hii mchungaji japokua mimi ni mwanafunzi wa chuo bado ila hilo limenipa changamoto sana-Ni Sabai Lameck kutoka nchini Kenya
Amen🙏.
Nimefurahi sana kusikia waafrica kama tunazidi kupambn Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri
Mungu akutuumba tuwe maskini mbaki tumikiki nchi ebu tafakari kama watu wa mungu wangemiliki uchumi wa dunia basi tungeeneza njili kweli kweli
❤mchangaji mmbaga kwa masomo yako ya afya na pamoja na wasabato kwa nguvu mnayo toa kwetu dini nyingine tofauti na wangine tuko nyuma Sana huyu jamaa atakuwa anapiga hela kwa ubunifu.
Hongera sana kwa Ububifu huo, Mungu na aendelee kuwabariki, duka letu hilo tukija huko
anatumia teknolojia gani kukaushia hao dagaa ili waweze kudumu kwa muda mrefu?
Kazi nzuri Mchungaji Mmbaga,,,Tutavipata wapi hivyo vitabu nchini Kenya,,
This is great. Ila hapo kwa conversion to tz currency ni tricky based on economy and minimum wage
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
Smart kabisa Niko na banana crips, cookies, banana juice processed looking for clearance at Kenya
Smart work
MUNGU azidi kumbariki
Kazi zuri pastor,naomba kujuwa kisavu inasaidiya nini
Nimefurahia Sana mchungaji waaa
Barikiwa pasta shuja
Mungu awaendeleshe mbele watu wa Mungu.
Jambo mutumichi wa Bwana ukositèti ya wapi?
Asanteni kwa elimu nzuri
Kazi nzuri sana,nawezaje pata soko huko la vyakula asili
Hili nalo NENO hebu tulipambanie jaman
Pastor Mimi naomba
musaada wa Maombi
Niko sehemu ya Illinois
Kweli kabisa Naomba pia vitabu
Barikiwa pastor
Kwa Wale tuliopo CHINA, tunapataje offer hiyoo ya chakula cha asili!?
Kuna wanao tuma samaki kwa siku moja inakufikia hapa usa mchungaji ndo njia ninayo itumia mimi cargo air❤
Naanzia wapi?
AGIZA NASI BIDHAA KUTOKA CHINA KWA BEI NAFUU KABISAAAA..
Jaman mchungaji jaman inamaana huwaambii watu kuhusu civil war?????inayoelekea kutokea hv karibun jaman kutokana na uchaguz unaofanyika kesho jaman????yan unazdiwa na kina obama wametoa predictive programming movie ya live the world behind????jaman kuna sunday law mapema inakuja jaman yan badala ya kuwaambia watu watoke mijini mnawaahubilia tu kufanya biashara??? WEF wanatabiri civil war ili dunia iingie kwenye New world order! Jaman jaman health reform huwaambii jaman unawaamasisha watu wale tu samaki jaman????jaman changamkeni hizi kauli za kina Ganun diop za vatican 2 ya 1965 waromani Catholics wamechange kwa hiyo tu watu msiogope jaman mtakutwa kama jerusalimu ilivyoangamizwa, daniel na ufunuo neno la bwana liko wazi,
@@lovenesshadracklove4350 mshukuru Mungu dada maana wewe umefunuliwa kweli, hawa watu wanaandika andika tu comment lakini hawaelewi kama kuna matengenezo ya afya wala hawajui kama kuna Sunday law inatangazwa hivi karibuni. Hongera sana
@MatubaSon jaman sijui sababu watanzania hawajui kiingereza kufatilia ata Dunia inaongea Nini jaman,CBDC, pesa ya papa Sasa tunaagizwa kurudisha pesa kuanzia tarehe06/1/2025had6/4/2025 msabato wewe ambae unawaona watu wa ujumbe wamalaika watatu kama wamekurupuka au wamewahi jaman jiulize hii jamii namba hutauza Wala kununua Wala ata kupanda mwendo kasi Wala kutibiwa jaman hii kauli SI ni ufunuo13:15-17? Lakin watu hawaoni kabisa tunakoelekea wanaamin wachungaji waliokwisha acha kweli,na vile hawasomi vitabu vya unabii wanaona nikawaida TU hakuna kuamasishana kutoka mijin Sasa wanaujumbe wakuubili yesu, Sasa yesu wabila ufunuo na Daniel niyesu Gani huyo jaman???mwezi jana GAnun diop kasema wazwaz Kenya yeye hatahubiri ujumbe wamaika wa 3 ufunuo 14:6-12,Tena kasema wazwaz roman Catholic wamebaridika hakuna mateso yajayo,kifupi hakuna upapa utakaokuja kumtesa msabato Bado watu wanampigia makofi na Arusha wakamkaribisha na zawadi wakampa,yaan wachungaji wengi ni mapadri katka sura za mapasta, jaman tusome biblia zetu muda umeisha sana sana,
Kiukweli ugaibuni vitu ni ghali lakini vinanunukiwa,Dubai kilo ya unga wa ugali shiringi elfu 7 ya Tanzania, mchicha fungu moja shiringi 700
kwa kweli
WAMEFIKA MBALI HAKUNA WIZI HUKO SAFI KABISA
Natamani Nije uko nifanye kazi apo ata A usafi naomba unifanyie connection kwa uyo bosi
Kwanini usibuni ya kwako hatakm ni kidogo?
