Likes kwani ni chakula? Watu wanatafuta pesa wewe huko hapa unalilia likes. Sis wakenya hatuko ivyo unless ikue Kuna shida mahali. Achia watanzania tabia yao ya kulilia likes
Ndaro na Stevo dhaah.mko mbele sana tunawasabikia huku Kenya na cha mno mko na uswayo mwengi penda sana nyie.usa episode hizo zenyu kwa Tv Kenya mauzo hayo Janani.talented guys amusing play
Steve Saida Karoli mtupu 😂😂, napenda sana Hawa jamaa Mungu awape maisha marefu na mpendane vivyo hivyo 🙏🙏😊
😂😂😂😂😂😂saida karoli kwahiyo unataka umuoe😂😂😂😂😂😂
Niuzie channel yako
@bongotrendtv lete milioni mia mbili nikuachie,
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team ndaro & steve
wa kwanza huku... wapi likes za Kenya jameni 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤
Hii ni moto sana 🔥🔥🔥 kazi nzuri, Mimi ni shabiki wenu wa kwanza kutoka Kenya.
Muongo
Ndaro na Steve ni wa brothers wangu nipeni like zangu❤❤❤❤
Ninakuombea wewe ambae unapitia magumu ambayo ni Siri ya moyo wako Yale ambayo uwezi kumsimulia mtu MUNGU ASIKIYE KILIYO CHAKO 🙏😢
From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🤣 gonga like kama unamukubali Steve
😂😂😂somoo....hapa hamna wateja...ila maziwa chemsha jioni...from kenya 🇰🇪 pamoja sana.
Wa mwisho big up Steve na ndaro ila hivi vichwa kma wakubali gonga like
First to watch in Kenya, kaa we n fun wa stive na ndaro uwezi kosa ku like, uku ata sijawai pata ata like 50, Si ata mnipe tu ata 20
Sawa🤣🤣🤣
Likes kwani ni chakula? Watu wanatafuta pesa wewe huko hapa unalilia likes. Sis wakenya hatuko ivyo unless ikue Kuna shida mahali. Achia watanzania tabia yao ya kulilia likes
Sawa😂@@truth_and_truth
Hi I love to watch your videos are so funny 😂 ❤
From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩nawapenda sana
Live from kakamega bukura uku kenya... kazi njema wadau👌
Nawakubali nyie sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mkiwa pamoja mwanikosha 😂😂😂❤❤❤❤❤🎉
Duh, ila Steve Leo nimecheka unamwitaje mwenzio mahokwa😅😅😅😅😅😅😅😅
Tumeelewa wachache😅😅
From kenya c binadam mmjoja a like comment yangu jamani,,,daah Leo Steve wameyakanyaka,, nmecheka tu pekee yangu waa
Nawapenda from Kenya Steve siku zote na Ndaro kila siku 😊
Ooh yesu wangu kanishika kamgelegezoo😅😅😅😅😅😅
Mweusi family like wa kwanza me
Nawapenda sana ndaro na Steve nipeni like natokey Burundi ❤
I like to watch your videos they are so interesting ,,, Winnie from Kenya 🇰🇪❤❤❤❤ I love you so much ❤️ ❤❤
Boss mwenyew Ng'ombe tu😂😂😂 jamani nipeni like zangu kwa haka✌
Toka Congo 🇨🇩 nawapenda ❤❤❤
Watching from kenya nipee likes za first like ❤❤
Kabla sijaitazama ngoja nicheke😂😂kkkkk😂😂😂😂😂😂😂😂
Nawakubali sana🙋♂️🇨🇩♥️🫵🫵kutoka congo
Nikinwa bear na shushiya na maziwa ila Steve kweli wewe 😂😂
Unyama Sana kaka uyamasana unaweza Kazi Sana kuoga aaaaa ❤😂🎉😂😂❤
Wakwanza kutoka kenya🇰🇪wapi likes zangu
😂😂😂stive yani wewe na ndaro nawapenda kinoma💓💓
Et kimara wakoo😂😂😂😂
You did your work I love you brothers
