Joh Makini - Simwachii Mungu ft. Ben Pol (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 13 сер 2018
- #JohMakini #SimwachiiMungu #BenPol #Slidedigital
(C) Slide Digital
Joh Makini Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Written & Performed by Joh Makini
Follow Joh Makini on:
/ johmakinitz
/ johmakini.tz.1
/ johmakini
/ johmakini
Joh Makini is a top Tanzania Bongo Hiphop artist.His witty ryhmes and wordplay have made him into a household name in Tanzania and Africa,He is a renowned rapper known for his skillful use of metaphors, wordplay, and freestyle abilities.
Born as John Simon Mseke in Arusha, Tanzania on August 27th, 1980, he began his career as part of the River Camp group and released his first hit, "Chochote Popote," in 2006. The following year, he released his debut album titled "Zamu Yangu."
He has collaborated with many international artists, including the late AKA, Davido from Nigeria, and Navio. His talent has earned him the Best Hip-Hop Artist award at the Tanzania Music Awards in 2012.
Get a taste of Joh Makini's unparalleled lyrical prowess now !
For bookings and inquiries johmakini@gmail.com
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
From my side Joh Makini is My favourite Mc in Tz kama Tuko wote Side hii Gonga like la Maana Huu Mwamba hautikisiki Kibongobongo 🔥🔥🔥🙌🤙🖖
Mamake chuganian mikono juuuu like hapa kma unamkubali mwamba
Wamba wa Tz gonga Like
Joh hatari ngoma nairudia Kama siku zote gonga like Kama unamkunari jon
Wabongo hawajui mziki mzuri, this jam deserves 5M views
Chama Cha Wasoma comments tu drop u Like here #Hii Kitu Kaliiiiiiiiii
Joh wa Weusiiiii
Ben wa Pol
Tito Kashindye Tz wacha nlete Viti tupo wengi
kama unamkubali joh makini gonga like twende pamoja. song ni fire
Swahili Universe - Latest Bongo Movies sanaaaa kijana wa kitaaa
umetisha bro
Swahili Universe - Latest Bongo Movies nomaaa xanaa
joh makin nouma saaana
Mtu makin sanaa nakukubalii sanaa
I love I do in ht uwe shetan kunielewa me ........... gonga like twende sawiah
Mwamba.ngoma kali .imeenda shule.hiyo mistari yote konki.why tusubirie miujiza wakati sisi wenyewe ni miujiza.mambo ya kufanya sisi wenyewe why Tumwachie Mungu.Umetisha sana
Naomba likes za 254
255-254=1 So one love kenya
Pretty Jackie yea a big tune
From coast +254.....
@@karizllamwenye9924 au sio
ukopoamwanangu bigapu
John makini is bravely and strongly determined kwenye Music Industry. Am not singing but from Njiro huwa namsikiliza nikipata Nafasi
He is a Northern Hip-hop ambassador
Hongera Jonh Makini Na Ben Pol Wimbo Mzuri Like Hapa Tanzania
Kaliiii
Joh makin. Ajawai
Kukosea
Kama na wewe uko na mungu gonga like hapa,kaz nzuri mwamba
BIG SONG..... kwa wanaoelewa
2021 vibing with the biggest hit
#depo ilikuwa ni daraja mbili so njoo vizuri
like if you watching in 2021.
S2kizzy🔥🔥🔥🙌👊
Mimi ukiniudhi tunaudhiana, ukimizingua tunazinguana, ukinidhulumu tunadhulumiana, simuachii mungu.
Nami ni mfuasi wako usijali, viewers kama wote...gonga like chap
🎶🎶🎵.......Shetani Kwenye Mnada Namuuza Bei Nzurii...MUNGU Baba Anajua Huyu Mwanangu Kibuuuriiii!!....🎵🎶🎵
Wapi Like Za Kiongoz Wa Depo Pale Daraja Mbili
🔥🔥🔥🔥🔥
Ben pol hii voice adimu
😁😁 umeleta comedy zako na huku
Anselmo Flavian 😂😂😂😂😂
Acha kunizoom boya wew
Isaac Mourinho 😂😂😂 daaah we jamaa poa asee nimekuzoom tu kwa jicho lakipakistan
❤️
Sipendi mawazo ya kupewa pewa,na ndio mana mi spendi bure #Moto Unawaka Chalaa ya Chugga 💃
Like nyingi kwa joh wa simon. One love tz.chugaaaa
Nasimama mm ni moja basi ongezeeni 0, that's A city's finest manina
Si aliniumba kwa mfano wake basi mi ni nuru ila tu simwachii mungu
Ni msasa nakuna kama Kuna vipele
Kama umuachi mungu Like ya upako kwa jumakini
Nadili na sura zao zote mbili ila simwachi mungu makini
kali sana..+254 kenyan love.
Nakuona mkuuu
Daaah basi tu kwa vile mpo Bongo ila katika nyimbo nzuri ya Hip pop kwenye kumi bora za muongo huu
hii aikosekani
Salute Mwamba...Wimbo mkubwa sana huu kwa anaeelewa kilichoandikwa
Kwa kweli sio kila kitu ni cha kumuachia Mungu
umefanana na kanumba sana .....ntakupigia badae Meseji yangu hujaiona muulize nikkk wa pili nilimpatia.