@@DormethylRespiciusHana pesa sio wote tunaweza kuwa wajasiliamali
@@apollobupolo9884 sasaa hiyo nauli inayomtoa huko kwenda kuajiriwa hapo sio pesa,cyo lazima uanze na vikubwa
Hakika inabariki
Tatizo la sisi watanzania huwa ni ukiritimba na kutokuwa na ethics (uchakachaji) wa bidhaa. Kukosa uaminifu.
Good
hii imekaa sawa
🤔🙏
This are the people who Jesus warned us about in Matthew 24:11.
Amekwambia kama yy ni nabii
@isabelaamani966 wewe uko kwa sleeping mode
Kweli kqbisa mchungaji namshukuru mungu namimi nina duka la vyakula vyakiafrica
Namimi namiliki duka ya chakula chakiafrica hapohapo rock island illinois (moline)
Mbaga muombe Mungu akufunulie kweli zake bado uko nyuma sana ndugu yangu
Fafanua hiyo habari ya kuwa nyuma ili tuelewe na sisi ndugu yangu.
Omba kwa ajili Yako kwanza..... Omba Mungu akutumie na ww kwa namna apendavyo
@@isabelaamani966 habari ndugu yangu
Kweli kqbisa mchungaji namshukuru mungu namimi nina duka la vyakula vyakiafrica
Namimi namimi hapohapo rock island illinois (moline)
Tuwasiliane niwe nakutafutia nagimbi jamani
Hilo si somo kwa haiba yako mch Mbaga. Unajisahau sana, nakushauri uachane ma mitandao badala yake omba michango kwa washiriki kwenye mitaaa yao ili ukahubili injili watu wamjue Yesu. Iga akina mch. Mika na Tuvako
Ivi umeelewa ulichokiandika ww... Mungu wa rehema akusamehe... Lisipokugusa ww jua Mungu kaliandaa kwa ajili wa mwengine...
Alafu kabla hujamkosoa mtu fikiria ulichokifanya ww kwanza kugusa maisha ya watu wengine... Kwa nn ww hujawa kama hao wachungaji.... shetan anaekutumia ashindwe kwa jina la yesu
@@isabelaamani966 ungekuwa unaelewa mahali unabii ulipofikia nahisi usingekuwa unayasema hayo unayoyasema. Naanza kufundisha sasa, unaamini utatu mtakatifu?
Ulitakaje ? Jihukumu mwenyewe kwanza kama MUNGU ALIFANYAKAZ SIKU 6 UNATAKA ASIHUBIR KUFANYA KAZI KWA WAKRISTO WAVIVU WANAOKAA BILA KUFANYA KAZI NA KUISHIA VIJIWENI,KUSENGENYA NA KUPONDA KILA KITU KAMA WEWE PASI NA WAO KUWA NA CHOCHOTE???JIONGEZE
@liannsambu7264 ndugu yangu usifikirie kwamba ni nawaponda bali natamani ile kweli aliyonifunulia Mungu nanyi muweze kuipata
Yani we mbaga hiyo ndo imekuwa kazi yako, umesahau kuhubiri ujumbe wa malaika watatu watu watoke jumapili waje jumamosi na waachane na fundisho la utatu mtakatifu
😳😳
Duuuh kweli sisi watu hatuna jema,,
@MatubaSon Tatizo lako udini unakutesa
Kwani wewe unashindwa Nini kuwahubiri ndugu yangu?
Hubiri wew 😂😂
Yani mnawauzia watu samaki wakati roho ya unabii inakataza kula vyakula vya nyama kwa ajili ya afya zetu kimwili, kiakili na kiroho
Soma Bibilia ikusaidie kuelewa roho ya unabii,yesu hakuwa mjinga aliposaidia wanafunza wake kushika samaki na hata kulisha watu elfu tano na Zaidi samaki
Kama huelewi tuma kifungu ambacho huelewi upewe maelekezo
Hivi unaelewa maana ya roho ya unabii au unaichukulia kawaida tu
@@MatubaSon Naelewa maana ya roho ya unabii,roho ya unabii haiezi kinzana na Bibilia,ni tafsiri ya wanadamu ndio mbaya.
@@mush337unahangaika na watu wanaojiita wanamatengenezo. Hawa si waeneza injili, bali ni wakisoaji tu.