Boss unaonaje turoge kwanza, ila Steve jamani😂😂😂 usituvunje mbavu
STEVE WW NI KICHAA KWELI
ETI MAZIWA YA MAZIWA ❤😂🎉
hamadi kijicho jersy was just chilling😂😂😂😂😂😂😂😂 nangoja kuiona ya dazeti
View se migi Kwa Steve n'a danro nawabedasana ❤❤❤❤😂🎉
Ndaro na Stevo dhaah.mko mbele sana tunawasabikia huku Kenya na cha mno mko na uswayo mwengi penda sana nyie.usa episode hizo zenyu kwa Tv Kenya mauzo hayo Janani.talented guys amusing play
OYAAA LEO WA KWANZA 😂😂
😂😂😂😂😂 Steve karekodiwa 😢😢
C'est très grave 🇨🇩🤩
Steve nawe umeweka maji mengi hadi umepitiliza aise kha😂😂😂😂
Nampenda Xana stivu mweuxi❤🥰
Kazi nzuri 👊😂
❤❤❤
Wow, nyie ndio waliotambua vipaji vyenu, dah😂😂
😂😂😂😂 Steve na ndaro mtatuwaa😂😂
Jmni nipe like leo wakwanza mie❤❤❤
Wakwanza leo jamani 🎉🎉🎉🎉
Steve funika nyele maziwa itanuka😂😂😂😂😂😂😂
Ni Kwa vile mko mbali na Mimi but nawapenda sana🎉
😂😂😂😂😂miguu kama kikwendu😅 iloveu from Kenya 😂😂😂familia
Nawakubali saaaana ndaro na Steve
Naipenda Saaana Tangu kongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂Ndaro na Steve munaniuwa nyoka duuh😅
Mwenye alitambua hii kipaji pongezi sana.kenya twakisobokea na kushabikia sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Steve ndaro mtanimalizaa😂😂😂❤❤
Wa kwanza leo 🎉
Kama unawakubali kina Ndaro na stevemweusi gonga like hapa
Nakukubalii sanaaa my Lord bless you
Bosalaka balike likambo nini bandeko liboma bino😂
Kazi safiiiiii🎉🎉
king Steve niaje
Ila hawa wakikutana😅
Steve, Steve, ndaro, ndaro 😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hatari aiseeee🎉🎉
Hawa vichaa kweli mjue😂😂😂
Azaa tukutane kweny comment family ❤ tem ndaro vs Steve
Unaonaje tuwaroge..ndo tuuze😂😂....am from Kenya wapi like zangu jamani😮
KKKkkkkkk biashara kkk🎉🎉 Steven utaliya from congo
Ndolelaa ndolelaa bhabh❤❤❤
we steve na ndaro wallah mnanicheka😂
Ndaro mjeshi kofia kashapotea ..Steve wajuwà Ndaro aliku record ukiongeza maji kwa maziwa😅
Machizi wawili noma 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Alioona kama ndaro anamlekodi Steve em tujuane apa
Kenya 🇰🇪 king like pia 🎉
Yan me nikiwaangalia ndaro na Steve najisikia furah jaman nawapenda bule nyie wakaka🎉🎉
😂😂😂 uncle Steve
Steve na ndaro mnivunja mbavu zangu😂
😂😂😂😂😂jamani mtatumaliza mbavu zetu😂😂😂😂😂
Maziwa ya ng'ombe jike kabisa😂😂
Any burundian🇧🇮😂
Stive bañ nakukubali sana❤❤❤
Kwenye haya maziwa tuuze maji yetu ila ndaro 😂😂😂😂
Utawala utawala😅😅😅😅 kwenda kanisan aaaaaaah🤣🤣🤣
Yani muuza maziwa Hana simu kali
turoge🤣🤣🤣 Steeve wewe noma
Gitweeeee😅😅😅😅😢 kichwaaa weweeeh😂😂
" Kwenda kanisani aaanhaa" 😀😀😀😀
😂😂 daah hii kweli ni kuuza maji ndani ya maziwa
Bei 300 kwa lita 😮😮
Nimecheka kwasauti 😂😂😂 naombeni like zangu 😂❤
Wa kwanza jaman like zangu
Maziwa ngo'mbe jike siyo dume😂😂
Eti umenitemea maji😂😂😂 wakat ndo maziwa yao ya maji
Hii 😂😂😂😂
Haha steve na ndaro kama unawakubali gonga like hapaa🎉🎉🎉😅😅😅
Courage Steve mweusi na ndaro
Naona iyo bendera ya mzalendo mrogi😂😂
Hatari Kwa kweli 😂😂
Saida karoli mtupu❤❤❤❤😂😂😂