Hatariiii kaka ukovizurii na huyo wa kubembeleza
Mungu Baba anajua huyu mwanangu ni kibuli~Joh Makini
Depoh Ilkuwa Daraj mbl xo, njoo vzur#haulion kundure#simwachiimung
bongo sio level yako king... cjaona wa kukuvua hyo crown kwa sasa hamna kitu ya kumwachia mungu buda... lit🔥🔥🔥
🙌🙌like hapa machalii
#sasa ukimya woootee unaleta upuuzii upuuuzi tu jipange
unafanya ngoma sinafanana tu sote,,akuna tofauti40%/100
Hahaha #johmakini ume ni kuna *_nasimama kwenye mnada na muuza shetani kwa bei nzuri mpaka mungu ana sema mwanangu kiburi oyooooooo_*
Nyani haoni kundule bana daaaah Simwachi MUNGU
Joh Makin....mwamba wa kazikazini # WEUSI
ni shida kwa j makini umekalisha kwa xana bg up
makin babu tisha sana bro Allah akupe kife long uzidi kuachia ma dude kinoma noma bro
Mwamba wa Kaskazini ulio Makini kazini
MwambAaaaaaa, unajua hadi kerooooo
you buddies mnatisha San hiyo goma kalisan.mtoe nyingine tena kwa pamoja.
If u still vibe with this song on 2024 like here
John makini kazi nzuri pamoja sana mwamba wa kaskazini .....
Ngoma kaliii sanaa
Big up brother
Km unamkubalii joh gonga like hp
joh makini wew ni hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
duuuuuuuuuuuuuu hatareeeeee weusi up
Aliniumba kwa mfano wake basi m mzuri
Joh anapga mkono,but its a classic,2024
Ninomaaa kaka mkali unatisha kaka
Ameen and ameen..
Great combination..
kaka ikopoa 🔥👊🙌✊🇹🇿🎶 kaz oG
Mamae ata mm simwachii mungu
Ngomaaa nimeielewa kabcaaaa
Ngoma kali funga mwaka kwaupande wangu
imekaa poa sanaa..Joh...sion mganga wa kunigangaa
Simwachi Mungu mikono juuuuu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
🙌🙌🙌🙌
Finally you back
Joh makini your the real deal 💯
Mwamba wa Kaskazini 🔥🔥🔥🔥🔥 My crush
Heehe nlkua nakudefend watu wakisema unabebwa ila now i see it...huna A factor..
Kali sana simwachiiiiii miaka buk
Huu ndo mziki Sasa well done joh
Hata uwe shetani kunielewa Mimi ni baraka @Johmakini gonga like hapa kama unawakubali
ametisha kinoma noma Masai mwenzangu gudaaaa
kali sana hii sipendi mawazo yakupewa
Sipendi mkoloni hasaa mkoloni mweusi Kenyan's in gulf mpo
Joh bwana we unaweza san hakuna kam ww
Ngoma Kali kama kawaida yako #Depo ilikuwa ni daraja 2 so njoo vizuri
Sio mwamba wa kaskazini tena, you are MWAMBA wa Tanzania kwa ujumla period. Well done Joh, even the video na concept ni moto.
Nyimbo nzuri japo sijaierewa mie
Daaah!!Nimeamini Tanzania lko Na Muziki Mzuri Na vipaji vya Ukweli Hongera sana John Vs Ben Paul Mungu azidi kuwabariki ....👏👏
Kwali . Ben pol .. Kali sana mtu wangu wanguvu.. like APA
Usimwachie sir God
Babaa aakoo!! Wamekaa mzeebaba
Aiyeee.... mwamba umetishaaa
Hv watu mnasifia wimbo au mnaomba like
"niko vitani kipande cha keki yangu nataka" 👌🔥
Madini ya namna hii ni adim sana.
Lord eyez kwa mbali namuona
Hujawahi kuniangusha Joooo. Kitu konk🔥🔥🔥🔥🔥
Pure gospel napenda sana mnavyomjua Mungu Kwa kiwangoo cha juu namna hii stay blessed
kaka amatisha sana Allah ndio mpango mzima
Joh makini na muziki makini
Simwachi Mungu noma sana
Joh unanikumbuxha mbali xna hii ngoma hatar
John Makini wa zamani
shetani kwenye mnada namuuza bei nzuri
Bonge la Trackii Joh Makini safi sana kwa kuiwakilisha Hiphop..
Wengine wanaiga tu
Makin kam joh makin always never disappoints
Uko vizur sana john
Kaka umepatia big up joh
Hataree tupu WEusiii hawakoseagii big up sanaa mwamba JOH MAKIN na BENARD PAULO mmeuwaaa
Ngoma kali kinoma nmeielewa
Bonge ngoma aseee
Nzuri Sana audio hiii..
Uuuwiii shigidee
Imekaa njema
I AM happy you are back to original joh, ila video sio Kali kutokana na level uliyokuwa nayo sasa hivi
Joh makini mkali wa Rapper I look to you Bruh let get it
Its classic,
form is temporary but classic is permanent.
nadeal na sura zao zote mbilimbili simwachii mungu.
asante mfalme.